Dr. Chris Mauki: Mbinu 3 za kuongeza mahaba kwenye penzi lénu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Je penzi lenu linaendeleaje? Unalifurahia au linaboa? Unaona mahaba baina yenu yamepanda au yameshuka? Au mmepungukiwa mbinu? Nifuatilie hapa nikupe mbinu 3 za kuyaongeza mahaba kwenye penzi lenu.#DrChrisMauki#Mahaba#Penzi

ความคิดเห็น • 110

  • @jafarylyimo2450
    @jafarylyimo2450 3 ปีที่แล้ว +11

    by summary
    1.use your words prpl
    2.put open your minds
    3.thinking positive talk positive
    be positively

  • @asiyaazaa2268
    @asiyaazaa2268 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa ushauri Nina mpenzi yeye mkristo na Mie muislam tunapendana Kikwazo kwetu ni utofauti wa dini airuhusiwi muislam kuolewa na mkristo tufanye nini ili tuweze kuoana

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 2 ปีที่แล้ว

      Ety tufanye nin ?? Tombaneni th

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha หลายเดือนก่อน

      Em mungu wangu mbn linashangaza huku najua me wanakubali kuoa au kuolewa ila ni maelewano mmoja kubadili din 2u mbn mapya hayo uwii

  • @salomemasue5506
    @salomemasue5506 ปีที่แล้ว

    Waooo umenifundisha Jambo jipya hapo Dct. Nitalifanyia kaz!! Mungu AKUBARIK!!

  • @joseKende
    @joseKende 17 วันที่ผ่านมา

    Asante sana daktari wetu 🙏

  • @Anna-i5o8c
    @Anna-i5o8c 10 หลายเดือนก่อน

    Najifunza mengi sana Dr Chris,,Mungu akutunze

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mafundisho mazuri, Mwenyeezi Mungu akujaalie afya njema na akubariki kadri apendavyo.

  • @ezekielsafari5714
    @ezekielsafari5714 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kunifunguliya akili ya kudumisha penzi langu .mungu akuzidishiye Mara 💯

  • @NectaEliud
    @NectaEliud 2 หลายเดือนก่อน

    Najifunza na najiona kubadilika kuelewa na kufanya ndoa yangu isimame Tena mungu akubarik

  • @DeborahEmmanuel-n4v
    @DeborahEmmanuel-n4v ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba nakupenda sana kwa masomo yako

  • @happydismasi7474
    @happydismasi7474 ปีที่แล้ว

    Kwa kweliii upo vizurii mtumish Kuna maswali nilikuwa najiuliza Sana nmepata majibu na Sasa ubarikiwe

  • @AlexMbunda-ye7to
    @AlexMbunda-ye7to 3 หลายเดือนก่อน

    Shukrani mzee

  • @shubbaantv4588
    @shubbaantv4588 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaa ALLAAH,nimependa mshauri yako sana.

  • @TrizahBhoke
    @TrizahBhoke 9 หลายเดือนก่อน

    Najifunza mengi dr ubarikiwe sana

  • @chiwayankomola7398
    @chiwayankomola7398 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo ni zuri. Tafadhali Mtu akiwa na shida ambayo hawezi kueleza hapa nakufikiaje? Tafadhali.

  • @divinahomurwa151
    @divinahomurwa151 2 ปีที่แล้ว

    God bless you,mashauri yako bora saidi am glady to find it...yamenisaidia sana...

  • @MaryCharles-vz8zi
    @MaryCharles-vz8zi ปีที่แล้ว

    Asantee sana Dr mauki Kwa mafundisho mazuri

  • @rosesaruni6924
    @rosesaruni6924 ปีที่แล้ว

    Jaman ubarikiwe Dr mauki

  • @yusraalnoor4684
    @yusraalnoor4684 3 ปีที่แล้ว +1

    Asantee kaka angu kwa ushaur wako mzur

  • @emmanuelrumasi9811
    @emmanuelrumasi9811 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubari Dr somo limenigusa sana tyuuuu.. Natamani KUSUNGUMZA {}

  • @aishtan2745
    @aishtan2745 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo Sahii Doct shukrani Sana

  • @levinavenance1200
    @levinavenance1200 หลายเดือนก่อน

    Jinsi ya kuongeza mahaba
    1.tumia maneno yako vzr usiwe na ambiguity
    2.weka wazi kile unachokipendelea Sema vile unapenda vitu vifanyike naomba hiki na hiki
    3.eleza mambo katika hali chanya tumia neno naomba nisikilize

  • @user-hg5oy1uz2o
    @user-hg5oy1uz2o 5 หลายเดือนก่อน

    Nime jifunza mengi doct asante

  • @JabiriMbega-ug7qg
    @JabiriMbega-ug7qg ปีที่แล้ว

    Nakubali kazi ya kk niko Kenya

  • @agnesmartin8002
    @agnesmartin8002 2 ปีที่แล้ว

    Asantee tunaendelea kuelimika god bless you

  • @samsonmgeta2345
    @samsonmgeta2345 2 ปีที่แล้ว

    Asant sana mtumish naomb endelea kutufundish

  • @maryboo2292
    @maryboo2292 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho yako mwalimu

