"MWIGULU UNAJIITA DOKTA! DOKTA wa WAPI WEWE" - MFANYABIASHARA BILA UWOGA AONGEA MBELE WA WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 787

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 ปีที่แล้ว +284

    Jamaa kaongea point sana uyu paka kapewa cheo leo hii amekuwa mjumbe wa kamati iliyo undwa na waziri KAMA UNAUNGA MKONO UTEUZI WAKE GONGA LIKE HAPA CHINI

  • @mcnjovu3525
    @mcnjovu3525 ปีที่แล้ว +1

    Asante kutusemea ndugu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper ปีที่แล้ว +10

    Mwigulu na Makamba hii inchi wanaifaidi sana, nahao ndiyo umwambii kitu Mama akuelewe

    • @raybby9291
      @raybby9291 ปีที่แล้ว +1

      Wazulumu watu ila wakumbuke kuna kufa na kuacha kila kitu

    • @erkkimaro1967
      @erkkimaro1967 ปีที่แล้ว +1

      Mungu aingilie kati atuondolee mawaziri pm mungu akubariki

    • @rehema971
      @rehema971 ปีที่แล้ว

      Kweli rushwa ningimno hata Jiji maduka mengi huwa wanatoa rushwa wasikate leseni ambao leseni tunazo tunaindwa kuza tumefilsika ha sa ilemela mwanza

    • @AmosSniper
      @AmosSniper ปีที่แล้ว

      @@rehema971pole my

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 หลายเดือนก่อน

    This man is prudent. Take heed.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +5

    JAMAA ANAAKILI ZAIDI YA TUNDU LISSU... ZITTO KABWE, NA WAPINZANI WOTE MAANA WOTE HAWAKUZUNGUMZA POINT ZAKE ZAIDI YA KUITWA IKULU.. HONGERA MZEE

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 ปีที่แล้ว

      Eti wapinzani...!! We babako nae mbona hajawah kuzizungumzia??

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤mungu akulinde Kaka maana mwigilu anataka kukurukia

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu hafai,aondolewe tuu!

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว +63

    Enzi zile akitajwa tu mtu mzungumzaji anastopishwa kwanza na mtajwa anashughulikiwa titifotati kiweredi huku mazungumzo yanaendelea. Huyu jamaa Mungu amtunze, ameongea kwa uchungu sana. Tunahitaji Power, only.

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +4

      Umeonaaa

    • @marianablessed7135
      @marianablessed7135 ปีที่แล้ว +2

      Nimemiss sana hizo moments. Service Levy hii Hapana aisee.

    • @laprincevonkingpin2538
      @laprincevonkingpin2538 ปีที่แล้ว +2

      matatizo yalitatuliwa moja kwa moja

    • @ankotemba7369
      @ankotemba7369 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa raha sana aseee 🤗🤗🤗

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 ปีที่แล้ว

      Kuna faida na hasara ya maamuzi ya hapohapo,pia kuna mambo marahisi kutolea majibu hapohapo kama hayo ya kuhamisha mapolisi,wafanyakazi wa tra n.k lakini mambo mengine ni ya kisera zaidi ambapo ni lazima kuwe na utulivu ktk kuyatatua. Pia sometimes kutoa majibu ya hapohapo unaweza kuvunja katiba na sheria tena ikawa mbaya au ukaonea watu,subira inahitajika kwa baadhi ya mambo.

  • @amanimsuya3354
    @amanimsuya3354 ปีที่แล้ว +59

    Nimependa utulivu wa PM kwani umemsaidia kufahamu mengi toka kwa msemaji. Big up PM Kassim Majaliwa Majaliwa

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 ปีที่แล้ว +22

    Mimi kama mfanyabiashara Mdogo Nimepiga Makofi japo sikuwa kwenye Eneo Husika Huyu Jamaa Ni Balaa..!! 🔥🔥🔥🔥

  • @Glennyndossy-ug1zi
    @Glennyndossy-ug1zi ปีที่แล้ว +42

    Huyu mzee wangu sina chakusema nimwanaume sana yani nidamu ya Jpm hii kabsa.wachane usiache tonelaukweli

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 ปีที่แล้ว +83

    What a beautiful speech. Hawa ndo watu wanaostahili kuwa viongozi kwenye nchi hii

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni raia lakini mwenye elimu ya master's na elimu ya biashara ila waliopewa kazi ni vizibo hawajitambui wala impact inayokuja hawajui nawala athati hawazijui mafuta tuu ulaya yameshuka ila huku bado tumepigiliwa

  • @annamakusa3740
    @annamakusa3740 ปีที่แล้ว +98

    Huyu ajengewe sanamu na ulinzi apewe kawakilisha vizuri sana👌👏👏

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 ปีที่แล้ว +2

      Akifika huko anapewa bakuli la keki anashiba anawasaidia kumega😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +3

      Apewe maua yake kabisa?

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      @@sadamissa5687 🤣

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 ปีที่แล้ว +1

      Yaaaani anamaumivu sana ana uchungu

    • @saadyusuph6554
      @saadyusuph6554 ปีที่แล้ว

      Yaani wafanyabiashara wadogo twafa

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว +33

    Tafadhali sana serikali ya Tanzania huyu jamaa kaongea zote facts, hakuna alichoacha.

