Dr. Chris Mauki: Mambo 3 mumeo ana kiu kuyaona kwako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Mahitaji ya mume wako kutoka kwako yana tofauti sana na mahitaji yako kutoka kwake, ukishindwa kumpa kiu yake unaweza kumpoteza na kuipoteza ndoa yako. Haya hapa mambo 3 mumeo ana kiu sana kuyaona kwako. Jitahidi umpatie

ความคิดเห็น • 135

  • @evaurio8681
    @evaurio8681 ปีที่แล้ว +25

    Asante kwa hizo point:nimekuwa mnyenyekevu sana staha vilevile miaka9 na nimekuwa na mhudumia mume wangu kila kitu anachostahili kufanyiwa hadi na mkata kucha lkn hajawaikuona umuhimu wangu nikaishia kufukuzwa. Sasa hivi nimeamua tu niishi peke yangu.dr cris lbd nisaidie pengine siko sahihi

    • @drvidah7030
      @drvidah7030 ปีที่แล้ว

      Duh😢😢😢 pole sana

    • @princessleonard9522
      @princessleonard9522 ปีที่แล้ว

      I'm sorry 😞 😔 😟 nimeumia sana jaman.

    • @bilalybarisesa5206
      @bilalybarisesa5206 ปีที่แล้ว +11

      Huyo hakua Rizki yako Sister, Amini mwanaume aliekupangia Mungu, hawezi kukosa kuthamini jitihada zko hata ziwe ndogo kiasi gni, Muombe sna Mungu utakuj kkutana na mtu sahihi, na utakuja usahau hayo yte ulio yapitia ndani ya muda mchache🙏kikubwa usikate tamaa wanaume sahihi wapo, na wakwko yupo pia atakufkia soon, just keep praying

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว

      @@bilalybarisesa5206 kabisaaa

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 ปีที่แล้ว +7

      @@bilalybarisesa5206 yaan umeongea point, unaeza ukafanya kila kitu lkn akakudharau, haki mtu akiwa ubavu wako unaeza ukawa Simpooo, na mkadumu hatari ukapendwa vibaya mnoo

  • @AshaAmeir
    @AshaAmeir 2 หลายเดือนก่อน

    Dr christ asante sana ,naona safari yangu ya maisha itafika vizuri licha ya mabonde na mashimo yaliyomo.

  • @luciamwanda3246
    @luciamwanda3246 ปีที่แล้ว +6

    Huwa inahuzunisha kama unajitahidi kuhudumia mtu alafu anafanya kuwa mazoea , hata ukiwa mgonjwa yeye hajali bali anasisitiza apewe huduma tu. Kuna wanaume wanafiki na wakatili wa moyo. Dr. Chukua mda pia uweze kufunza wanaume jinzi ya kutunza wake zao.

  • @neemamunuo9002
    @neemamunuo9002 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa mafundisho barikiwa

  • @zuwenasalim7059
    @zuwenasalim7059 ปีที่แล้ว +2

    Asante dr nitazid kujitahid hayo kwa mumewang...nakushkur kwa video zako za ukumbusho kwenye ndoa zetu..

  • @MozaMohammed-l4z
    @MozaMohammed-l4z ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki tutajitahidi kuyafata maneno yako

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago6223 ปีที่แล้ว +21

    Uwiiii niliishia kuambiwa sina akili ya kutafuta hela nikapiga magot namuomba nitaishije akanijib mnafik mkubwa, akaamua kuishi na aliekuwa mfanyakaz wake wa kampun, pigo la 1, Gari ilipata ajali ikaua dreva akaambiwa kamtoa sadaka, pigo la 2 kila akienda kwenye mabenk hawampi hela na ni mfanya biashara mkubwa, nikaamua kusimama ktk zam yangu maana nilizaliwa peke yangu, kila ninacho kifanya kinaenda, nikajenga frem na kufungua biashara nikamalizia fance, na ninaongeza biashara jaman kisicho rizik hakiliki tumuache MUNGU afanye kazi yake.