  • @juditheremiaeremia7260
    @juditheremiaeremia7260 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwamafundisho yako

  • @JacksonSimoni-j3x
    @JacksonSimoni-j3x 25 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda w w jmn

  • @jovithajasson1317
    @jovithajasson1317 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Nimejifunza, naomba uendele kutufundisha

  • @NectaEliud
    @NectaEliud 2 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @ahmadmoshi1345
    @ahmadmoshi1345 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo lako

  • @ziadabilal1978
    @ziadabilal1978 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho mazuri

  • @SaidiIddi-vk2cs
    @SaidiIddi-vk2cs 10 หลายเดือนก่อน

    Asanteee sanaaaaa kaka💖💖💖

  • @erneosingogo5432
    @erneosingogo5432 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana dr

  • @julianaelias8238
    @julianaelias8238 ปีที่แล้ว

    Upo vizur sana

  • @salamajuston833
    @salamajuston833 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa darasa lako nimelipenda xaana, je Kama unachomwambia hakufanyii?

  • @JacklineWilliam-j2b
    @JacklineWilliam-j2b 19 วันที่ผ่านมา

    habari kaka

  • @ruthchiluba4932
    @ruthchiluba4932 9 หลายเดือนก่อน

    Samaan Dr me nimekukosea mala nyingi mume Wangu tukikosana tuu kidogo nilikuwa nauza vitu vyandani kama vitu vyalaki ti9 ivi adi akaamuwa tuachane akanifukuza kama umbwaa nisaidie tamuingiaje plz

  • @mwanamwea9348
    @mwanamwea9348 3 ปีที่แล้ว

    Asante mwalim

  • @najmayukosawagosi9354
    @najmayukosawagosi9354 3 ปีที่แล้ว

    Aki Dr uko sawa

  • @roseallen7198
    @roseallen7198 2 ปีที่แล้ว

    Nimeendelea u
    Kubadilisha mahusiano yangu

  • @babybaby8384
    @babybaby8384 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante San kwa somo lako Dr🇨🇦

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @danfordsamson2915
      @danfordsamson2915 3 ปีที่แล้ว

      Jmani kumbe zako nzur np na mchumba wangu hapa anacheka tu

    • @awadhijumasaraiawadhijumas7956
      @awadhijumasaraiawadhijumas7956 2 ปีที่แล้ว

      Doctor naomba unisaidie mbona mpenzi wangu huwaga haniamini?

    • @awadhijumasaraiawadhijumas7956
      @awadhijumasaraiawadhijumas7956 2 ปีที่แล้ว

      @@ChrisMauki1 Doctor mbona mpenzi wangu huwaga haniamini?

    • @FabianMagabiro-uv4sv
      @FabianMagabiro-uv4sv หลายเดือนก่อน

      ​@@ChrisMauki1habari za mchana Dr ndoa yangu imeteteleka sina imani tena na mume wangu

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 3 ปีที่แล้ว

    Tnx Dr mauki

  • @merryissack1448
    @merryissack1448 3 ปีที่แล้ว

    Dr uko vizuri sana nafulahia sana vipindi vyako

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @mahamuduissah717
      @mahamuduissah717 3 ปีที่แล้ว

      Nimeipenda Sn

    • @aminarashid4647
      @aminarashid4647 3 ปีที่แล้ว

      Asante Dr napenda kipindi chsko

  • @getrudamoshi2169
    @getrudamoshi2169 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru dokta lakini sijaona umeweka kumtanguliza Mungu kwanza

  • @edgarlema8309
    @edgarlema8309 3 ปีที่แล้ว

    Hapo xawa Dr

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 3 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe kwa kwel

  • @danielpaul7360
    @danielpaul7360 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba

  • @marialaurent4457
    @marialaurent4457 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana doctor 🙏

  • @VedaKyando-tb8lr
    @VedaKyando-tb8lr ปีที่แล้ว

    Kwann spatia hamu na kwann sptaii rahaa wakti was tendo LA ndoa

  • @AminahAminah-nv7qy
    @AminahAminah-nv7qy ปีที่แล้ว

    Asant kwa ushaul mzur

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 2 ปีที่แล้ว

    Sawa kaka

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 ปีที่แล้ว

    Thx Doctor

  • @dorisilukinja4507
    @dorisilukinja4507 2 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @latifamlete5889
    @latifamlete5889 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @tegemeoherman9948
    @tegemeoherman9948 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Naomba unisaidie mkewangu yupo mbali ila nahisi upende umepungua sn kunawakati nilikuwa namukosea sn kukuwajua nakutokuja

  • @queenmakere2849
    @queenmakere2849 3 ปีที่แล้ว

    Asantee kwa somo zuriiii sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @fatumaselemanidadampambana1403
    @fatumaselemanidadampambana1403 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @Young_legend1703
    @Young_legend1703 ปีที่แล้ว

