Nimejifunza kitu kikubwa sana..... Na katika somo la leo nimegundua kuwa napoteza muda mwingi sana kwa kufanya mambo mengi na mwisho wa siku najikuta nachoka bila mafanikio..... Kupitia somo la leo nimejifunza na ninatakiwa nichague eneo moja kubwa katika maisha yangu nahapo niweke nguvu na akili yangu yooote... Ili mwisho wasiku niwe ( MTAALAM ) kupitia jambo hilo. Ahsante sana joel
Ubongo haulali njaa nikiskia elimu kama Hii nahisi nimeipata oxygen ya akili blessed Mr Joel Nanauka mungu akujalie uzima na afya njema uendelee kututibu dactari wa afya ya ubongo
Somo lako limenigusa sana Kaka,mimi ni nurse niko vijijini kabisa, nahitaji kujtolea kuanza kutoa elimu ya afya kwa jamii, Ila changamoto mimi ni mtu mwenye aibu sana, sasa nifanyeje Kaka naomba msaada.
Unafundisha vizuri sana falsafa na nadharia za mafanikio katika maisha. Hata hivyo kujua kitu sahihi haitoshi kwani mtu anahitaji kuwa na ROHO MTAKATIFU ambaye ndiye humuwezesha mtu KUFANYA mambo sahihi kinyume Cha hapo binadamu kwa nguvu zake hawezi KUFANYA mambo sahihi kama tabia
Asnte kwa elimu nxr .Mung akubarik ila mm bidhaa zang watu wanaxipenda mnoo na wateja wananisifia san, lkn sijui kwann sipanuk kibiashara nishauri .Nimpishi wa keki za birthday, harusi, send off n.k
Jitaje,toa ushauri,jitolee,chaji kidogo,anza kuchaji pale watu wanapoanza kukutafuta wewe sio wewe ndio unao watafuta, lapili wakianza kulazimisha uwe ni wewe naasiwe mtu mwengine.mwisho dimand imekuwa kubwa hadiunakosa mda wakuwatumikia ImeishaNamna ya kukuza jina lako.
Nimefurahi sana kaka Nanauka...kama kawaida nakufollow ajabu ubarikiwe mnoo...Mimi nashukuru nimeshachagua niche yangu,nimeanza kutoa ushauri na sasa nnajitolea kwa baadhi ya taasisi,lengo langu ni kutoka kwenda kwenye watu wenye uhitaji mkubwa zaidi wa ujuzi na maarifa nilionayo(base on research fupi)...swali langu ni kwamba napataje msaada wa kuunda platform kama TH-cam, n.k ambayo itanisaifia kuonesha na kuwafikishia jamii kazi yangu?
Kaka ww ni mtu muhimu sana umenifundisha kitu muhimu sana
Nimejifunza kitu kikubwa sana..... Na katika somo la leo nimegundua kuwa napoteza muda mwingi sana kwa kufanya mambo mengi na mwisho wa siku najikuta nachoka bila mafanikio..... Kupitia somo la leo nimejifunza na ninatakiwa nichague eneo moja kubwa katika maisha yangu nahapo niweke nguvu na akili yangu yooote... Ili mwisho wasiku niwe ( MTAALAM ) kupitia jambo hilo. Ahsante sana joel
Ahsante sana Mwalimu na kiongozi❤
Fact
Na kuku bali sana joel
Hii elimu ni zawadi kwetu, inasaidia sana, thanks brother Joel...see you at the top!
Nimekelewa sana noel
ubarikiwe Kaka Joël
Powerful
Ubongo haulali njaa nikiskia elimu kama Hii nahisi nimeipata oxygen ya akili blessed Mr Joel Nanauka mungu akujalie uzima na afya njema uendelee kututibu dactari wa afya ya ubongo
Nmeupenda sana ujumbe. Asante mwalimu wa Taifa letu❤
God bless you
Shukran Mwalim
Unatujaza madini@kukicha
Nimekuelew kaka ngoja nijalibu
Ubarikiwe sana umeni andaa kuanza safari ya matumaini .
Nikweli mwalimu somo nzuri sanA mwalimi,asante
Hongera, kazi nzuri👍👍👍
Kaka joeli nakuombea maisha marefu
Somo lako limenigusa sana Kaka,mimi ni nurse niko vijijini kabisa, nahitaji kujtolea kuanza kutoa elimu ya afya kwa jamii,
Ila changamoto mimi ni mtu mwenye aibu sana, sasa nifanyeje Kaka naomba msaada.
