BIBI WA MIAKA 85 HIVI NDIVYO ALIVYO FURAHIA HARUSI YAKE JANA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH CHARTABLE ASSOCIATION.
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline
    #AlfatahCharitableAssociation
    #ZANZIBAR

ความคิดเห็น • 247

  • @MOHAMEDMOHAMED-hi4qf
    @MOHAMEDMOHAMED-hi4qf 4 ปีที่แล้ว +19

    From Somalia 🇸🇴 love you all muslims

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 4 ปีที่แล้ว +15

    Wallahi nimefurahi hadi nimelia kwa furaha... Alhamdulillah Alhamdulillah Elfu Alhamdulillah 😭😭😭😭

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 4 ปีที่แล้ว +13

    Maa shaa Allah Allah awazidishie imani iyo iyo awazidishie waliotoa na tuliokuwa hatujatoa Allah atupe tusaidie na wezetu AMIN

  • @saidkhamis8895
    @saidkhamis8895 4 ปีที่แล้ว +12

    Allah awajengee nyumba katika JANNAH Alfatah na wafadhili wake aamin

  • @yunushamza6502
    @yunushamza6502 4 ปีที่แล้ว +20

    Jazzakumllah kheir,Allah amjalie rehma Kwa mwenye kumstiri nyanya wetu.amjalie Pepo siku ya hesabu.Ameen

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 ปีที่แล้ว +1

      Maskini wee jmni tuwastiri.wazeewetu

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 ปีที่แล้ว +1

      Wow.mashallah m mungu hamtupi mjawake allah amjaalie afya maishamarefu

    • @abdillahismail8287
      @abdillahismail8287 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @mozasultan1676
      @mozasultan1676 5 หลายเดือนก่อน

      Ammin yarani Sina la kusema ila alhamdulillh

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 4 ปีที่แล้ว +11

    Nimefurahi mpaka nimelia 😭mashallah mashallah al fatah 🤲

  • @imanimussa4076
    @imanimussa4076 4 ปีที่แล้ว +5

    Nmefurahi sana kuwasaidia wazee wetu hasa wa kike,mungu atawajengea nyumba ktk viwanja vya peponi
    Tupo pamoja

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +7

    Subhana Allah Allah Akbar masha Allah kwa kweli mara ya kwanza ramadhani alipohojiwa nililia mpaka nilienda kwikwi ya Rabbi wazidishie rizki na kheri kwa kila mwenye kutoa duniani na akhera nasi utuwezeshe kuwafariji wengine hongea Alfatah tv Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie imani Ammin

  • @taifamasheko5322
    @taifamasheko5322 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah, Allah akulipeni makazi mema zaidi hapa duniani na kesho akhera.

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 4 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah

    AL FATAH TV inafanya kazi bora sana, Allah awalipe kila'lakheri Ameen,

  • @Mukhtarmawaidha1997
    @Mukhtarmawaidha1997 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah awajez wote alotoa msaada huo na wape moyo wa kutoa juu ya njia ya Allah

  • @nurusalim846
    @nurusalim846 4 ปีที่แล้ว +3

    Alfatah kila la kheri allah awalinde na mahasidi awajaalie kila la kheri kwa imani mlokuwa nayo

  • @jinaali4370
    @jinaali4370 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, Allah ambarik, akamuekee na makaazi mema huko aendako! Na waliomchangia Allah awazidishie kheir!

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +3

    mashallah tabarakallah Kama mlivyomjengea nyumba Allah awajengee nyumba peponi ya daraja ya juu muwe jirani na mtume Muhammad swalallahu aly wasalam amiin

  • @IBRAHIMALI-isal
    @IBRAHIMALI-isal 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar..Allah awafanyie wepesi wote walio shiriki kwa njia moja na nyengine

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke หลายเดือนก่อน

    Subira, mama yangu, hii ni punje moja tu ya suke ya mahindi, Mungu akipenda☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni timu nzima ya Alfatah tv online🙏🙏 M/mungu atawalipa inshallah 🙏

  • @omarawadh7239
    @omarawadh7239 4 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH AWABARIKIE WOTE WALIOMSAIDIA KUPATA MAHALI PAKUISHI MASHALLAH

