Mkakati Wa Kujenga Jina Lako (PERSONAL BRANDING)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 79

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 3 ปีที่แล้ว +2

    Habari yako kaka Joel kiukwel mm napenda sana kujenga jina langu kwenye biashara lakin kwavile umenipa elimu yakujenga jina langu niseme tuu asante mungu akubarik nakubariki nakaz zako unazifanya shukran

  • @boscobalame8018
    @boscobalame8018 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi Naitwa BOSCO BALAME ntashukr Sana 🙏. Nakuza Jina Kutumia Music Wangu Wa GOSPEL SINGER 🇹🇿 nahisi ntapiga hatua Joel

  • @alloykabwe6754
    @alloykabwe6754 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm so much excited 😀,
    Najifunza mengi Sana, ila Leo nimefarijika saaana hasa ulipo piga mfano wa eneo nalohitaji kujijengea Jina kwalo.
    I wish one day tuonane Unishauri mengi zaidi Brother.
    MEET YOU AT THE TOP 🔝

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +1

      Hongera kwa kujifunza na kujua kuhusu eneo lako.

  • @issantutu623
    @issantutu623 3 ปีที่แล้ว +2

    Association lakn watu wakuwasogelea nashndwa kuwafaham

  • @mudyhmedia
    @mudyhmedia 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka nakufatilia siku zote najifunza sana kutoka kwako

  • @edsonerick8877
    @edsonerick8877 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila asubuhi nasikiliza video yako moja as my breakfast, then naenda kuiishi kwenye shughuli zangu.... Be blessed

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Nimefurahia Sana nimesisimka Sana,barikiwa

  • @evaristkinemo2345
    @evaristkinemo2345 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana brother Joel, I see myself making it though yr teachings

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว +3

    All of them are very important to me Mr Joel,thank you for the morning lesson stay blessed Sir🙏🙏🙏

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu akubariki

  • @vicentshonyela1710
    @vicentshonyela1710 3 ปีที่แล้ว

    Speciality

  • @onesmosanga8408
    @onesmosanga8408 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwalim joel me kwa upande wangu najenga jina kupitia ufugaji na pia na focus kwenye eneo ilo hatua inayo fwata nikutafta watu sahihi waku jumuika nao pamoja na mwisho ndo nta share knowledge kwa wengne.
    See you at the top

  • @kelvinmollel5079
    @kelvinmollel5079 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nataka kujenga jina langu kwenye utalii wa tanzania(tour guide)je nifanyaje

  • @user-db6hw8gj1d
    @user-db6hw8gj1d ปีที่แล้ว

    Nashukur kwa kunisaidia,umenifumbua akili

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuko bega kwa bega

  • @amanisupeti2451
    @amanisupeti2451 3 ปีที่แล้ว

    Focus

  • @thomasmsophe2626
    @thomasmsophe2626 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Brothe kwa mafunzo mazuri🙏🙏

  • @washhjojo4840
    @washhjojo4840 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel naomba vidio Ya jinsi ya kukubalika asante

  • @mrmisosiliuma9366
    @mrmisosiliuma9366 3 ปีที่แล้ว +1

    mm niko kwny hatua ya 3 {Focus}...
    Najihusisha na Biashara ya Chakula Mtandaon, kwa sasa najulikana kama Mr MISOSI....

  • @jamesemmanuel6730
    @jamesemmanuel6730 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hatua ya pili na changamoto kubwa ni namna ya kuambatana na watu wanaoendana na jina ninalililolichagua

  • @lightnesskashi3226
    @lightnesskashi3226 3 ปีที่แล้ว

    Miaka mingi nimekuwa nikifuatilia video's zako zimenijenga sana. Blessed Joel

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa Elimu Mkuu.

  • @obrigadovictor9260
    @obrigadovictor9260 3 ปีที่แล้ว

    Congratulation,Well explained.

  • @joelcryptomarket
    @joelcryptomarket 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Joël kamathe Thasi toka Congo, nakukubali Sana mwalimu Wangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Ahsanet sana, nafurahi kusikia hivyo.

  • @ngogemuhammed4081
    @ngogemuhammed4081 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja na hayo uliyowasilisha nafikir pia nembo maalum inaweza pia kua mchango wa kukuza jina lako .

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa aliyozungumza usemayo wew tofauti iko wapi ama kiswahili kigumu ndugu yangu 😁😁😁

  • @josephshibone4695
    @josephshibone4695 3 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua namna ya kutumia njia ya nne,kwani nina biashara yangu IPO vizuri sana.lakini pamekuwepo malalamiko kwa wateja ya bei.

