Namshukulu mungu kwahakika mme wangu alikua n mtu kajkatia tamaa na alikua mwenye kuzalaulika sana na nlpoanza nae watu had ndugu wa kalbu walsema ctoweza kwa dua na kumtegemea mungu nlimwambia mungu ikiwa nmekuomba mme umenpa huyu kwa ridhaa yako naomba mbadlshe ww Hakika amekua mme mzur sanaaaaaaa had watu wakasema nmemloga ila Kiukwel ndugu zangu haijalsh kwa dn gan ukimtegemea muumba WA vyote anatenda mungu akubalk sana mauki
Alhamdulillah asante mung baba watot wang amejaaliwa sifa zot nimebalikiwa mno asante mungu mikon kwa mikon had pepon nakupenda san baba jay wangu akuna kam weh ❤❤❤:
Asante sana Doctor Chris Leo nimepata lesson nanimetokea kumpenda sana mume wangu kiukweli huwa ananifanyia haya yote nkajua nikunifunika nisijue mambo yake kumbe huwa serious Thank you God for the kind of a man you gave me Leo nimefarijika sana I deserve to love him so much nakupenda sana Joseph wangu you deserve to be loved by me
Asant sana kaka namshukuru mung nipo kwwnye mhusiano nimwaka namiezi sits rakini mwanaume Wang haja wahi kubadirika nahizo tabia urizo zisema zote anazo mung akubariki kwa mafundishi yako
mshukuru sana mungu maana wengine tunawanaume lkn hata pesa ya matumizi ujitegemee mwenye unaweza kukwama lkn hana msaada wowote hata asikie mama yako anaumwa awezi uliza wala kujali zaidi anajali ndugu zake tu muda mwingine unapatwa na matatizo unaona bora unyamaze tu bila kumwambia
Umeiimarisha sana Ndoa yangu Dr., kunawakati nilipitia mambo magumu sana kupitia post zako Hakika nikaelevuka,nikajifunza mambo Mengi ambayo siwez kuorodhesha yote MUNGU Akutunze uwe mwenye Afya njema,.
Ww n mtu muhmu xan Dr Chris yan umejua kuinua upya ndoa yngu mn ilikuw km jino bovu....mungu akuongoze inxhaallh akuepuxhe n maradh uzid kudumu ktk dunia hii
The Guy am dating has all of this but we are in long distance relationship ,One thing I love about him He corrects me whenever am wrong ,He's a guy who listens more than talk.
Asante sana Dr somo ni zuriiii sana yani hizo tabia zote 6 ziko kwa mmewangu kasoro hio ya mwisho ndio sijaona kama anayo. Na ni mwanafunzi wako mlimani pale enzi hizooo naona somo lako alilielewa sana
Ilove u my husband mungu adumishe hizi tabiya zako 7 mungu alizo kukupatiya yani sina lakusema kwako ila kukuombeya duwa kwa mungu atulinde kwenye ndowa yetu amin
1. Mugunduzi/mtambuzi wa hisia zako 2. Msikivu Anasikiliza ushauri& anakusikiliza 3. Mwenye huruma 4. Mwaminifu Anaweza kusimamia maneno yake 5. Unayeweza kumtegemea 6. Anayeweza kusamehe 7. Mbunifu Kufanya namna tofauti ya malezi, Ndoa et cetera Karibu tuendee kujifunza
Asante docta mauke naomba msaada mke wangu hana hisia na mimi baada ya kumkosea ila nilijirejebisha makosa yangu naomba ushauri wako nifanye nini ili ni rudi she mapenzi yetu kama mwanzo
@@maulidnuhu7733 Mpe muda, Endelea kumpenda hata kama yeye anakupotezea, mjali na ufanye vitu anavyo vipenda bila kuchoka,,, taratibu atarudisha moyo,,, onesha kwamba unalijua KOSA lako na usimlaumu kwa kuchelewa kukusamehe maana hujui alitumia jitihada gani kukufanya umpende badala yake ukamkosea! So, Muda Ni Tiba. Kuwa mvumilivu na onesha kumpenda kweli
@@ChrisMauki1 nimepata mwaume was aina hiyo, , na ana nipenda sana, Ila Alisha kuwa na mwanamke mwingine, ambae huwa ambaealisha zaa naye, na huwa anamzungumzia vibaya na kwa miaka yote wameish mbalimbali hukutana likizo tu, ,, na sasa anataman waachane aanzishe mahusiano mengine, awe na furaha ,ila anaogopa kwao mwanamke asije fanyiwa vibaya , kwa hiyo yuko njia panda nikama anataka Tuoane, akikumbuka yule mke wambali anasita, basi Mimi nilimwambia ningetamani wayamalize kwanza wenyewe then ndo aendelee na Mimi maana najiona kama namkosea mwanamke mwenzaangu, nikimwambia nimpe nafasi afanye maamuzi hataki, basi nimebaki njia panda , kumpenda nampenda ila sikuwahi taka kuchangia mume maishani, pia sikuwahi taka kutembea na mume wa MTU, nikmueleza hayo yote anasema nivumilie , nisikate tamaa mapema, na tuendelee na mahusiano, naomba ushauri
Thank you so much teacher, for the first time kukujua, umekuja kutufindisha counselling mwaka huu, today I was just passing through TH-cam I saw your video, mefurahi na nimesubscribe na kulike..keep it up My teacher 👏👏👏👏✍️👊.
