Kipanya is an inspiration for may of us! I have looked up to him and it has been nothing but a benefit. Looking up to him, I will also achieve my dreams! Barikiwa sana Masoud Kipanya
Nimejifunza kitu,kikeke is genius hao wengne waendelee kujifunza.kunatokea gap la interview akija mtu like kipanya,anawadominate had watazmaji tunakosa content.
Asanteni kwa kutuweka macho, kuchangia na kutupa habari na miundombinu ya Masoud, tumefarijika. Sisi sio wajinga ispokuwa tukubali kutokukubaliana, kuvumiliana na kukubali kukosolewa bila ya kujenga chuki au kisasi 🤝
Mwanangu masoud huyo alosema huwezi he has bad evil eye sisi kina mama we are proud wafundishe vijana open mama samia msaidie masoud afungue kiwanda afundishe vijana😊
Wajenzi wote mahiri wanatokea afrika tangu piramidi .wachoraji big up broo sema mtume hakubaliki kwao jitanue nchi jirani .kama soko halipo bongo ,lakini afrika kuna nchi nyingi zina shida ya usafiri .wapatiee vijana kwa mkopo unafika broo .
Naomba maongezi Aya yasiishe najisikia raha sana kaka yangu kupiga atua kubwa mwenyezi MUNGU akufikishe mbali sana upige atua kubwa Africa sio tanzania tu ongera kaka
Asante sana KP kwa kutupa shule. Ile kampuni ya kutengeza na kuuza Bodaboda na Tuktuk za umeme (eMo Mobility) inabidi wakutafute au ukawatembelee ili uwape ushauri na kubadilishana mawazo. Asante sana!
Ushaur wangu kk kwenye mfumo wa motor weka autonator ili uondoe mfumo wa kuchaji hii utauza nje na dolali itaingia kwa wingi,ukikwama nitafute nikukwamue
Nakushauri kuweka mfumo madhubuti wa kuchaji betri pindi inapotembea ili kuifanya betri yake iwe inabakia na chaji muda wote inapotembea. Mfano, betri ya pikipiki inakuwa na chaji mda wote kwa uwepo wa coil ya chini na rectifier.
Note; pikipiki inatumia mafuta kuirechrge betri yake. Hili Gari ni umeme tupu. Hope kupitia huo umeme ataweka mfumo wa kujichaji/kuzalisha umeme hapo hapo
Nilikutana na Mzee mmoja Mwaya - Ulanga, aliwahi tengeneza ndege na akaruka kama umbali wa 300m ikaanguka. Wakati anaifanyia maboresho AKAKAMATWA na kuzuiliwa kuendelea badala ya kumwendeleza. Yupo ni masikini kabaki anazeeka na utaalamu wake.
@@tonyelshabbazhata akifa kabisa akiwa anafanya majaribio yake ni sawa. Hakuna serikali yoyote duniani itaamua kukusaidia ktk uvumbuzi wako. SAHAU. Mzee alikuwa sawa sema hichi anachokisema masud Cha kuaminishwa kwamba hatuwezi ndio serikali ilichomfanyia. Na sio huyo TU ni wengi walishajaribu kuunda vitu wakazuiliwa na kufungiwa
@@topfreelancer5151 hata huko ulaya lazima utaratibu unafuatwa! Kipanya amezindua gari yake kakamatwa? Taratibu zimewekwa kwa faida yetu umerusha ndege imeanguka uwanja wa Taifa pale watu 60,000 wamekufa wa kulaumiwa ni nani?
Kipanya i hope emblem ya gari hili litakuwa ni Panya. Naomba mpate kubuni haraka SAFARI CAR na muiite Panya Buku maana itakuwa kubwa 4×4 ili Tanzania tuache kuwaneemesha wajapani na toyota zao. Naomba muwalinde wabunifu wenu na wewe mwenyewe. Unaowanyima business watakuuwa.
Mwamba ana akili sana, Africa Tunahitaji watu wa aina hii, wenye uthubutu, wenye ubunifu wajionyeshe hadharani na kufanya jambo bila kuwa na Hofu ya kushindwa. Kongole nyingi Masoud Kipanya, bila shaka nitakuwa Mmoja wa wateja wako wa kununua Gari ulilolitengeneza.
Hongeraa sana Bwana Kipanya Masoud Swali langu kwako Gari zako unaziandaa Je spare parts zake unazitengeneza mwenyewe ??? Na maana gari ni spare parts zake pia. Asante na Hongeraa kwa kazi nzuri. Mwenyezi Mungu akutangulie. Una inspire vijana wa kesho.
