EXCLUSIVE: BILIONEA WA MPUNGA, MKULIMA ALIEITWA NA BILL GATE, GARI ZA KIFAHARI, JUMBA KIWANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2021
  • Leo naripoti kutokea Kiwandani Rapha Group Limeted hapa ni Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya, kuna watu wameweka pesa zao, akili, na kila kitu chao kwenye kilimo, nakukutanisha na Raphael Simon Ndelwa maarifa yake na maisha yake yeye ni Kilimo cha MPUNG na uzalishaji wa mchele yaani BILIONEA WA MPUNGA, Uwezo wake wa kukopesheka na BENKI NI BILIONI 3

ความคิดเห็น • 647

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 3 ปีที่แล้ว +170

    Kama unaamini jamaa nijembe nimfano wakuigwa like hapa

    • @mustaphahamis2787
      @mustaphahamis2787 3 ปีที่แล้ว

      💯💯💯 nakukubali saana Rafa

    • @AbilahSalumu-qx1cb
      @AbilahSalumu-qx1cb 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ongela Kazinzuri Kaka
      Kuuza Nnichi Zawenzetu Ukunyumbanikwenu Uwo Mchele
      Adi sikukuu Kwer Wa Tanzania Matumainiyameshalejea Unauzagari Unanunuwagari Niyagani

  • @mkwizoxsafarisadventures9750
    @mkwizoxsafarisadventures9750 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndugu Raphael ni mzalendo halafu hapendi umaskini kivitendo...Mpaka kuwashika mikono wakulima wa kawaida kuwadhamini sio kitu rahisi kabisa... Mungu aweke hii spirit miongoni mwa vijana wa Tanzania pamoja na kwangu, ameeeni...💪

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 3 ปีที่แล้ว +41

    Vijana tuskate tamaa. Mungu niwetu chamsingi juhudi tu. Amen

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 3 ปีที่แล้ว +2

      Usilete story za Mungu kwenye mafanikio ya mtu, siri ya mafanikio huwa anayo Anaemiliki mali na watu msibeze elimu kwa kuona darasa la Saba kafanikiwa, akikuambia siri zake utakimbia. Usione mtu ana pesa ukatamani ukaanza kusema sijui na wewe unaweza kuwa hivyo, na sio kwamba vijana hawajishughulishi wanajitahidi Sana ili waondokane na umasikini ila ndo hivyo. Siri anaijua yeye wachache ndo wataelewa hii sms

    • @NTEMI-OBURUDANI
      @NTEMI-OBURUDANI ปีที่แล้ว +2

      Kijana unapotosha uma Mungu anasema fedha na sababu ni vyake anauma ameombae omeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni mtafunguliwa so kwenye mafanikio Mungu kwanza mengine mtaongezwa

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 3 ปีที่แล้ว +69

    nimejifunza vitu vingi katika habari hii, thanx AYO TV , nawasihi vijana wezangu waisikilize hadi mwisho.

  • @supervan3717
    @supervan3717 3 ปีที่แล้ว +13

    Asanteni sana millardayo kwa kutupia jicho uyole kwenye kiwanda cha mhele kwa hakika kila aliepata nafasi ya kuangalia hii interview amejifunza jambo kubwa sana

  • @hamidjuma2357
    @hamidjuma2357 3 ปีที่แล้ว +21

    Pia kasema kweli tupu kwamba ukitaka kufika mbali jenga uaminifu ujanja ujanja haukufikishi mbali very true

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu anavichagua vinyonge kuviabisha vikubwa ili asiwepo wa kujivuna. Inapendeza Rafael anapomtukuza Mungu ktk mafanikio yake. Na kwa ajili hiyo Mungu pia amemkweza. Kila ajishushae atakwezwa na vice versa. Barikiwa ndugu umekuwa mfano rahisi na wazi kabisa kuelewa na mzuri mno kwa vijana wote ktk Taifa hili. Play your part it can be done. Hongera sana Rafa.

  • @nicholaskelion1180
    @nicholaskelion1180 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akutangulie Mkurugenzi,, mchango wako kwa Watanzania ni mkubwa, Mungu akupe zaidi ya hapo.