I never got it clear the kind of boifred I have. I left him 2yrs ago thinking he's not the kind of husband I need. 2 yrs away has proved it all. I thank God for meeting my man... Soon getting married. Pray for us🙏🏾🙏🏾❤️
1.Sio mwaminifu hata kidogo +muongo sana 2. Sio mgunduzi 3.Sio mbunifu 4.Sio msikivu lakini ni mwenyew huruma, naweza mtegemea na anasamehe. Sasa sijui km huwa anajilazimisha kuyafanya haya maan simuamin kabisa. Dr ni ngumu sana kukupata nina shida ya huduma zako lakimi imekuwa ngumu sana kukupata, tafadhari nisaidie siko salama.
He promised to be a father figure after he knew i lost a father , he talks and then asks me babe what do u think give me yo opinion,he knows when am angry and pretend am ok🤣, he says sorry when he knows kakosea , faithful beyond. heee he has a Sharp mind,very creative. Wee Dr am grateful he has all those . I am grateful for having such a husband
I wish i knew this earlier😣, nilkua na mwanaume wa namna hii lakin nilidanganywa na urembo nikidhan ntampata mwanaume yeyote muda wowote coz at that time nlikua napata marriage proposal nying na mm sikua tayari now naona ningum sana namkumbuka nataman nisingemuachia aoe now nawish ingekua ni mimi 28yrs na sina ndoa hata wa kuzungumza nae akaniskiliza kama yey na kunielewa kama yeye sina. Sina wa kumlaum tho and am still praying to the Almighty God i beleive one day ntampata mwingne atae nifaa.
Doct mimi niko na mpenzi hakika Kati ya hizi nyingi anazo, shida ni moja tuu nimemzidi umri, naa wazazi wake hawakubaliani na Hilo la mimi kumzidi,,, nimesikiza haya umesema nimesikia machozi kama maji yananitoka,,,, nisaidie nisimpoteze mtu muhimu maishani mwangu
Mungu nijalie nimpate mweny hzo sifa amen
Namshukulu mungu kwahakika mme wangu alikua n mtu kajkatia tamaa na alikua mwenye kuzalaulika sana na nlpoanza nae watu had ndugu wa kalbu walsema ctoweza kwa dua na kumtegemea mungu nlimwambia mungu ikiwa nmekuomba mme umenpa huyu kwa ridhaa yako naomba mbadlshe ww Hakika amekua mme mzur sanaaaaaaa had watu wakasema nmemloga ila Kiukwel ndugu zangu haijalsh kwa dn gan ukimtegemea muumba WA vyote anatenda mungu akubalk sana mauki
Aksante
Dah pole
Mashaallah mbarikiwe sanaa❤❤❤❤❤
Amen....mungu bariki wanaume wetu
Umesahau point ya muhimu sana Mcha Mungu, God fearing 🙏
Kuna pretenders
Je mwenye haongei hakushugulish na mambo yake anayo Fanya mpaka umulize huyo utamu chukuliaje
Kumcha Mungu sio tabia na amesema tabia
@@eunicenjeri3393q
Asante sana Dr nimejifunza vitu vingi sana kutokana kwako is good blessings
Ooh Asante Yesu kwaajili ya mume wangu, anazo zoteeee, mwaka wa nne sasa hajawahi kubadilika toka tuoane🙏🤗
Kwamfano izo tabia zote zipo ila hana uwezo landa wa kipesa iyo inakuaje
Hana nguvu za kiume huyo wakah ndio pungufu lake sema hauwezi kusema hapa. HAWEZI KUWA NA SIFA ZOTE HIZO UONGOOO
Tafuteni pesa pamoja.