Masudi wewe ni mtu na nusu naomba uwaambie watu katika Dunia kila kitu mtu anacho kifikiria kufanya kinawezekana kama awataki ni waoga Mimi naweza kutengeneza bastora na boti
Si wote wanaokusikiliza kuwa wanaifahamu akili yako, uko vizuri na wapo wa aina yako lakini nani wa kuwa unganisha wakati wewe unaongea badala ya kukuwezesha wao wanawaza watapataje kodi za kuropoa kutoka kwako
Bonge moja la Interview, Kp amejibu maswali kwa ufafanuzi mzuri kabisa mash Allah hakika nimepata maarifa mapya Alhamdulillah😊…KASRI LA KIKEKE🙏🏾
Kipanya is an inspiration for may of us! I have looked up to him and it has been nothing but a benefit. Looking up to him, I will also achieve my dreams! Barikiwa sana Masoud Kipanya
Masoud, Mungu akupe maisha marefu ili utimize ndoto yako.......naona ndoto yako ni kubwa sana..........bro, you gonna be somebody special!
Allah akupe umri na afya ili manfaa yapatikane zaidi!
Tumeaminishwa hatuwezi minyororo imefunguliwa mikononi na ikafungwa kichwan ktk akili zetu big up ❤❤
Ongera sana kaka mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika kila njambo lako uitangaze tanzania
Sichoki kukuskiliza brother kp very smart na tuamsha sana kama vijana.
Nimejifunza kitu,kikeke is genius hao wengne waendelee kujifunza.kunatokea gap la interview akija mtu like kipanya,anawadominate had watazmaji tunakosa content.
Hongera sana kaka....ww ni mtu wa mfano na njia sahihi ya kutafuta mafanikio
Masoud is definitely talent and genius
Kwa vijan kam. Mm na wengine wenye ambition kubwa unatufungua akili sana na kuzidi kutuinspire brother more respect ☝🇹🇿
Masudi mungu akujali akuendeleze zaidi kwaajili yamafanikiyo yawatanzania wahali yakawaida
Big time san KP namin utafika mbal sana kaka 👍👏👏
Asanteni kwa kutuweka macho, kuchangia na kutupa habari na miundombinu ya Masoud, tumefarijika. Sisi sio wajinga ispokuwa tukubali kutokukubaliana, kuvumiliana na kukubali kukosolewa bila ya kujenga chuki au kisasi 🤝
Tumejaliwa kupata Mtazania bora kabisa. Kipanya, hongera sana. Wewe ni dream achievers.
Big up Kipanya, kaza Buti hakuna linaloshindikana chini ya Jua👍🏿
Mwanangu masoud huyo alosema huwezi he has bad evil eye sisi kina mama we are proud wafundishe vijana open mama samia msaidie masoud afungue kiwanda afundishe vijana😊
Wajenzi wote mahiri wanatokea afrika tangu piramidi .wachoraji big up broo sema mtume hakubaliki kwao jitanue nchi jirani .kama soko halipo bongo ,lakini afrika kuna nchi nyingi zina shida ya usafiri .wapatiee vijana kwa mkopo unafika broo .
Kumbe diamond platinum ni kweli atakuja kuwa tajiri namba moja duniani🙏
Allah akufanyie wepec wewe na cc sote inshaallah
Naomba maongezi Aya yasiishe najisikia raha sana kaka yangu kupiga atua kubwa mwenyezi MUNGU akufikishe mbali sana upige atua kubwa Africa sio tanzania tu ongera kaka
Na sio kwamba kikundi hicho cha wazungu wachache wamefanya vumbuzi hizo zote zingine wamefanya watu wausi lakini wameficha taarifa hizo
Icon ya nchiii kipanya 🙌🏾
Mkuuu uko vzr hongera sana vt mbele,
Asante sana KP kwa kutupa shule. Ile kampuni ya kutengeza na kuuza Bodaboda na Tuktuk za umeme (eMo Mobility) inabidi wakutafute au ukawatembelee ili uwape ushauri na kubadilishana mawazo. Asante sana!
Dah interview nimesikiliza mpaka mwisho!!! Nimepata kitu kwa ubongo na moyo pia🙌
Nimegundu uyu mtangazaji wa crown 👑 wa kiume ukiacha kikeke anamkubali sana KP
Big up Mkuu Kipanya and stay blessed.
Big up sana masudi mchoraji mzuri.mogomeni moja
the end of your thinking capacity is beginning of your problems 😊😊
Mr kipanya he's inspirational
Nakubali
I love U broo.... Nyota Yako ni hatar sn
Kipanya you are a 100 yrs ahead from 90+% of wasomi wa nchi hii..