Kumbe wa aibu tupo wengi hata mm pia
Pambana na aibu kwa kuchukua hatua na maombi ya dhati. Hiyo aibu ni Hila ya adui kwy njia ya mafanikio yako
Madini adimu haya mwalimu, nimeanza kujitafuta kuanzia leo
Unafundisha vizuri sana falsafa na nadharia za mafanikio katika maisha. Hata hivyo kujua kitu sahihi haitoshi kwani mtu anahitaji kuwa na ROHO MTAKATIFU ambaye ndiye humuwezesha mtu KUFANYA mambo sahihi kinyume Cha hapo binadamu kwa nguvu zake hawezi KUFANYA mambo sahihi kama tabia
Kaka tunashukuru Kwa mafundisho yako maana unazidi kutuimalisha katika city tunavyo vifanya
Life coach is My life long goal!
Naam thank you bro
Asante sama
Nashukuru kunifundisha ujipanga kustaf kujijua bila kuwa tegemezi
Asante kaka
Shkran Kaka Joel🙏🙏🙏
Ymkn wanifunza mng sn.
Alright, 🙏 ubarikiwe mno.
Asante sana mwalim ninakusoma sana na najifunza sana
Asante sana
Asante kwa hilo
Respect broh i always appreciate on wha your doing to generate people's mind set and character
Thnks brother
On-point ❤
Ahsante sana kaka nanauka mungu akubaliki
Asante sana kiongozi, nimejua namna ya kuji-brand
Ubarikiwe ndugu umenibadirishasana hasakuhusumadeni natAmani nikuone usokwauso Mimi nipo chanika
Barikiwa kwa namna unavoendelea kuwagusa watu kwa namna ya pekee sana
Asnte kwa elimu nxr .Mung akubarik ila mm bidhaa zang watu wanaxipenda mnoo na wateja wananisifia san, lkn sijui kwann sipanuk kibiashara nishauri .Nimpishi wa keki za birthday, harusi, send off n.k
NAi subir hii
Awesome Ahsante sana my dear brother
Thank you very much my Mentor!!!I always follow your teachings and it taking somewhere on the top
Ipo siku baba nitakuita tena kwa kushido maana umenibadilisha sana
That's great 👍
Jitaje,toa ushauri,jitolee,chaji kidogo,anza kuchaji pale watu wanapoanza kukutafuta wewe sio wewe ndio unao watafuta, lapili wakianza kulazimisha uwe ni wewe naasiwe mtu mwengine.mwisho dimand imekuwa kubwa hadiunakosa mda wakuwatumikia
ImeishaNamna ya kukuza jina lako.
❤Thank you brother ❤see you at the top ❤
Mungu ukubariki
Ahsante sana brother
Nimefurahi sana kaka Nanauka...kama kawaida nakufollow ajabu ubarikiwe mnoo...Mimi nashukuru nimeshachagua niche yangu,nimeanza kutoa ushauri na sasa nnajitolea kwa baadhi ya taasisi,lengo langu ni kutoka kwenda kwenye watu wenye uhitaji mkubwa zaidi wa ujuzi na maarifa nilionayo(base on research fupi)...swali langu ni kwamba napataje msaada wa kuunda platform kama TH-cam, n.k ambayo itanisaifia kuonesha na kuwafikishia jamii kazi yangu?
Asante Nanauka
Nami nasubilia siku pia
Nahitaji kitabu mawasiliano??
Ashanti sana kaka
See u at the top
Ni ukweli mtupu ase
Thanks najifunzaa
Hasante
Shukrani sana kaka 🙏
Thanks Nanauka
Mimi kwenye kazi yangu ya spare za mashine
Shukran sana bro
🙏
Tanapata madini ya akili
😊
❤
Kaka Mimi nina okota makopo nifanyeje nijulikane?
😂😂
Ukiona anaye kunywa soda au maji mwambie anywe haraka akupe kopo. Siku nyingine akikuona anakurushia chap
Hapo hata mwenye duka waweza mwambia awe anakukusanyia hizo chupa ili ukipita wakupatie
Yhn wewe 3:57
ASANTEE KAKA.. ila nakuona mbali sana ingia katika siasa
Asante sana
🙏
Thanks bro