Nilihukumiwa Kunyongwa Mpaka Kufa Sasa Nipo Huru, Nimepata Mume - Rose FULL INVERVIEW 🔥 🔥

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Ni story ya Rose Yona Malle aliyepitia mtihani mgumu uliopelekea kufungwa kifungo cha kunyongwa hadi kufa lakini baada ya miaka 6 kuachiwa huru.
    Ilikuwaje akahukumiwa ? chanzo cha kesi yake na imekuwaje kuachiwa huru ?
    Leo atakuwa live kwenye #LeoTena pamoja na mumewe ambaye walikutana gerezani kuanzia saa nne kamili asubuhi.
    Cc. @dahuuofficial @geahhabib @mwijaku @josemarah

ความคิดเห็น • 245

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 6 หลายเดือนก่อน +22

    Isaya 54:14. Utathibitika katika haki utakuwa mbali na kuonewa.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 หลายเดือนก่อน +15

    Tuombee familia zetu, yeyote anaweza ingia gerezani

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v 6 หลายเดือนก่อน +3

    She is very good story teller

  • @elizabethmahenge2231
    @elizabethmahenge2231 5 หลายเดือนก่อน +1

    wow. Jamani hongereni sana kwa intavyuu ya hawa mashujaa, Mungu alikuwa na kusudi kuwapitisha katika maisha waliyoyapitia ili 'awatumie kama watumishi wake' ili kuwasaidia wengine wenye shida. Mungu akubariki sana Rose na mwenzi wako.

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ifike muda selikari aanze kuwalipa wanao wafunga kwa maonevu ili wapepelezi wao wafanye kazi kwa uhakika. Wenye pesa wanatoa rushwa hata wakiua bado wanaachiwa huru.

  • @hapinessobeth4131
    @hapinessobeth4131 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli maisha ya mwanadamu yanamisukosuko mingi saana ila Mungu mwema anatusaidiaaaa

  • @franksanga4283
    @franksanga4283 6 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuu
    Maisha kweli ni mlima
    Yaani kuna watu wamekaa jela miaka na wakatoka na wamenipita mita 100 kwenye mafanikio
    Mungu nisaidie mimi❤❤❤❤

  • @veronicandakaba4639
    @veronicandakaba4639 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ukweli anaujua mwenyezi Mungu hatuwezi kujua ss wanadamu na hatunawezi kukuhukumu

  • @keshalasubuhi
    @keshalasubuhi 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio maana sijawahi kuafikiana na adhabu ya kifo. Kuna uonevu mwingi kwenye mfumo wa uendeshaji wa kesi na mahakama hivyo, unapomhukumu mtu kunyongwa na baadaye unagundua hakuhusika na kosa na ameshauwawa!

    • @yustakipenya6231
      @yustakipenya6231 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka yangu amefungwa miaka 30 sahvi amekaa miaka 15 kwa kesi ya kubaka lakini kila ukienda kumwona anasema usinihukumu kama nilitaka usije ukatenda dhambi bure Mungu wangu anajua sikufanya alienileta hapa pia analijua hilo inauma

    • @TanzaniaEx-PrisonersFoundation
      @TanzaniaEx-PrisonersFoundation 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli wengi waliopo Gerezani hawana hatia

  • @sisterlbloodofjesus4084
    @sisterlbloodofjesus4084 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana inasikitisha sana na kuonesha udhaifu mkubwa katika vyombo vya kutenda haki

  • @kosherasengasu5093
    @kosherasengasu5093 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana dada.Mungu wetu ni mwenye rehema na huruma.

  • @patrickbatenga2645
    @patrickbatenga2645 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wapelelezi Mungu anawaona

  • @jasmineluande1694
    @jasmineluande1694 6 หลายเดือนก่อน +1

    This is insparing story. Mungu ni Mungu

  • @gracemanyonge4449
    @gracemanyonge4449 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada pole sana mungu akupe afya njema

  • @joshuagitilo3931
    @joshuagitilo3931 6 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wa mbinguni awajalie kustawi zaidi, ktk maisha yenu pamoja na huduma kwa jamii

  • @RoseMbise-rw9sz
    @RoseMbise-rw9sz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Polen sana n hongeren.Mungu ni mwema

  • @elizambawala7790
    @elizambawala7790 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Qeeen... Hongera sana sana umekua sasa nakumbuka ulivyokuwaga na imani
    Zile sadaka zako hazijakuacha.
    Mungu aendelee kukupigania😍😍

  • @solomonwangondu2870
    @solomonwangondu2870 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana 16:32
    ❤️❤️

  • @davidkea5701
    @davidkea5701 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole saaaana kwa wakati mgumu ulioupata

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 6 หลายเดือนก่อน +1

    Very touching story

  • @floramichael1967
    @floramichael1967 6 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢😢Mungu atusaidie kesho yetu hatuijui😢😢😢

  • @teresiaMajenga
    @teresiaMajenga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza kunikumbuka;?Teddy John. Nilikutambua km Queen nawe daima uliniita mama. Sintamsahau Kaka vedasto mwanasheria wa gereza is a game. Mungu amlinde daima.?Alicia kwangu baba Kaka pamoja Askari magereza wote Tanzania.

