#BREAKING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 10 หลายเดือนก่อน +23

    Inauma sana Huyu Mzee amepambana sana kuitafuta haki lakini hawa TRA Mungu anawaon😭😭😭🙏

    • @catherineshayocwbp.2093
      @catherineshayocwbp.2093 10 หลายเดือนก่อน

      Tra wanachosha sanaaa... Wanawaona wafanya bihashara kama mashetani na sio binadamu...kisa vyeo vyao tuu!

    • @lailafakhihaji
      @lailafakhihaji 10 หลายเดือนก่อน

      Yaani jamani hawa TRĄ wanajifanya vimungu wanajiona kama hawatakufa trą kwa nchi yetu ni cancer wanatukwamisha sana hata tukisafiri utakuta wanatudai pesa nakama hukuwapa wanakuongea hesabu mara tano askari hamtulindi kwakweli mnajali maslahi yenu tu huyu baba mmemtesa sana lakini jueni kila mnachokichuma hapa duniani mtakiacha kama mlivozaliwa ndivo mtakavoondoka

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 9 หลายเดือนก่อน

      Hao wote waliohusika watakufa kama kuku na kufilisika hadi kyfukuzwa kazi na familia zao zitateseka sanaaaa mungu anaona

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 10 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana wanafamilia ya Baba Rama ,TRA mkae mkijua hapa duniani sote ni wapitaji tu acheni kuwanyanyasa wafanya biashara ,Mbeya miaka ya nyuma kunamfanya biashara alijinyonga leo tena mwingine kajiua kwa ajili yenu,Mungu yupo .

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 10 หลายเดือนก่อน +5

    Inalilah wannaylah rajiuun mwenyezi mungu akusamehe watu wamapato wamechangia kwenye tatizo mungu anawaona Mzee kadaipesazake hata magufuli Alisema arudishiwe pesa zake lakini hawakumpa babawawatu

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 10 หลายเดือนก่อน +3

    Inna Lillah Wainaillah Lajuun poleni wafiwa Kw kweli km ingewezekana TRA apewe Muwekezaji kutoka UAE Wameshidwa job

  • @salumkhamis7818
    @salumkhamis7818 10 หลายเดือนก่อน +15

    INNALILLAIH WAINNA ILAIH RAJIUN,Huyu mja amelalamika sana TRA wanataka kumuua sasa Leo mnasema kajiua ALLAH atamlipa hii dunia wote tutaiacha

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 10 หลายเดือนก่อน

      TRA au POLISI?

    • @Musa-mg7fe
      @Musa-mg7fe 10 หลายเดือนก่อน

      Ww una lako jambo na police ila Babu Rama alikua na mgogoro na TRA

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 10 หลายเดือนก่อน +16

    Aisee huyu mzee jamani uwiii😢😢 mpaka kajiua ee Yesuu mwema utusamehe dhambi zetu

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 10 หลายเดือนก่อน +6

    Waziri mkuu waziri mkuu waziriri mkuu, Mungu anakuona, jiuzulu haya mauji yanakuhusu uatakukula wewe ma familia yako . Hawa watoto na mke wa huyu bwana machozi yako yatakukula. Kweli hii ni tanzania.

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kwa neema za Mungu tu

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 10 หลายเดือนก่อน +10

    R.I.P...UMENYANYASWA SANA,ILA WOTE NJIA NI MOJA...HATA WAO WATAKUFA TUUU..TANGULIA MZEE NASI TUKO NYUMA YAKO

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 10 หลายเดือนก่อน +10

    Kuna maigizoo ya kujiua... 😮

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 10 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu alilalamika sana sana zaid ya sana kwa kutishwa na sakata lake leo na sikuona kama alisaidiwa maan alikuwa bado analalamika mitandaoni 😢😢 R.I.P Babu Rama..Serikali imsaidie haki yake hata kama amefariki

  • @righitkileo
    @righitkileo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseee inauma sana.du

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikitika sana. Alikuwa tajiri.
    Amehujumiwa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 10 หลายเดือนก่อน

      Hunishind mm yn nimeloa kabisa huyu kaka jaman 😭😭😭😭

  • @mahamoud2861
    @mahamoud2861 10 หลายเดือนก่อน +8

    TRA TRA TRA TRA ...hawa watanzania ni wapumbavu sana,nchi za wenzao wanapambana kunyanyua wafanyabiashara wao lkn wao wanakandamiza,sasa hapo tumeshampoteza mlipakodi ..tuwaache sasa wachina na waturuki watawale k/koo,kina bakhressa waendelee kua matajiri hawa wabangaizaji wabakie kua maskini....

