1. If you born poor its your parents 2. If you die poor its your problem 3. Comfort zone kill many dreams 4. You are the CEO of your life 5. Lack of confidence kill many Vision Yaan Joel sina cha kukulipa ila Mungu aendelee kukutumia ni kweli nimepewa support na bank baada ya kuona jitihada zangu nimejenga store lkn haina kitu, mabadiliko yanaanzia ndan na kujiamin see you at the top
👏am really impressed by this speech @JOEL NANAUKA🤗 nathani hotuba hii uliitengeneza Kwa ajili yangu🙏🙏🙏🙏 Mark this comment, ONE DAY WE WILL SHAKE HANDS & I WILL REMIND YOU OF THIS TOUCHING SPEECH🙏🙏🙏🙏 NIMESHUKURU🙏🔥🔥🔥
Joer napenda dalasa lako sana joer jina la aliekua rafk yangu kipenzi shulen ilatumesha potezana, Mimi ni fundi mzuri wa kapenta na ninaipenda sana Kaz hii Kupaua shatalin, n.k sijui nifanyajekuongeza wateja.
Thanks alot brother Joel nakubaliana nawe mia kwa mia, Mimi ujiamini sana kwa kile ninacho kifanya ata mtu hainiambia siwezi mi humwambia hayo ni maono yako wala sio yangu
Mimi naishi Marekani ila huyu jamaa ni Mwalimu wangu mzuri sana tangu nimeanza kumfuatilia mtazamo wangu wa maisha umebadilika sana . Thank you brother for your teachings ❤
Amen nilibadilisha maisha yangu kipindi fulanii kwa kuacha kufuata mpango nilikuwa nao na kuanzisha mpango mwingine ambao ulikujaa kuniumiza sana kiasi cha kupoteza ndoto na muelekeo wa maisha lakini ashukuriwe Mungu nimesimama tena na kujitafuta upya.
thanks much brother, naamini sikumoja nitakuwa mtu mkubwa Sana kupitia kilimo na ufugaji
Amina
1. If you born poor its your parents
2. If you die poor its your problem
3. Comfort zone kill many dreams
4. You are the CEO of your life
5. Lack of confidence kill many Vision
Yaan Joel sina cha kukulipa ila Mungu aendelee kukutumia ni kweli nimepewa support na bank baada ya kuona jitihada zangu nimejenga store lkn haina kitu, mabadiliko yanaanzia ndan na kujiamin see you at the top
Maisha ni mpangilio unaojiwekea kukosa mpangilio mzuri inaweza kupelekea kukosa mwisho mzuri.... Thanks brother Joel nanauka your The Best
Hakika Joel amenisaidia sana vitabu video vyote vimenisaidia sana kujipana naninasonga mbele
@@kalistussanga3623 usikivu wako ndio unakupa mafanikio hakika wewe ni shujaa mafundisho umsaidia mtu yule mwenye kuelewa.🇹🇿💪🙏.
naam,lakini tupo wengine tukijalibu kuweka mpangilio wa maisha tunashindwa.tunaomba mtusaidie.
Kweli,maisha huru ni kuishi unavyotaka, Kuna faida ya kuimarika kiffikra chanya,
JOEL nadhani hili ni somo Bora ZAIDI
.thanks uncle we are together...lets keep on learning
yes I have to change myself to focus success
👏am really impressed by this speech @JOEL NANAUKA🤗
nathani hotuba hii uliitengeneza Kwa ajili yangu🙏🙏🙏🙏
Mark this comment, ONE DAY WE WILL SHAKE HANDS & I WILL REMIND YOU OF THIS TOUCHING SPEECH🙏🙏🙏🙏
NIMESHUKURU🙏🔥🔥🔥
Confidence ndo Kila ki2. Namuaminisha Mwanangu kuwa anaweza ktk masomo na anaweza kweli
Brother JOEL UBARIKIWE
Maneno yako yamenijenga sana nashukuru kwa Mungu kwa uwepo wako
Jamani sijui nilikuwa wapi nakuelewa sana hivi unapatikana wapi natamani kuhudhulia semina zako napataje mawasiliano yako kaka
Joer napenda dalasa lako sana joer jina la aliekua rafk yangu kipenzi shulen ilatumesha potezana, Mimi ni fundi mzuri wa kapenta na ninaipenda sana Kaz hii Kupaua shatalin, n.k sijui nifanyajekuongeza wateja.
I have gotten a point that will help my entire life👏I wish my fellow youths will hear this,iam from Nairobi Kenya getting you clearly
I'm from Burundi this gentleman is teaching the World not Tanzania citizens only
Nakushukuru umenijenga kiukwelii
Thank you so Much Lucien, let’s keep on learning.
