SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 996

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 5 หลายเดือนก่อน +128

    ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA WAISLAM WOOTE DUNIAN INSHAALLAH ❤❤❤❤

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 5 หลายเดือนก่อน +85

    Snura wewe ni shujaa mbele ya mungu allah akupe mwisho mwema

  • @AhmadaHassan-gy5uj
    @AhmadaHassan-gy5uj 5 หลายเดือนก่อน +194

    Watakao kubeza watakuja kujua siku watapowekwa ndani ya mwanandani,maneno mazito sana, ALLAH atujalie mwisho mwema

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 5 หลายเดือนก่อน +34

    Mashallah sheikh Kishki hakika umefanya jambo jema sana,Mashallah dada Snura na mume wako,Allah akuongozeni katika kheri hadi mwisho wa maisha yenu❤❤❤

  • @HusnaMtitiko-yt4ru
    @HusnaMtitiko-yt4ru 5 หลายเดือนก่อน +103

    Wallah Allah anamuogoa amtakaye sunura kapata mume tena mume wa kumpeleka pepon🥰

    • @MariamJuma-pe4sy
      @MariamJuma-pe4sy 5 หลายเดือนก่อน +2

      Hussna Mtitiko shoga umeshafika huku 😅😅😅

    • @HusnaMtitiko-yt4ru
      @HusnaMtitiko-yt4ru 5 หลายเดือนก่อน

      @@MariamJuma-pe4sy 😂😂😂wewe na mm mbona tumefumaniana

    • @MariamJuma-pe4sy
      @MariamJuma-pe4sy 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@HusnaMtitiko-yt4ru 😆 😂 😆

    • @MadamAsya2024England
      @MadamAsya2024England 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mashallah kweli Allah anamuongoa amtakae Allah azidi kumpa wepes na sisi pia atupe husnulhaatima

  • @abdulmohd6407
    @abdulmohd6407 5 หลายเดือนก่อน +19

    Wanawake wanapelekwa maclabu na Waume zao yy kapata mume wakumpeleka peponi ma sha Allah kiufup Allah atuongoze njia ya kher na atupe mwisho mwema

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 5 หลายเดือนก่อน +17

    Mashallah dada yetu Snurah Mwz Mungu atupe sote mwisho mwema 😢 in shallah

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 5 หลายเดือนก่อน +31

    Manshaallah tabarakallah ❤❤❤nilikuwa na subiri kwa ham kubwa❤❤❤❤❤❤🎉 alhamdulila mm ni mrundi ila nafurahi sana dada snura allah akupe mwisho mwema amina shehe kishki yani wewe sina lakisema allah akupe mema duniyani na ahkera🎉🎉🎉🎉

    • @YunusiAthuman-ep5mc
      @YunusiAthuman-ep5mc 5 หลายเดือนก่อน

      .,... .

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 5 หลายเดือนก่อน

      Allah Humma Aameen Yaarb Alaameen Na Ummat Mohammed
      Ukhty Nura "Allah" Andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 5 หลายเดือนก่อน

      Jaribu kuzingatia jina la Allah subhana wataala unapo andika weka makini sana kipenzi

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 5 หลายเดือนก่อน

      @@zahraabdul9652 Hakika jina la ALLAH. liandikwe kwa herufi kubwa na IN SHA ALLAH tunapoandika nyoyo zetu zijae ikhlas zaidi

    • @jasminomary8754
      @jasminomary8754 5 หลายเดือนก่อน +1

      Shk ni kweli maneno yako ni sahihi sura mungu amempenda sana ndomana amemuweka sehemu sahihi

  • @RahmaMussa-ug1ch
    @RahmaMussa-ug1ch 5 หลายเดือนก่อน +52

    Yaaa Allah na mimi nijalie mume atakae niongoza mimi na familia yangu na kwenye misingi ya dini yako na hawe mwenye khofu yako

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 5 หลายเดือนก่อน +74

    Mashallah tabaraka llah Alhamdoulillahi Allah ampe ujasiri Snura asirudi nyuma Allahumma amiin ya Rabb