  • @africaendlesscruising
    @africaendlesscruising 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu kijana hata kama ameishia Darasa la Saba kwa sasa ana elimu ya kiwango cha digrii ya Chuo Kikuu katika biashara na uongozi. Hata anavyoongea kwa kujiamini na ufasaha ni wazi biashara anaijua vilivyo. Hongera sana Bw Rafaeli...!!

  • @richardmwandali7722
    @richardmwandali7722 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimerudia mala 3 kusikiliza iyo story big up Sana sir Raphael

  • @gradientlife
    @gradientlife 2 ปีที่แล้ว +4

    This is guy is genius, akili yake kubwa sana. Very inspiring. @Raphael Ndelwa Hongera sana

  • @dorcasseruhere6875
    @dorcasseruhere6875 3 ปีที่แล้ว +22

    Mingu akubariki na watu wako wote. Kama una watoto wasomeshe kwa kiwango cha juu. Nakupongeza Unaweza na Mungu awe nawe. Amina

    • @peterbillas9131
      @peterbillas9131 ปีที่แล้ว

      Jamaa nimemkubali saana na mungu na wazee wetu wambariki lakini akae mbali na bill na ma gmo hawa matajiri wa ulaya hawana lolote ni mashetani wanataka kukontro mazao duniani na kufanya biashara na nchi za nje ni tishio kwao mimi nakaa sauzi na mchele huku ni mbovu tunakula maplaastiki sizani kama watapenda kuona mchele mzuri hivi ni vita vyakiuchumi

  • @bernadlydia296
    @bernadlydia296 3 ปีที่แล้ว +10

    Mungu huwainua wanaomtegemea na kumuamini, vijana tuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia kwa huyo kaka, Mungu akubariki Ayo tv kwa kazi nzuri ya kutuonyesha fursa vijana wenzenu.

    • @emmanuelsanga7583
      @emmanuelsanga7583 2 ปีที่แล้ว

      Hakika kuna habari unaweza ukaiona ukaamini kweli suala la habari ni taaruma na sio wanaodhani wakiingia kwakumweka modo wake furani wakati wanashindwa kufata masharti sheria taratibu na kanuni za taaruma ni dhahiri hakustahiri kuwa mwanahabari ninamakunyanzi moyoni mwangu juu ya wanahabari wanaoifarakanisha habari na wadau ila basi tu wameniita mlawiti muuaaji mara 2 mvamizi tena kwa vichwa vikuubwa vya habari iweje hapo

  • @edwardemmanuel5552
    @edwardemmanuel5552 3 ปีที่แล้ว +39

    Miladi Ayo habari zenu si kitoto hongereni sana

  • @hassanhusseinally9805
    @hassanhusseinally9805 3 ปีที่แล้ว +15

    Masha Allah ukimueka mungu mbele kila kitu kinawezekana insha Allah keep it up Mr Rafael

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki sana ndg. M.Ayo, wewe unatoa habari zinazoeleweka kwa anahitaji habari zenye mafundisho.

  • @user-ux6eq4co6i
    @user-ux6eq4co6i 3 ปีที่แล้ว +7

    Ongera sana nimefurai sana kumuona mtanzania km ulivyo wewe mungu akubariki mim niko oman naipenda sana tanzania mungu aibariki tanzania

  • @immanuelkalleshi6153
    @immanuelkalleshi6153 3 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akupe nguvu zaidi na maarifa Na zaidi mm nimekuwa pamoja na ww kaka nimeona hekima na busara zako.Mungu akupe zaidi afya na hekima.

  • @Guled3
    @Guled3 ปีที่แล้ว +5

    I like the attitude of this billionare for acknowledgement of Almighty Allah in his success.

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki niliwahi nunua kwako mchele n mzuri good package mchele mzuri safi ur my role modal

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 3 ปีที่แล้ว +5

    Ni matajiri wachache wanaoamini kuwa si huwezo wao bali ni uwepo wa Mungu katika kutenda miujiza wengi huamini ni uwezo wao ila huyu kamuweka sana mbele Mungu am proud of him.

