DR MIMI NINA SHIDA YA WIVU MKALI SANA NIMESHAACHWA NDOA 2 LAKINI SIJUI KAMA NTAWEZA DUMU KWENYE NDOA YANI NINATAKA NIMONTE MWANAUME RATIBA ZAKE ZOTE MIMI SIJAWAHI CHEAT KABISA YANI MFANO NIKIPIGA SIMU MTU ASIPOKEE MUNGU WANGU MPKA NAKWENDA KUHARISHA ASIPOPATIKA MPKA MAPIGO YA MOYO YANABADILIKA NAISHIWA NGUVU NAWEZA HATA KUPOTEZA FAHAMU NISAIDIE NIFANYE NINI
Kwakweli nashukuru maneno mazuri yakujenga nilikua natumia maneno matano kati yasita uliofundisha kasoro lakujua Siku yakeimekwrndaje but nashukuru ananipenda Sana'a naminajua hivyo nitaongeza zaidi thanks
dr.nakuelewa haya maneno huyatumia ila nilikua sijui na cku zote i drive women crazy...na cjawah kuwachwa na nahongwa sana na mwanamke akiondoka hurudi kwangu ila changamoto yangu mi niko bize na life wanawake huniona dharau na mwisho husepa lakin huwa moyon mwao hawajaridhika...am proud of you.
Asante dokta kwa som zuri sana ila.mimi naona kunawanaume wenye kujuwa dhamani ya hayo maneno wangu hata nimulize ntajibiwa shoti hadi naishiwa pozi kabisa anacho juwa ni kuniuliza umeamkaje na umeshindaje na umetoka kazini umekula na.usiku mwema basi mengine ntajuwa mimi na mungu wangu naumiya ila basi tu
Thank you so much doc mim nlishakata tamaa kabisa but once nlionabaadhi ya video zako for sure naskia aman japo kuna vitu nkiskia naumia sanaa kwan nampenda sanaaa and thank u so much you change me 🙏🏽🙏🏽
Dr ninahitaji sana kuonana na wewe ninashida imefika pabaya sana naomba mawasiliano yako, Ahsante sana kwa masaada wako nilikuwa ninakufuatilia sana vipindi vyaki Radio C, Lakini kwa sasa sijakusikia kipindi kirefu. Nakutakia maisha mema.
Ahsante Sana kwa kipindi kizur mwalimu Chris mm nna swali.... Nataman kuwan mtu wa tofauti au mtu mpya kila nnapowasiliana na mpenzi wangu,ili kulitimiza hili ni mambo gan ambayo napaswa niyazingatie?
Asante Sanaa kwa kuendelea kunifundisha, ila Sasa Kuna changamoto natumia haya maneno na huwa sichoki kutumia ila haoneshi kujali yaani unaweza muuliza Siku yako imeendaje mpenzi, anavyo jibu (poa) imeisha hiyo. Kidogo huwa inanitesa napata jibu ambalo sikutarajia
Drive safe or fika salama Nijurishe ukifika or let me know ukifika Tunaweza kutoka wote Take care or be careful Siku yako ilikuaje or imeendaje Im proud of you na mshukuru mungu kwaajili yako
Kweli kabisa chris haya maneno yanafanya kazi mm apa mpaka na nenepa ❤❤❤❤😂😂😂
Mungu nipe mpenzi namii nifurahie na wengine😢
Nipo apa😊
Mmh
Asante kunizindua kifikra.Nimejifunza vitu, mwanadamu tunajifunza kila siku.Mungu akubariki Dr Mauki
Thanks so much Dr,Kupitia masomo yako mahusiano yangu yanazidi kuwa mapya kila siku,Mungu akubariki sana
Hongera
My Lord my father we Dr uishi Tu, asante Kwa madini haya Aseee❤❤❤❤
Walk with wise so that you can be like them...I'm learning more from you Dr Chris...God bless
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 kpp⁸888iì8
asantee Kaka😘
DR MIMI NINA SHIDA YA WIVU MKALI SANA NIMESHAACHWA NDOA 2 LAKINI SIJUI KAMA NTAWEZA DUMU KWENYE NDOA YANI NINATAKA NIMONTE MWANAUME RATIBA ZAKE ZOTE MIMI SIJAWAHI CHEAT KABISA YANI MFANO NIKIPIGA SIMU MTU ASIPOKEE MUNGU WANGU MPKA NAKWENDA KUHARISHA ASIPOPATIKA MPKA MAPIGO YA MOYO YANABADILIKA NAISHIWA NGUVU NAWEZA HATA KUPOTEZA FAHAMU NISAIDIE NIFANYE NINI
Asante kwa ushauri wako,nmetumia haya yote na kwa kweli yanafanya kazi