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 10 หลายเดือนก่อน +4

    😢😢😢mpaka amechoka masikini inaumiza sana

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 10 หลายเดือนก่อน +5

    Double standard kodi watakusanya kwa shida sana, hii ni aibu kwa viongozi waliohusika kuchelewesha malipo mpk mtu anajiua😮😢🙌🙌

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 10 หลายเดือนก่อน +1

      Una uhakika gani kuwa alijiua??

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 10 หลายเดือนก่อน

      @@pirminmatumizi5464 Ushahidi wa kimazingira unasema hvo

    • @JohnMalengua-jh6ps
      @JohnMalengua-jh6ps 10 หลายเดือนก่อน +1

      basi kauliwa na TRA

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu anawaona

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee kafa Kwa stress za dhulma anyway kiama kipo na wahusika watawajibika in Sha allha,,,,, nakumbuka kapambana Toka enzi za magufuli,

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 10 หลายเดือนก่อน +4

    PUMZIKA KWA AMANI BABU RAMA..UMETESEKA SANA UKIDAI HAKI YAKO 😭..

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 10 หลายเดือนก่อน +3

    Dah 😢 Babu Rama R.I.P. Pole kwa wafiwa.

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 10 หลายเดือนก่อน +4

    Inasikitisha sana amepigania haki yake paka mwisho ya maisha yake walio mdhulumu na kumgandamiza watateseka san

  • @josephfelicianlugakingira832
    @josephfelicianlugakingira832 9 หลายเดือนก่อน

    Damu Yako Haitapotea Bure , Mungu Mwenyezi Wa Haki Atakulipia na Wote Waliohusika na Mateso Yako Mungu Atawalipa Hakika 💯💯💯💔🥲🥲🥲

  • @wamadoropushthestar4145
    @wamadoropushthestar4145 10 หลายเดือนก่อน +10

    Ndio Maana Natafuta Tu Pesa Ya Kula Kama Ikitokea Nikapata Na Yakuwajengea Watoto Wangu Pakuita Kwao Nitajenga Lakini Sijawahi Kuwa Na Ndoto Za Kuwa Na Pesa Mpaka Jamii Ininyooshee Kidole...Kama Niliwahi Kuwaza Hivyo ilikuwa Ni Kabla Hata Ya Kuwa Na familia...

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 10 หลายเดือนก่อน

      Acha uwongo sema hauna huo ujanja

    • @barakarobert1029
      @barakarobert1029 10 หลายเดือนก่อน

      Unazingua sna jamaa yangu😂😂

    • @wamadoropushthestar4145
      @wamadoropushthestar4145 10 หลายเดือนก่อน

      @@Mpakauseme Unaweza Kuwa Mtu Mzima Lakini Bado Unazo Akili Za Kitoto...Wewe Bado Unazo Hizo Akili.

    • @MaingwaAbdalah
      @MaingwaAbdalah 10 หลายเดือนก่อน

      Dah umasikini ni hataree acha mawazo mgando uwe tajiri uwe masikini utakufa tu muda ukifika tafuta hela acha uwoga wakimasikini

  • @Grandcharamira
    @Grandcharamira 10 หลายเดือนก่อน +12

    Katika kitu kinachotesa wafanyabiashara,kinachorudisha nyuma mori wa biashara ,kinachokatisha tamaa kwenye biashara ni hawa TRA TRA TRA !!! Manyanyaso ni mengi mtaaani juu yao usumbufu ni wao dhiki n tabu ni wao kukufilisi ni wao TRA Ni very stess kwa wafanyabiashara wakihisi wao ndo wenye nchi kisa dhamana ya kukusanya koditu ni maumivu makali wafanyabiashara wengi wanapitia juu ya hawa viumbe wanaojiita TRA inauma sana sana sana sana