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 3 ปีที่แล้ว +56

    Kweli nimeamini Akili si elimu. Huyu jamaa anajua kujieleza, anajibu maswali yote vizuri

    • @maalimjaffar5563
      @maalimjaffar5563 3 ปีที่แล้ว +5

      Kweli usemavyo,,, kwasababu wasomi wengi wanatumia ufundi wa kupanga maneno matamu,lkn wenyewe wanakua na malengo yao ya siri,huyu jamaa anaongea kwa uwazi na kwaushahidi,,,hadanganyi.

    • @kawawamamaya8543
      @kawawamamaya8543 3 ปีที่แล้ว +1

      Na sio msomi imagine

    • @fundamengo7970
      @fundamengo7970 3 ปีที่แล้ว +1

      Sema shule sio akili lakini elimu ni Bora tofauti ni elimu ya aina gani elimu ya wazazi ni Bora Sana

    • @yusufumajinge59
      @yusufumajinge59 3 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ndiyo ujue busara na elimu ni vitu viwili tofauti kabisa.

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +2

      Ukiwa na pesa lakizima uwe na confidence

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah nami nimeelimika kufanya kaz kwa bidii na kumtanguliza Muumba

  • @saidifadhil7397
    @saidifadhil7397 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante Ayo kwa kutuletea huyu jamaa ,nimejufunza sana mungu aendelee kuwapa nguvu ya kutuletea stori zenye mafunzo kama hii.

  • @Regan_
    @Regan_ 2 ปีที่แล้ว +5

    Interview bora zaidi ambayo nimewahi kuitazama.
    Mungu katika kila sentensi huyu mtu amebarikiwa sana.

  • @adophndelwa4885
    @adophndelwa4885 3 ปีที่แล้ว +17

    Big up professor keep grinding you deserve god will do the rest

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 ปีที่แล้ว +5

    Big up Kaka Raphael ukimtanguliza Mungu hakika hakutupi Mkono.

  • @gracerossiejohnny9887
    @gracerossiejohnny9887 3 ปีที่แล้ว +9

    Mungu amlinde jmn...maana ukitafuta shida..ukikaa bure shida...mungu akulinde

  • @fredrickallan5437
    @fredrickallan5437 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mtanzania mwenzetu kwa mapambano mazuri, Mungu aendelee kukutunza na kusimama imara katika kampuni yako,ufike mbali zaidi ya hapo ulipo.

  • @evelyneokwiri6344
    @evelyneokwiri6344 ปีที่แล้ว +5

    I read his story 2yrs ago. He is a hard working man with humanity in him

  • @rajabmartojr3302
    @rajabmartojr3302 3 ปีที่แล้ว +32

    Respect broo Millard ayo
    And much more respect to mr Rafa group

    • @khadijaally3742
      @khadijaally3742 ปีที่แล้ว

      Ayo we ni insperation ya kwanz then uncle mchele ur the best

    • @JamesKalisa-ht5xm
      @JamesKalisa-ht5xm 2 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa kaka

  • @elisantej5512
    @elisantej5512 3 ปีที่แล้ว +7

    Nawapongeza pia Ayo Tv, mko vizuri kwakweli. Huwa nikitaka habari za kweli na za maana naitafuta Ayo TV

  • @h.rukuba7464
    @h.rukuba7464 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaaaa liko vizuri hongera Raphael serekali wasupport yeni Hawa jamaaa watusaidia tu create ajira mungu akubariki

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 3 ปีที่แล้ว +37

    I love that kila sentence Mungu yupo kwenye kichwa chake

    • @elisantej5512
      @elisantej5512 3 ปีที่แล้ว +1

      kama ulikuwa kwenye akili yangu vile

    • @wafulatom104
      @wafulatom104 2 ปีที่แล้ว

      Even me iam amazed at the way he begins with God in every thing. Nashukuru saana from Uganda

  • @michaelmakaranga5877
    @michaelmakaranga5877 ปีที่แล้ว +2

    Nimefarijika sana🙏🙏🙏 Mungu Ahsante Kwa zawadi ya watu kama Hawa dunian

  • @benjaminsamwel5059
    @benjaminsamwel5059 3 ปีที่แล้ว +10

    Mimi mtu wa uyole tunakua na tunaona mafanikio yako hongera sana unatumotivate

  • @getrudeambilinyi4505
    @getrudeambilinyi4505 3 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana mjomba wangu namuomba Mungu azidi kukulinda na kukufanikisha zaidi

  • @mwlpierre
    @mwlpierre 3 ปีที่แล้ว +18

    What an Excellent patriotic investor!