    Mr. Mauk me naomba msaada wako Nina mpenz wangu nampenda San lakin yeye anashida Moja kabla ya kuwa na Mimi alikiwa na mtu mwongine mpka Leo anamkumbuka TU nn nifanye anipende Mimi tu na amsahau yule

    • @charlesjanuary1798
      @charlesjanuary1798 10 หลายเดือนก่อน

      Acha kumkalipia usimlaumu laumu kwa kila jambo kuonekana yeye ndio mbaya kwa kila kitu

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

    Dr thanks so much 🙏

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 ปีที่แล้ว

    👏✍️✍️✍️thx sn

  • @burhanmuhidini878
    @burhanmuhidini878 3 ปีที่แล้ว

    Up saw kak

  • @eunicendawa5172
    @eunicendawa5172 2 ปีที่แล้ว

    Hy mm nimugen but nimepend ushauri wak naona utanisaidia nitak kukutafat nitakupat vip

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 2 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @AminaGarnoon-lk4wz
    @AminaGarnoon-lk4wz ปีที่แล้ว

    Unanifundisha sana ila nataka nifike ulipo utanisaida sana maana humu ayaelezeke

  • @salamajuston833
    @salamajuston833 2 ปีที่แล้ว

    Kwa mfano mnaweza mkawa mko kwenye stege yenyewe unamwambia baby naomba nishike hapa haraf hajar je? Ufanyaje?

  • @user-os2rr4yk3s
    @user-os2rr4yk3s ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @adamkhamis2260
    @adamkhamis2260 ปีที่แล้ว

    Dalili zip utazitumia kumjua msichana ambae yupo katika mahusiano?

  • @pequliar4880
    @pequliar4880 3 ปีที่แล้ว

    I like it doctor

    • @kizazijeur7518
      @kizazijeur7518 2 ปีที่แล้ว

      Dr hayo nimeyaongea kwa mwenza wangu lakini hayajafanya kaz

  • @shayrasidnaz3357
    @shayrasidnaz3357 ปีที่แล้ว

    Mm wangu ni mbinafsi mpka yye akijiskia ndio atanitafuta

  • @fridalaswai1000
    @fridalaswai1000 2 ปีที่แล้ว

    Woiiii me naongeaa kwa upolee taratibuu lakin wp kile unachosema hupendi ndo kinafanyika kila skku kile nachokipendaa ndo hakifanywiii kabisaa yn kwa kifup naish km nand nimemzoea tuu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @ummkolthumkoalthum3271
    @ummkolthumkoalthum3271 2 ปีที่แล้ว

    💞

  • @FabianMagabiro-uv4sv
    @FabianMagabiro-uv4sv หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

    • @FabianMagabiro-uv4sv
      @FabianMagabiro-uv4sv หลายเดือนก่อน

      Naomba msaada wako Dr ndoa yangu napitia changamoto

  • @farajambilinyi2736
    @farajambilinyi2736 2 ปีที่แล้ว

    Nina swali moja

  • @sylviesaidi8863
    @sylviesaidi8863 3 ปีที่แล้ว

    Mm ufuraisha Sana Dr natamani kupa nambar zakwako Niko kenye Nairobi plz

  • @mwanahhassan9685
    @mwanahhassan9685 3 ปีที่แล้ว

    Dr mpenz wang akiwa n mtu wakunikata nisiek picha yke kwa mitandao km dp kwa FB au Instagram je uyo ana maana gni...

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @sesiliatula9239
      @sesiliatula9239 3 ปีที่แล้ว +1

      Mamb

    • @zuenasikanyika9895
      @zuenasikanyika9895 3 ปีที่แล้ว

      @@ChrisMauki1 docter naomba namba ya cm.maana uko sahihi kabisa mafundisho yako

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Mm nimekua mtu wa kusaritiwa hata niongee neno gn ra upendo mume wala aaangalii maneno yk🤔

  • @rosegrepemunishi2718
    @rosegrepemunishi2718 2 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍

    • @user-xo8bl3nr7i
      @user-xo8bl3nr7i 9 หลายเดือนก่อน

      Mauki nisaidie muda mwingi mpezi wangu una nahasira n'a inapo fikia tarehh za mwisho wamwez ususha chochotte ili tugombane

  • @merryhussen7890
    @merryhussen7890 2 ปีที่แล้ว

    Nashkuru kwa mafunzo yako

  • @mwendelwaaline1444
    @mwendelwaaline1444 2 ปีที่แล้ว

    Jambo pasta. Mimi naomba kuzungumuza na wewe.

  • @shubbaantv4588
    @shubbaantv4588 3 ปีที่แล้ว

    Shukran KWA mafudishi yako.shukran

  • @khadijaramadhan1796
    @khadijaramadhan1796 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @JacklineWilliam-j2b
    @JacklineWilliam-j2b 19 วันที่ผ่านมา

    habari kaka

  • @Young_legend1703
    @Young_legend1703 ปีที่แล้ว

    Mr. Mauk me naomba msaada wako Nina mpenz wangu nampenda San lakin yeye anashida Moja kabla ya kuwa na Mimi alikiwa na mtu mwongine mpka Leo anamkumbuka TU nn nifanye anipende Mimi tu na amsahau yule