AINA 5 ZA KUFIKIRI ZINAZOFELISHA WATU - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2022
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 131

  • @lucasmganga2811
    @lucasmganga2811 ปีที่แล้ว +19

    Hakika bro unanifanya kila siku nionekane mpya na bora zaidi katika biashara yangu na kupelekea ni itwe teacher kwa sababu ya nondo zako zinagusa saana maisha ya watu wengi Mwenyezi MUNGU akubariki Sana🙏🙏🙏 pia natamani cku nikualike katika training center yangu utupe chakula cha ubongo na kutukumbusha vijana kusudi letu💪💪💪

  • @abdlhaleem8380
    @abdlhaleem8380 ปีที่แล้ว +6

    Philosophy is the foundation of life in term of critical thinking.

  • @omarimtau5162
    @omarimtau5162 ปีที่แล้ว +10

    Nashukuru sana brother Joel Nanauka kwa fikra mpya za mwisho wa mwaka 🙏🙏.
    Sina fikra kati ya hizi nilizo pitia lakini wapo watu nnao wafahamu wanaishi kwenye hizo fikra kila siku.
    Nimejifunza kitu kipya Broo.
    **All the best**
    **Difficult doesn't mean impossible**

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana kwa kujifunza,tuendelee kujifunza zaidi na zaidi

  • @ayubuissa6377
    @ayubuissa6377 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu hongera Sana Sana Sana umenipa muongozo katika maisha yangu Niko na wewe huu ni mwaka wa nne sasa Kila siku unanifanya niongezee maarifa Asante naitwa ayoub kutoka mbezi ya kimara

  • @RumamboRumambo
    @RumamboRumambo 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu

  • @LaoMahinda-gb3uo
    @LaoMahinda-gb3uo 9 หลายเดือนก่อน

    You're so brave kiukweli watu wengi sana tuko nao kwenye maisha hatujuw wako kwa sababu ipi,

  • @RAMADHANIMAPENDANO-sm4ny
    @RAMADHANIMAPENDANO-sm4ny 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka nanauna. Tangu nimeanza kukufatilia. Kiukweli kuna vitu vingi sana nimejifunza. Mungu akulinde xana uishi. Maisha marefu'

  • @drjamesjames9337
    @drjamesjames9337 ปีที่แล้ว +1

    Daah kaka unajua Sanaa,nimeanza kujiajili kwa mtaji mdgo kwaajil ya mafundisho yako ,nimekataa kuajiliwa na kujiajili kwa maarifa yako..nimebakiza kuchora picha ako tu kweny bango la biashara yangu....ubarikiwe Sana aiseee 🙏🏼

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana na nafurahi kusikia hivyo

  • @user-pi3xy4hi3d
    @user-pi3xy4hi3d 4 หลายเดือนก่อน

    Niko pamoja na ww🎉🎉 kaka joely mungu akubariki sana

  • @minanicharles3081
    @minanicharles3081 ปีที่แล้ว +3

    I really like ur presence on ur audience on the speach much respect Mr Joel I like u and asante sana u deserve my gift my brother

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru sana Minani

  • @drppt7377
    @drppt7377 3 หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana , naitaji kuongea na wewe kwa kituo kaka...

  • @suleimanmakwega4465
    @suleimanmakwega4465 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka Joel nanauka kwa elimu bora naamini itatusaidia wengi kwenye jamii na tutanufaika vzr kwa uwezo wke mungu

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 ปีที่แล้ว +1

    Nice fact kaka God bless more brother

  • @mwitakihani686
    @mwitakihani686 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mtu bora sana kaka yaani nimepta ktu kutoka kwako kaka yangu

  • @tinnyflavour8970
    @tinnyflavour8970 ปีที่แล้ว

    Hii ni bora sana kaka joel inafndisha namuomba sama mwenyz mungu akubark

  • @yothamvenusto-bx5sl
    @yothamvenusto-bx5sl ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa mawazo na fikra mpya ulionionyesha ila naomba msaada wako nahitaji nifanye biashara baada ya kumaliza chuo ila sijajua nifanye biashara baada ya chuo kwani nipo mwaka wa kwanza na najiwekea akiba ila sijapata wazo sahihi nini nitafanya baadae.