    • @filomenambilinyi5471
      @filomenambilinyi5471 3 ปีที่แล้ว

      Hongera sana ndelwa ubarikiwe na yesu mpaka ushangae.

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 ปีที่แล้ว +6

    Marafki sometimes wanakuwa Ni zaidi ya Ndugu Ni vema kumuheshimu kila mtu..ktk haya maishaa..

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 ปีที่แล้ว +5

    WOW NAJIKUTA NAFURAHI KAMA NI MIMI VILE. Hongera sana kwake wacha na sisi tupambane 🙏🏽

    • @hamisinjuga8573
      @hamisinjuga8573 3 ปีที่แล้ว

      Dar jamaa namkubali sana napenda sana maendeleo Ila vizingiti vya wanadamu aisee wewe unapambana peke yako wao wanapambana na wewe aisee watu bwana

  • @rubebandihai6207
    @rubebandihai6207 3 ปีที่แล้ว +8

    Kazi nzuri, lakini Bill Gate siyo mtu wa kuamini. Msiweke GMO tafadhali🙏🏽

  • @severinmbanza4950
    @severinmbanza4950 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kitu nimekinukuu kwa Raphael, ni ukiamka sa mbili au sa tatu huwez kufanikiwa kwenye haya maisha kamwe❤

  • @yusufumajinge59
    @yusufumajinge59 3 ปีที่แล้ว +10

    Busara na elimu ni vitu viwili tofauti kabisa.

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 3 ปีที่แล้ว +8

    Brother nimependa jinsi unavyojieleza vzr hongera kaka na ss tutajifunza kupitia jitihada zako mungu awe pamoja na ww pia nimependa kaka jinsi unavyotembea majendo yako

    • @TijoMediaCom
      @TijoMediaCom 3 ปีที่แล้ว +1

      Mzee ukishakuwa na hela hakunaga kutetemeka, tutafute pesa tuu yaan

  • @kavishe2009
    @kavishe2009 3 ปีที่แล้ว +7

    Nimeshangaa sana jinsi ulivyo na uwezo mkubwa wa kujieleza kuliko Profesa wa chuo kikuu.

  • @dannywiston6391
    @dannywiston6391 3 ปีที่แล้ว +17

    Namjua jamaa yuko simple Sana na roho nzuri Sana, kazini kwake kajenga mpaka sehemu ya ibada

    • @marylubuv8202
      @marylubuv8202 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe aseeeeh ndo mana anabarikiwa

    • @hellenmawere9284
      @hellenmawere9284 ปีที่แล้ว

      Hakikaa amejua kumtafuta Mungu Kwa bidii zote. Nimejifunza kikubwa mno Leo.🙏 imebarikiwa mikono isiyotenda Kwa ulegevu + na juhudi + unyenyekevu. Mungu atusaidie sana asee.

  • @oliverkyando9897
    @oliverkyando9897 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli umetoka mbali sana ,Tena unaroho ya huruma ulikuwa unatugawia hata sisi wakiwango cha chini unatupatia debe moja tunadunduliza maisha yanaenda, Ndio maana Mungu hajakuacha

  • @katigeneralenterprises2348
    @katigeneralenterprises2348 3 ปีที่แล้ว +7

    Rapher group yuko vizuri sana hasahasa kwenye mahusiano (lugha)na wakulima na wafanyabiashara wa mazao wote anastahili kupewa zaidi na zaidi kwani ni msaada kwa wengi ukifika ofisini kwake huwezi amini ni milioner

  • @alex_james8244
    @alex_james8244 2 ปีที่แล้ว +9

    very good entrepreneur, you are smart in talking....inspirational man ever happened 2021