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 3 ปีที่แล้ว +2

    Manshaallah tabarak Allah 💞❤💞. Allah Wetu Mtukufu Subhanah Wataala Ya Hayy Ya Qayyum awape maisha marefu wale ambao wamefanya muchango wakujengea bibi nyumba Inshaalllah 🤲🏻 tunamuomba piya Ya Razaq awaruku ote riziki ya halal Inshaalllah 🤲🏻💞❤💞

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 4 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah alhamdulilah Allah atawajengea nyumba nzuri peponi

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 4 ปีที่แล้ว

      awajaalie walimsaidia mamaetu huyu awalipe ujira mwema aminamin

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah. Mm nilikua na wazo moja tu. Kwa kua niwazee na wanaishi peke yao hawana watoto mnaonaje mkawa mnachangisha michango zikajengwa nyumba kubwa halafu wakaekwa kwa pamoja na wakasaidiwa kwa kinachopatikana? Na wale wenye watoto ndio wangekua wanajengewa peke yao peke yao km hivyo.

  • @kingelkindy2920
    @kingelkindy2920 4 ปีที่แล้ว +2

    جزاكم الله خيرا ويبارك عليكم علی جهودكم طيبه ــ 💐"💞المؤسسة الفتاح💐"💞

  • @ibrahimadam4272
    @ibrahimadam4272 4 ปีที่แล้ว +4

    Mngu ampe furaha Leo na kesho amfunguliye kila lenye uzito amin. Mdhamin letu nikukuombea mngu.✌✌

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mulikua kimya sana allah awape afya njema na muzidi kutuletea watu wenye matatizo kuwasaidia

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi mungu awazidishie waliomjengea nyumba inshallah 🙏

    • @hamisaomar5828
      @hamisaomar5828 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah machozi yamenitoka allah atawalipa kheri na walotoa allah atawazidishia kipato zaid wasaidiwe na wwngine mkono kwa mkono hadi peponi

    • @abedamohamed2336
      @abedamohamed2336 4 ปีที่แล้ว

      Amina amina amina

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka Allahu khair Allah awajaalie jannat firdaus Aamiin

  • @ashanassor6845
    @ashanassor6845 4 ปีที่แล้ว

    Maashallah tabaaraka Rahman. Allah awalipe khr zake jumuiya ya alfatah kwa kuwa sabab ya kuwapa faraja wazee, mayatima na wote wasiojiweza. Kwa kwel aya ndio maisha tunayostahiki kuyaiga. Hongr zaid ziwafkie wale wote waliotoa mchango wao Allah awalipe jannah 🤲

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa Allah, Badikiweni Sana Kwa Utu Mlio Nao.

  • @dianarajab2387
    @dianarajab2387 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki kwa kumsitiri mama yetu.

  • @sidekomb3448
    @sidekomb3448 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah Allah azid kuwafanyia wepec ktk shughuli zenu. Pia allah awalipe mema duniani na akheraa biidhin allah in sha allah.

  • @aidaalbimany8251
    @aidaalbimany8251 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabaraka rahman Allah atakujaza kheyr Kwa huyo alotoa msaada ...Alfatah mambo yenu mazuri saana .

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah Awazidishie kila la kheri alfatah

  • @huwanamnahizo3129
    @huwanamnahizo3129 2 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءالله تبارك الله الف مبروك... ألف مبروك وجزاكم الله خير الجزاء في الدنيا والآخرة يارب العالمين

  • @hamidadada6047
    @hamidadada6047 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah amlipe pepo kwa walio mfadhili

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว

    Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa wafadhili wote.
    Allah awajaalie kila la Kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin.

  • @naimamohammed3243
    @naimamohammed3243 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu aiongezee penye imetoka 😭😭😭😭😭

  • @umrumy9343
    @umrumy9343 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallh mashaallh allh walipe kher nimeona nimelia kwa furaha 😭

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว

    Maaasha Allah
    Mwenyezimungu awaongezee neema wote wanaojitolea kwa kusaidia wasiojiweza.