Mjengee sanamu japo la mbao ndani 😂
@@belak999 😆😆😆😆😆
BabaB wangu Mungu akuweke rehemani sifa zote ulikua nazo Mungu amekupenda zaidi
Pole dada yangu mungu atamrehemu🙏
Sifa nying zoztaj mpenz wang anazo nashukuru kwa kuligundua hilo na mungu ampe maish maref na penz letu lizd kudumu inshallah🙏🙏
Thanx dr.and i thank God naona zote 7 mume wangu anazo.ubarikiwe kwa darasa
Sifa zote ziko kwa mchumba wangu!😊 Mungu asimamie uhusiano wetu 🙏🏾
Hongera sana
Mashaallah mashaallah hongera inshaallah khery kwenu nyote❤❤❤❤❤❤niombee nami
Alhamdulillah asante mung baba watot wang amejaaliwa sifa zot nimebalikiwa mno asante mungu mikon kwa mikon had pepon nakupenda san baba jay wangu akuna kam weh ❤❤❤:
Asante dr duuuu ninae wallah hizi sifa zooote anazo i swear to Allah Alhamdulillah to have him in my life 😘😘😘😘😘
Mwenye sifa izi amasharudi kwa baba,
Ebu tuangalie huyu🙄🙄
Ahsante munguu umenipa mme boraaa sanaaa nilichokuombaaa ndicho ulichonipatiaa asanteee asantee asante kila iitwayo leooo
Nakushukuru Sana Mungu kwa kunipa mume wa aina hii🙏🙏🙏 na simuachi.
Jaman mungu naomba uniletee huyu kiumbe
Asante MUNGU Kwa kunipa mume Bora nakuomba zidi kuitunza ndoa yetu
Asante sana Doctor Chris Leo nimepata lesson nanimetokea kumpenda sana mume wangu kiukweli huwa ananifanyia haya yote nkajua nikunifunika nisijue mambo yake kumbe huwa serious Thank you God for the kind of a man you gave me Leo nimefarijika sana I deserve to love him so much nakupenda sana Joseph wangu you deserve to be loved by me
Hongera sana
Hongera dada
❤❤❤❤❤mme wangu anazo zote hongera mme
Mungu ambariki mume wangu nampenda sana
Asante kwa ushauri huu,umenipa motisha wa kuzidi kumpenda aliyepo
Mungu anijalie mwenye hiz sifa zote 🙏🙏🙏
I got this men after so much struggle am glad
Amina .mungu akubariki kwa ushauri wako wa kutia nguvu nasikia nikibarikiwa na ushuhuda wako.barikiwa ❤❤🎉
I thank God almighty my husband Ako na zote Saba, thank you Jesus for giving me that kind of a man 🙏🙏🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Una fundisha vizuli yani nikwer kabisa
@@ChrisMauki1 Mimi nyingi anazo ila moja umenigusa kweli nilifanya kosa moja akanisamehe lakini sasa unalitumia kunichapa kila siku naumia mnoo
mm mume wangu nilifiwa na baba angu muzazi alinite lekezea
kilasiku ugovi nalawa manyingi
Asante sana dr ninejifunza kitu kupitia somo lako
Asant sana kaka namshukuru mung nipo kwwnye mhusiano nimwaka namiezi sits rakini mwanaume Wang haja wahi kubadirika nahizo tabia urizo zisema zote anazo mung akubariki kwa mafundishi yako
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
mshukuru sana mungu maana wengine tunawanaume lkn hata pesa ya matumizi ujitegemee mwenye unaweza kukwama lkn hana msaada wowote hata asikie mama yako anaumwa awezi uliza wala kujali zaidi anajali ndugu zake tu muda mwingine unapatwa na matatizo unaona bora unyamaze tu bila kumwambia
@@ChrisMauki1 Nimesikiza Dk.lkn naomba msaada wa kibinafsi kama itawezekana..jamani ili roho yangu ipone
Asante xna mwenyezi mungu kwakuni panguza machozi,ni kwarehema yako eewe yesu🙏🙏🙏
Niko na boyfriend ako hivyo ...hizo umetaja zooote he is like that aki nimelearn more ..thank you...😘😘
Mungu atusaidie wanawake tunateseka sana
Neema ya Mungu imuongoze popote alipo may be one day atatokea mwenye sifa hizo🙏
Siyuko kweny ndoa lakini na jifunz mengi sana ubarikiwa sana❤❤❤❤
Umeiimarisha sana Ndoa yangu Dr., kunawakati nilipitia mambo magumu sana kupitia post zako Hakika nikaelevuka,nikajifunza mambo Mengi ambayo siwez kuorodhesha yote MUNGU Akutunze uwe mwenye Afya njema,.