  • @laurentsamilah5001
    @laurentsamilah5001 ปีที่แล้ว +5

    kwel wabunge hawan kaz....wabunge wako mtaani

  • @cmpoo5869
    @cmpoo5869 ปีที่แล้ว +45

    Tanzania kumbe kuna watu..??
    Hawajajua tu hasira za watu wanazoteseka nazo..,,,Big up kwa huyo jomba

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 ปีที่แล้ว +2

    Hii serikal ijue tu sa hv watu wameamka na huyu mwigulu anapendwa na aliyemchagua tu Ila ss nop.,...

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +55

    Daahhh huyu baba nimemkubali sana kichwa chake kinafanya kazi vizuri mno

  • @aminamkindi922
    @aminamkindi922 ปีที่แล้ว +25

    Kupitia haya nadhan viongozi wajue namna watanzania wamechoka na maisha haya na huu uchumi, Iwe wake up call aseeeee

  • @franklinmsamila1347
    @franklinmsamila1347 ปีที่แล้ว +35

    Katika maisha ni vizuri sana watu kutengenezewa Breathing space kama hii watu wapumue.

    • @cammycamilius6856
      @cammycamilius6856 ปีที่แล้ว

      Point

    • @nuhhumwakanyamale4771
      @nuhhumwakanyamale4771 ปีที่แล้ว +1

      Unaakili sana ww, Ni tiba kubwa sana hiyo watu tunabeba hasira kwenye mioyo yetu hatuna kwa kuitua.

  • @gililwise
    @gililwise ปีที่แล้ว +34

    Jamani nilishasema huyo mnyiramba hafai.ana dharau sana.lakini Mungu yupo.atamshughulikia tu maana haya machozi ya watu hayatakuwa Bure.

    • @IsraelKisaila
      @IsraelKisaila ปีที่แล้ว

      Gilliana lema SI shemeji yako lakini huyo,mabasi YOTE mazuri kawletea Moshi,Leo HUMTAKI? HAHAHA 🤣🤣🤣

    • @gililwise
      @gililwise ปีที่แล้ว

      @@IsraelKisaila hafai kabisaaaa

  • @dannythegreat8017
    @dannythegreat8017 ปีที่แล้ว +22

    Just imagine that pain guys watu wawe na utu...
    Mheshimiwa Waziri mkuu siku zote wasemaukweli wanatengeneza uhasama please hao watu wote waliowasilisha maoni kwa niaba ya wengi wanahitaji ulinzi wasidhurike ni watu wa muhimu mno kwa Taifa letu...
    Mfano halisi hyu mwasilisha mada aliwahi kutoa maoni akaishia kufungwa jela kwa Siku 10 huo ni uonevu..

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 ปีที่แล้ว +23

    Jamani wafanya biashara mko vizuri bila shaka Serikali yetu sikivu itayafanyia Kazi...

  • @athanasathanas2238
    @athanasathanas2238 ปีที่แล้ว +13

    Natamani Mwamba moja hivi aamke alipolala JPM ❤

    • @catherinelandas1938
      @catherinelandas1938 ปีที่แล้ว

      Yan kak umesema kwel mwamba angekuuwepo hapo hata asingeshirik hapo hila cm ingepigwa na mwingulu angetenguliwa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +17

    Dah huyu baba sijui km hajaumwa leo maana ameongea kwa hasira sana masikini hd huruma 😢

  • @mwitagabriel7200
    @mwitagabriel7200 ปีที่แล้ว +6

    Mwiguru ni mwiziiii kwani jpm si alikuwa anamjua?

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr ปีที่แล้ว +15

    HUU JAMAA NIMESKILIZA VIZUR ANATEMA MADINI MATUPU

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Watanzania wengi wanajiuliza kilicho mfanya huyu anayeteua mawaziri kilicho mfanya amrudishe mwingulu kwenye wizara nini jipm alimfukuza kama mbwa Leo hii amerudishwa tena matatizo yamerudi tena akuna mtu mbaya au kiongozi mbaya kama mwingulu mchemba

  • @annamakusa3740
    @annamakusa3740 ปีที่แล้ว +42

    Huyu jamaa anaakili Sanaa amejipanga kuongea 👌👏👏👏

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 ปีที่แล้ว

      Sio kujpanga tu yan maumiv unayoyaptia kila sku ndio yanayo umiza

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 ปีที่แล้ว +41

    Mwigulu Wizara ya fedha imemshinda, aondolewe kwa maslahi mapana ya taifa. Anaweza kuwa mchapa kazi lkn anakuwa perceived kama incompetent and perception is "reality" !

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +6

      haya yote mbona sijawahi kusikia wapinzani wakiyasema , wapo na hoja ya ubabaishaji ya katiba mpya

    • @raybby9291
      @raybby9291 ปีที่แล้ว +5

      Me katika viongozi ninaowachukia mwigulu ni wakwanza yani anakela na sijui kwanini hawamtoi

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 ปีที่แล้ว +2

      ​​@@raybby9291 uongoz wa sasa upo kwa ajili ya watu wachache matajir sio kwa ajili ya walio wengi ambao ni maskin au wenye kipato cha kawaida, kama hujagundua hilo utaumiza akili yako bure tu. Ndo maana huyo mwigulu na makamba wanajibu kwa nyodo tu

    • @consesaphelician9266
      @consesaphelician9266 ปีที่แล้ว

      @@raybby9291 haahaaaa

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 ปีที่แล้ว

      @@whatisthetruth.8793 kwanini hta familia yako haijawahi kuyasema?? Mkuki kwa nguruwe!!