Kweli kabisa maana msomi hasa ni yule anatumia akili iliyobaki kufanya mambo mbali na ile ya kufaulu mitihani
Kusoma ni kupoteza muda wasomi WANATAFUTA MSHAHARA MKUBWA
Ushaur wangu kk kwenye mfumo wa motor weka autonator ili uondoe mfumo wa kuchaji hii utauza nje na dolali itaingia kwa wingi,ukikwama nitafute nikukwamue
Dah hiii naona shwari sana awe na extra point👍
Gazeri la nipasheeweh ndimu na chumviiih rabeeekhaaa
#wasafifm #goodmorning #habarizahasubuhi
Uko vizuri brother Kipanya. Wachoraji tuko vizuri saana.
All the best Masoud
Elon anaweza ku endorse hii project. Mara paaah! Tajiri no. Africa.
Nakushauri kuweka mfumo madhubuti wa kuchaji betri pindi inapotembea ili kuifanya betri yake iwe inabakia na chaji muda wote inapotembea. Mfano, betri ya pikipiki inakuwa na chaji mda wote kwa uwepo wa coil ya chini na rectifier.
Note; pikipiki inatumia mafuta kuirechrge betri yake. Hili Gari ni umeme tupu. Hope kupitia huo umeme ataweka mfumo wa kujichaji/kuzalisha umeme hapo hapo
@@topfreelancer5151Umecoraptii mambo wew
this man is in the next stage of capacity thinking
Nilikutana na Mzee mmoja Mwaya - Ulanga, aliwahi tengeneza ndege na akaruka kama umbali wa 300m ikaanguka. Wakati anaifanyia maboresho AKAKAMATWA na kuzuiliwa kuendelea badala ya kumwendeleza. Yupo ni masikini kabaki anazeeka na utaalamu wake.
Unarushaje ndege bila ruhusa? Ukiiangusha sokoni au msikitini ? Ni lazima wataalam waikague na wakupe vibari kwa usalama wako na watu wengine
mawasiliano yam zee yap?
@@tonyelshabbazhata akifa kabisa akiwa anafanya majaribio yake ni sawa. Hakuna serikali yoyote duniani itaamua kukusaidia ktk uvumbuzi wako. SAHAU. Mzee alikuwa sawa sema hichi anachokisema masud Cha kuaminishwa kwamba hatuwezi ndio serikali ilichomfanyia. Na sio huyo TU ni wengi walishajaribu kuunda vitu wakazuiliwa na kufungiwa
@@topfreelancer5151 hata huko ulaya lazima utaratibu unafuatwa! Kipanya amezindua gari yake kakamatwa? Taratibu zimewekwa kwa faida yetu umerusha ndege imeanguka uwanja wa Taifa pale watu 60,000 wamekufa wa kulaumiwa ni nani?
Kipanya is more than intelligence 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kipanya i hope emblem ya gari hili litakuwa ni Panya. Naomba mpate kubuni haraka SAFARI CAR na muiite Panya Buku maana itakuwa kubwa 4×4 ili Tanzania tuache kuwaneemesha wajapani na toyota zao. Naomba muwalinde wabunifu wenu na wewe mwenyewe. Unaowanyima business watakuuwa.
❤❤crown 🎉🎉
Mwamba ana akili sana, Africa Tunahitaji watu wa aina hii, wenye uthubutu, wenye ubunifu wajionyeshe hadharani na kufanya jambo bila kuwa na Hofu ya kushindwa. Kongole nyingi Masoud Kipanya, bila shaka nitakuwa Mmoja wa wateja wako wa kununua Gari ulilolitengeneza.
Safi sana Masoud Kipanya unafanya makubwa! Serikali inabidi kuwa karibu na wavumbuzi wa aina Yako !
I Inapenda machawa na wanaoisifia tu. Akina masoud ni juhud binafsi tu
Hongeraa sana Bwana Kipanya Masoud
Swali langu kwako
Gari zako unaziandaa Je spare parts zake unazitengeneza mwenyewe ??? Na maana gari ni spare parts zake pia.
Asante na Hongeraa kwa kazi nzuri.
Mwenyezi Mungu akutangulie. Una inspire vijana wa kesho.
Unaakili sana tungepata vichwa 100 kama wewe aseee big up KP
Au 500 tutengeneze s&p500tz 😊
Kazi nzuri kaka kipanya Allah akufikishe mbali zaid kiteknolojia
Kp ni hazina ya Taifa hili .Ahsante sana KP
Jamaa ni smart sana
Je umejiandaa vipi kuhusu energy kutokana na maji? Hii technology ndiyo IN.