  • @habibadaudi8242
    @habibadaudi8242 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli mm narafki yangu aliapa kua hato olewa na mrangi abadan lakini matokeo yake kaolewa na mrangi na anampenda sn na anafurahia ndoa yake kila siku ww kaka mashallah mungu kakubariki unaongea vitu ambavyo vipo kabisa

  • @janviervenasi
    @janviervenasi ปีที่แล้ว

    Asante kwama shauri Mazuri umenitowa mbali ume nibadilisha nakuwa mupya kilasiku

  • @user-oo8xz9nr1r
    @user-oo8xz9nr1r 4 หลายเดือนก่อน

    Habari mtumishi aina hii ya Tano Huwa ni nayo naomba msaada wako. Mtumishi

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo la fikira. Nimejifunza kitu kipya kwenye speech yako hii

  • @musamaghati7733
    @musamaghati7733 ปีที่แล้ว +1

    Bro. Hili somo limenijenga zaidi.. unawezaje sasa ku control ufikiri wako

  • @vincyber-yt7ie
    @vincyber-yt7ie ปีที่แล้ว

    Kenya nakufatilia sana na kujifunza mengi ambayo yamenibadilisha kabisa.

  • @salesiomweda1747
    @salesiomweda1747 ปีที่แล้ว +3

    Muito obrigado pela aula

  • @bbs9030
    @bbs9030 ปีที่แล้ว +1

    Sawa kabisa

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka Joel

  • @moseskoka2375
    @moseskoka2375 ปีที่แล้ว

    Kaka, uko vzr sana, nimejifunza vitu vya msingi sana, 🤝🤝🤝

  • @jacklinentabo2380
    @jacklinentabo2380 ปีที่แล้ว +1

    Waiting!!

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 ปีที่แล้ว

    Jmn Hy no 2 mm kbs kwenye mapenzi ni muoga sana shukrani sana

  • @Lily-xw6hg
    @Lily-xw6hg 10 หลายเดือนก่อน

    Waooo somo zuri mnoo,,,,

  • @onesmokaberwaosward3709
    @onesmokaberwaosward3709 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kwa mafundisho haya muhimu

  • @chonekemachinda2715
    @chonekemachinda2715 ปีที่แล้ว

    Somo ziriii kaka asante

  • @asiathuman3380
    @asiathuman3380 ปีที่แล้ว

    Umenifundisha sn nadhani mm ni muhanga wa hayo mambo nitafanyaje ili niweze kutoka. Mungu akubariki sn

  • @mrdaniel5223
    @mrdaniel5223 ปีที่แล้ว

    Duuh Nanauka leo umeongea points sana asee

  • @senbon8693
    @senbon8693 ปีที่แล้ว

    Asante nimejifunza kitu.

  • @user-br7zd8sm8h
    @user-br7zd8sm8h 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka nakubari sana

  • @hometutors1
    @hometutors1 ปีที่แล้ว +1

    HUYU JAMAA NI HATARI SANA

  • @Raphael99
    @Raphael99 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmmmmmh unajua wewe niwaviwango Sanaa MTUMISHI WA MUNGU UBALIKIWE SANAA mtumishi

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +1

      Ameen Ahsante sana Raphael

  • @youtub8320
    @youtub8320 ปีที่แล้ว

    Waiting too

  • @pascomanyelezi7706
    @pascomanyelezi7706 ปีที่แล้ว

    shukran bro

  • @onesmosamson8121
    @onesmosamson8121 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kwaushauli

  • @gracekakuru-pv6kz
    @gracekakuru-pv6kz ปีที่แล้ว

    Shukran sana bro

  • @raymondsulemansuleman485
    @raymondsulemansuleman485 7 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA MTUMISHI KAZIYAKO NINJEMAMNO,NIMEKUFAIDI SIO MARAMOJA,,NATAMANI NIPATE VITABUVYAKO,,IWAPO UMEANDIKA..NA IWAPO HUJAANDIKA ...NIOMBE UANDIKE.❤🎉asante..NI MCHUNGAJI RAYMOND...NIPO MBEYA.