  • @sss3s867
    @sss3s867 ปีที่แล้ว +1

    CAG REPORT IMEWAANIKA.
    MNAGAWQNA PESA KWA ONGEZEKO LA UINGO.
    TUNATAKA UFAFANUZI.
    HIVI TANZANIA KWA BAHATI HII NZURI TULIOJAALIWA TUNASHUNDWA KUWA NCHI YENYE WATU WANAOISHI KWA AMANI NA FURAHA.

  • @JustusPius-zu2ve
    @JustusPius-zu2ve ปีที่แล้ว +1

    Hivi Huyu Mwigulu Mbona Ni Kero Kila Sehemu? Hivi Kweli Mama Haoni Mbadala Wake Wasomi Tumejaa, Si Amtoe Jamani?

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 ปีที่แล้ว +40

    Hapo kwa mwigulu nimepapenda safi sana

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 ปีที่แล้ว +14

    Mzee kaongea kwa uchungu sana Tanzania haijawahi kuwa fear toka magufuli aondoke mambo ni vululuvululu yani , R.I.P magufuli😭

    • @jameskahamba4023
      @jameskahamba4023 ปีที่แล้ว +1

      nikweli kabia nchi imerudi kua shama la bibi

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 ปีที่แล้ว +1

    Mzee umeongea had namachoz yamenitoka hapo kwenye hela tnakusanya ss haf inaibiwa na mtu mmoja nimgogolo kwel

  • @361NEWS
    @361NEWS ปีที่แล้ว +22

    I love you Tanzania people they have freedom to express their feeling without worry…

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 ปีที่แล้ว +1

      Hii uja baada ya watu kuchoka saaaaana

    • @edwinbayona7395
      @edwinbayona7395 ปีที่แล้ว

      While now you start hiding because they hunt you badly

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 2 หลายเดือนก่อน

      May the truth bring peace in Jesus name.​@@edwinbayona7395

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว +2

    Watu qqnahasira saana mioyoni ila hawana pakuzitoleaaaa ..hiii mama asipokuwa makini inaweza ikampa wakati mgumu saaana 2025😂😂😂 Yani mawazili wako hapo hapo lkn wananyoshewa vidole na kuambiwa hawafaiii...😅😅saiv tumefikia point ya hakuna Cha kuheshimiana , tunakoelekea huwa heshima ikisha poteaaa watu wanaanza kuchapanaa ..naomba tuaifike hukooo...Hawa akina mwigu Hawa ndio wanatutia zaidi hasiria kujifanya wasomi afu kumbe hakuna kitu , kazi kuongea kauli zao za hovyooo tu 😅

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 ปีที่แล้ว +32

    Well said huyu ni akili nyingi achaguliwe atetee wafanyabiashara

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 ปีที่แล้ว +10

    Kuna raia walitakiwa wawe viongozi lakini wapo mtaani waliotakiwa kuwa mtaani ndio wanaongoza

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 ปีที่แล้ว +1

    Yaan leseni mi hata sijui Ina umuhim gan kiukweli, yan leseni, TRA, Sasa sijajua hapa imekaaje ni wizi tu... Kwakwel leseni ifutwe

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 ปีที่แล้ว +1

    Usha mwingine kwanini hizi ofisi za tra zisiwekwe kwenye ofisi zetu za kata yaani hapo kuwe na ofisi ya TRA na Ofisi ya kukatiwa leseni
    Kwanini basi naamini hizi huduma zikiwekwa karibu na wananchi itakuwa ni rahisi kujua walipa Kodi wako ktk eneo hilo na itakuwa rahisi kuwafuatilia kiurahisi nakiurafiki .tena bila msongamano mkubwa tunakwenda kushinda TRA mpaka wiki unafuatilia kupata clearence form.ili upate leseni

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +54

    Huyu baba anaakili nyingi sana.... Mpeni kitengo Huko serikalin awasaidie

    • @msekoali
      @msekoali ปีที่แล้ว

      uongozi siohio kuongea2 mzee

    • @fikiriseleman3460
      @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว

      @@msekoali kumbe kufanyaje

    • @pendo8082
      @pendo8082 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 ปีที่แล้ว

      ​@@msekoali na hao wanaocheza bungeni wana faida gani. Wangekuwa wana ubongo wa kufanya kazi hawa watu wangetoa kero hizo

    • @ricklandennis
      @ricklandennis ปีที่แล้ว

      Bora anaeongea watu wapone sasa ukiwa na akili nyingi halafu umekaa tu kimya una faida gani

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ana hasira ya kuwekwa ndani siku kumi...aisee! ....aisee...alionewa ..kumbe watu Wana machungu mengi moyoni...

