NAMNA YA KUPATA WAZO ZURI LA BIASHARA - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 19

  • @KingKala-ik8oh
    @KingKala-ik8oh 7 หลายเดือนก่อน +2

    nashukuru maana nikiwa Sina mud kabla ya yote lazima nikufatilie na Kila napo kufatilia napata wazo Zur na hamasa ya kupambana zaidi

  • @MathiusGamba-mq1sw
    @MathiusGamba-mq1sw 8 หลายเดือนก่อน +4

    It's a blessing to listen to you my Mentor

  • @user-bj4vy1wn4t
    @user-bj4vy1wn4t 8 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you so much brother, mungu akubariki najifunza mengi sana kutoka kwako

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 8 หลายเดือนก่อน +3

    Najifunza mimi 😢😢Ahsante sana kaka Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana, tuendelee kujifunza🙏🏼

  • @masilastahona7010
    @masilastahona7010 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani umenisaidia kung'arisha uso Mungu akuweke tu kwakweli🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  8 หลายเดือนก่อน

      Ameen Ameen🙏🏼

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana ndugu,nazidi kuimarika kwa masomo yako yenye mguso na haswaa yananinoa kwaajili ya malengo yangu 2024. Ijapokuwa 2024 haijaanza najiona kama nimeshatimiza 50% ya malengo kwa hamasa za pachiko zako nyingi za mwezi huu. Bila kusahau ile ya uongozi uliyofanya na Bakwata nayo ni kama ile hazina iliyositirika katika shamba. pamoja Sana mkuu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  8 หลายเดือนก่อน +1

      Nashukuru sana kwa mrejesho, tuendelee kujifunza🙏🏼

    • @Mwinamila-3
      @Mwinamila-3 8 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa kufungua akili yangu

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nina mshukuru mungu kwaajili yako sasa na mimi nimesha kuwa mwalimu mtaani kwangu namaeneo mbali mbali Barikiwa sana mkuu

  • @claudjohn
    @claudjohn 6 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kaka

  • @user-pw9bz8wr1o
    @user-pw9bz8wr1o 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran nimeanza kukufatilia tangu nilipokua form six 2018 mpka sasa nashkur kwa elimu yako

  • @Dauson-tc3dm
    @Dauson-tc3dm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante kwa Mafunzo hayo. Naomba ushauri Mimi ni mlinzi lakini sipendi hii kazi hata kidogo.lakini nina mpango wa kwenda veta kujifunza hata short course,lakini pia upande mwingine najifikilia hii hela ya kusoma kwann nisianzishe biashara hata ya nguo za mitumba nikajiajiri.Nishauri nifanyeje!!

    • @SAIDXDXDBFSUMA
      @SAIDXDXDBFSUMA 8 หลายเดือนก่อน

      Ushauri wangu angalia wazo ambalo nitakupa Furaha zaidi wakati unalifikiria zaid

    • @Holyghostpower.
      @Holyghostpower. 7 หลายเดือนก่อน

      Ushauri Wang make saving first usiwai kuacha kazi hio Kwanza kupitia hio inakupa mtaji,Tulia Kwanza weka Akiba then baada ya mda tafuta sehem nzr ya kuwekeza