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 5 หลายเดือนก่อน +8

    MashaAllah MMungu atuongoze atupe Imani na atukumbushe kila tunapokosea mkamilifu ni yeye atupe mwisho mwema Yarrab🤲

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 5 หลายเดือนก่อน +54

    Mashallah Alhamdulillah nimefurahi kuona mmefika kwa shekhe wetu Allah atuongoze sote kwa pamoja

    • @PilyAly-ll8fz
      @PilyAly-ll8fz 5 หลายเดือนก่อน +2

      Allahuma amiina 🤲🏽

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน

      Amiin Amiin Amiin

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 5 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Ameen

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 5 หลายเดือนก่อน +86

    Mashallah tabarakallah mungu awaongoze na atuongoze na sisi pia Insha Allah ❤❤❤❤

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin

    • @fatmaZakiya
      @fatmaZakiya 5 หลายเดือนก่อน

      Amiin ya Rabb

    • @jafarmohd5217
      @jafarmohd5217 5 หลายเดือนก่อน

      Aminn

    • @KafyeHamim
      @KafyeHamim 5 หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @SalumMusafiri
      @SalumMusafiri 5 หลายเดือนก่อน

      ALLAHUMA AMEEN Y'ALLAH

  • @ramiaibrahim4834
    @ramiaibrahim4834 5 หลายเดือนก่อน +29

    Bismillah Snura kama wangelijua raha na Amani ya moyo uliyokuwa nayo wangekimbilia hiyo njia. Wasikuone huruma ila wajione huruma wao wanaokubeza. Hiyo radhaaa mm naijua mungu akuongoze da mkubwa Snura....

    • @chadiamilk
      @chadiamilk 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nitamaniya iyo nafasi na mimi😢Allah anijaliye iyo Rehma kabla ya umauti kunikumba Allahuma amiin 🤲❤

    • @salmaUthman-wo1ic
      @salmaUthman-wo1ic 5 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@chadiamilkwakati ni sasa kesho ni fumbo

    • @FatumaAhmad-rk4ou
      @FatumaAhmad-rk4ou 3 หลายเดือนก่อน

      Allah atuongoze na vizazi vytu jamii islam

  • @didaahmed1033
    @didaahmed1033 5 หลายเดือนก่อน +73

    Allah atujalie husnul hatma yaarab

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 5 หลายเดือนก่อน +12

    Alhamdullilah sheikh wetu.nurudin kishk Allah karim atufanyie wepes amini niko Dubai nawaskiza vizuri lnshaallah twataka wote wanamziki waelekee kwa Allah amin mimi rekha akashi mohamed

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 5 หลายเดือนก่อน +8

    MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH
    ALLAH amuongoa amtakae ALLAH azidi kutuongoa tukae ktk njia sahihi kwa sote THUMMA AMIN 🤲🏼

  • @FarouqMasha
    @FarouqMasha 5 หลายเดือนก่อน +104

    Shehe mie duah yangu ninamuomba Allah asinifishe Bali niwe nimefikia kwenye nyumba tukufu ya maka ninamuomba shehe wangu unipeleke hija ndo matamanio yangu InahaAllah nakuomba mudogo wangu

    • @hashazhussein7627
      @hashazhussein7627 5 หลายเดือนก่อน +8

      Allahu akufikishe katika nyumba yake tukufu

    • @MwajumaHassan-d5l
      @MwajumaHassan-d5l 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanilivyosikia kwamba usimuombe mtu akupeleke hijjah 🕋🕌
      Muache akufukirie mwenyew 🙌

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@MwajumaHassan-d5lkuskia ama kusomaa?

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 5 หลายเดือนก่อน +6

      In shaa Allah Mola atakufanyia njia nyepesi ufike ukiwa upo mzima na afya njema kwa Rehma zake Mola
      Amiin

    • @HalimaKinyashi-w7h
      @HalimaKinyashi-w7h 5 หลายเดือนก่อน +6

      Shekhe Muombe Allah akupeleke hijjah usimuombe mtu Muombe Allah pekee, Halafu yeye Allah ndio atajua akupeleke vipi .