    • @BertinaCharlie
      @BertinaCharlie 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sanaaaa wanakatisha tamaa sana hawa ndo wanaouwa biashara za watu wasipokuwa makini viongozi na hawa TRA wataumiza wafanyabishara

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน

      User Tra kiboko

    • @DivNg27
      @DivNg27 10 หลายเดือนก่อน

      Daaaah... hakika watumishi wa TRA hawatofautiani na Mapepo.. yani mtu anawadai..halafu mnakuja kumwambia mnamdai nyie...kweli??hizo Zuluma mnazofanya zitawatesa kuanzia nyie na vizazi vyenu...amini nawaambia...fanyeni toba..na muache kuwabambikia watu kodi...sababu ya kutaka Rushwa kubwa....pesa haramu madhara yake makubwa sana kwenu na vizazi vyenu...sasa embu ona huyu jamaa ndio kashajiua kwa sababu yenu..sasa subirini na nyie mliohusika Balaa lenu..Tunaomba kwa Mungu awalipe malipo yanayostahili

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 10 หลายเดือนก่อน +4

    Inauma sana lkn kwa yanayoendelea ni balaa😮

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja na ushaidi wote haliokuwa nao ,lakini hakuna haki ,,kazi ya ccm na uongozi wake,,very sad,,imagine huyo ni mfanyabiashara ...😢😢😢

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha 10 หลายเดือนก่อน +8

    Duh aise inauma sana ila kwa nn hamkulpa serekal hovyo sana

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 10 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wakiisema serikali ijirekebishe unatokea upinzani eti wanaupiga mwingi ...

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duh!!!

  • @WemaChimimanda-jt8rf
    @WemaChimimanda-jt8rf 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jameni..

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wahaa wa kigoma

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ndiye ajuaye yoote.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hao Tra wahusika mpaka kufikia huyu Babu Ramadhani kujiua nao Mungu atawalipa malipo ni hapa hapa duniani

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aliongea sana ili kupata msaada kusema ukweli hili jambo linauma sana ,lkn kikubwa mungu yupo anaona ,anasikia ,hasinzii,na wala hajawahi kulala ,na analipa hapa duniani na akhera na nimkali wa kuadhibu mungu amsaidie huyu mwamba

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 10 หลายเดือนก่อน +6

    😢😢😢😢😢hii nchi ya hovyo sanaa mtu anaomba msaada haifwatiliwiiiii mpk mtu anapata msongo wa mawazoooooo mpk mtu anaamua kutfikia huku kwa kweli hii damu haita waachaa salama kbsaaaaa basema hiii damu ya huyu baba haita waacha salama kbsaaaaa😢😢😢😢😢😢

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 10 หลายเดือนก่อน +5

      Wajina hamna msongo wa mawazo hapo,mtu wa kujiua hakua huyu baba. Huyu mzee alikua mbishi,kujiua nakataaa! Sikiliza vizuri utaelewa,hii ni kazi imetekelezwa...........

    • @martharobert44
      @martharobert44 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@neemayatosha1618ney mambo samahn unamjua vzr huyu baba nilikua na shida na namb za wtt wake wale kina zai iwe ya zai mkubwa or mdg nisaidie

  • @khalidsaid5077
    @khalidsaid5077 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu yupo

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 10 หลายเดือนก่อน +3

    INNALILLAH WAINAH ILLAH RAJ UN BABU RAMA 😢😢😢

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wangu Babu Rama amulaza mahali pema peponi

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi kwa kweli huyu bwana alilalamika muda mrefu sana,kuwa anahujumiwa na hakuna mtu aliyemsaidia.Ninachokiona hapa serikali iweke mazingira mazuri kwa wafanyabiashara,waweze kufanya biashara

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 10 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu tu ndo ana majibu yote, kajiua ama kauliwa.