  • @jumambughi4244
    @jumambughi4244 ปีที่แล้ว

    Thanks Asante mutumishi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Joel nanauka ❣️

  • @EmmanuelNgimba-qn3gn
    @EmmanuelNgimba-qn3gn 11 หลายเดือนก่อน

    Saw kaka

  • @luciennibizi306
    @luciennibizi306 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @azariadaud6150
    @azariadaud6150 ปีที่แล้ว

    Asante nikweli wengi tunafeli hapo

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 11 หลายเดือนก่อน

    Watching for 4th time be blessed brother @kenya

  • @josephmwakyaga9087
    @josephmwakyaga9087 10 หลายเดือนก่อน

    Daa nilichelewa kupata habira zako nachukua maamuzi mapema

  • @kelvinbernard5453
    @kelvinbernard5453 ปีที่แล้ว

    Hii ya mwisho fitering ndo inaniandama but asante nimeyapata mahalifa Mungu akubaliki mwl Joel nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Hongera kwa kugundua hii

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 ปีที่แล้ว

    Nikweli kaka ,elimu borasana

  • @rithacharles1318
    @rithacharles1318 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka

  • @mbaohosea8025
    @mbaohosea8025 ปีที่แล้ว

    Kweli kuna watu wa aina hii na wengi wako huishi maisha ya tabu sana hata kufikia kupata magonjwa

  • @user-dn4ko3uc2y
    @user-dn4ko3uc2y 4 หลายเดือนก่อน

    Ushauli kwa uliyoyafundisha

  • @berthaclement8905
    @berthaclement8905 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye namba2 😃😃😃😃 wengi tuko hapo

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 ปีที่แล้ว

    Duuu!!! asante kaka Joel, hapo kwenye kumchukia mtu wa karibu yangu kabisa akinifanyia mabaya au kunizunguka kwa chochote uwaga namuona ni adui kabisa, nisaidie kaka maana!! 🙄

  • @isackmwansheto2568
    @isackmwansheto2568 ปีที่แล้ว

    Hakika naendelea kuvuka
    Mungu aendelee kukutunza Kaka Mkubwa

  • @user-om7pl9xm4s
    @user-om7pl9xm4s 3 หลายเดือนก่อน

    Appreciate ✍️

  • @thadeynyenza4948
    @thadeynyenza4948 3 หลายเดือนก่อน

    Umenigusa broh! Ila nipo zaidi ya kundi moja……nilikuwa nahisi unanisema😁

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 ปีที่แล้ว

    Asantee kwakuja

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 ปีที่แล้ว

    Shukrani jaman ya ww ni mkweli kbs Asante Kwa SoMo nitabadilika now

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Hongera sana chukua hatua za kubadilika

  • @menzanealide5183
    @menzanealide5183 ปีที่แล้ว

    Asante mualimu

  • @anthonylutala7534
    @anthonylutala7534 10 หลายเดือนก่อน

    Ko mkuu ili niende tofauti na tabia izo niweze kuwa nawaza tabia zenye kunijenga nawezaje ni saidie na ili tafadhar.

  • @user-ku2ib3sl5z
    @user-ku2ib3sl5z 8 หลายเดือนก่อน

    Good joel

  • @yohanaorkimbai5554
    @yohanaorkimbai5554 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka NANAUKA

  • @sababurobert8940
    @sababurobert8940 ปีที่แล้ว

    Tuko pammoja sana kiongozi,,

  • @jumambughi4244
    @jumambughi4244 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mafikilio yako yanakujengea uhalisia kichani mwako

  • @jacqueline8309
    @jacqueline8309 ปีที่แล้ว +1

    Dah asante sana,nabadilika kuanzia leo

  • @darweshmahugi3434
    @darweshmahugi3434 2 หลายเดือนก่อน

    Ni njia ipi sahihi ya kufikiri

  • @azizakwileka1641
    @azizakwileka1641 ปีที่แล้ว

    Catastrophe hii ninayo ila kwa upande wangu ni katika mahusiano... Mweeh😥

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +1

      Ifanyie kazi mapema hii

  • @neemamndeme-vk5sn
    @neemamndeme-vk5sn ปีที่แล้ว

    Kaka umekua msaada mkubwa kwangu Mungu akubariki

  • @vanessasalema6087
    @vanessasalema6087 3 หลายเดือนก่อน

    Noted.

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 ปีที่แล้ว

    Naomba nicheke kidg mwl.😅😆,

  • @mussakubari3920
    @mussakubari3920 ปีที่แล้ว +1

    Nikwel Kaka Mimi nomba 4 hyo inaniusu

  • @194summer
    @194summer 11 หลายเดือนก่อน

    See you at the top,,nimeelewa filtering

  • @user-zv3ob3ek5l
    @user-zv3ob3ek5l 10 หลายเดือนก่อน

    Fact😊

  • @LaylatMuhinda
    @LaylatMuhinda 5 หลายเดือนก่อน

    Nisiwe muongo kuna namna napata nafuu kupitia masomo yko.... Ila kwa sasa naomba unisaidie jinsi ya kuacha kumfikiria mtu alie niumiza

  • @omarjuma1794
    @omarjuma1794 ปีที่แล้ว

    #JoelNanauka Jenius By Discovery

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🔨

  • @paulog.lucumay3748
    @paulog.lucumay3748 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana Ndugu Joel.