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 ปีที่แล้ว +18

    Kweli kabisa tunavisukali hatarrrr baba ongea ongea point tupo safi

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 ปีที่แล้ว +22

    Very true wafanyabiashara tunatengenezewa mazingira magumu

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob ปีที่แล้ว +24

    Nitoe pongezi kubwa sana kwa mama Samia kwa mpango huu nchi itaendelea. Hizi sumu zingeleta mlipuko ambao kuzimika kwake ingekuwa mbinde

  • @nanadady7408
    @nanadady7408 ปีที่แล้ว +74

    Natamani kama Baba magufuli angekuwepo ayasikie haya 😢RIP BABA

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว +8

      Angefanya nini wakati ndiye aliacha hawa watu wakaonea watu hasa wafanya biashara hii ni kasumba yake tunakukumbusha labda ushauri TRA watumishi wawajibishwe habari ya Magufuli ifutiliwe mbali katika nchi hii

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +7

      @@marcokaroje8980 JPM HAJAACHA HAWA WATU, ALIWAKUTA. MTU SAHIHI ALIKUA JPM SIO WALIOMZUNGUKA, WALIOMZUNGUKA NDIO WALIOBAKI NDIO HAO WENGINEO NDUGU ZENU NA BABA ZENU LAKINI WALIMTUSI JPM AKIWANYOOSHA HAO WATU.. MLISEMA NI DICTATOR HAWA WATU JPM ANGEKUWANYOOSHA.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +11

      ​@@marcokaroje8980unajisahaulisha au unajitoa fahamu? Magufuli si ndo aliweka vitambulisho vya wamachinga ya shiling 20 Kwa mwaka au? Alijua TRA watawasumbua na wataweka mianya ya rushwa. Kwa taarifa yako kuna wafanyakazi WA TRA ninaowajua waliaacha kazi wenyewe Kwa kumuogopa Magu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว +1

      ​@@richardboaz-mashagospel2346wengine wanajitoa fahamu Tu!

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +2

      @@marcokaroje8980 hivi yule baba aliefirisiwa na tra na Mpira akatupiwa huyuhuyu majaliwa lilfikia wapi maana alianza kuwekewa mitego ya kutaka kuuwawa

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 ปีที่แล้ว +6

    Mtanga afunika Dar
    Big up bro
    Mawazo mazuri ni zaidi ya bunge

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania ni watu pekee wanaoipenda sana nchi yao na wanavumilia mengi. Hii nationalism ilijengwa makusudi na JKN ili kuwafanya wawe na uchungu na nchi yao ila mfumo wa chama kimoja wanatumia udhaifu huu kujilimbikizia mali na kunyanyasa wengine, a fair warning to them ni kwamba watz ni wamoja sana kwasababu walishaamishwa ni ndugu na ukimya wao umebeba maumivu mengi...

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli pumzika kwa Amani
    Hii inshu Magufuli angekuwepo hapa, aise watu wengi wangefukuzwa kazi leo leo

    • @mjunikiobya
      @mjunikiobya ปีที่แล้ว

      Hii ishu ya matatizo ya wanyabiashara nchi nzima imeanza leo?

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 ปีที่แล้ว

      Wakati yeye ndie chanzo

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 ปีที่แล้ว +18

    HI NI KAZI YA BUNGE BUNGE KIMYA

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣gari limebadilishwa maumbileeee😂🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +8

    Huyu baba apewe ulinzi jamani kaongea ukweli mchungu 😂😂😂 hongera san baba

  • @jamessimbaire3016
    @jamessimbaire3016 ปีที่แล้ว +4

    Kujiamini na kusema ukweli ni jambo ambalo Mungu anafanya upaee kwenda hatua nyingine barikiwa sana mzee wetu kuongea ukweli big up father 🙏🙏👏👏🎤🎤

  • @salumazizi7217
    @salumazizi7217 ปีที่แล้ว +54

    Muheshimu kila mtu, usikutane na mtu mahali ukamdharau...elimu ana taarifa inayopatikana kupitia hizi hoja ni kubwa mno

    • @esperancenathali
      @esperancenathali ปีที่แล้ว +6

      Mwenye elimu yake amekosa nidhamu kwa wananchi wake wewe km umeridhia kuna wenzako wanalalamikia kidogo wanacho kitafuta kwa jasho lao pia ukiamua kuwa kiongozi lazima ukubaliane na kila jambo 😢😢😢

  • @erodeshayo123
    @erodeshayo123 ปีที่แล้ว +15

    Ilove you Waziri mkuu Mwigulu watakumaliza kama Mungu aishivyo nakuambia Badilika

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 ปีที่แล้ว +3

      Mwigulu hafai kabisa sijui kwann mama bado amenwacha tuu.

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +22

    Shoo ilikuwa TAMUUU Sana Leo iludiwe😊

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +8

    Kweli kabisa kodi imezidi kupita maelezo so much wageni wakija wasemewe na mzalendo wafisiwe kwa kwe unyojaji

  • @frankurio469
    @frankurio469 ปีที่แล้ว +3

    Singida kuna tozo inaitwa ushuru wa kushusha na kupakia mzigo ya viwandani, huu nao ni wizi tunaomba utitiri huu wa tozo umulikwe, haya ni mateso

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 ปีที่แล้ว +34

    The people who have power have no idea and the people who have idea have no power.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว +2

      like president we have a clawn 🤡;

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 ปีที่แล้ว +2

      Lumumba my papa said that

    • @magorahassan3491
      @magorahassan3491 ปีที่แล้ว +1

      Definately

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 ปีที่แล้ว +2

      Unaakili sana

    • @wargall2
      @wargall2 ปีที่แล้ว +1

      I disagree, the people who have power employ people who have ideas. if you have money and power it means you are smart, therefore hire or buy ideas from someone with ideas who cannot move or use his or her ideas.