  • @kulngeleza6733
    @kulngeleza6733 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢jamaan kifo cha uyu baba kimeniumiza maana alidai haki yake lkn mingu ampe safali salama

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 10 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu aliyeleta taarifa,sounds very very suspicious. Aisee,Tanzania ni nchi ya amani lakini Mungu atusaidie sana sana .
    Kwa mtu aliyemsikiliza mtoa taarifa atagundua kuwa kulikua na vielement vya kujitetea(defensive mechanism)why bring all habari ya alikua anaulizia malipo yake juzijuzi tu,tena alinipigia kuniuliza mmeshalipwa.........mara oooh alipitia matatizo mengi ndio yamemchanganya.
    Hapa kuna uwezekano hata kaka mtu kauawa maskini ili hadithi ikamilike...............Anyway damu ya mtu haiendagi kimya itaongea tu hata kama ni miongo miwili ijayo,itasema na wahusika in one way or the other.

  • @TuntufyeMwakaluka
    @TuntufyeMwakaluka 10 หลายเดือนก่อน +13

    Kifo hicho kichunguzwe kuna walakin

  • @tamashaharuna9345
    @tamashaharuna9345 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mi siamini kabisa km kajiua hii njamaa wameamua kuumuua😢😢

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 10 หลายเดือนก่อน +18

    R I P Babu Rama umepanbana sana na Hawa T R A lakini Mungu atakulipia.

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 10 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana kweli Bora ungeenda tra ukawaripua

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 10 หลายเดือนก่อน +2

    Katika hii story kuna mfanyabiashara mkubw ambae Ndio alikuwa anahonga ili jamaa asumbuliwee na kutopewa mzigo wake mpaka duka lake kuibiwa na Mfanyabiashara aliesema huyu jamaa Ndio chanzo cha Usumbufu wote aliosema but atavuna alichopanda kwasababu Mungu ni Mungu

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 10 หลายเดือนก่อน +2

    Inna lillah wainah illah rajiun 😭😭😭😭😭

  • @GoodGoodz05
    @GoodGoodz05 10 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali imemuua baba wa Watu 😭😭😭 so sad. Bora nilikimbia hiyo nchi 😡

  • @lolubokhalifa3836
    @lolubokhalifa3836 10 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭 yaani inauma hii dunia hatari

  • @BertinaCharlie
    @BertinaCharlie 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaambiwa chanzo cha haya yooote ccm mnaitetea tu maana hili tatizo lingetatuliwa tokea kipindi cha Mh.hayati Magufuli aliposema wamlipe hela zake na fidia adi leo hajalipwa em tafakali apo utapata jibu....Mungu akupokee kwa amani Babu Rama🙏🤲

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 10 หลายเดือนก่อน

      Wanaupiga mwingi !! Serikali sikivu!! Kazi iendelee ..

    • @BertinaCharlie
      @BertinaCharlie 10 หลายเดือนก่อน

      @@richardnganya2311 Yaan kwakweli inatia hasira sana ndugu yangu wao wanaona maisha mazuri tu lkn laana ya Taifa moja wapo kuwadanganya wananchi kujifanya watatuzi wa shida zao wakati tofauti kbs na maneno yao ila yanamwisho wake tu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 10 หลายเดือนก่อน +3

    He jamani

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kama kwa Farao,Mungu simama mwenyewe,R.I.P

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maskn 😢😢😢

  • @JumaMuhammad-m7d
    @JumaMuhammad-m7d 9 หลายเดือนก่อน

    Ila tusiongee mengi hii nchiii pasua kichwa sana mungu amlaze mahali pema peponi inshaalah

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndie hakimu wahaki Poole Saana Wana Familia

  • @SultanMuddathir
    @SultanMuddathir 10 หลายเดือนก่อน +2

    WAZIRI KASSIM MAJALIWA NA GROUP LAKE ,WASIJIONE WAME FAULU KUMUUWA HUYU RAMA KWA KUMDHULUM,
    WAJUWE HII DAM YA RAMA ITAWASUMBUWA SANA