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws 5 หลายเดือนก่อน +12

    Mashaallah from Pemba tunkuombea dua karibu nyumban waislam wote wankupenda n wasiokuw waislam weny akil zao pia wanakupenda🎉🎉

  • @ادريسالبلوشي-ل9ي
    @ادريسالبلوشي-ل9ي 5 หลายเดือนก่อน +12

    Mashallah,hongera sana shekh kishk kwa kuwapa mualiko snura na mume wake,kwani hilo ni jambo zuri..ila ombi langu kwako shekh kishk katika zile safari unazowasafirishaga wanafunzi kwenda makkah naomba umsafirishe na snura na ndugu yangu 1 kama itawezekana.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mash Allah nawaombea kheri na baraka Snura na mumewe namuomba Allah atuongoze wote tupate mwisho mwema Allahuma Amiin.

  • @Kifutubrandfilm
    @Kifutubrandfilm 5 หลายเดือนก่อน +44

    Masha Allah snura mwenyezi mungu akujaalie sana uwe na moyo huo huo usije ukageuka baadae kama mzee Yusuf Allah akuongoze🙏

    • @tahiyamushi8153
      @tahiyamushi8153 5 หลายเดือนก่อน +4

      Aamiin Yaa Rabb na huyo mzee Yusuf Allah subhana wa taala amuongoze Yaa Rabb

    • @AROSFILMS
      @AROSFILMS 5 หลายเดือนก่อน

      Sio sehemu ya kumtolea mtu. Mfano. Hio ni Imani ya shetan.

    • @Ngengee1
      @Ngengee1 4 หลายเดือนก่อน

      Snura

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 หลายเดือนก่อน

      ​@@AROSFILMSiman ipi ya shetani??

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 หลายเดือนก่อน

      Tumuombee pia Mzee Yusuf ajitaid kurud Kwa Mungu tuijenge Leo akhera yetu atujui kesho yetu

  • @WazirJuma-gd5oo
    @WazirJuma-gd5oo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Namomba allaah taabaraka wataalaah. Awahifadhi Sunura na mumwe, amwihifadhi shk nurden kishiki. Namomba allaah awape khisibati duniani na kesho Akhera . Aamiin allahmma Aamiin yaraby

  • @Sayfullah-f3j
    @Sayfullah-f3j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allaah shaikh nurdin nakuombea kwa allaah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa umma mzima na afya njema yenye kudumu nami natamani na kumuombea dua mwanangu awe kama wewe biidhnillah

  • @AfsaNdorera
    @AfsaNdorera 5 หลายเดือนก่อน +6

    Manshallah tabarakallah Allah awazidishie imani ndugu wetu snura Allah ukupe pepo ya firdaus

  • @peacetrick12
    @peacetrick12 5 หลายเดือนก่อน +46

    Tumuombe Allah awaongoze na wengine wasani ambao ni waislam warudi kwa allah❤❤❤

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 5 หลายเดือนก่อน +4

    Masha Allah tabaraq Allah mungu akuongoze mm na mume wangu na kizazi changu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 หลายเดือนก่อน +16

    Mke akifahamu dini mshukuru mungu sana

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sheikh wangu KAULI yako ni nzito sana, ningeomba WATU wajue hilo. Mwanamke Mchamungu anamuongoza MUME na WATOTO katika kila jambo la Kheir. Allah amekuchaguwa wewe Utuzindiwe na kujuwa jambo hilo, Mashaallah

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm 5 หลายเดือนก่อน +4

    Alhamdulilah Allah karudisha ukhai wa dada yetu ,na mshikuru Allah Azidi kumpammaarifa shekhe kishiki na mumewe sunura Allah ampe kher .SHEKHE KISHIKI NA MUME WADADA YETU MYENGEZENI DADA YETU AWE MLINGANIYAJI WA DADS ZETU .AKHISANTE

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 หลายเดือนก่อน +9

    Yani shekh mungu amuweke anaupendo wajabu na muomba mungu amuhifanzi

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ma sha Allah Tabaarakallah Allah aturuzuku Mwisho mwema Kwa huruma wake na atukutanishe na wema na sisi tuwe wema kwao

