Bola mungu akasike tucwafe wote viongozi wanaoiharibu ichi yetu wafe kabisaa,kwani vilio nivingi uonevuu mkubwa na mungukwa unyenyekevu mkubwa KBS nakuomba upokee sala yangu,wachukuwe na utupe wwnye huruma na watanzania,aaamina
Nchi imeoza. Hata kama simkubali Magu kwa yote, lakini yanistaajabisha sana nchi ilivyodidimia katika dimbwi la uongozi usio na mwelekeo, ujasiri wala huruma katika muda mfupi baada yake. Haya mateso yaa wananchi yanasababisha mtu atokwe na machozi. Watu ambao kosa lao kubwa ni kujitafutia riziki. Wakati wanaofanya hivyo 'wanalelewa'!
We una chuki binafsi na jpm hakuhangaika na k.koo alihangaika na wasiolipa kodi kabisaa na walikamatwa wahindi na papa mtu hajalipa ushuru miaka 10 k.kok uliona walibugudhiwaTRA walikuwa wanajimwambafy kiasi hiki?? Acha ujinga nyau we
Tumekimbiza wafanya biashara wengi. Njee ya nchi yetu km.wahind waliomatajiri hapo Tanzania wengine wapo mpaka sauthafrica wamesajili. Biashara zao huko reandwa Kenya Zambia Mozambique Malawi wapo watanzania waliosajili huko biashara zao kwa nn Tanzania hatuna Kodi rafiki kwa wananchi wao hili lazima serekali langalie kwa upana mrefu Sana hapa Zambia lesen ushuru Kodi jiji kwisha kwetu laa wacha watanzania walalamike ktk taifa lao
Kuna sehemu sijaelewa...pale aliposema makontena 10 yalichukuliwa store... na kudaiwa 30bilions... naomba kujua 1. Yalitoka wapi mpaka kufika store 2. Hyo pesa yanayodaiwa ni kodi ya kawaida au kuna kitu dada hajaweka sawa? 3.kwann mama anataka kusaidiwa alipe 150ml? Kwa kontena 10 wakat kasema kontena moja linagharim 240ml 4. Specifically huo mzigo uliingia nchini kutoka bandari ya Dar es salaam au ulitoka huko zambia na kenya kwa mchongo? 5 inasikika kuna mfanyabiashara mkubwa anaetengeneza vitenge hapa nchini na kuwa yeye ndo anaset mipango kwa watumishi wa TRA kuwakazia wachuuzi wa kkoo... je hili ni kweli au au uongo??
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Noma Sana pore dada angu kweri watu zangu wanatubu good ataripe
Nilikoment kwa makosa kuwa mama bonge hafai kwenye kamati nikifikiri ni yule mama mnene. Kwa huyu anafaa mnomno. Samahani niliowakwaza.
Pole sana mama
Tunakukumbuka hayati JPM
Ukisikiliza hoja za kariakoo utajua biashara ndo mpango mzima, watu wanataja mabilioni kama buku vile.
Huyu mama amefanya niamke mapema kwenda kutafuta pesa yaani Nina buku mfukoni mama wa umri wangu anatamka mabilioni
Mmmmh hii nchi imeoza kabisa
Malalamiko haya kama ni ya kweli, na kama Serikali itapenda kutenda haki, TRA wanaweza kuwa ni wahujumu uchumi namba moja katika nchi hii.
Jamani Mimi naomba namba ya huyu dada bonge nifanye naye biashala
Ni Kwamba mnahaha tu mnatafuta namna gani mtaingia madakani
Kiufupi mama hii nchi haiwez
Bola mungu akasike tucwafe wote viongozi wanaoiharibu ichi yetu wafe kabisaa,kwani vilio nivingi uonevuu mkubwa na mungukwa unyenyekevu mkubwa KBS nakuomba upokee sala yangu,wachukuwe na utupe wwnye huruma na watanzania,aaamina
Duh hiii nchi noma
Siumwambie waziri Yuko mbele Yako? Umwambie
Nchi imeoza. Hata kama simkubali Magu kwa yote, lakini yanistaajabisha sana nchi ilivyodidimia katika dimbwi la uongozi usio na mwelekeo, ujasiri wala huruma katika muda mfupi baada yake.