This man 🙌🙌🙌🙌I really thank God for him
Nimetokea kuwa mfuatiliaji wako kwa karibu sana na nahisi kuna kitu kinajijenga ndani yangu
Thanks alot brother Joel nakubaliana nawe mia kwa mia, Mimi ujiamini sana kwa kile ninacho kifanya ata mtu hainiambia siwezi mi humwambia hayo ni maono yako wala sio yangu
Mualimu wetu siku zote nitakutakia baraka 💫
Naanza kujifunz kutoka kwako Kwa maneno Yako yenye 🙏
Wewe ni mwalimu wa wengi
Binafsi umenibadilisha sana toka nianze kujifunza kutoka kwako,, Mungu azidi kukuongoza
Kwa elimu hii na mm nweza ahsnte kaka joel nitapambana
Kichwa Chenye Madini,God Bless you🙏🧠
Naam Kaka Joel somo limeniongezea kujiamini, sijui ilikuwa wapi hapo! Ninakukribsha pia na huku Mwanza
Asant sana kwa mafundisho yako ila najambo nataka unishauri sijajua nifanyaj ili nipate mawasiliano na ww
Mungu akubarikisaana,,Akuzidishe ISAYA 60,,,LIWEFUNGULAKO
Ameen
👏👏✍️🎉🎉 na elewa ka bisa
Mungu ni mwema
Naitwa Cosmas kutoka arusha huwa unanitia Moyo sana zaidi ya WAZAZI Wangu Ubarikiwe sana maana kuna mambo Makubwa nimeyafanya kupitia ww
Daaaa! Kunafaida kubwa sana nimeipata. Asante sana bro
New subscriber from kenya
Ahsante Mwalimu. Shukurani Joel. Maisha Marefu Kwako.
Maneno unayoyaongea kaka Joel kweli kabisa yana tukuta na tinayaona
Asante mafuzo yako ni ya kipekee imenisaidia
Is true your Touching me. Let me pull my socks stil a chance to change my life.GOD BLESS YOU.
Nimebarikiwa Sana na somo zuri
Unapo fundisha nakusikiliza kwa umakini sana. Kwasababu wewe ni taa langu. ❤️
Vizuri sana
Mungu nisaidie niishi maisha ya viwango ambay ni mazur
Kwakwi nashukuru kwa video hio. Mungu akuzidishie ufahamu na kuelimisha jamii yote.
Comfort zone that's right i shouldn't be in a comfort zone, I'm the CEO of my life Hamna atakayekuja badilisha maisha yangu...thx #Joel
Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki
Lazima nifanye kitu cha ziada kitakacho nifanyisha nijiamini... Thx #Joel
Tz tuna watu vichwaaaa! Thanks Lord.
I SEE MEE AT THE TOP
Nakuelewa sana kakaangu, ahsante umenibadirisha kwakias kikubwa!
respect #kwako.. Bro joel
asante sana kaka kwa mafundisho mazuri 🙏 umenifungua kichwa changu
Wengi tunapenda kubadilika lkn kufany maamuz ya kuelekea kweny hyo mabadiliko ndyo ngum,napenda unapo tugngua brain zetu asant broo
Coash Joel Mungu akubariki mno nimejifunza mambo mengi na mengine nimefanya maamuzi ya kuyafanyia kazi na nimeona matokeo asante.
Kuna kipind napitia ila baada ya kusikiliza video zako hua napata nguvu tena
Hongera kwa mafundisho mazuri
Point taken, don't stay in comfort zone
NI kweli ndugu yangu.
👏🏿👍🤜🤛
Amazing presentation.Thank you for sharing.😅
Naomba mawasiliano yako 🙏
Kweli mwalimu nashukuru
Mungu akubariki sana
Thanks brother, nimejifunza panaponihusu. Mungu akutunze una madini. Well done 👍
Brother Mungu akupekuishi kwingi, tangu niamue kukuskiriza, kunasehemu nmetoka na kunasehemu ninaenda.
Be blessed
Mimi naishi Marekani ila huyu jamaa ni Mwalimu wangu mzuri sana tangu nimeanza kumfuatilia mtazamo wangu wa maisha umebadilika sana . Thank you brother for your teachings ❤
🎉nakukubali sn kk
Father joel nanauka!
Points noted.! Thank you so much brother
Ukweli mtupu.Confidence.Pia malengo.😊
Maneno ya kweli kabisa katika maisha
More life to Brother ❤️🙏🏻
Naendelea kujifunza
Nashukuru sana
Nkweli kabisa shukran
Nimeelewa kitu be blessed bro.
Upo vizuri mwalimu
Thanks coach somo limeingia…
Amen nilibadilisha maisha yangu kipindi fulanii kwa kuacha kufuata mpango nilikuwa nao na kuanzisha mpango mwingine ambao ulikujaa kuniumiza sana kiasi cha kupoteza ndoto na muelekeo wa maisha lakini ashukuriwe Mungu nimesimama tena na kujitafuta upya.
, Thanks to God
My brother Joel 🙏🔥📝
Nipo mwz nakufurahia
Upo sahihi sana bro
Naipenda kazi yako Joel
Obrigado Joel
Upo sawa. Kabisa
Asante sana kaka uko sahii😅
Thanks my brother
Ni kweli
Very wonderful motivating
Asanteee mtumishi
Joel ,, comfort zone
Asante Kaka joel🙏
Somo zuri sana
Thanks a lot bro nimekuwa naomba uniunge kwa group
Ahsnt 🙏 sana bro
Sahihi kabisa.
Thank you Brother 🙏🏻🙏🏻
Great lesson asante sana
Thanks brother Joel
Good Kaka Joel am change now
Asant sana mku
AMEN 🙏🏾
thankyou brother
asante
Asante sana
Thank you
Thenx brother