Mungu amenipa mume sahihi
Asante kk mungu akubaliki 🙏🙏🙏
Ahsantee, nimejifunza anazo sifa 6 ulizozitaja simuachi ng'ooooo tena SIMUACHIIIIIIIII
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Ww n mtu muhmu xan Dr Chris yan umejua kuinua upya ndoa yngu mn ilikuw km jino bovu....mungu akuongoze inxhaallh akuepuxhe n maradh uzid kudumu ktk dunia hii
Barikiwa sana Dk Chris kwa mafunzo yako mazuri sana unawafungua wengi
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asantee Baba wa Mbinguni kwa ajili ya mpenzi wngu
Nashukuru Sana Dr Kati ya saba anazo tano na yupo makini sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nashukuru sana Dr mimi nashukuru Mungu kwakweli sifa zote mume wangu ananzo ❤🙏🙏🙏
Lord this is what am looking for bring him
Asante sana kwa somo lako zuuuri doc umefanya niwe happy nimemwelewa mpenz'wng
Thank you Dr. My boyfriend anazo zote tabia7 MUNGU ni mwemaa sn🙏🏽❤️
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Shukrani xn kw maelezo ak nampenda xan mme wang maan sifa zote saba anazo xan na ya muimu zaidi ni mcha Mungu xan ak nimefurai ushauri wako
Masha Allah ninependa somo mungu akubariki Sana
Asante baba lakuni ulisaabu mwanaume mucha mungu
Thanks again and again,, am also grateful as well juu hvo ndivyo my husband yuko🙏🙏🙏🙏
I learn more about this video, thank you very much 😘😘
Dah! Nashukulu sana .kwa kunifafanulia .wangu anatabia zote ulizozisema.
The Guy am dating has all of this but we are in long distance relationship ,One thing I love about him He corrects me whenever am wrong ,He's a guy who listens more than talk.
He is can not have all these characters at the same time no no
Mungu atusaidie sana. Amen
😢Uyu wangu labda kusamehe tu, nyingine zote ulizitaja Hana... Si ni move on lakini
Thats my hubby to be!!may God keep him nampenda sana ❤
Ubarikiwe kwa kazi zako
Asante sana Dr somo ni zuriiii sana yani hizo tabia zote 6 ziko kwa mmewangu kasoro hio ya mwisho ndio sijaona kama anayo. Na ni mwanafunzi wako mlimani pale enzi hizooo naona somo lako alilielewa sana
Ilove u my husband mungu adumishe hizi tabiya zako 7 mungu alizo kukupatiya yani sina lakusema kwako ila kukuombeya duwa kwa mungu atulinde kwenye ndowa yetu amin
Mwananae huyo sijawahi kk tananae namtafuta katika maisha yang sijawahi kipata kabis
Hapana hawez kusimama mm kila wakati
Mwenyez Mungu azd kukuwek uish miak ming xn Dr. Mauki
1. Mugunduzi/mtambuzi wa hisia zako
2. Msikivu
Anasikiliza ushauri& anakusikiliza
3. Mwenye huruma
4. Mwaminifu
Anaweza kusimamia maneno yake
5. Unayeweza kumtegemea
6. Anayeweza kusamehe
7. Mbunifu
Kufanya namna tofauti ya malezi, Ndoa et cetera
Karibu tuendee kujifunza
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante docta mauke naomba msaada mke wangu hana hisia na mimi baada ya kumkosea ila nilijirejebisha makosa yangu naomba ushauri wako nifanye nini ili ni rudi she mapenzi yetu kama mwanzo
Namshukur mungu aslimia 98 anazo mwenza wangu,ni kam baba kwangu anajali san