Haya mateso yaa wananchi yanasababisha mtu atokwe na machozi. Watu ambao kosa lao kubwa ni kujitafutia riziki. Wakati wanaofanya hivyo 'wanalelewa'!
Latina mpya ndio suruhu ya yote
We una chuki binafsi na jpm hakuhangaika na k.koo alihangaika na wasiolipa kodi kabisaa na walikamatwa wahindi na papa mtu hajalipa ushuru miaka 10 k.kok uliona walibugudhiwaTRA walikuwa wanajimwambafy kiasi hiki?? Acha ujinga nyau we
Ukiachana na hawa wanaoshusha nondo kuna hao wanaoshangilia na kushtuka wanakosha sanaaa
Wameona kimenuka ndio maana wamekuambia uje uchukue
Elewa kuwa uyo mama amekamatwa na magendo
MATATIZO YA NCHI HII YANASABABISHWA NA WENYE MAMLAKA WASIO NA WELEDI
Sisi sijui nani alituloga yaani mzigo unapitia bandarini kwetu unaenda Zambia kisha unarudi Tanzania kuuzwa, kisa kodi zetu ni kandamizi, ujinga mtupu
TRA wote fukuza wezi wakubwa
Duuuuu kuna majizi kwenye nchi yetu hiyi kweli 😢😢😢😢😢
Waziri wa fedha ajiuzulu
Kwa manufaa ya nchi yetu
Tumekimbiza wafanya biashara wengi. Njee ya nchi yetu km.wahind waliomatajiri hapo Tanzania wengine wapo mpaka sauthafrica wamesajili. Biashara zao huko reandwa Kenya Zambia Mozambique Malawi wapo watanzania waliosajili huko biashara zao kwa nn Tanzania hatuna Kodi rafiki kwa wananchi wao hili lazima serekali langalie kwa upana mrefu Sana hapa Zambia lesen ushuru Kodi jiji kwisha kwetu laa wacha watanzania walalamike ktk taifa lao
30 billion 😨
Bora uganda tu hii nchi haina mazingira mazuri kwa biasharah kabxaaah kama mtu ana biashara yake anaitwa muhujumu uchumi....
Nchi imejaa wahuni Sana haya mambo mpaka lini mbona tunakuwa Kama mazuzu sasa.kama talatibu zimewekwa kwanini zinakwenda kwa kupindapinda uhuni mwingi
Umeniboa yupo waziri mkuu hapo,mama Samia unamtaja wa nini?halafu ulitakiwa uwasemee na wenzio sio wewe binafsi,umepewa nafasi uwakilishe na wengine
Kweli ni shida kufilliziwa ni kufikia na madeni ya benki
Seeee kwer inchi ih nishida sanaa seeee
Mama bonge pesa mingi
Nchi hii watu wanaishi kwa mateso makubwa
Billions 10? Daaaaah
Nchi yetu lakini tumekuwa kama wageni
Hivi hata makadirio ni dunia hii au YA MASHETANI
mfumo mbovu wa kodi
Hawa wauaji kabisa
😂
Kuna sehemu sijaelewa...pale aliposema makontena 10 yalichukuliwa store... na kudaiwa 30bilions... naomba kujua
1. Yalitoka wapi mpaka kufika store
2. Hyo pesa yanayodaiwa ni kodi ya kawaida au kuna kitu dada hajaweka sawa?
3.kwann mama anataka kusaidiwa alipe 150ml? Kwa kontena 10 wakat kasema kontena moja linagharim 240ml
4. Specifically huo mzigo uliingia nchini kutoka bandari ya Dar es salaam au ulitoka huko zambia na kenya kwa mchongo?
5 inasikika kuna mfanyabiashara mkubwa anaetengeneza vitenge hapa nchini na kuwa yeye ndo anaset mipango kwa watumishi wa TRA kuwakazia wachuuzi wa kkoo... je hili ni kweli au au uongo??
TRA ni ma terrorists