  • @malikhilalmohammed5286
    @malikhilalmohammed5286 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana nakutakia mema kutoka kwa mmungu

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kwa uliyopitia.Ila pia tumshukuru Mungu umetoka salama na Haki imetendeka😭🙏🙏🙏

  • @veronicandakaba4639
    @veronicandakaba4639 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada Mungu ni mwema endelea kumtumikia mungu

  • @madahaisack1268
    @madahaisack1268 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kila penye changamoto Kuna utatuzii

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaalah,hivo vitoto viwili ongezea viwe 15

  • @TherezaJunior
    @TherezaJunior 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mungu nawawote ukuu wake nimkubwa

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 6 หลายเดือนก่อน +7

    Anaweza akaomba fidia ila inabidi afungue kesi nyingine ya madai.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ambayo itachukua miaka mingapi mpaka iishe 😂😂 kibongo bongo

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli na alipwe

    • @jessykadaraja2691
      @jessykadaraja2691 6 หลายเดือนก่อน +2

      Anastahili kulipwa

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mmh! Nani Yuko salama salama Kwa tukio hili...mana kama upelelezi wetu ungekua wa kiwango Cha juu....huenda huyu dada asingemaliza miezi sita jela...hii ni hatari mno kwan kesho utamwita boda akupeleke job wakati anarudi anavamiwa anauwawa wanakufuata ww kazini unapewa murder case

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika Muumba wetu yuko juu ya Yote, Vyote na Wote. Ana Maamuzi juu ya Maamuzi ya Wenye Mamlaka hpa duniani. Anamjibu mwenye haki sawa na uhitaji wake kwa Utukufu wake Mwenyewe. Hongera sana dada. Usimwache Muumba.

  • @StellaWilliam-tj8mu
    @StellaWilliam-tj8mu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana😭😭

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema alikutetea hukuwa na hatia

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 หลายเดือนก่อน

    Eewee yesu mwema tuhurumie wahurumie wafugwa wotee waliofugwa bila kutenda kosa weka mkono wko ukawaokoe aisee pole sanaa kweli maisha ji safari ndefuu😢

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana mdogo wangu

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 6 หลายเดือนก่อน +3

    Daniel alihukumiwa kunyongwa hadi kufa Mungu akatuma malaika wakafunga makanwa ya Simba na Daniel akawa huru.

  • @jacksonmgonde
    @jacksonmgonde 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali sana mamy sijui nisemeje

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ungepata director wazuri wa movie ungetengeneza sinema mzuri au mchi kama marekani ugetengeneza movie madam

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      Yeah huko hata fidia angelipwa tena ndefu

  • @JoyceMuriuki-d5p
    @JoyceMuriuki-d5p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania swahili 🎉

  • @JamilaNjechele
    @JamilaNjechele 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daah pole sana

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hao majaji wa ajabu saana waliomuhukumu huyo dada maana huyo dereva wa boda kabla hajafa alitoa maelezo amevamiwa na wanaume wawili na kwanini asiseme huyo dada ambae alikuwa mtejawake wanampotezeamtu dira ya maisha yake gerezani inasikitisha saana

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 6 หลายเดือนก่อน

      Hats mimi nimeshangaa. HUYU alifungwa kwa chuki tu ila case ilikuwa ni aandike maelezo tu basi sio kufungwa

    • @lightnesselirehema1464
      @lightnesselirehema1464 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wapelelezi wa kitanzania wanahitaji kuwa sereous!

  • @JullyKim-ri1no
    @JullyKim-ri1no หลายเดือนก่อน

    Watu wengi mno wanakamatwa na kuhukumiwa bila hatia haswa haswa wanaume...ila ya uyu dada nina mashaka alihusika au alijua kilichoendelea....ni huruma ya waziri ndio ilimtoa ila ndio afikishwe mahakamani wakuhukumu kunyongwa lazima ushahidi wa kutosha uwepo....hata kama ni waungo na kesi ya murder ni nzito sana....dada anasiri nzito...aulizwe mashataka yake yalikua vipi,na mlalamishi alitoa ushahidi upi....vipi kuhusu muendesha toya alisema nini kabla afariki?.....