@@maulidnuhu7733 Mpe muda, Endelea kumpenda hata kama yeye anakupotezea, mjali na ufanye vitu anavyo vipenda bila kuchoka,,, taratibu atarudisha moyo,,, onesha kwamba unalijua KOSA lako na usimlaumu kwa kuchelewa kukusamehe maana hujui alitumia jitihada gani kukufanya umpende badala yake ukamkosea! So, Muda Ni Tiba. Kuwa mvumilivu na onesha kumpenda kweli
@@ChrisMauki1 nimepata mwaume was aina hiyo, , na ana nipenda sana, Ila Alisha kuwa na mwanamke mwingine, ambae huwa ambaealisha zaa naye, na huwa anamzungumzia vibaya na kwa miaka yote wameish mbalimbali hukutana likizo tu, ,, na sasa anataman waachane aanzishe mahusiano mengine, awe na furaha ,ila anaogopa kwao mwanamke asije fanyiwa vibaya , kwa hiyo yuko njia panda nikama anataka Tuoane, akikumbuka yule mke wambali anasita, basi Mimi nilimwambia ningetamani wayamalize kwanza wenyewe then ndo aendelee na Mimi maana najiona kama namkosea mwanamke mwenzaangu, nikimwambia nimpe nafasi afanye maamuzi hataki, basi nimebaki njia panda , kumpenda nampenda ila sikuwahi taka kuchangia mume maishani, pia sikuwahi taka kutembea na mume wa MTU, nikmueleza hayo yote anasema nivumilie , nisikate tamaa mapema, na tuendelee na mahusiano, naomba ushauri
Mmewangu mungu akupe maisha mrefu sana nakupenda g wangu
Kwakwel Ni ngumu Sana kupata mtu mwenye qualities za kipekee namna hiyo..Mungu aingilie Kati tu😥
Asante Sana kwa mfundisho yako
Truly speaking . This is the kind of a man am looking for in my life
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Natamani unirushie
Naomba namba YAKO Dr mauki 🙏
@@ChrisMauki1 naomba namba YAKO naomba
@@ChrisMauki1 naomba nipate namba YAKO 🙏
Nashukuru mungu wakwangu anahivyovyote mungu nakushukuru utukufu ukurudie mungu❤
Thank you so much teacher, for the first time kukujua, umekuja kutufindisha counselling mwaka huu, today I was just passing through TH-cam I saw your video, mefurahi na nimesubscribe na kulike..keep it up My teacher 👏👏👏👏✍️👊.
Asante
Asante mungu nakuomba nilindiy mchumba wangu sifa zote7 anazo🙏
Ubarikiwe sana Chris coz umetufungua wengi akil🙏🙏👍👍
Mungu azidi kukuza kipaji chako, na kizidi kufunza pia vizaza vya kesho 🤝🙏🙏👊congratulations, DR MAUKI
Waaaaau doc,,,I got 1 in my life 😀😀😀 may our Almighty God bless him sanaaaa n keep him in Jesus name...🙏🙏🙏 Danke shun doc
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Thank you God for the gift of a husband you gave me
Asante kwa somo zuri
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dear Lord... Protect my man this is more than my prayers ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
I never got it clear the kind of boifred I have. I left him 2yrs ago thinking he's not the kind of husband I need. 2 yrs away has proved it all. I thank God for meeting my man... Soon getting married. Pray for us🙏🏾🙏🏾❤️
Lllloooooooook oo thinking that haha hhggggggy III III uvuuuuuuub
Alright
@@petermatabwa4034😢
Are married now?
Asante kwa ushauri wako my dear ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jaman mm nimempata anazo zot asant san nitamganda mno ❤❤❤❤
Moja kat ya zawadi bora muhimu nilio wahi kuipata Ni kua na
♥️ na mume bora ❤️ Asantee mungu kwaa zawadi hii
Dr.Thanks for this.
Huyu ni Mwanaume wangu kabisa,, Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu uliyenipa endelea kumlinda mume wangu.
