Muhtasari: 1 Wakorintho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Wakorintho, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika 1 Wakorintho, Paulo anawaonyesha Wakristo wapya katika mji wa Korintho kwamba matatizo yote magumu ya maisha yanaweza kuangaliwa kupitia lenzi ya injili.
    #BibleProject #Biblia #Wakorintho
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3

  • @filbertmote6409
    @filbertmote6409 2 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri sana

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @Bennymwangaza
    @Bennymwangaza 2 ปีที่แล้ว +1

    I have known this channel at the right time