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 5 หลายเดือนก่อน +13

    Mashallah tabarakallah Allah azid kuwaongoza na sote pia Allah akujalie mwisho mwema

  • @FatumaAli-y3y
    @FatumaAli-y3y 5 หลายเดือนก่อน +4

    MAASHAALLAH BARAK ALLAH FII-KUM SHEIKH WETU NURDIN KISHKIY KWA KAZI NZURI.NA DADA HONGERA SANA KWA MAAMZI MEMA NA HAKIKA ALLAH HUMUONGOZA AMTAKAYE TUMSHUKUR ALLAH KWA REHMA ZAKE JUU YETU ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN 🤲❤❤❤

  • @uthaymaanashshiraaziyy2413
    @uthaymaanashshiraaziyy2413 5 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاء الله
    أللهم يامقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك وعلى طاعتك 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SakinaSakinat-qd9rs
    @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน +7

    Maa shaa Allah tabaraka Allah 🥰
    Allah azidi kuwaongoza na awaruzuku kila lililo hitajio la mioyo yao la kheri

    • @faizanassor6336
      @faizanassor6336 5 หลายเดือนก่อน +2

      THUMMA AMIN 🤲🏼 kwa sote mamy

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน

      @@faizanassor6336 Allahumma amiin mummy

  • @rmasito7869
    @rmasito7869 3 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah. Allah atupe khusnul khaatima wote

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 5 หลายเดือนก่อน +11

    Naona nakosa maneno ila machozi tu. Allah Awaongoze wao na sisi pia. Sheikh Allah Akulipe duniani na akhera.

  • @Herson-h6i
    @Herson-h6i 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah...Snura u r the strongest Mama Allah atuongoze
    Sote insha'Allah

  • @UmmusalamaSaid
    @UmmusalamaSaid 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah Allah amzidishie amuhifadhi kwa sote amin ya rabb

  • @ToivoJase
    @ToivoJase 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Dada SNURA,MUNGU awapi maisha marefu na mwisho mwema

  • @simbakilimanjaro7787
    @simbakilimanjaro7787 5 หลายเดือนก่อน +9

    Takbiiir
    ALLAAHU AKBAR
    ALLAAHU AKBAR
    ALLAAHU AKBAR
    ALLAAHU AKBAR KABIYRAA
    WALHAMDULILAAHI KATHIYRAA
    WASUBHAANA LLAAHI BUKRATAN WA ASWIYLAA

  • @MwanajumaShaban-z2x
    @MwanajumaShaban-z2x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa Allah maa shaa Allah, Allah atujaalie mwsho mwema na atuongoze katka njia ilio ya heri

  • @Khadijahissah-h7z
    @Khadijahissah-h7z 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah, hongera sana sn sheikh kishky Allah akulipe kher kw nasaha zako hakika ni nasaha kw ummah wote w kiislaam, n Allah azidi kumhifadh dada snura n azidi kutuongoza kw sote ktk kher kubwa y dini yetu..Alhamdulillah kw neema y uislaam..mkono kw mkono hadi peponi amiin

  • @JamilaKasimu-w6o
    @JamilaKasimu-w6o 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, Mashallah mwenyezimungu azidi kukupa kher kwa kila unalohitaji Kaka yang kwa kuweza kumtoa dada snura alikotoka,,,, na dada snura mungu azid Kumpa nguvu asirudi alivyokua aipe mgongo dunia na aikumbuke akhera indhallah

  • @TarikSaid-yx6gp
    @TarikSaid-yx6gp 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mashaallah ❤❤❤. Mungu Atuongoze nasisi wengine Yarabbi tuwe waja wema mbele Yako, daah moyo unaniuma kwandan nataman sana niwe hivyo mimi nuru , naiman nitakuwa mja mwema mungu ataniongoza najitahid sana sanaaa niwe hivyo tu sihitaji lingine.