    • @Pihansmo1129
      @Pihansmo1129 ปีที่แล้ว

      Naomba namba zako Raphael tufanye biashara ya mchele

  • @abochejuniorhutingwa223
    @abochejuniorhutingwa223 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kk Raphael Mungu akufanyie sawasawa na maombi yako

  • @anselmokidaboma9328
    @anselmokidaboma9328 3 ปีที่แล้ว +4

    The guy is Soo Bright, kweli subira yavuta heri.Tz inahitaji watu Kama hawa 2 kila mkoa Tz itakuwa imenoga mno

  • @gipsonmmehwa1637
    @gipsonmmehwa1637 3 ปีที่แล้ว +7

    NMERUDIA KUSIKILIZA MARA 3,HABARI IMENITIA MOYO SANA KATIKA MAPAMBANO YANGU

  • @marylyimo7546
    @marylyimo7546 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Raphar unaonekana hunamajivuno umejibu maswali vizuri sana, MUNGU akulinde na watu wenyenia mbaya.

    • @juhudijotham6741
      @juhudijotham6741 3 ปีที่แล้ว

      Big up Sana Mr Ndelwa ,pambana ufikie ndoto yako, Mungu akupe ulinzi Hakika.

    • @farijanibakari9018
      @farijanibakari9018 2 ปีที่แล้ว

      Safi sana

  • @maleojoseph5272
    @maleojoseph5272 3 ปีที่แล้ว +7

    Am sorry to say this..but Bw Rafael ana ukakamavu, uzalendo, maono ,na msisitizo chanya kama ya Rais Magufuli

  • @wafulatom104
    @wafulatom104 2 ปีที่แล้ว +2

    Iam so inspired by this determined person to uplift mtu wa chini

  • @selekiwande64
    @selekiwande64 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwamba anachokitu cha ziada ndio kimemfikisha alipo Kitu uaminifu kujiamni, na Ana nyota yakupendwa kuaminiw kujituma na anandoto kubwa pia anamoyo wakusaidia wengine na ndiomaana anazid kupata baraka za mungu

    • @fideahyera2599
      @fideahyera2599 2 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana. Nimependa namna unaongea. Nimejifunza Mambo mengi

  • @agnessmkoma1761
    @agnessmkoma1761 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr. Raphael.... uko smart akilini..... very smart... yaan unaongea vizur we baba.... uko na furaha wakati wote, unaongea kwa sauti ya ujasiri Sana......nimetambua juhudi zako baba...... endelea na safari, Mungu akawe kiongoz wako

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aibariki Tanzania mungu mlinde mamma yetu raisi wetu nä shari za kila kitu
    Kaka mungu azidi kukubariki kwani unaitanzania tanzania kwa kuwasaidia vijana

  • @buye5436
    @buye5436 3 ปีที่แล้ว +34

    Anamwamini Mungu and that's good.

  • @kulwamachugu936
    @kulwamachugu936 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina kaka MUNGU akisema ndio hakuna wakusema hapana, Nakuombea kwa MUNGU akutendee Yale yote unayohitaji sawasawa na mapenzi yake mwenyewe

  • @monicaluziro1288
    @monicaluziro1288 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu hapa, kwamba boss wetu amesafiri. Yaani wafanyakazi wote mnakua sawa kabisa kama ni vumbi vumbi juingia kazini wa kwanza kutoka wa mwisho.

  • @inomaxsemu7765
    @inomaxsemu7765 3 ปีที่แล้ว +5

    Hizi ndio habari tunazoziitaji sio zile za nani kamshika tako nani... Binafsi amenipa motisha sanaa kama kijana, na kilichonifurahisha anaamini nguvu ya juhudi.. Big up sanaa

  • @magrethelisha5460
    @magrethelisha5460 3 ปีที่แล้ว +5

    Anatembea vizuri 😊 hongera sana Kaka👍

  • @fadhilahussein3581
    @fadhilahussein3581 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akitaka Kupa hakuletey barua

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana ndugu. Wewe ni mfano wa kuigwa katika biashara

  • @godfreymsendo5812
    @godfreymsendo5812 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana jinsi anavyomtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo lake..... Am inspired to him

  • @SHUFEJOGROUP
    @SHUFEJOGROUP 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Mr Raphael, mungu akujaalie zaid kuna kitu nimejifunza kwako.