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awalinde na awaongoze kwa kila mjambo mlifanyalo nyumban kwenu na mahofisin mwenu🙏🙏🙏😭

  • @hadijasaleh2042
    @hadijasaleh2042 4 ปีที่แล้ว +2

    Ama ni kweli baada ya uzito ni wepesi alhamdulillah nimefurahi sanaaa mpka ninalia kwa furaha

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezimungu awalipe kheri inshaallah...awaapushie na shari na kila aina ya husda mmefanya jambo kubwa sana

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah mungu awalipe Al fatah❤❤

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah awazidishie Inshallah muwe na Imani hiyo hiyo msibadilike,mzidi kuwasaidia wazee we give

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyeezi Mungu awazidishie wote wzliomsaidia huyu bibi
    Awape mwisho mwema.
    Aameen.

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah Allah awakunjulie kheri na pepo zenye darja ya juuu wale wote wanaohusika kuwafariji nakuwafanyia makubwa maskini au wagonjwa na kheri nyengine na kila alie husika kwa nanma 1 au nyengine inshaallah

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah

  • @riffatsayedriffatsayed8445
    @riffatsayedriffatsayed8445 4 ปีที่แล้ว +2

    May Allah bless you More Inshallah ❤❤💓💓

  • @neemahassan5726
    @neemahassan5726 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah alihamdulilah namshukur Allah kwa kumsaidia Bibi

  • @fatmaabdalla8543
    @fatmaabdalla8543 4 ปีที่แล้ว

    Allah awazidishie lenye kheri na nyinyi na muwe na imani hiyohiyo ya kusaidia wanyonge inshaallah aamin

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Masha Allah ❤️ Allah awazdishie Riziki

  • @nassoralinassor1698
    @nassoralinassor1698 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah awazidishie Imani wafadhili wote na wahudumu wakusaidia wasojiweza Allah awazidishie umri wenye afya njema

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 4 ปีที่แล้ว

    Mashalhaa Allha awabarik watoaji Aibarik na Al fatah.awazidishie kheri

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 ปีที่แล้ว

    Mashallah bibi ongera sana Allah ampe afya na umri ameen

  • @barakakihaga6481
    @barakakihaga6481 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallah

  • @SharifJuma-zx3qg
    @SharifJuma-zx3qg 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah waislamu na wasiokuwa waislamu tutoweni tulivyo navyo kuwasaidia wenzetu

  • @allykhamis3378
    @allykhamis3378 3 ปีที่แล้ว

    Mama pole sana kwa maisha hayo pitia hiyo faida ya mapinduzi ya mwaka 1964 mapinduzi daima

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 4 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdhulillah...mashaa Allah 😂😂😂😢😢😢💜💜💜🛍💐💐💜💜💜💜💜

  • @othmanomar9470
    @othmanomar9470 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah jazakallah khairah.yaarab wape njia ktk swiratwi yako na ss utue ILI tuwasaidie wanao hitaj

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaallahmdulilah

  • @ramadhansimba2928
    @ramadhansimba2928 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah awalipe mema🙏

  • @abdullatwifsayyid5981
    @abdullatwifsayyid5981 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazaakumuallah kheir

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว

    Lailahaillallah machozi yamwnitoka jaman jaman Mola akupe furaha Bib ang yamaisha kutokuzaa aihoja hukutarajia bib lkn Allah kakufariji😢😢😢😢😢nilidhania bib kaolewa 😚😚😚😍

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 10 หลายเดือนก่อน

    Allah awape na majumba peponi in shaa Allah

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 ปีที่แล้ว

    mashallah hujafa usikate tamaa mungu awabariki kwa msaada wenu Amiin.

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah awalipe kheri waliojitolea na amjaalie furaha leo na kesho yaumulqiama amin hongera bibi.

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 4 ปีที่แล้ว

    Allah azidii kukulipen gheri na Baraka katikaa kazii zenu

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Mungu awape baraka wote mloifikisha furaha yahuyo bibi

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah awajaalie kher al fatah

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah awazidishie kheri

  • @yusrahkeissy9202
    @yusrahkeissy9202 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajalie walomsaidia hyu bibi awafanyie wepec

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว +1

    jaman mungu azid kuwap walio Msaidi 🙏🙏

  • @khadijamussa7892
    @khadijamussa7892 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyez mungu awape kila la kheir kwa hakika inatoa machoz. yarabbi wape kila la kheir wote wenye kutao kwa hali na mali wafanyie wepes kwa kila mazito kwao.