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @marthaindongo2283
      @marthaindongo2283 ปีที่แล้ว

      😊

    • @maryfrank92
      @maryfrank92 8 หลายเดือนก่อน

      Kipenzi hata mim ananiambia ivo

    • @Officialsummarizer
      @Officialsummarizer 6 หลายเดือนก่อน

      Bg up sana kk n kwel

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa acha mungu atende kama hakupendi muache endelea na yako Kwan ye nan😢😢😊

  • @LightnessAyo-n9l
    @LightnessAyo-n9l 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niwe mke bora kwa mume wangu jamani ❤

  • @LailatJuma-c9c
    @LailatJuma-c9c 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anijalie niwe make Bora Kwa mume wangu

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Dr kwa mafunzo ❤❤❤

  • @StellaWilliam-d2i
    @StellaWilliam-d2i 11 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wako tofaut wakwangu hataki kuhutumiwa anasema Kwan Sina mikono

  • @agnesmkepule8331
    @agnesmkepule8331 ปีที่แล้ว

    Kaka Chris Mauki..watching from Germany...

  • @AxellaDusabe-ce5hv
    @AxellaDusabe-ce5hv ปีที่แล้ว +3

    Asante baba🙏

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akubariki sana

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 ปีที่แล้ว +2

    Daaah
    Asante Sana 🙏🙏

  • @KhadijaSultan-q8y
    @KhadijaSultan-q8y 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallaah nzur sana mimi nataka kitabu icho nakipataje nipo Zanzibar

  • @natachaminguandrea2618
    @natachaminguandrea2618 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana baba

  • @catherinemutiembu5611
    @catherinemutiembu5611 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana mauki

  • @joyce2635
    @joyce2635 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki kwa mafunzo yako 🙏🙏🙏🙏

    • @WinfreyEmmanuel-rw3iw
      @WinfreyEmmanuel-rw3iw ปีที่แล้ว

      Mafunzo mazuri Sana lakini wengine ukijinyenyekeza anakuona we punguani

  • @LailatJuma-c9c
    @LailatJuma-c9c 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nijaalie niwe make mwema Kwa mime wangu

  • @NathanMuyigwe
    @NathanMuyigwe 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @WivinaIssaya
    @WivinaIssaya 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba nakukubali sana💪💪

  • @sarahasekile3864
    @sarahasekile3864 ปีที่แล้ว +1

    asante sana dr tumejifunza

  • @estamichoromichoro5634
    @estamichoromichoro5634 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana Dr, Mauki

  • @aminabarandagiyezahera4307
    @aminabarandagiyezahera4307 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Dr!

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 ปีที่แล้ว

    Nimejengeka sanaaaaaaaa, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @GladnessmeshackMsechu
    @GladnessmeshackMsechu ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dr

  • @JamaryShabani
    @JamaryShabani ปีที่แล้ว

    Asante baba kwa somo lako

  • @HelleMwery
    @HelleMwery 10 หลายเดือนก่อน

    Me nakuelewa sana ubarkiwe san❤

  • @LovenessLima-nm3en
    @LovenessLima-nm3en 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sanaaa

  • @saramwenge1791
    @saramwenge1791 10 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur kk maan nimejifunza mengi san yananisaidia kwenye mausiano yng

  • @susankaaya8175
    @susankaaya8175 ปีที่แล้ว

    Mm nanashuru kwa maelezo haya mazuri na ya busara. Naomba sisi wanawake tubadilike kwa kuhudumia waume zetu ipasavyo.