  • @danielamosi2553
    @danielamosi2553 3 ปีที่แล้ว +19

    Mafanikio hayahusiani na elimu..hongera sana wasomi wengi wanayo njaa wape mchele wakale

  • @jamsonkanyiki6038
    @jamsonkanyiki6038 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up. big boss. salute kwako pamoja na watendaji wako wote. Kazi iendelee

  • @christianajoseph2939
    @christianajoseph2939 3 ปีที่แล้ว +5

    Rafael,ubariliwe na bwana...ila jina lako pia linabaraka zoteeee ,mojawapo la majina ya bwana wa majeshi..Rafael💪💪💪

  • @jhonchege7258
    @jhonchege7258 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema wakati wote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmanuelsanga7583
    @emmanuelsanga7583 2 ปีที่แล้ว +7

    Mimi sishangai saaana kwakuwa rapha namjua na nimpambanaji ambae natamani siku moja hata mimi nije niyafikie ayafanyayo maana nikitafakari nikiwa tandiboy nishapakia maharage yake saaana kwenye tank nikitoka malawi - dar nimempakilia kuleta uyole alikuwa na stoo maeneo ulipo mzani kyela road hapo kat leo ni habari ya mjini sijui hata kama naweza kuongea nae japo bro hana dharau anaiheahimu hela na utu hongera saana rapha pia kuna bro mmoja anaitwa mligo wa njombe madobole au kona kwa sasa ni marehemu nimekuwa nae kwa karibu mnno nikiwa malawi pale baadae najua alikuw akifanya kaz na rafa

  • @paulmhando2661
    @paulmhando2661 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli mimi nimefurahishwa sana na huyu Kaka, Mungu akubariki na kukuongezea Hekima kaka Raphael. Unagusa maisha ya watu wengi sana. Ni mnyenyekevu na una maono makubwa. Mungu akujalie uhai na afya njema ili uyafikie. Hizi ndio interview vijana tunahitaji. Ahsante sana timu nzima ya Ayo TV.

    • @jetridakyekaka8117
      @jetridakyekaka8117 ปีที่แล้ว

      Nimevutiwa sana na Billionaire Raphael, hakika wewe ni mtu ambaye Mungu alikuinua kwa kusudi maalum kama alivyomuinua Musa ili awatoe wana wa ISRAEL utumwani.Mungu ameziona juhudi zako za kuwasaidia wakulima wadogo. MUNGU akuinue zaidi na zaidi ili hatimaye ndoto zako za kuwa Billionaire Mkubwa wa Kimataifa zifikiwe.

  • @getrudewillson308
    @getrudewillson308 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli kaanza viizuli namuombea kwa MUNGU wetu amalize vizuli zaidi nami naomba kazi.

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana brother nimeona kuna kitu nilichojifunza hapo inatakiwa kufanya kazi kwa bidii,ushirikishaji,na maarifa makubwa na bila kushindwa changamoto ni moja ya kujifunza,hongera bro.

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu kwanza nimependa hii asee hongera mtu mkuu

  • @agustinocharles2650
    @agustinocharles2650 3 ปีที่แล้ว +14

    Brother God bless you

  • @khadeejaalmahri6217
    @khadeejaalmahri6217 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up kaka umejibu vizuri swali LA sangoma kama ulivyosema ukweli wavivu hawakosi sababu Mara watasema kafanikiwa sababu ya sangoma Mara watadai hela ya kukopa ilimradi hamshushe mtu

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 ปีที่แล้ว +9

    Hongera brother piga kazi achana na maneno ya wavivu waliokosa kazi ya kufanya kwani na mimi natamani nifike ulipofika wewe

  • @alexedward7709
    @alexedward7709 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeeleweka vizuri.
    Asante sana.

