Anza siku yako vyema.Ishinde siku yako kwa kutafakari na kupanga vipaumbele vyako siku moja kabla,miliki siku yako vyema.itaboresha utimizaji wa mambo yako na kazi zako kwa ujumla.heshima kwako Joel Nanauka.
Ubongo wako wa ndani (Subconcious mind)unafanya kazi masaa yote hata kama umelala hivyo ni vema kuupa ubongo wako kazi ya kufanya wakati umelala.Ni hii ni kuupa kazi ya kufanya kabla ya kwenda kulala( To do list).Kweli this things it works, I have been doing it..Ila cha zaidi two minutes rule nimeipenda zaidi naanza kuitumia kuanzia leo..
Thanks Brothers , nimejifunza kitu kikubwa sana , kamwe sinto airisha mambo ya muhimu na ya msingi, kwa zia leo maisha yangu yata badilika, nimefurahi sana
Nakuelewa sana kaka Joel, unanibadilisha kila kukicha, ahsante sana kaka.
Duuh, Ahsante sana watu tunatoka mbali sana cha muhimu kupangilia safari yako na kutokata tamaa
Anza siku yako vyema.Ishinde siku yako kwa kutafakari na kupanga vipaumbele vyako siku moja kabla,miliki siku yako vyema.itaboresha utimizaji wa mambo yako na kazi zako kwa ujumla.heshima kwako Joel Nanauka.
nanauka anajua anaowambia wakoje na ndo maana anpenda kutumia kiswahili zaidi ahsantenanauka
Asante kaka zangu Mungu awabariki
Ubongo wako wa
ndani (Subconcious mind)unafanya
kazi masaa yote hata kama umelala hivyo ni vema kuupa ubongo wako kazi ya
kufanya wakati umelala.Ni hii ni kuupa kazi ya kufanya kabla ya kwenda kulala( To do
list).Kweli this things it works, I have been doing it..Ila cha zaidi two
minutes rule nimeipenda zaidi naanza kuitumia kuanzia leo..
Thank you so much.
Planning, planning, planning 👏
Thanks Brothers , nimejifunza kitu kikubwa sana , kamwe sinto airisha mambo ya muhimu na ya msingi, kwa zia leo maisha yangu yata badilika, nimefurahi sana
safi
Very good episode.
2-minute rule on procrastination 👏👏👏
Daaahh Kwenye kupanga ratiba usiku,nimefaulu coz ndo tabia niliyojiwekea.
Ahsanteni sanaaa
Blessed Brother Joel Nanauka
asante kaka nanauka kila laa kher kwako vitu adim hivi
Thankx mwalimu wangu
joel na tony ni best combinations
Wow, so inspiring☺
Luvanda punguza Swanglish. Punguza kuchanganya lugha ili ueleweke hata kwa wasiojua Kiingereza.
joel nanauka ww ni mtu wa kipekee sana
THANK BROTHER
be blessed
Lusajo Angolile Amen
nice videos
Asante
✌️
Hicho kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO, nitakipataje
nazidi kupata maarifa na ufahamu.
Lusajo Angolile Shukran. Tafadhali share na wengine pia
nice
olders nyie jamaa mmepewa zawad kubwa sana na muumba
vitabu vyako tunapataje kaka
mimi natumia prefrontal
ok
Kipindi kifupi why
Asante