  • @starjay3052
    @starjay3052 ปีที่แล้ว +1

    kivumbi leo 😂😂🤣🤣 alubadili tanga ukiekula ela ujiandae wenye ela zao washaamua

  • @joelmwanja211
    @joelmwanja211 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania wa sasa, siyo watanzania was zamani. Watumishi wa umma mnapaswa kubadilika sanjali na generation unavyo badilika. Generation ya sasa Ni ya ukweli, ndiyo maendeleo yadunia.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +3

    ,kodi kibao, matozo ni kibao,kikwete fukuza mawaziri wako,Rip JPM

  • @beatricechuma7828
    @beatricechuma7828 ปีที่แล้ว +3

    Pongezi kubwa wa waziri mkuu msikivu na amemwacha aseme sumu yote, lakini pia hongera ww baba umeongea point sana tunaamini selikari itasikiliza na kufanyia kazi.

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 ปีที่แล้ว +1

    Kidonge kichungu💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 ปีที่แล้ว +21

    Daah tulimis sana hivi vikao vya familia kuweka nidhamu sawa,RIP JPM

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 ปีที่แล้ว +4

    Kaka umeongea vizuri sana . Naomba ukienda kwenye hiyo tume naomba uwashauri kuwa. Hili suala la kukadiliana Kodi halina afya
    Kwani unaweza kukuta watu mpo eneo moja hata mtaji unafanana lakini kila moja akienda kukadiriwa Kodi inatofautiana maadamu ajue kujieleza au anayekukadiria Kodi umpe Hela ya chai ili kutengeneza urafiki ndiyo utakadiriwa Kodi ndogo ndogo

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว +4

    Duuh kumbe Tz kuna watu wanaakili nying hivi hongra sana Baba

  • @aloycemwakatala2796
    @aloycemwakatala2796 ปีที่แล้ว +1

    Hayo ni machache tu kwenye taifa hili madudu ni mengi sana, kuna majamaa yamepewa uongozi yanajiona mamwamba kweli, yanajiona kama ndiyo mamiliki ya nchi hii, acheni ubabe enyi kundi dogo ninyi ni watu wadogo sana kwenye taifa hili jilekebisheni, kila siku mnawaza kuibia taifa hamtazikwa na hizo noti wezi wakubwa nyiee.

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 ปีที่แล้ว +2

    Hapo munajisumbua bule.tatizo ni Rais.kwasababu kila mswada kabla ya kupeleka bungeni lazima upie ikulu .sasa embu jiulize anaesaini hiyo miswada ninani.lazima jibu litakuwa Rais.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Kweli tatizo ni Raisi kwani yeye ndie anafuga viongozi wasiofaa na kuwa Recycling tu utadhani wao tu ndio wasomi Tanzania nzima

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +4

    Watu tumechoka na Serikali ya 6 mama ameweka viongozi wala rushwa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +2