Nilichogundua hapa,masoud ni bonge moja la mwanasiasa anauwezo wa kushawishi akili ikubali wazo lake,anamudu mahojiano,na anajua vitu vingi
3❤❤❤❤
Nimependa sana kuwa Africa tuko n'a watu ambao wana wivu kama kipany ambao wana taka kuheshimisha bara letu takatifu.
Love u gays
Kiingereza jamani. "GAYS"🌈 kweli. Tahajia
Masuud kazi nzuri sana ila unak🎉osea kidogo tu jaribu kutengenezea gari zako rectfire ili wakati gari inatembea bettery zichaji ili isiishiwe umeme
Tanzania tuna watu smart sana ikiwemo Kipanya.
Masudi wewe ni mtu na nusu naomba uwaambie watu katika Dunia kila kitu mtu anacho kifikiria kufanya kinawezekana kama awataki ni waoga Mimi naweza kutengeneza bastora na boti
If you mean it wewe, utatufaa sana. Kudos
Mimi naweza kutengeneza na kuandaa chakula Kwa wagonjwa haswa WA kisukari na obesity Kwa kutumia ujuzi wangu na wakapona
Masoud Ali wewe ni mtu mjuzi sana kweny Tz.vijana wengi wanatakiwa kujifunza mengi kupitia wewe
Mashaallah@@kissamwamunyange1018
Si wote wanaokusikiliza kuwa wanaifahamu akili yako, uko vizuri na wapo wa aina yako lakini nani wa kuwa unganisha wakati wewe unaongea badala ya kukuwezesha wao wanawaza watapataje kodi za kuropoa kutoka kwako
sema, iloo jambo la kusema "NYIE WAKINA MAMA, HAMJUI SANAAA" daaaa limeniuma kinomaaaaaaa!! sijui umemaanisha nini aiseeee!!
Sasa wewe mama? Mbona unaumia ni vitu havikuhusu
@@joashmussa3507aiseeee nami ilibidi nimshangae @danielmwaipopo imekuaje tena
Best interview❤❤
Mm nanunua gari kwako kipanya inshaallah
Masoud Kipanya,
MUNGU azidi kukubariki!!!
Very smart guy Mr. Kipanya
Salim Kikeke we ni bonge la mtangazaji. Kwa kweli mungu humpa amtakaye bila hesab katika Kila eneo
👏👏BRO unamipango mizur, ni wapumbavu pekee watazarau, ila S Safi sana, naomba unipe nafasi ya kukusaidia kazi zako.
Mbona bei ya gari hamjamuuliza?
Sasa huyu ndio wa kusema ana ndoto ta kuwa bilionea wa africa
Big up KP
masoud weye ni mtu na nusu brother big up
Kipanya lichoree kibonzo hilo gari, hongera sana
Sana'a.
GNS KIPANYA HAZINA YA TAIFA
MUNGU AKUWEKE TUNAJIFUNZA MENGI KUPITIA WEWE.. AMEN 🙏
Hongera kipanya
Masoud saf sana
Leo ndo nimegundua masoud ni mtu muhimu kwenye Taifa kuliko kichwa mviringo
unamuongelea awijaku 😀
Akili kubwaaaaaa
🔥🔥
Unajua wachoraji ni creative sana so anaweza kuunda gari masoud
Kweli kabisa mwamba sio kwamba watu Awana akili ila ni kwamba awataki kutumia akilizao
Akili kubwa, all the best to him
Me ni mchoraji nimekurlewa sn kaka 🎉
Big up bro
Mtangazaj na mtangazaj maisha yanaenda mbio sana leo nawaona watu ninaowakubali katika tasnia hii
"unanielewa?....., umenielewa?....., nadhani umenielewaaa"
Maisha plus naikumbuka sana
Nakubali kuhusu msanii wa uchoraji
Haya ndio mahojiano sio kelele za mwijaku na babalevo
ntakuja kununua gari inayotengenezwa n mwafrika ..😅😅😅
Huyu mwamba ni fasaha saan kwenye kuongea
Sauti ya la BBC in crown media ,,,waTZ tujivunie kuhusu awa watu wa aina hii kukumbuka nyumbni,,,tuilikuwa atupti vitu kama hivi
Products yng ya usafiri wa wachawi utakamilika soon
Maelezo na namna ya kujiamin najins anavoongea anaonekana nimtu sahihii na mchunguzii saana lazma aweze kwa sababu anauwezo
Naona kama kausanii flan😅
Kwa sababu ndio maisha unayoyaishi😂😂
😅😅😅😅😅
🙏🙏🙏🙏🙏
Ahsante kwa elimu broo kipanya
👏👏👏
Kipanya n kwel ulicho sema kuhusu sisi✍
Big up
KP 🔥🔥🔥