  • @mussamahmoud2376
    @mussamahmoud2376 3 ปีที่แล้ว

    Mtume SAW amesema mwenyekumstiri muislaam Allah SW nayy atamsyiri sikiyakiama Allah amzidishie uwezo yule aliemstr bibihuyo na sisi atupe uwezo ilituwasaidie waislaama wenzetu

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 ปีที่แล้ว

    Allah awalipe kheir Al fatah tv

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 4 ปีที่แล้ว +2

    Sijui nifurahaa hadi nimelia😭😭

  • @francoisekabanyana444
    @francoisekabanyana444 4 ปีที่แล้ว +1

    Merci Seigneur Jésus Christ

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah Alhamndulillah 🙏🙏🙏🙏

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalah,Allah awalipe pepo ya juu fridaus

  • @salmatanzania405
    @salmatanzania405 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah JazzakaAllah khery kwa walio changia

  • @nassorfarhat5045
    @nassorfarhat5045 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah MashaAllah 🙏🙏😭😊

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongozeeni Al fatah tv hakika mwaiandaa kesho.
    Ingawa mm nmetapeliwa leo na mdada mmoja anaitwa Rahma anasema anatoka Al fatah tv ni secretary wenu. Kanitapel elfu thelethini yaan ni story
    Tafadhar naomba viongoz wa Al Fatah tv musasiliane namie kwa namba
    0753 090 301.

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 3 ปีที่แล้ว

    MA SHA ALLAH furaha isio Isha AL HAMDULILLAH

  • @zahramurangara2508
    @zahramurangara2508 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabaraka Allah Allah amustiri leo mpaka kesho.

  • @phunter4115
    @phunter4115 3 ปีที่แล้ว

    karibu mtamazaji, niko katika kijiji ,,,, mtazamaji, nikikuletea habari mtazamaji, habari adhimu mtazamaji, mtazamaji! mtazamaji mtazamaji mtazamaji!!!! Come on! Jipange na uwe na preparation nzuri kabla ya kuanza kurikodi taarifa hizi za habari! Mk wengi namna hii na haipendezi kabisa!

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mungu awape uzima.na nguvu.alfatah

  • @munatwalib2808
    @munatwalib2808 3 ปีที่แล้ว

    Takbir Allahu akbar wallah

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @omarymtotela7273
    @omarymtotela7273 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah awape maitaji yenu fil dunia wali akher

  • @mohammedomar7280
    @mohammedomar7280 4 ปีที่แล้ว +1

    viongozi wetu wajifunze uongozi wa OMAR Bin Khatwab waende nje ya miji wakague hali za wanao waongoza kuna watu wana hali ngumu sana tena sana

  • @rayambarouk9972
    @rayambarouk9972 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulliha mashaallah

  • @Noreen-gd6js
    @Noreen-gd6js 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awabariki

  • @zaitunmohammed7203
    @zaitunmohammed7203 ปีที่แล้ว

    Maashallah tabarakallah

  • @fauziasitara5059
    @fauziasitara5059 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Alhamdulillah

  • @haniphaally5402
    @haniphaally5402 4 ปีที่แล้ว +1

    Kakaang hakika Allah ni mkubwa Allah akulipe JANNA kwa juhudi in Aziz if any a

    • @haniphaally5402
      @haniphaally5402 4 ปีที่แล้ว

      Kakaangu hakika Allah ni mkubwa Allah akulipe JANNA kwa juhudi unazozifanya

  • @bossmum1112
    @bossmum1112 4 ปีที่แล้ว

    Shukran shukran

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 4 ปีที่แล้ว

    THE BIGGEST BOSS NASRI WORLD

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว

    ALHAMDULILLAH RABBIL ALAMINA

  • @mwajabumussa4860
    @mwajabumussa4860 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah hakika mwenyez mungu awalipe kilicho chema