      Tena sasa hivi wanajidai kweli hadi kero

    • @ashamaneno9819
      @ashamaneno9819 ปีที่แล้ว

      Mwenyew w rushw atawawek maana kweli

  • @abdirahimbashir
    @abdirahimbashir ปีที่แล้ว

    I call you all non-muslims in this chat to accept Islam and admit that :
    لَا إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّٰهُ مُحَمَّدٌ رَسُولُ ٱللَّٰهِ‎
    this encompasses two concepts:
    1.There is no deity but Allah.
    2.Prophet Muhammad (ﷺ) is his messenger.
    ALLAH s.w says in quran chapter 3 verse 85
    وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْ خَاسِرِينَ
    translation ; if anyone desires a religion other than Islam (submission to ALLAH), never will it be accepted of him; and in the hereafter he will be in the ranks of those who have lost.
    Also in chapter 3 Imran in verse 19 ALLAH swt said
    “Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam.”
    يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انْتَهُوا خَيْرًا لَكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَنْ يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
    Chapter 3 verse 116
    O people of the book! Commit no excesses in your religion: Nor Say of ALLAH (God) aught but the truth.
    Christ Jesus the son of mary was (no more than) a messenger of ALLAH (God), His word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him: So believe in ALLAH (God) and His messengers.
    Say not "trinity" ; desist: it will be better for you:
    For ALLAH (God) is One ALLAH (God): Glory be to Him:
    (Far exalted is He) above having a son.
    To Him belong all things in the heaven s and on earth. And enough is ALLAH (God) as a disposer of affairs.
    لَنْ يَسْتَنْكِفَ الْمَسِيحُ أَنْ يَكُونَ عَبْدًا لِلَّهِ وَلَا الْمَلَائِكَةُ الْمُقَرَّبُونَ ۚ وَمَنْ يَسْتَنْكِفْ عَنْ عِبَادَتِهِ وَيَسْتَكْبِرْ فَسَيَحْشُرُهُمْ إِلَيْهِ جَمِيعًا
    Chapter 4 verse 172
    Christ disdaineth nor to serve and worship ALLAH (God), nor do the angels, those nearest (to ALLAH): those who disdain His worship and are arrogant,- He will gather them all together unto Himself to answer.
    وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ
    مَرْيَمَ أَأَنْتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيْنِ مِنْ دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِنْ كُنْتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
    Chapter 5 verse 116
    And behold! ALLAH(God) will say : " O Jesus the son of mary Didst thou say unto men , worship me and my mother as gods in derogation of ALLAH (God)?" He will say: Glory to thee! never could I say what I had no right (to say) .
    Had I said such a thing, thou wouldst indeed have known it.
    Thou knowest what is in my heart, thou I know not what is in thine. For thou knowest in full all that is hidden
    مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ ۚ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ ۖ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنْتَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ
    Chapter 5 verse 117
    Never said I to them aught except what thou didst command me to say , to wit, worship ALLAH (God) , my Lord and your Lord'; and I was a witness over them whilst I dwelt amongst them; when thou didst take me up thou wast the watcher over them , and thou art a witness to all things.
    إِنْ تُعَذِّبْهُمْ فَإِنَّهُمْ عِبَادُكَ ۖ وَإِنْ تَغْفِرْ لَهُمْ فَإِنَّكَ أَنْتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
    Chapter 5 verse 118
    "If thou dost punish them, They are they servant: if thou dost forgive them, thou art the exalted in power the Wise .
    مَا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِنْ رِجَالِكُمْ وَلَٰكِنْ رَسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
    Chapter 33 verse 40
    Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the messenger of ALLAH (God ), and the Seal of the Prophets: and ALLAH (God) Has full knowledge of all things.
    وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِنْ بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ ۖ فَلَمَّا جَاءَهُمْ بِالْبَيِّنَاتِ قَالُوا هَٰذَا سِحْرٌ مُبِينٌ
    Chapter 61 verse 6
    And remember, Jesus the son of mary, said " O children of Israel! Iam the messenger of ALLAH (sent) to you, confirming the law (which came) before me(taurah), and giving Glad tidings of a messenger to come after me, whose name shall be Ahmed. " But when he came to them with clear Signs, they said , "this is evident sorcery!"
    Look for koran translated in to English or to language read the translation of the following chapters 3,4,5 and 19 after that you can read the whole of the koran thanks.

  • @andrewcharles929
    @andrewcharles929 ปีที่แล้ว +7

    Talking with passion, pain, heartbreak nzuri sana hii na katoa na mawazo kabisa ya nini cha kufanya thats good.

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 ปีที่แล้ว

    Kaka,uko,vizuri, Sana,ili,useme,ukweli,kwa,Ajili,ya,kuwatetea,wafanyabiashara, Tanzania,,njoo,upinzani, CCM,hakuna, ukweli,kila, kitu, ndio,ukileta, mdomo,
    Utasikia,tulikupa,ubunge,unataka,uendelee,au,
    Unafyata, mdomo
    Hongera, Sana,kwa,kweli,mwigulu, Ni,mfanyabiara,,

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว +25

    Asieee ni balaaa watu wana hasira sana😢😢😢😢

    • @fatumamkondo3858
      @fatumamkondo3858 ปีที่แล้ว +3

      Jamani hii nchi ina mambo ya hovyo sana viongozi wawajibike Watanzania wanauchungu sana Rushwa imekuwa ni kawaida Hapo hali ni mbaya mbayaaaa

    • @meryerick6053
      @meryerick6053 ปีที่แล้ว +2

      Huyu Jamaal amesoma na ana overconfidence sijui anatokea Kanda ya ziwa

  • @emmanuelademba7919
    @emmanuelademba7919 ปีที่แล้ว

    KATIBA IKIREKEBISHWA IKAWAPA WATU UHURU wananchi huwa wanamengi kwenye vifua vyao.Ipatikane KATIBA tuone watu watakavyo kuwa wanafunguka.

  • @yohanasiminzile2096
    @yohanasiminzile2096 ปีที่แล้ว +39

    Kwa maelezo mazuri haya yaliyotolewa na huyu bwana pamoja na mapendekezo yake kupata wawakilishi wa makundi hasa wafanya biashara kama itampendeza mama yetu Rais mpendwa awateue baadhi ya hizo nafasi kumi, ombi langu kwa mama huyu bwana awe mmoja wa miongoni mwa wateule katika nafasi ya Ubunge hii. Huenda na Mimi nikaanza kufanya biashara maana nasita kwani, wengi wa wafanya biashara wanalalamikia TRA kusimamia vibaya ukusanyaji wa kodi hadi kuwafanya watu kukoswa imani na chombo chao hiki kizuri hapa TANZANIA.