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 10 หลายเดือนก่อน +1

    Innalilah wainna illah rajioon, khakika huyu baba amepitiya magumu sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 10 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu utuletee wa Tanzania

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Nyie Tra, hakika hantapona

  • @MariaKitundu-l1m
    @MariaKitundu-l1m 9 หลายเดือนก่อน

    mungu sema na walosababisha

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 10 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuuuuu, so sad

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 10 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah uyu baba jamani mpaka kafa hajalipwa hii damu inawatesa wallah

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hauhitaji kuwa FBI kujua hapa kuna walakini juu ya kifo chake😢

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hili bila kufichaa serikali mtabeba hii damu ya huyu mzee aliye fariki bcz mmemzungusha vya kutoshaa mpaka leo imefikia hapaa.

  • @husseinhcube1310
    @husseinhcube1310 10 หลายเดือนก่อน +6

    Hii kali acha tumuombe Mmungu ayaweke bayan dam ni nzito

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ataonekana kwa hili,ni wakati ukifika.Haki yake imemchanganya.

  • @DivNg27
    @DivNg27 10 หลายเดือนก่อน +1

    Reshuffle inahitajika kwa watumishi wa ngazi za mikoa na wilaya TRA...ifikie wakati pia kuwe na limit ya muda kufanya kazi TRA...kila mwaka una unaomba kurenew mkataba...hii itasaidia hawa watu kujiona ndio washafika

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeumia. Ila kama wapo watu waliofanya jambo kwa huyu baba sijui wanajisikia vipi na hizo kama zimetumika kwenye familia zao ni laana tupu

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 9 หลายเดือนก่อน

    Ooooh!

  • @daudiniyonsaba1113
    @daudiniyonsaba1113 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwamba ameuliwa; kufuta ushahidi na kutowa usumbufu. Tunaomba uchaguzi na tunaomba ufanywe na FBI.

  • @MusaHamis-oz2rg
    @MusaHamis-oz2rg 10 หลายเดือนก่อน +2

    Namba ya msoma taarifa jaman duuuu!!

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 9 หลายเดือนก่อน

    Huuuu serikari yetu mungu utusamee ambao hatujasoma

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi hi ngum Sana hivi kunabinadam anapenda kufa

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja na amejipiga risasi lakini NI serekali ndio imemuwa na serekali unatakaiwa kuchukua hatuna Kwa sababu ndio hao walio mpeleke kujiuwa

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ingekuwa nchi zilizoendelea wafanyabiashara wote wangeandamana kufikisha ujumbe kwa jamii.

    • @fredrickipembe8188
      @fredrickipembe8188 10 หลายเดือนก่อน

      Watanzania wengi tupo kama wanyama poli mwenzao analiwa na simba wao wanatazama tu ndio sisi Watanzania

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pumzika kwa Amani mpendwa wetu

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 10 หลายเดือนก่อน +8

    Nchi hii ni ngumu, utazungushwa kwenye haki yako mpaka ufe utaratibu. Wenyewe wawe wanakudai Sasa utajua hujui

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn jmn hii nchi jmn

  • @omaryathuman6011
    @omaryathuman6011 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli nimelia

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmhhh

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 10 หลายเดือนก่อน +2

    na alilalamika sana nakupaza sauti mpaka kwa raisi lakini walimpuuza

  • @DivNg27
    @DivNg27 10 หลายเดือนก่อน

    Mama yetu,Rais wetu..fumua hii TRA yootee....watumishi wa TRA wasikae kwa muda mrefu TRA....wanajisahau sana...hawapo kwa ajili ya kukusanya pesa za Serikali,wapo kwa ajili ya matumbo yao kwanza..wakiona mtu mgumu kutoa Rushwa ndio wanambambikizia kodi kubwaa..kama kumkomoa ..na hiyo kodi unakuta hailipiki...ili tu sababu wao wamekosa...hawana tena hata habari kama huyo waliembambikizia akifunga biashara shauli yake...na ile kodi halali akishindwa kulipa kwa maana serikali inakua ishakosa mapato...wao hiyo haiwahusu...Watumishi woote wa TRA wapeleke wakawe walimu... wengne wapeleke wakawe watendaji wa kata...

