Sikuwahi kumfatilia huyu dada lakini kwa mahojiano haya nimempenda bure anahitaji sapoti ya Watanzania kumkubali amejibu maswali vizuri na kwa uwazi, Hongera mdogo wangu.
Huyu msichana ni mzuri in and out hafanani na zile nguo zake za uchìiii ni mzuri kweli kweli anamtaka Mungu kila wakati basi feza hebu ishi katika huyo Mungu wewe ni mzuri sana
Feza wewe ni mzuri sana, mwanamziki mzuri ila my dear muda wako ushapita huwezi toboa hata ukiimba wimbo mzuri sana, kuna vitoto watu wanaviangalia sio wewe tena, WAKATI matters
Akili ya kitanzania wao fikra zao ukifika miaka 30 bs ushakua mzee wakat nchi za watu miaka 30 ndio anaanza maisha hpo mpk model wangap wasanii wa kiarabu wanamiaka 60 bdo ndio kwanza wapo model wnaafanya fashion
Uliwahi mshuhudia ndugu yangu ujue tuachage imani potofu na tusipende kuhukum mtu bila ya kuwa na uhakika wa jambo jiulize ww kwanza una mazambi mangapi mpaka umnyooshee mwenzio kidole siyo vizuri na mungu hapendi kumsingizia mwenzio na huna uhakika wa jambo hilo
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
I too i really appreciate her
Sikuwahi kumfatilia huyu dada lakini kwa mahojiano haya nimempenda bure anahitaji sapoti ya Watanzania kumkubali amejibu maswali vizuri na kwa uwazi, Hongera mdogo wangu.
She's very beautiful Mashaalah
Feza yes my dear you look amazing today nimekupenda zaidi 😘🇬🇧
mwanamke mzuri sana upo Bomba sana anajua kujibu maswali vyema sanaaa
Feza umejibu vizuri sana. Kuhusu shape yako wamesahau kwamba ulikua miss na sasa umekua mwili unajitengeneza.Hongeraa
Feza Kessy umejibu vizuri sana
Never give up mama time is now all da best by seck semkiwa
QueenNINJA❤❤❤❤ to me wew na jide ndo wasanii wangu boraaa
apart from her beauty, she is so kind, I wish you all the best my sister, keep being you always, much love from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👌🫶🫶
Nachompendea huyu pisi ni uchuga alionayo. Lamama uko poa kinoma❤❤❤
Leo wa kwanza I love you girl
Huyu msichana ni mzuri in and out hafanani na zile nguo zake za uchìiii ni mzuri kweli kweli anamtaka Mungu kila wakati basi feza hebu ishi katika huyo Mungu wewe ni mzuri sana
Feza na hyo bandana you remind me of the bigbrother days, i used to go crazy for your personality ❤
Mi namuelewa San my Feza 😘
Feza anajua kujieleza vizuri nimempenda👍
Feza 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘from France 😘😘😘❤️
imelda I love
I just adore you ❤️
VANIBOY Chui 🐅♥️🙏🙏
Mashaallah huyu dd anajielewa Sana Ana Adabu Sana
Anajielewa wapi wewe wakati Ali olewa na MWANAMKE mwenzake huyu ni msagaji kiwango cha lami
@@seifalful 😂😂😂😂😂 kwa hyo hatareeee sana huyu dada au sio ?
@@seifalful haki ya mungu? Ni lesbienne ?mungu wangu
She's is beautiful
Love you soooo much 😘😘👍🏽👍🏽
Huyo anaemchanganya ni Harmonize! wait and see!
Smart en matured girl love you
Pisi ya chuga❤️💝
Nimzuri kweli
Interview nzuri Sana Dada umetisha sana
❤❤❤❤❤
Ongeza bidii tu dada yangu kama ipo ipo tu tu ko nyuma kwa sapot
Nimesoma nae uyo dada
😍😍😘😘
Imelda kapendeza leo😂
Nampendaga Da Imelda hanaga mambo meng katika mwili wake
Njo kweli wangu dada
Nakapenda kafeza
Feza wewe ni mzuri sana, mwanamziki mzuri ila my dear muda wako ushapita huwezi toboa hata ukiimba wimbo mzuri sana, kuna vitoto watu wanaviangalia sio wewe tena, WAKATI matters
Nikweli huyu dada angeangalia mambo mengine sio mziki muda umepita
Kwenye maisha hakuja kitu kuchelewa,Ntie ndo mnalalia ndoto zenu for the name of kuchelewa.
Hakuna kupitwa na muda wako kama bado upo haiii hapo wakat haujakupita
Ametoboa mzee mpili sembuse fezza
Akili ya kitanzania wao fikra zao ukifika miaka 30 bs ushakua mzee wakat nchi za watu miaka 30 ndio anaanza maisha hpo mpk model wangap wasanii wa kiarabu wanamiaka 60 bdo ndio kwanza wapo model wnaafanya fashion
Nice
Pole dada kulea mtoto peke yako ni kugumu Sana Una haki kulia, kaza buti mtoto hatakusahau
Kuimba hujui bana
Uyo ni wivu tuuu anajuwa kwakweli
@@alimanana7564 😆😅😅😅😅
Harmonize huyo ndio anaemvuruga
Kumbe alikuaga miss tz asee
Ni hamonize huyo
🤣🤣🤣🤣🤣
Iyo mambo yabadaye do tunataka kujuwa
MUNGU akutangulie mkaskazi mwenzangu
konde uyo
Mara nyingi nilikua najiuliza feza kessy ni Nani? Kumbe kipindi yeye Ana wika nilikua mtoto bado mana 2005 nilikua darasa la tatu
Ulikua kidogo san
Mimi la 5
Ana udangaji fulani kwa mbali eti baada ya kazi kama kuna kitu kiliendelea yy ndiye anajua maana yke nn? Analiwa kilejaleja
Zile shule za feza ni zake au
🍺umelewa
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimechekaaa
😀😀😀
HUYU DADA MUNGU ATAMLANI MSAGAJI MKUBWA HUYU SI ALIOLEWA NA MWANAMKE MWENZAKE HUYU PERIOD
Uliwahi mshuhudia ndugu yangu ujue tuachage imani potofu na tusipende kuhukum mtu bila ya kuwa na uhakika wa jambo jiulize ww kwanza una mazambi mangapi mpaka umnyooshee mwenzio kidole siyo vizuri na mungu hapendi kumsingizia mwenzio na huna uhakika wa jambo hilo
Alimsaga nani au dada ako
Heeeeee! Makubwa haya Mimi nipo kati kati tu
Muogope mngu ulilolizungumza lina ukweli uliwahi kumshuhudia pia ukimsingixia mwenzako kuna kuulizwa siku ya malipo
MUNGU akusamehe 🙏🙏🙏
Mbona unamwita fedha na jina lake Feza?
😅🤣🤣🤣🤣
Anaijtahidi kulitamka vizuri jina kumbe ndy anaharibu🤣😂😂
Unahisi kama how much unaweza pataa ukatoboa kimziki bongo I'm there unaweza nipata ukihitaji msaada but under my rules not ur rules chao
Mtangazaj umenenepa saiz umekifikia kiroba
😂😂😂😂
Never give up mama time is now all da best by seck semkiwa