  • @zubedamunezero8559
    @zubedamunezero8559 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri sana

  • @GloryLyimo
    @GloryLyimo ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @judithnyantikanyaboke6363
    @judithnyantikanyaboke6363 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana

  • @MarriaAlexander
    @MarriaAlexander 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asant dokta mung aendelee kukupa uwez dokt

  • @tinahwilliam1918
    @tinahwilliam1918 11 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @bintsaid1772
    @bintsaid1772 ปีที่แล้ว +2

    Asant kwa ukumbusho

  • @muba6699
    @muba6699 9 หลายเดือนก่อน

    💯 % point 3 zilizoenda shule

  • @AngelNdezi
    @AngelNdezi ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe 🙏🙏

  • @KostansiaKinyunyu
    @KostansiaKinyunyu 7 หลายเดือนก่อน

    Asantee

  • @JescaGand
    @JescaGand ปีที่แล้ว +1

    Mm hanijal, hanithamin moyo wa kumfanyia hayo utatoka wp

  • @RehemaJumanne-j1d
    @RehemaJumanne-j1d ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana ❤❤❤

  • @nancyaroko4572
    @nancyaroko4572 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @christophersunguti8957
    @christophersunguti8957 ปีที่แล้ว

    Ushauri nasaha dah pongezi dr

  • @DorisSamwel-hv2uk
    @DorisSamwel-hv2uk หลายเดือนก่อน

    Wao wanafanya

  • @JeniferJunior-qi3le
    @JeniferJunior-qi3le 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nitazd kukufatilia maana nataman ndoa nmechoka kukaa single kwa mda mlef

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 ปีที่แล้ว +2

    Upewe maua yako baba nimekuelewa kupitiliza

  • @shalonelias4256
    @shalonelias4256 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa hata kama sijaingia kwenye ndoa ila nitayaishi siku moja nikiwa

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 ปีที่แล้ว +7

    Hii Video iwekewe laminanation! Wengi wanakwama kwneye iyo point ya kwanza! Mwanamke akipata mwanaume anayejitambua akizingatia iyo point ya kwanza basi hata utajiri unakuja wenyewe kwenye familia!

    • @HappinessGeorge-z4n
      @HappinessGeorge-z4n ปีที่แล้ว +1

      Natamani utajiri kwenye familia yangu.😂

    • @younglionmsafi3367
      @younglionmsafi3367 ปีที่แล้ว +1

      Uhakika yani unakuja mwanamke anabishana na mwanaume

    • @drvidah7030
      @drvidah7030 ปีที่แล้ว

      Somen comment ya mtu hapo juu,,,aliyafanya yote na akatimuliwa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @JasminMneney
      @JasminMneney 11 หลายเดือนก่อน

      @@drvidah7030 waambie warudie kusoma

    • @gloriaatupele9090
      @gloriaatupele9090 11 หลายเดือนก่อน

      Tayari umesema anayejitambua rfk siku hz wanaojitambua wachache sana sasa hadi ubahatike utambemba na mbeleko😅😅😅

  • @UpendoLukumay-e9z
    @UpendoLukumay-e9z ปีที่แล้ว

    asante sana

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว

    Allah Ibariq

  • @GladnessmeshackMsechu
    @GladnessmeshackMsechu ปีที่แล้ว +1

    Aise mm hapa nimepona

  • @ProchesSamba
    @ProchesSamba ปีที่แล้ว +1

    Woiiiiii so mimi mda wote niwe mtumwa wa mwanaumeee na wanaumee jee mtatunyenyekeaje

  • @AshaAmeir
    @AshaAmeir 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa somo hili sitoki safarini.

  • @JescaGandi-ee2ec
    @JescaGandi-ee2ec 11 หลายเดือนก่อน

    Ni shida tu had ninataman kuachika maana kila ninapomjal kwake ni sifuri tu, what shall I do!