  • @zulekhahassan-lp2sj
    @zulekhahassan-lp2sj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi Mungu akujaaliye pepo en shaa Allah na wengine nao warudi kwa mola wao hawajachelewa bdo Mungu atupe mwisho mwema en shaa Allah

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah ❤ALLAH atujalie sote mwisho mwema Aminah🤲

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Mwenyezi Mungu azidi kutuongosha Ummatih Muhammad S.A.W pbuh...Wallah snura ameniliza kwa Furaha iliyoje Kweli Allak Kareem akukinge zaidi na maovu In sha Allah Taallah 🤲🤲🤲

  • @FatmaSaid-zg1vy
    @FatmaSaid-zg1vy 5 หลายเดือนก่อน +11

    Usirudi nyuma sister,Allah awape umri mashekhe wetu,ili mzidi kutipa muongozo

  • @MussageAiuba-k2b
    @MussageAiuba-k2b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mansharaa tabarakaa Allah awajalie❤ afya njema insharaah Na mwisho mwema dada

  • @ridhiwankanjoe2078
    @ridhiwankanjoe2078 5 หลายเดือนก่อน +9

    Jazaqarah heri shaikh nurudin kishiki,mme wa dada yetu pia na dada yetu ALLAH (SW)atujarie mwisho mwema inshaallah.

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Mwenyezi Mungu azidi kutuongosha Ummatih Muhammad S.A.W pbuh.

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 5 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah, sheikh kishki Mungu akupe kila la kheir katika Dunia na akheir pmja na ndugu zangu Snura na mumewe azidi kutuongoza sote, amiin

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 3 หลายเดือนก่อน

    Jazaqallah khairratt dada sunura mungu atujaalie mwisho mwema na atuongoze leo dunia na kesho akherra inshallah Amin

  • @MariamMaliwa
    @MariamMaliwa 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuhifadhi wewe na mumeo pia Shehe Nurdin nawapenda kwa ajili ya Allah.

  • @khadijaramadhani6156
    @khadijaramadhani6156 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah allah awafanyie wepes da snura na mumewe katika kila kher na awajalie mwisho mwema 😢 Naomba yaallah watilie uzito wao na sisi katika kila shari

  • @PpPp-nv7gf
    @PpPp-nv7gf 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah Allah awaongoze ❤

  • @JohKillasa
    @JohKillasa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuzidishie khery shekh kishki.
    Umefanya jambo zuuri hakika..
    I real 💘 Islam...

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 5 หลายเดือนก่อน +7

    Allah awazidishie inshallah❤❤❤

  • @FatumaRamadhani-m1x
    @FatumaRamadhani-m1x 3 หลายเดือนก่อน

    Amyn amyn atujaalie mwisho mwema Mwenyezi Mungu Alotukuka sisi pamoja na familia zetu

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 5 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna wakumube sunra kafanya vizur mwenyez mungu atujalie mwisho mwem namie nikirud toka oman kuja TZ NITAKUALIKA UJE KONDOA INSHAALKAH

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 4 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah MashaAllah ❤

  • @bibahhadith
    @bibahhadith 5 หลายเดือนก่อน +20

    Kuna kale kafuraha flan hiv nakafiil
    MAASHAAALLAH MAASHAAALLAH MAASHAAALLAH TABAARAKALLAH

  • @hamisisalmah8764
    @hamisisalmah8764 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu 😢amzidishie snura na sisi tupate neema ya Allah na upendo wa Allah swt in Sha Allah hata hao walopotea wakina mondi😮

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 5 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera dada Sunura tunakutakia Safari hii njema ya Imani:Basi kaza,mwendo usirudi nyuma kama mzee Yusufu naTaarabu lake

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 หลายเดือนก่อน

      Tumuombee Dua pia ajitaid atoke

  • @MtandaNas
    @MtandaNas 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe nakuombea sana namuomba Allah azidi kukupa utajir waafya unaupenda uislaam binafsi nakukubali sana Allah akunusuru na hasad

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi 5 หลายเดือนก่อน +11

    Mashallah Allah awahifadhi ana awaajalie mwisho mwema na adumishe ndowa yenu hakiki dada nusra hiyo ni kheri ambayo Allah amekupendelea

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah MashaAllah

  • @AshaMasoud
    @AshaMasoud 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa Allah mola awaongeze katika khairat na awasimamie katika maisha yenu ya imani