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 6 หลายเดือนก่อน +3

    Umenikumbusha walivyoo muua mdogo wangu lakin hata miezi mitatu haikuisha wakaachiwa huru alafu wanaonewa wasio na hatia

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +1

      Unaona eeeeh! Ndo nasema serikali waanze kuwalipa fidia waliowahukumu Kwa hila, ili iwe fundisho na wawe makini wanapofanya uchunguzi wawe sahihi na upelelezi wao

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 6 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana Philly! Kuuwawa inauma sn,ila Mungu atayaauwa hayo mashetwani.

  • @FadhilaNyange
    @FadhilaNyange 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dada anasiri kubwa

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku hoyeeeeee

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 6 หลายเดือนก่อน

    Matukio hayo yaponbnakamanulitenda hayo mungu atakulipa hapa duniani liko jicho lilokuna

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 6 หลายเดือนก่อน +1

    Rose Hhaymalley Onna pole

  • @EmJesho
    @EmJesho 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daah inauma inaumiza 😢😢😢😢😢😢

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona humu mnapenda kuhukumu, hamjawahi kutwa na mikosi? Acheni comments za kum accuse huyu dada. Dunia duara.

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 6 หลายเดือนก่อน

      Mbona hakuna comment inayo mm wa-accuse huyu dada??

    • @edwardjohn1507
      @edwardjohn1507 6 หลายเดือนก่อน

      Aca ukuma wewe mwenye umbwa koko weee

    • @monienjeri3042
      @monienjeri3042 2 หลายเดือนก่อน

      Kunazo chache nimezifahamu ​@@upendoeliya9329

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mwanangu unani towa machizi🇰🇪

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mapito ya dunia. Na hili ni DOA KUBWA Maishani

    • @ElizabethGeorge-g1e
      @ElizabethGeorge-g1e 6 หลายเดือนก่อน

      Husna b nakumbuka enzi za coconut fm

  • @fredykephacy5166
    @fredykephacy5166 4 หลายเดือนก่อน

    aisee maisha pole dada

  • @leilahkezen2475
    @leilahkezen2475 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mhh huy dada mbona simwelewi

    • @ZuhuraDaniel
      @ZuhuraDaniel 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hueleweki ww sio uyo dada

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Noma na nusu

  • @ZaynabMsury
    @ZaynabMsury 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku mbon unamkazia macho sana

  • @glassamo3847
    @glassamo3847 6 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee😮

  • @rachelbathromew6223
    @rachelbathromew6223 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha Yana fumbo sana

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wengi wamefungwa kwa kuonewa. Usipokuwa na hela ya kuhonga tu unafungwa, hakimu Anaangalia pesa tu, kama Huna hasomi hata kesi anakufunga tu.

  • @edwardbedson4450
    @edwardbedson4450 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu kwanza wamemfhalikisha wamempotezea muda wamemkosesha haki za msingi kama elimu yake ya chuo hajasima wameharibu future yake angetakiwa kulipwa

    • @mborawakiche7564
      @mborawakiche7564 6 หลายเดือนก่อน

      Sio kwa Tz hii ndoto yako

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tena hapo ana upwiru hapo

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mwijaku hanavyo mshanga uyo mdda kamtorea macho

    • @LovelyRacingHelmet-iv6ti
      @LovelyRacingHelmet-iv6ti 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Kumbe na ww umemwona sio Ana mkodorea macho mpk bc

    • @monienjeri3042
      @monienjeri3042 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂Wewe mcheshi

  • @FadhilaNyange
    @FadhilaNyange 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada anasiri kubwa kifuani mwake anyway tumwachie Mungu

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umewaza kama Mimi,au pengine sijui ? Tumwachie Mungu

    • @monienjeri3042
      @monienjeri3042 2 หลายเดือนก่อน

      She's traumatised wewe nawe.... siri gani, she's ain't healed yet...

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Polisi tz ovyo sana, uchunguzi hakuna

  • @Chaotic-c2p
    @Chaotic-c2p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani polee saana nikîja Moshi ntawatafuta

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la nyumban wanaweza waka kuweka kwenye matatizo usoyajua,

  • @hamedyahya9291
    @hamedyahya9291 6 หลายเดือนก่อน

    mtoto gani miaka 18 miaka kumi na tano ni tayari wa kuolewa mila za kizungu hizo

  • @officialmtembezi
    @officialmtembezi 6 หลายเดือนก่อน

    Ngoja nikae kimya.