  • @mahegamagida3229
    @mahegamagida3229 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka umekuwa msaada san kwangu

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwachakula iki

  • @sophiahamza3789
    @sophiahamza3789 2 ปีที่แล้ว

    Kila mahali unapenda kueleza speciality tuelze kuhusu hilo

  • @jereleyanonlinetv
    @jereleyanonlinetv ปีที่แล้ว

    Kweli kaka joel ila nataka ushauri mm kama mm maana kila nikijaribu kufanyanya kitu watu wanaingilia

    • @jereleyanonlinetv
      @jereleyanonlinetv ปีที่แล้ว

      Mfano mm nafanya kaxi kiwanda cha nyama kila nikibuni kufanya kitu chote watu wanaingilia naomba ushauri kaka joel nifanyeje

  • @edwardvelidiana1864
    @edwardvelidiana1864 3 ปีที่แล้ว

    Amina sana

  • @pendomasanja9780
    @pendomasanja9780 3 ปีที่แล้ว

    Asante kaka joel nmekuelewa

  • @hamzandalamila8529
    @hamzandalamila8529 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie kaka.

  • @dandebossxakara9939
    @dandebossxakara9939 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana kaka hapo Mimi naona nianze na speciality

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว

    Bles brother

  • @annamallya8756
    @annamallya8756 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 ปีที่แล้ว

    Thanks kaka Joel

  • @denissanga454
    @denissanga454 3 ปีที่แล้ว

    I understand mr

  • @jacksoniritte6523
    @jacksoniritte6523 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @mwalimmwamboga9029
    @mwalimmwamboga9029 3 ปีที่แล้ว

    Shukran kaka

  • @irinapardon4230
    @irinapardon4230 3 ปีที่แล้ว

    Asante 🙏

  • @hajihashimu4199
    @hajihashimu4199 3 ปีที่แล้ว

    Blessing xana

  • @breshnyanjwa3102
    @breshnyanjwa3102 3 ปีที่แล้ว

    Tanx pastor, but I'm nt an extrovart lakini ningependa kusonga mbele, sijui niifanyeje

  • @gracecharles2696
    @gracecharles2696 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @ipmtv3298
    @ipmtv3298 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali mkuu!! 🙏

  • @user-jg3rc7pz9p
    @user-jg3rc7pz9p 9 หลายเดือนก่อน

    Niko Kwenye eneo la pili

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 2 ปีที่แล้ว

    Watu wa kuambatana nao

  • @habelndumla6236
    @habelndumla6236 3 ปีที่แล้ว

    UBALIKIWE

  • @abelinegomalugu3452
    @abelinegomalugu3452 3 ปีที่แล้ว

    Mwl ofisi yako ipo wapi pengine ningependa kuja kukuona kwamaana naona kama ufunguo wangu unao wewe

  • @kasimuchigala9945
    @kasimuchigala9945 3 ปีที่แล้ว

    Saw kiongoz iko ktatabu cha timiza malengo yako kinauzwaje

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      15,000/- tuwasiliane 0756-094875

  • @emmanuelmartinmwacha9784
    @emmanuelmartinmwacha9784 3 ปีที่แล้ว

    👍

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 3 ปีที่แล้ว

    brother nashukuru kwa darasa....mimi nafanya music na naamini ninakipaji iko,,,,karibuni kusikiliza nyimbo zangu kwa account yng kwa kugusa picha yng apo,,,pia naomba comment zaid...JOEL UNANIFUNGUA KILA SIKU

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

    Mm naomba namba yako plz naangalia video zako san 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤲

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 ปีที่แล้ว

    4

  • @zabronsuleiman664
    @zabronsuleiman664 3 ปีที่แล้ว

    kaka vitabu napataje nipo kahama

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Karibu sana tuwasiliane 0756-094875

  • @tonnyboytz4063
    @tonnyboytz4063 3 ปีที่แล้ว

    Icho kitabu kinapatikanaje?

  • @franksamson4693
    @franksamson4693 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja Joel lakini naomba tuwasiliane na ww 0717950262

  • @rosenyandindi7606
    @rosenyandindi7606 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nafanya vitu viingii hata sijui speciality Yangu ipi.. I can't even define me! ...naandika..nashauri..naimba..napenda kuhudumia watu.. Yaan I like people...
    can you help me! 0756956014

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 3 ปีที่แล้ว

    Tuko bega kwa bega