Asante Dr Chris ila daah kuna wengine hata ufanyeje ni shda
Asante sana doctor ubarkiwe sana Mungu akuimarishe zaidi
Kwakweli nashukuru maneno mazuri yakujenga nilikua natumia maneno matano kati yasita uliofundisha kasoro lakujua Siku yakeimekwrndaje but nashukuru ananipenda Sana'a naminajua hivyo nitaongeza zaidi thanks
Naomba uyaandike ayo maneno hapa please
Oky Asante kwa ushauri piah
Kweli ww ni zawad kwetu mungu alietupa maana unajua kutupa madini❤hongera sana
Nashukuru doctor naona naelekea kupata uponyaji
😯 jaman amazing ❤❤❤ daah ntayfnyia kazzz
Dr Chris mie mume wangu hata ukimuandika hajibu meseji hata ukimwambia mambo mazuri hakujibu
😂😂😂😂Kuna wengine vizanga jamaniii
Polee my dear tupo wengi
❤
Du pole san
We acha 2😅@@AishaNikule
Habari Dr Asante sana Kwa Masomo yako naomba pia uongelee SoMo linalohusu 'Controlling woman'
Nashukuru nmekuerewa nitafanya ivyo nampenda et
Ngoja ebu nipunguze ukali kweli thanks
Amen mtumish Mungu akuwek wanawake wa ndani tunajisahau San
Asante mwalim unatusaidia sana mimi mume wangu anaend kazn lkn antmn mda wote awe na mimi
Asante sana mungu akubaliki
Dah nilichelewa wapi kwahaya mambo mazur kabisa mungu akubarik dr
Namshukru sana mungu akubriki ntajibadilsha Sasa dah nimechelwe kujua thanks 🙏
Hakika haya mambo ndo ninayoyafanya binafsi najivunia sana pia Asante kwako mwalimu
This really makes sense 😃.... I used it much and it gave my .......a very wonderful ... feelings...... congrats doctor 👏
Thank you
Asante kwaelimu unayotowa yanajenga sana
Wonderful teaching,Dr Chris,inauma sana unaondoka mpenzi wako hakuulizj umefikaje ina uma sana.
Hahaha
Tatimiza dr🇨🇩🇨🇩
Yani Baba unamalizaga bando yangu asante🙏❤
😂😂😂
dr.nakuelewa haya maneno huyatumia ila nilikua sijui na cku zote i drive women crazy...na cjawah kuwachwa na nahongwa sana na mwanamke akiondoka hurudi kwangu ila changamoto yangu mi niko bize na life wanawake huniona dharau na mwisho husepa lakin huwa moyon mwao hawajaridhika...am proud of you.
😮
Asante dokta kwa som zuri sana ila.mimi naona kunawanaume wenye kujuwa dhamani ya hayo maneno wangu hata nimulize ntajibiwa shoti hadi naishiwa pozi kabisa anacho juwa ni kuniuliza umeamkaje na umeshindaje na umetoka kazini umekula na.usiku mwema basi mengine ntajuwa mimi na mungu wangu naumiya ila basi tu
wew kama wangu na litakula block mana shida
Shukran Sana ka somo lako Mimi ndo nataka kujifunza sasa kumwambia hayo maneno
shukrani za zati kwa mafundisho haya mwalimu.
Thank you so much doc mim nlishakata tamaa kabisa but once nlionabaadhi ya video zako for sure naskia aman japo kuna vitu nkiskia naumia sanaa kwan nampenda sanaaa and thank u so much you change me 🙏🏽🙏🏽
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante sana kwa funzo nzuri🙏
Exactly, Mr. Chris but
it's works kwa upande wangu imenisaidia, barikiwa sanaaa kwa huduma yako
Na mim mungu anipe mpenzi nifanye hivo😊
Asante Dr Chris Mauki kwa mafundisho mazuri ya kutujenga ktk mahusiano
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
We ni mwalimu wa kipaji Asante kwa masomo mazur
asate san mwalimu mungu aku barikii sana
Asante saana kwaushaul wak
Mpenzi wangu uniambia haya yote🥰🥰mungu akatuunganishe pamoja 🙏
Hongera mamy
❤❤❤❤❤
Mungu akubariki Doctor 🙏
Asante Doctor Chris I have used them alot but I have not seen it's positivity.