  • @MartinLilenga
    @MartinLilenga 4 หลายเดือนก่อน

    Kila alie hukumiwa co mhallifu je itajulikana VP?

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 6 หลายเดือนก่อน

    Kazuri sana

  • @Veni584
    @Veni584 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sio kifungo cha kunyongwa, ni hukumu ya kunyongwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      Kunyongwa hadi kufa

    • @k.kswitzerland4168
      @k.kswitzerland4168 6 หลายเดือนก่อน

      True

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa Tanzania kuhukumiwa kunyongwa ni jina tu jua hiyo ni maisha tu.Maana wa mwisho kunyonga ni Hayati Mwinyi

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢jamani waue wengine a

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂 polesana dada

  • @abuarafatmkweli748
    @abuarafatmkweli748 6 หลายเดือนก่อน +2

    Haoneshi kujali kwamba bodaboda wake "aliuliwa"... natamani angeulizwa

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa ndio umeandika nini

    • @adammveyange9638
      @adammveyange9638 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu dada alikua na mahusiano na huyo boda sponsor akaamua kuwakomesha wote mmoja aende jela mngine mochwar..over

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@adammveyange9638Acha kuwaza nyege muda wote mbwa wewe

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona anababaika babaika au alihusika ? Mana ckuhizi wnawke ndo wezi wa boda

  • @ellysilasreweta1387
    @ellysilasreweta1387 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana binti.

  • @GloryMsopa
    @GloryMsopa 6 หลายเดือนก่อน

    Jmn umeniliza jmn

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 6 หลายเดือนก่อน +3

    Usikute huyu nae muuaji alihusika kwa namna Moja au nyngne wacheni kumtetea serikal inaakil timamu hawawez TU kumkamata mtu na kimhukumu kwan mahakaman ilikuaje?

    • @AlphonsinaMichael
      @AlphonsinaMichael 6 หลายเดือนก่อน

      Mhhhh mtoa hukumu tenaa....temea mate chini usihukumu

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 6 หลายเดือนก่อน

      Mahakama hiyo haikumkuta na hatia... serikali ipi unayosemea

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 6 หลายเดือนก่อน

      @@josephlorri431 ilikuaje Hadi akahukumiwa mwanzo kabla ya rufaa? Hawakupitia mahaman?

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mshenzi kweli huyu

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 6 หลายเดือนก่อน +1

    umepta kipindi kigumu sana

  • @abibuchengula4588
    @abibuchengula4588 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu akishakufa haki yake inapotea

  • @abdalamkomwa7812
    @abdalamkomwa7812 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo ni muongo hatari mm naijua vizr sana kesi yake alikamatiwa maeneo ya newland Moshi narudia ni muongo huyo jamani

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 6 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu alikuwa mtuhumiwa wakidhani labda alifanya njama. Ila kwa umri huo umri miaka 18 ni mtoto😢😢😢.. POLE SANAA

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      Wanapochunguza hawaangalii labda Kwa sababu gani mtuhumiwa afanye hivyo? Muda pia, na Kwa nini wasiwatafute waliofanya tukio wawabane ili waseme ukweli wanamuonea mdada WA watu. Kama angekuwa na pesa akahonga asingehukumiwa kunyongwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +1

      Miaka 18 ndo unapoanza utu uzima

    • @matwigabitaro3933
      @matwigabitaro3933 6 หลายเดือนก่อน

      Pole sana dada kwa mkasa huo maana unavyo sema umri wako ulikuwa ww ulikuwa nimdogo dana.

    • @eliminachristopher2662
      @eliminachristopher2662 6 หลายเดือนก่อน

      Duh.hongereni sana kwa kutoka gerezani na kwa kunzisha n.g.o yenu
      Mungu awabariki sana

    • @pira7439
      @pira7439 6 หลายเดือนก่อน

      21:05 hii ndio ttzo la mahakama za nchi zetu za kiafrika, pesa tu, hazijali dhulma anayofanyiwa mtuhumiwa, dhulma hizi mpk lini? tukisifu sheria za nchi za wenzetu utaambiwa MTUMWA,

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 6 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku bana kakaa kitapeli tapeli

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi mwenyewe naona kama kweli

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kama halikuwa hajafariki wenda bodaboda aliwaeleza ukweli