  • @tituskisandu
    @tituskisandu 11 หลายเดือนก่อน

    Kwenye msiba wangu hajatokea 😂😂😂😂

  • @SELEBAILO
    @SELEBAILO 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika kaka no Kama unanisema mm

  • @masisimtesigwa5880
    @masisimtesigwa5880 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja kaka

  • @stevemarere3767
    @stevemarere3767 ปีที่แล้ว +1

    Haha hyo namba 2 watu wengi nimekutana nao wanayo.
    Yaani mtu adi afanye kitu
    Hadi aone Hakuna negative yoyote.
    Zikikosekana negative za muda huu, anatafuta negative ata za miaka mitano ijayo.. ili tu asifanye hilo jambo

  • @najayohana2111
    @najayohana2111 ปีที่แล้ว

    Yaan kaka kilakitu umenisema mm kabisa yaani hua naogopa vitu ambavyo havipo kila nkijalibu kufanya kitu kinafeli saizi naogopa hata kufanya chochote nahic kukata tamaa

  • @deborahgeorge4600
    @deborahgeorge4600 ปีที่แล้ว

    This is true kaka Joel..
    Then how do we solve this?

  • @user-is5sj8vg4i
    @user-is5sj8vg4i ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @abuhaydatomar8607
    @abuhaydatomar8607 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizur bro nimefaidika sana kwenye hili somo, ila nahitaji utoe video ukizungumzia kwamba je nivizuri kujipendekeza Kwa girl ambaye unampenda au Kuna athari? Please bro I'm very need that lesson 🙏🙏🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +1

      Tafuta video zangu za mahusiano nimezungumzia

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 ปีที่แล้ว

    Mimi Nipo hapo namba 4 😢nifanyeje nitoke hapo @Mr.Joel

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 ปีที่แล้ว

    Kaka joeli naomba behind ya hii video kwakwel nifulahi sana

  • @SonySony-hx5yd
    @SonySony-hx5yd ปีที่แล้ว

    Dakika 20 zlizopita nlikuwa naongea hivi2,juu yamwenza wangu,nshkru kaka kwa hili somo,,aisee kama uliona navyomuwazia mabaya bdae

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Hongera kwa kugundua hili

  • @fredmashauri210
    @fredmashauri210 ปีที่แล้ว

    Hii situation imeniface kabisaa this year nanimeshimdwa kutimiza lengo langu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Pole sana,uzuri umejifunza vizuri

  • @azimiostudio3362
    @azimiostudio3362 ปีที่แล้ว

    Gd mkl

  • @maduuikangira9864
    @maduuikangira9864 ปีที่แล้ว

    Mimi nawachukia wanawake karibia wote,

    • @ghelimafilemon9653
      @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว

      Na mimi nawachukia wanaume, sipendi kuona hata kivuli cha mwanaume kipite jirani yangu

  • @Keyjop
    @Keyjop 9 หลายเดือนก่อน

    Nlichelewa wapii mimi jmn daah..😂

  • @dottolucas4504
    @dottolucas4504 6 หลายเดือนก่อน

    Nisak

  • @user-lj4pz4pv8o
    @user-lj4pz4pv8o 4 หลายเดือนก่อน

    Mung Skype siku nying za kuishi Kaka bnafsi nakuelewa sana

  • @user-it9ru4um4m
    @user-it9ru4um4m 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna rafiki yangu yupo namba2 nifanyaje Ili nimsaidie

  • @yohanamsalilwa7066
    @yohanamsalilwa7066 ปีที่แล้ว

    Kaka mbona kuna wakati unatuma kitu Whatsapp halafu unaona mtu kaona na hajakoment chochote, hii ipoje? Kwenye PERSONALIZING

    • @luggiestar1865
      @luggiestar1865 ปีที่แล้ว

      i think sio kila mtu kwenye maisha yako atakuwa interested unacho post so be patient mkuu. lakini pia wengine wanaelewa laikini hawana cha kijibu mkuu