May be something is wrong to the one you are saying to or may be the approach
Asante sana Criss am proud of you God bless you
Dr shuqran Sana kwa kutufundisha sana mm niko uganda
Asante kwa somo zur
Chris mauki wew n noma sana🎉
Hakika wewe ni zaidi ya mwalimu , mungu akuongezee maarifa
Thank you so much kakangu unafunzo nzuri sana
Am 18 years but you're my best teacher 🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Thank you Chris for another day 🙏🏾🙏🏾
Una kipaji kikubwa Sana Mungu akubariki
Kwakweli umenifundisha mungu anisaindie
Ahsante..kaka nimejifunza
Shukrani Sana my brother ❤
Dr ninahitaji sana kuonana na wewe ninashida imefika pabaya sana naomba mawasiliano yako, Ahsante sana kwa masaada wako nilikuwa ninakufuatilia sana vipindi vyaki Radio C, Lakini kwa sasa sijakusikia kipindi kirefu. Nakutakia maisha mema.
Mmh huyu mtu asaidiwe maana kafika pabaya😟
Nashkuru sana Dr...kwa mafunzo yako
Asante Sana naendelea kujifunza mambo mengi Sana
Live amazing words
Shukran Dr Chris ❤❤
I always learn alot from your teachings, God bless you . Have been your silent follower
Najifunia wew wouh good teacher nafuatilia vixur
Asante doctor kwa kutufundisha mambo muhimu nafarajika sana nitajitahidi maana mahusiano nikitu muhimu kwenye maisha y amwanadamu
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mungu asaidie haya yawe mahusiano ya mwisho😢
Thanks so much for the words of wisdom. Be blessed
Nitumieni hizo vide
Upo vzl your very good
Thanks docta kwa mafundisho ,nimejifunza kitu kwenye comment kwamba hutakiwi kujibu short unatakiwa kuonesha na wewe unamjali kwa kumjibu vizuri .
Ahsante Sana kwa kipindi kizur mwalimu Chris mm nna swali.... Nataman kuwan mtu wa tofauti au mtu mpya kila nnapowasiliana na mpenzi wangu,ili kulitimiza hili ni mambo gan ambayo napaswa niyazingatie?
WOW greatest
Umenena Dr hakika nimeskia, mengine ninayafanya , nanitaongezea ili nitengeneze doa yangu Asante sana ubarikiwe
Shukran jambo Zur San 🙏🙏🙏🙏
Thanks San Dr nimejifuna kitu nahis atanipenda tu na tutapendana👍
Asant❤ 8:10
Ubarikiwe
Ngoja nipunguze ukal
Yaani ni mafundisho mazuri sana,ila sasa kwa waelewa Mr Mauki, yaani
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
These are important issue,thank u
Kweli haya maneno yanahamasisha mno na huleta kufurahiana.🙏🙏🙏
Thank you baba
Barikiwa
Shukurani saxa ...boss
I like it
Ktyu ambach nmebe understandable well ....
1. Take care
2.how was ur day
3. Am proud ov yuh
Yn ay yamenimonivate for 💯%
YatAje yote pleas
Asantesan
Nc sana asante brother
Asant sana
Thanks dear brother.That's true
Napenda sana mafundisho yako bro
Asante sana ila kuna wengine hawajali kabisa yan hata ubembeleze vipi
Asante sana
I really like it wallah 🥳♥️♥️
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mungu wetu azidi kukubariki zaidi
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hyln thanks bro bt wanaume wengne ata u2mie haya maneno hawaridhiki
Waooo somo zuri asanteee kwa mafundisho🙏🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Umenikosha sana Chris mauki
shukrani
Mmmh!
Wengine tumefanya hvyo lakn bado chenga
Inategemea mtu mwenyewe
Ushauri unaweza kuleta badiliko.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 mm nataman kuongea nawewe lkn sion namba yako ya simu jamn mm nataka ushaur wako
@@emmymzava9445 0713407182
Sijutii kukujua na hasa kupitia mafunzo yako walahi Mungu akubariki mr mauki
Dkt. Chris you're a blessing to us we get new insights every time you give a lecture. God bless 🙏
Asante sana rafiki
Asante Sanaa kwa kuendelea kunifundisha, ila Sasa Kuna changamoto natumia haya maneno na huwa sichoki kutumia ila haoneshi kujali yaani unaweza muuliza Siku yako imeendaje mpenzi, anavyo jibu (poa) imeisha hiyo. Kidogo huwa inanitesa napata jibu ambalo sikutarajia
Ahsante sana daktari
Drive safe or fika salama
Nijurishe ukifika or let me know ukifika
Tunaweza kutoka wote
Take care or be careful
Siku yako ilikuaje or imeendaje
Im proud of you na mshukuru mungu kwaajili yako
Asant sana nimefaidika sana