  • @HasanatKhamis
    @HasanatKhamis 5 หลายเดือนก่อน +1

    ماشاء الله تبارك الله
    اللهم بارك لهما وبارك عليهما وجمع بينهما في خير

  • @NaimaAli-r4r
    @NaimaAli-r4r 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allahuakbar mashalah Allah amfanyie wepes inshalah❤

  • @ariesfire9230
    @ariesfire9230 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mabrook Mabrook alf alf Mabrook. Allah Azidi kukuongoza wewe na sisi pia. Akuhifadhi na akukudhibiti na atuhifadhi na sisi na atudhibiti katika Dini yake. Allah atupe ujasiri tuzishinde roho za wapotovu Amin amin amin . Allah atupe taufiq na ikhlas katika Taqwa.

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie zaid ya hapo Amin yaarab kwa sote

  • @suleimansoud2783
    @suleimansoud2783 5 หลายเดือนก่อน +1

    MaaShaaAllah Allah atuongoze Aamiin

  • @CynthiaNdayisaba-c4w
    @CynthiaNdayisaba-c4w 5 หลายเดือนก่อน +4

    Masha Allah
    Tabaraka Allah
    Allah azidi kumuhifazi ampe heri duniyani na kesho Ahera n'a wa islam wote❤❤❤❤❤❤

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarakallah Allah atupe mwisho mwema

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 5 หลายเดือนก่อน +8

    Ma sha Allah sheikh kishki
    Allaah akubariki na akuhifadhi
    Snura mungu awadumishe ktk dini na awadumishe ktk ndoa yenu mungu awpe thabati ktk dini

  • @SamiraOthman-n5g
    @SamiraOthman-n5g หลายเดือนก่อน

    Allaah akufanyie wepec mdogo wangu Snurra

  • @maryamalhajri722
    @maryamalhajri722 5 หลายเดือนก่อน +3

    الحمدلله❤❤❤❤

  • @harithjamila7371
    @harithjamila7371 5 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH TabarakAllah. Alhamdulillah

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi nakuombea usijekuwa kama Mzee Yusufu.wa taarabu utike moja kwa moja, Amin.

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 5 หลายเดือนก่อน +1

      Allah atamuongoza ,af uzuri yeye Mke yupo chini ya mumewe na wote wamekubalu Kuwa kitu kimoja,Lkn Mzee Yusuf yeye aliacha Lkn mkewe Ikawa Bado aimbaa,,ndio maana akaridishwa uko

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 5 หลายเดือนก่อน

      In Sha Allah Allah Atuongozeee sote mujitamah wa Kiisalm

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 5 หลายเดือนก่อน

      Tumuombee mzee Yusuf arudi kwa Mola wake na sisi sote jamiyan

  • @theknightking5345
    @theknightking5345 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah Allah azidi kukuongoa in sha Allah kwenye njia ilonyooka wewe na kila mja wa kiislam in sha Allah

  • @biashamatano5982
    @biashamatano5982 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allah azidi kuwanusuru. Awape maelewano, Subra na Masikizano.

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 14 วันที่ผ่านมา

    Dada yetu Snura Allah ampe kheri na afya njema inshaallah na ampe hatma njema yy na Familia yke.

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 5 หลายเดือนก่อน +9

    Allah akubariki Sheikh Kishki kwa juhudi yako katika kuendeleza uislam na mawaidha yako na kumpa nguvu Snura asirudi nyuma.Allah atamfanyia wepesi Snura na atajaalia rizq ya halali.❤

    • @ShaniAbdala
      @ShaniAbdala 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen inshaallah

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 3 หลายเดือนก่อน

    Inshallah mw nzimngu atujaaliye mwisho mwema kwa kila jamii islam Amin

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allahumma Amen Allah awape Nuru hadi mwisho nasi pia tufwate mtume wetu (s.a.w.) Hadi mwisho inshallah Allah humwongoa anae take yeye tuombeane jameni.😢❤❤❤🎉