I thank God for my fiancee Brian, he has all this characters,,,,i juc love him sooo much ❤❤❤❤🥰Brian you deserve love hunie,,
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Gerald Chuwa ninazo sifa zote nahivi sasa Nina miaka 35 yenye amani
Asante doctor kwakwel namshukuru mungu azidi kumrinda inshallah
I am very happy you have address this. I just found one with these manners thanks simuachi🥰
Usimuache katu, natumaini umesubscribe
Namba za Chris mauki zinapatikanaje
@@ChrisMauki1 Dr namba zako
Naipenda hii channel
Kwer kabisa kaka naona kwa baba mtoto wangu yupo hv ❤
You're so talented 👊👏.
Asante sana Kuna kitu nimejifunza
1.Sio mwaminifu hata kidogo +muongo sana
2. Sio mgunduzi
3.Sio mbunifu
4.Sio msikivu lakini ni mwenyew huruma, naweza mtegemea na anasamehe. Sasa sijui km huwa anajilazimisha kuyafanya haya maan simuamin kabisa. Dr ni ngumu sana kukupata nina shida ya huduma zako lakimi imekuwa ngumu sana kukupata, tafadhari nisaidie siko salama.
Afadhal wewe hata moko
Wengine ndo mahusiano yetu yapo ICU 😢
If huna imani nae hutakuwa na imani nae..Mungu akupe maamuzi sahihi
Wah ako nazo zote na nlikua nataka kumuacha ju ya makosa kidogo ,mungu atuunganishe milele na mtu asiwai tutenganisha katika jina la yesu
He promised to be a father figure after he knew i lost a father , he talks and then asks me babe what do u think give me yo opinion,he knows when am angry and pretend am ok🤣, he says sorry when he knows kakosea , faithful beyond.
heee he has a Sharp mind,very creative. Wee Dr am grateful he has all those . I am grateful for having such a husband
Asante sana naona pia wangu anazo kama zote mungu ajalie maisha mema❤❤❤❤
Yaan ww ni lulu kwa kweli♥️🙏🙏🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Namshukuru Mungu mme wangu anazo hizo zote eee mwenyez Mungu nitunzie mume wangu tuish miaka 10000
Aah,, bwanangu alikua nazo zote, sifa hizo zilinifanya nimpende kweli, ila mungu kampenda zaidi, endelea kupumzika kwa amani mme wangu.
Pole Sana
😢😢pole dear
Pole Dana mungu akutende sawasawa nahitajilako
Kaka unatufundisha vitu Vingi nainjoi
Naninge penda kujifunza zaidi sank you❤❤
I don't regret meeting him😊💞♥️he is such good man. Hajawahi change..
Congratulation,, You're so lucky!!!!
Love him, fight for him!!
for how long have you been with him?
Muombee
Nashukuru mme wangu anazo zote🙏🙏🙏
Daaah Asante Sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante sana ju nimejua sasa nko na mume mwenye nko na yy ako ba hizo zote
I wish i knew this earlier😣, nilkua na mwanaume wa namna hii lakin nilidanganywa na urembo nikidhan ntampata mwanaume yeyote muda wowote coz at that time nlikua napata marriage proposal nying na mm sikua tayari now naona ningum sana namkumbuka nataman nisingemuachia aoe now nawish ingekua ni mimi 28yrs na sina ndoa hata wa kuzungumza nae akaniskiliza kama yey na kunielewa kama yeye sina. Sina wa kumlaum tho and am still praying to the Almighty God i beleive one day ntampata mwingne atae nifaa.
Uzuri ulikudanganyaa
Polee😢
28 unalia, ukifika 36 je?
Asante kwa ushauli ntaliangalia ilo thenkyou
Doct mimi niko na mpenzi hakika Kati ya hizi nyingi anazo, shida ni moja tuu nimemzidi umri, naa wazazi wake hawakubaliani na Hilo la mimi kumzidi,,, nimesikiza haya umesema nimesikia machozi kama maji yananitoka,,,, nisaidie nisimpoteze mtu muhimu maishani mwangu
Umemzidi miaka mingapi
😂😂😂@@RoseLiviga
Haleluya nashukuru MUNGU kweli amenipa neema mume anaeneza izo tabiya zote 7 na nane ana nihimiza kwa safari ya kwenda nbinguni
Thanks Dr. For your lesson its so good
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Woooiii
Jmn 😊 Mwenyez Mungu atusaidie
Wachache Sana.. Mungu akubariki Dr
Asante Sana kaka kwa mafundisho mazuri umenipa ufahamu
That is exactly what God has given me.
I thank God.🙏
Asante dokta unayosemaga yote ni ya kwel