    • @kizaanthony9162
      @kizaanthony9162 ปีที่แล้ว +1

      Keshateuliwa tayari

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo pia tuna miradi mikubwa ambayo gharama za matengenezo yake ni kodi.hii ilitarajiwa kutokea maana bila kuminya walipa kodi hiyo miradi itasuasua ama kufa kabisa.
      Cha msingi inatakiwa kuwe na mfumo wa kodi ulio wazi na sio kulipishwa kodi nyingi tra, mara halmashauri tozo...etc

    • @agapesoka615
      @agapesoka615 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli nimemkubali yuko vizuri ndugu yangu Nina mtoto wangu alipata nafasi ya duka geita ameshindwa kufungua anasema watu wanalalamika tra inasumbuwa wanashindwa wafanyeje wangalie Tanzania nzima hali siyo nzr tra inaumiza mnoo

    • @rizoibrahimovich605
      @rizoibrahimovich605 ปีที่แล้ว +1

      Mwisho WA siku watu watafunga maduka tu halaf tuone

    • @sebastianmathew8475
      @sebastianmathew8475 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie watanzania viongozi wamewekwa na raia au wananchi lakini thamani yake inapatikana wakati wa kuomba kura binafsi serikali ni chombo chema tunapaswa kuiheshimu na sio kuiogopa kwani anayepaswa kuogopwa Mungu peke yake. Lakini mkubwa akijiheshimu na kuwa mwadilifu inapendeza sana. Mbaya sana kumwabia mwanao usizini wakati una watoto 5 nje ya ndoa. Viongozi wanaapishwa na biblia na msaafu lakini maadili hakuna watanzania wmekata tamaa kwenye nchi Yao. Bahati mzuri Mungu kawaumba wanadamu na macho na masikio. Nahisi Kuna watu wanamuomba Mungu watu waondoshewe macho na masikio ili wafisidi zaidi. Ila Mungu anawaona serikali ya mbinguni itaingilia kati mambo yake SAWA. Ushauri itakuwa bora viongozi waapishwe kwa mijusi majiwe na miti mikubwa ili kuendane na kukosa maadili na kumwogopa Mungu wa kweli. Mungu awabariki watanzania.

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 ปีที่แล้ว +2

    Malipo ni hapahapa duniani tulimsema sana hayati Magufuri eti alikuwa akiongoza kwa mabavu, Leo kiko wapi. Wale wote waliochwa na hayati Magufuri awamu ya sita ikawarudisha madarakani ndio sasa wanatusumbua sana katika nchi yetu.

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 ปีที่แล้ว

    ama kweli Mwigulu umekutana nacho leo,, mpiga dili mkubwa wanakubadilisha mara wizara hii mara ile, ili nn, Mzee wa TRAB na TRAT gari yako sipandi, KWA KIFUPI HUFAIII

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว +21

    Kazi pole Waziri Mkuu ila Ndio wanapona Ubarikiwe Mungu Atusaidie Amani isitoweke Tanzania

    • @saidialiy
      @saidialiy ปีที่แล้ว +1

      Ndomana magufuli hakumuweka

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 ปีที่แล้ว +10

    Serikali isichukulie poa haya mambo.nchi itachafuka

    • @Swahili14
      @Swahili14 ปีที่แล้ว

      Hali ikizid kuwa ngumu crime rate itazid😭

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 ปีที่แล้ว

    Uwiiiii eti Mwigulu Nchemba anajiita dokta ,dokta wa wapi huyu😃😃😃 Ni kuongea bila kuogopa. Hakuna kuogopa waziri mkuu Wala Nini hawajali lolosi😃😃 kweli wafanyabiashara mmeitapika nyongo.

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 ปีที่แล้ว +1

    Kama RAIS TUNAYE TZ ajipime kwa nini alikataa mabango? Na haya matatizo siyatazarisha hatari

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +2

    Mbona wabunge tunao nje ya bunge? Walioko bungenu bure kabisa

  • @berthasamwel9955
    @berthasamwel9955 ปีที่แล้ว

    Nina kampuni ambayo inashughulika na bidhaa za kilimo mbogamboga nimesajiri ili niwe halali lkn nikitaka kufungua akaunti tu ya kampuni nakutana na usumbufu wa kulipia gharama kubwa za kufanya mahesabu kuliko uzalishaji wa bidhaa unayouza. Rushwa rushwa, mara TRA mara Brela, Mara Tanesco. Sasa hivi TRA imeunganishwa na mashirika mengi kwa hiyo kilio ni kikubwa, ukienda Tanesco kuna kilio cha TRA, Brela n.k.
    MUNGU Aingilie Kati ndio maana uhalifu ni janga kwa sababu watu wakitaka kujikwamua kiuchumi kwa njia halali wanaambulia vilio, kwa hiyo visasi vinainuka kila kona. Wengine wanafanya uhalifu ni kisasi cha ugumu aliopitia. Tulione hili.

  • @maikobruno341
    @maikobruno341 ปีที่แล้ว

    Iv huyo aliemteua mwigulu alifikiria nn? Kila kukicha vidole vyote kwake na bado wamemkumbatia!!! .Nachojua ipo siku Tanzania ii itaongozwa na wazalendo na tutakuw na furaha na nchi yetu. Mda wao utaisha tu

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 ปีที่แล้ว

    MATATIZO yanayo onekana kwa wafanya biashara na wakulima yapo pia..waziri Bashe anajadili bajeti hachunguzi kwa wakulima hali ikoje

  • @davidlukumay2226
    @davidlukumay2226 ปีที่แล้ว +21

    Uyu mzee ana kitu kikubwa sana ,apewe nafasiii ❤❤❤❤

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 ปีที่แล้ว

    wakati wa tingatinga matatizo kama haya yalitatuliwa papo hapo na watu walitumbuliwa chapchap! sa hiv mnamuachia mungu awatumbue wapumbavu mliwowateuwa wenyewe, Mzee wa TRAB na TRAT mwizi huyo mhujumu uchumi.