  • @JescaGand
    @JescaGand ปีที่แล้ว +1

    Ni wachache wanaume wanaotendewa hayo na kuridhika lkn walio weng hawathamin mchango wa mwanamke zaid ya kuambiwa mjinga, una nini na wewe hapa, jadilin niko pale nimekaa mtaniambia

  • @HellenLema-j3y
    @HellenLema-j3y 9 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi

  • @ElizabethAmos-c5q
    @ElizabethAmos-c5q ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka

  • @masumbukomabala9256
    @masumbukomabala9256 ปีที่แล้ว +1

    amazing

  • @tulinagwembelo867
    @tulinagwembelo867 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @JaneKiyaka
    @JaneKiyaka 8 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @nicehonesty912
    @nicehonesty912 ปีที่แล้ว

    asante sana kaka chriss

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 ปีที่แล้ว

    Shukran saaana

  • @dorahmwaqsa168
    @dorahmwaqsa168 ปีที่แล้ว

    Nyieèe nilifanya haya yote kuna muda nilikuwa namsaprise hata kwenye siku yake ya kuzaliwa namnunulia cake akirud nyumban nasema pole na kaz lkn haitikii,, alikuwa na shida ya miguu nikawa namkanda kila akitoka kazin jaman akilewa namvua mpk viatu,, nampepelea,, alichokuja kunilipa
    zaid ya Maumivu sitaman hata kupenda tena mtoto wa mtu acha maisha yaendelee 😭😭😭

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri ปีที่แล้ว +1

    Ukwel unaogea ukweli

  • @ZawadiJoshwa
    @ZawadiJoshwa 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @SubirahatibuHatibu
    @SubirahatibuHatibu ปีที่แล้ว +1

  • @ArafaHamad-o9z
    @ArafaHamad-o9z ปีที่แล้ว

    No ya cm naomben

  • @carolchitech4244
    @carolchitech4244 ปีที่แล้ว +1

    waiting

  • @RICHMINDEDSKILLS
    @RICHMINDEDSKILLS 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @zuleikhaabdhallah-bu1sg
    @zuleikhaabdhallah-bu1sg 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona kila mada inahusu tu kufanyiwa wanaume mambo mazuri?kwani wanawake hawana hakki yakufanyiwa mambo mazuri? Kila siku ni nyie tu mridhishwe mbonaaa?

  • @FaridaMchata
    @FaridaMchata ปีที่แล้ว +2

    Naanza kujifunza leo

  • @RICHMINDEDSKILLS
    @RICHMINDEDSKILLS 9 หลายเดือนก่อน

    You don't answer calls that is my problem

  • @thegraceofgodint.ministrie8811
    @thegraceofgodint.ministrie8811 ปีที่แล้ว

    Wabongoo?mmmmh,mwalimu siyo kwa hawa ?😅😂😂

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 ปีที่แล้ว +1

    Wakati alonambia sina akili ata mtoto wake ana na akili kuniliko hapo ndo nilijua dunia c duara n mchwara

  • @romanuskunzugala2096
    @romanuskunzugala2096 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ya ya tatu ndyo yenyewe wanawake wapewe somo sana hapo

    • @drvidah7030
      @drvidah7030 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @happysamwel3880
      @happysamwel3880 ปีที่แล้ว

      Kama bwai na iwe bwai.Mnashindwa majukumu yenu,wamama wanateseka na watoto kutwa,Kisha eti upewe huduma!!?

  • @happysamwel3880
    @happysamwel3880 ปีที่แล้ว +2

    Na mambo 3 anayotaka kufanyiwa mkeo ni yapi ? Ivi mbona kila siku mnataka kufanyiwa mazuri nyie tu?

    • @angelapella30
      @angelapella30 ปีที่แล้ว

      Shangaaa na wewe labda sisi tuna mioyo ya chuma

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว

      Yaani we acha tuu wameshatuona wanawake hatuhitaji hivyo vitu 😂😂😂

    • @sumasuma2856
      @sumasuma2856 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa😢😂

    • @fatimambaruku1833
      @fatimambaruku1833 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @SharifaOm
    @SharifaOm ปีที่แล้ว

    Ok ok

  • @RuthEtyang
    @RuthEtyang ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @TrizahBhoke
    @TrizahBhoke 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @marymutua5970
    @marymutua5970 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana.

  • @HawaMatona
    @HawaMatona 7 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @mariamukibeyo5994
    @mariamukibeyo5994 ปีที่แล้ว

    Asante