  • @jameskitheka5702
    @jameskitheka5702 2 ปีที่แล้ว +1

    Millard Ayo uwa namkubali..much love from Kenya

  • @gilbertfuria5817
    @gilbertfuria5817 3 ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa ni smart na Ana uzalendo flani

  • @marywilliam2572
    @marywilliam2572 3 ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri sana 👏👏

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 3 ปีที่แล้ว +2

    Maelezo yamenyooka ila huyo muhindi kaku push sn. Hongera

  • @agnesndetaramo7209
    @agnesndetaramo7209 3 ปีที่แล้ว +2

    Nipo botswana kaka nakula Mchele wa Raphael kazi nzuri Sana nimejifunza mnoo kupitia huyu kaka Raphael

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 3 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante pascal kutuletea huyu MTU. Bado Mtanga beef was pale appleline Soweto

  • @hassanmasoud2113
    @hassanmasoud2113 3 ปีที่แล้ว +6

    🍒💪pga kaz brother

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 3 ปีที่แล้ว +6

    Hivi ndio vitu vya kuweka kwenye Chanel sasa

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว +7

    Ama kweli nimeamin kusoma sio kufanikiwa kaishia LA 7 lakin manshalah kufanikiwa

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 ปีที่แล้ว +3

    Kuwa na elimu kubwa sio kuwa na mafanikio makubwa, bali kuwa malengo makubwa ndo kuwa na mafanikio makubwa, nimtakie kila la kheri, anawakilisha Tanzania na Africa yote kwa ujumla, huko ulaya na marekani, tena kwa matajiri wakubwa duniani, 👏👏👏👏👏, embu watanzania tujiamini, sio wazungu tu ndo matajiri hata sisi tunaweza, kujiamini ndo kila kitu, 🇹🇿🇹🇿❤️❤️♥️🙏💜, mung ambariki

  • @ellyhelela6261
    @ellyhelela6261 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera ndugu yangu. Nakuomba uelewe kama utaweza kuwa huyo Bill Gate, sio binadamu mwenye ubinadamu, kwa kuwa MUNGU amekuinua hivyo na kwa imani yako kuwa atakuinua zaidi na zaidi, na iwe hivyo kuinuliwa na MUNGU na sio Bill Gate. Kama ukimpotezea utakuwa umemshukuru MUNGU, MUNGU anapenda tumshukuru.

  • @amanibonus3141
    @amanibonus3141 3 ปีที่แล้ว +3

    Big up Bro RGL u inspired us and me personally matamanio yetu sku moja tuwe ka we and Millard Ayo Isack.M twakushukru pia kwa good news naiman one day to see u na tuhojiwe ivi Mungu atujalie ...katka hili

  • @consoafrica1350
    @consoafrica1350 2 ปีที่แล้ว +4

    Such an inspiration🍾🍾

  • @winniewairimu3822
    @winniewairimu3822 3 ปีที่แล้ว +4

    Ninasonga mbele sirudi nyuma tena umenitia moyo wa la7 mwenzangu,tamanio langu ni nafaka biashara,nani amemskia kama Mimi anaongea kama Godbless Lema gonga like happ

  • @cloneltv
    @cloneltv 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Mr. Raphael na pia Hongera Sana Team ya Millard Ayo kwa ubunifu wenu katika kutuletea inspirational story mmekua ni Online TV ya kipekee yenye madini

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 3 ปีที่แล้ว +4

    Put your trust in GOD and work hard on it.. For sure it will

  • @chekakids
    @chekakids 2 ปีที่แล้ว +1

    I am enjoying it!!! Loving this video,
    Thanks for the great videos! I like❤️❤️❤️!!!

  • @juliussaibulujuliussaibulu5740
    @juliussaibulujuliussaibulu5740 3 ปีที่แล้ว +2

    Maisha ni bidii ya mtu big up sana brother kwa bidii yako.

  • @RaymondMahundi
    @RaymondMahundi 8 หลายเดือนก่อน

    Raphael brother keep going..naufaham moyo wako wewe ni mtu napo sema mtu na maanisha.hongera brother 🙏🙏

  • @justokweka2340
    @justokweka2340 3 ปีที่แล้ว +1

    Mr Rapha uko powa Sana bro daaaah nimejifunza Mengi Sana