  • @officialdanijay6521
    @officialdanijay6521 ปีที่แล้ว +8

    magufuri pumzika kwa amani hukufa bure sadaka uliyo itoa magufuri hujaenda bure naamini umeacha akina magufuri wengi sana hapa tanzania wazalendo kama hawa wapo wengi sana nawatazidi kuwepo asante magufuri pumzika kwa amani😢😢😢😢😢

    • @aronatv47
      @aronatv47 ปีที่แล้ว

      Kwani akiondoka hayo Makodi siyalikuwepo Tu kila Kitu kina Mwanzo na Mwisho

    • @carloschomola9219
      @carloschomola9219 ปีที่แล้ว

      huyo magufuri kafilisi watu, kapora pesa watu, ccm yote janga

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Duh ana Ile spirit ya magu,mtu anaongea ukweli anawekwa ndani? Hii nchi hii?🙌🙌
    Kipindi Cha magu huyo Malima Hana kazi ASAP!

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la Bunge la Chama kimoja leo Mmeliona kwa Macho Mzee ameongea Mambo ambayo wa Bunge walitakiwa waongee Daini Katiba Mpya na tume huru Ya uchaguzi kabla Ya 2024 laazivyo tutaendelea Buruzwa na Bunge la Chama Kimoja

    • @joshuayusufu4223
      @joshuayusufu4223 ปีที่แล้ว +1

      Mzee wangu mm nazani tunaitaji viongozi wazalendo mbona magufuli kafanya makubwa kwenye katiba mbovu iyoiyo tatizo ni hatuna viongozi wenye uzalendo wenye kiu ya maendeleo ya nchi ,hili ni jambo la msingi sana sababu katiba ni kitabu tu inaweza ikawa nzuri lakini kama hatuna viongozi wazalendo ni Sawa na bule

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 ปีที่แล้ว +1

      Pointless tu umeongea hao vyama vingi wanapigania bungeni kwa ukumbafu ??? Mbona likija swala linalowagusa wanakuwaga kitu kimoja??

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 ปีที่แล้ว +1

    Nchi hii ina laana wafanyaniashara wamaumia

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน

    service levi ni kifo cha wafanyabiashara
    .mama samia angalia hili suala,kuna watu wanakuhujumu ili 2025!!!!

  • @aggreygerald6414
    @aggreygerald6414 ปีที่แล้ว +4

    Mzee kapiga utosini jumla jumla 😂😂😂😂😂😂😂 konzi kweee konzi ,

    • @jenmaro
      @jenmaro ปีที่แล้ว

      Maumivu yakizidi lazma ujasiri uongezeke

  • @benjaminntwale1325
    @benjaminntwale1325 ปีที่แล้ว +17

    Nimekuelewa sana mkuu, serikali hili swala ni nyeti sana. Huyu jamaa anaongea points sana.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +1

      Asante kaka

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +2

      Ana udocto wowote uyo labda ana. Udoctor wa kiburi

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +1

      Doctor wa kiburi na wizi

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว +2

      Savi sana mweshimiwa waziri mkuu tunaomba uyo mwingulu nchemba ondoka naye pamoja na kameshina wa t r a

  • @selemaniselemani7014
    @selemaniselemani7014 ปีที่แล้ว

    Watu wamefunguka , TRA inaonekana ni Wala rushwa wakuu nchi hii, Sasa kama umesikia vilio vya walipa kod ,tozo nk, maana yake tuone mabadiliko baadhi Yao kuondolewa nyadhifa walizonazo kwasabab wameshindwa kusimamia haki , ndo maana hata bungeni mtu wa std 7 anatoa nondo ila wa degree hamna kitu kabisa,

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 ปีที่แล้ว

    Uyo anaejiita kidata na mwenzie mwigulu nikama chama na Tibazonkiza, combination yao inawalipa Sana,wameua watu wengi Sana hawa kwa presha na kisukari yaani hawa mavi hawa ni sawa na Pastor Makenzi Tu,kweli magufuli alisema tutamkumbuka😫😫

  • @Noela-dk2xu
    @Noela-dk2xu ปีที่แล้ว +30

    Service levy inatuumiza sana sana sanaaaaaaaaaaaaaaa Dodoma

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 ปีที่แล้ว +1

      Hata tegeta ipo hiyo service leavy

    • @monicanabarikiwasana5396
      @monicanabarikiwasana5396 ปีที่แล้ว +1

      Awa alimashauri wamezidi sana

    • @Noela-dk2xu
      @Noela-dk2xu ปีที่แล้ว

      Inachosha sana

    • @Noela-dk2xu
      @Noela-dk2xu ปีที่แล้ว +1

      Na tabia waliyo nayo sasaivii wanakusubirii unalipia lesenii kwanza ,ukishalipia hupewii wanaizuia kwanza, wanakuambia lesen haitotoka mpaka utakapolipia service levy..yaan kwa kwel tumechoka

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 ปีที่แล้ว +9

    Msambaa kachachamaa,cjui mbwai😂😂

  • @reubenmlay
    @reubenmlay ปีที่แล้ว

    Ndio maana tunataka KATIBA MPYA .Suluhisho la.kudumu , migogoro yote.