  • @liciousokama9045
    @liciousokama9045 6 หลายเดือนก่อน

    Mmh

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 6 หลายเดือนก่อน

    Kwan uyo boda kabla hajafa hakuwaona wauaji? Huenda alimtaja uyo dada mana wanawake hamuelewek sometime ni mashetani

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona kama anaonekana kwa mbaliiii alifanya kweli

    • @Yusudav
      @Yusudav 6 หลายเดือนก่อน +1

      Lete vigezo

    • @TinaMichelle-t9s
      @TinaMichelle-t9s 6 หลายเดือนก่อน

      Ila akina rose 😢

    • @nin6324
      @nin6324 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa amchome kisu boda boda ili amfanye nini? Unless kama kuna bwanaa wa Rose alimshuku boda boda kutoka nae ndo wakamdhuru sema kuwajua hao vijana waliotumwa kumdhuru inakuwa ni ngumu sana.
      So sąd tulikuta mdogo wetu amechomwa kisu hata pa kuanzia hatukupata tumemuachia Mwenyezi Mungu.

    • @Ambeniwatano
      @Ambeniwatano 6 หลายเดือนก่อน

      @@nin6324 si kwa maana alishilk ivyo unavyofikir wewe alishiriki kwa namna ya kimisheni town unamtoa mtu eneo Moja kwenda eneo lingine unawachia wakola wamalize na wew kwenye mchongo humo

    • @hummymgaza6915
      @hummymgaza6915 6 หลายเดือนก่อน

      Aliechomwa kisu kabla hajafariki alisema amechomwa na wanaume wawili sasa yeye anahusikaje ? Na hao watuhumiwa walikamatwa na ndo yeye akatoka

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 6 หลายเดือนก่อน

    Maisha ya binadamu ni mzunguruko wenye mabadiriko kila kukicha. Na haya amesema Mola wetu kwenye QUR'AN SURAT TIN AYA YA 3.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 6 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 6 หลายเดือนก่อน

    In hell, Lawyers and Thieves are in one side.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      It's Bongo 😂 what do you think 😢

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa njia moja au nyengine huyu binti anahusika

    • @irenemacha5661
      @irenemacha5661 6 หลายเดือนก่อน +4

      Maana na ww siulikuwepo.acha kuhukumu ww mwenyewe una laana zako kibao

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@irenemacha5661😂😂

    • @SULEIMAN-l8v
      @SULEIMAN-l8v 6 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika gani

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 6 หลายเดือนก่อน

    Ila ache mkorogo hyo dada

    • @geekilimba8362
      @geekilimba8362 6 หลายเดือนก่อน

      Ni rangi yake asili, tembelea manyara ujionee

    • @rachelbathromew6223
      @rachelbathromew6223 6 หลายเดือนก่อน

      Wailaki kama warangi

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 6 หลายเดือนก่อน

    Ni hiii Tanzania yetu kunakabila linaitwa Muilaki 😂

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wambulu hao

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +2

      WA Iraqi! Nina jirani yangu
      Ni wazuri wengi wanafanana kama WA Ethiopia, pua mchongo, nywere ndefu na wengi Wana rangi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@adkajisi4536sio kweli, ulishasikia wakiongea? Hawaongei kimbulu! Na sio wengi hivyo kama wambulu japo Wana features sawa

    • @AshaAbdallah-g5v
      @AshaAbdallah-g5v 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio wairaq

  • @AshaRashid-z7d
    @AshaRashid-z7d 6 หลายเดือนก่อน

    Komwe km langu😂

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx 6 หลายเดือนก่อน

      Jaman😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน

      Na ameoa binti mzuri

  • @adammveyange9638
    @adammveyange9638 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada ni cheter ..boda alikula mzigo sponsor akaamua kuua.

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa nakumbuka alivyoachiwa na Magufuli alivyoonana nae

  • @tynahchitamu8675
    @tynahchitamu8675 6 หลายเดือนก่อน +6

    Dah pole sana kiukweli mungu atubariki wanawake tulee watoto wetu jamani 😢

  • @WanuOman
    @WanuOman 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @toptopress4909
    @toptopress4909 6 หลายเดือนก่อน +5

    Nimegundua kwa hapa Tanzania unaweza kuenda jela siku na saa yeyote. Uwe umetenda kosa au hujatenda kosa. Nafikiri tujipange kwa yote, huwezijua siku wala saa jela itakuhusu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa! Watu wengi wamefungwa bila hatia na wauaji wako mitaani

    • @OmarNuri-w7v
      @OmarNuri-w7v 6 หลายเดือนก่อน +3

      Very true

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli sana 😂😂😂