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 5 หลายเดือนก่อน

    Kabisa Mungu ni mwema sanaaa mwenzetu kabaarikiwa kachaguliwa

  • @Muhunjikatemana-fj8dd
    @Muhunjikatemana-fj8dd 5 หลายเดือนก่อน +8

    Namuomba Allah alie juu alietukuka
    akubali toba yko dada snura na toba yngu mimi mkosefu
    dada snura mola wetu anahuruma sana mola wetu nimkubwa kuliko madhambi yetu
    nawapenda san

    • @ShaniAbdala
      @ShaniAbdala 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen ndug yang sote mung akubari toba zetu na aturidhie kwa ridhaa yak kwan atustahiri ilaa kwa huruma yk pekee

  • @AminaRamadhan-f5u
    @AminaRamadhan-f5u หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarak aallah kwa dada etu snura
    Naomba mshawishii pia na dada eti zuchu, nawengine waijue njia ya Allah nalengo la kuubwa Kwalo

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 5 หลายเดือนก่อน +13

    Dada snura tunakupenda sana sana pia tupo pamoja na wew

    • @bibahhadith
      @bibahhadith 5 หลายเดือนก่อน

      TENA SANNA SANINAA❤❤

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisakabisa.tuko pamoja dada

  • @fatmahIssah-m2b
    @fatmahIssah-m2b หลายเดือนก่อน

    Mashalhah ninavyompenda sheikh umepata bahati ya kuonana nae live sheikh jazakha Allah kheir

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 5 หลายเดือนก่อน +4

    Unafanya kazi nzuri sana Sheikh Kishk,huo ndio wajibu muhimu zaidi kwa kiongozi mlezi

  • @JacmineKinyangaliko
    @JacmineKinyangaliko หลายเดือนก่อน

    Shekhe kishki Allah akuhifadhi maan unatupa dawa sanaaa shekhe wangu

  • @saidaabdallaah5022
    @saidaabdallaah5022 5 หลายเดือนก่อน +4

    Maashaallaah Allaah atuongoze sote inshaallaah

  • @mashaallahabuu1167
    @mashaallahabuu1167 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sha Allah, Allah akuzudishie Neema pia nasie pia atufanyie wepesi atufishe hali ameturidhia

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 หลายเดือนก่อน +4

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚. YARABi atusamehe thambi zetu na atujaaliye tuwe miongoni mwawaja wema amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲

  • @khamiskhalid7648
    @khamiskhalid7648 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akudumishe dada yetu na ww uwe mfano wa wengine kukuiga kurudi kweny kheri.... Mola wetu ni mwenye huruma kwa waja wake namuomba Allah awaamshe na wengine waliolala na kujisahau

  • @NurainAbdaallah
    @NurainAbdaallah 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mashallah Allah azid kuwaongoza nyingi na cc katk njia ilionyooka

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 หลายเดือนก่อน +4

    Dada yangu nakuonea wivu mashallah wivu kwa kuwa umechaguwa njia njema.
    Niombee duwa na mie niwe kwenye hio njia inshallah.
    Mungu akulinde na akukinge na kurudi katika ile mitihani.
    Haswa kuna hizi iftar za fujo zinakujaga mwenzi mtukufu wasani wanafanya ufuska muda wa iftar wanawake na wanaume wanachanganyana fujo hadi wanaimba nyimbo zao.
    Haswa ile team ya yule anae dai kuwa yeye ni tajiri n 1 mtarajiwa.

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 5 หลายเดือนก่อน +1

      In shaa Allah Mola atakuongoa wewe pamoja na sisi wengine tuijue njia ya haki tuifate na njia ya shari Mola atuepushe nayo

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 5 หลายเดือนก่อน

      Ukisema unamuonea wivu kwamba hicho kitu unakihitaji,sasa uzito au kikwazo kikowapi?

    • @simbakilimanjaro7787
      @simbakilimanjaro7787 5 หลายเดือนก่อน +1

      Tuombeane Dua za kheri Waumini aongozae mja ni ALLAAH pekee

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 5 หลายเดือนก่อน

      Kuwa katika njia iliyonyooka au ktk sheria si kwa ujanja wetu wala nguvu ni rehema za Mungu na kudumu ktk njia ya Allah ni rehma pia sasa sote tumuombe Mungu atuongoze na kutupa mwisho uliomwema