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 10 หลายเดือนก่อน +3

    Babu Rama amefanya makosa angeenda tra najuwa piga risasi maofisa wote

    • @naimatemba8061
      @naimatemba8061 10 หลายเดือนก่อน

      Halafu ndio na yy ajilipue.sio😂😂😂

  • @davidwhite7834
    @davidwhite7834 10 หลายเดือนก่อน

    Inakatisha tamaa sana hiii inchi ni hatariii sana wao wameajiliwa na serikali wanalipwa ila wao wanataka rushwa tuuuu mamaeee zao

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mmemuua

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahio wamekufa ni faida kwa mabeberu wa tar, viongozi wa tanzania kwenu na aibu analalamika mara ngapi hamkumsaidia had mtu anaingia kit mwongo namna hii?

  • @piustombili9921
    @piustombili9921 10 หลายเดือนก่อน

    Hao maafisa nawaonea huruma sana wao na familia zao nawasikitikia sana babu rama ni muha kama walikua hawajui

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 10 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali imehusika kufa kwa huyu mtu

  • @bagaileshabani3179
    @bagaileshabani3179 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hatuna waandishi wa hbr nchi hii

  • @RobartShello-qj4vr
    @RobartShello-qj4vr 10 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku mungu atajibu machoz ya watu kwenye nchi hiii, haiwezekan mutu anahangaika kujitafutia tangu yuko shambani kuuutafuta mutaji niyeye pekeake, hakuna aliyetoka serikalini kwenda kumsapoti leo hiii zimepata wenyenazo nakukupangia masharit, hata hizo kodi zetu zinazo sababisha mutu kujiua zinaliwa na mafisadi hatua hakuna zinazochukuliwa,basi mutakua nalo lakujibu yaaumr qiama

  • @valelianamwinuka3693
    @valelianamwinuka3693 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢

  • @halidomar9874
    @halidomar9874 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna mfumo mwngne wakukusanya kodi mpaka hawa tra nawao pia wanahitaji ku2a namaisha kupitia sisi watanzania tusiojuwa ukusanyaj kodi unakuwaje dhulma imetawala kwahawa jamaa aiseeee mama angalia hili sana

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmemuua wenyewe

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa TRA! Ufumbuzi ilkuwa ni kuwanasa risasi kabla ya kujiua. Nchi hii sasa tufanyiziane tu! Amri hazifanyiwi kazi, Mahakama ni rushwa tu. Tuamue moja tu, iwe ni kuuwana. Afisa wa serikali au mwansiasa akikuonea piga panga au risasi au mshale, MWISHO!

    • @mariyammariyam1454
      @mariyammariyam1454 9 หลายเดือนก่อน

      Naiwe noma Tu apo umesema km VP ili kuonyesha msstizo tungeandamana Tu kupinga uonevu alofanyiea BaBu rama

  • @MakataWaMakataniFX
    @MakataWaMakataniFX 10 หลายเดือนก่อน

    Inalilahy wa innaa ilaihy rajiun 😢

  • @LeopardAmoskomba
    @LeopardAmoskomba 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wamemuua tu hawa majambazi

  • @KidijeiNuru
    @KidijeiNuru 10 หลายเดือนก่อน +3

    Waziri mkuu fek hata yeye awajibike sababu ya hili, magu, aliaga Lakini yeye nae akalipotezea

    • @nellymnzava5277
      @nellymnzava5277 10 หลายเดือนก่อน

      Aende kwenye msiba....

  • @nyakatongongo4292
    @nyakatongongo4292 10 หลายเดือนก่อน

    Alikua na msongo wa mawazo sana hadi uchungu na hasira akachukua maamuzi sababu hakimbilie wapi kaangaikia haki yake lakini wapi kachoka .kajiua kabla hawajamua🇿🇦🇿🇦🇿🇦