Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 328

  • @zinhotz5366
    @zinhotz5366 ปีที่แล้ว +81

    Binafsi nikushukuru sana Mimi ni dereva boda boda actually niseme natumia pesa ovyo sana nimejiwekea kiwango kidogo sana Cha shilingi ELFU kumi niweke Kila siku kwenye kazi yangu najiwekea Ndani kwangu ila haiputi siku Tano Nisha chukua so now umenipa njia nzuri na sahihi za kutunza pesa be blessed 🤌

    • @AshaMaulid-je6dq
      @AshaMaulid-je6dq ปีที่แล้ว

      Pmk

    • @saidsaido8064
      @saidsaido8064 7 หลายเดือนก่อน +1

      Boss amekuona

    • @RoseMbwana
      @RoseMbwana 3 หลายเดือนก่อน

      Asante.. mimi nimetafua watu 10 kila trh30 kila mmoja anatoa laki moja

    • @khamisomary7428
      @khamisomary7428 3 หลายเดือนก่อน

      Na tena tumia fixed account

  • @elizabethmwaka2921
    @elizabethmwaka2921 ปีที่แล้ว +27

    Asante kaka niko Kenya na nimekufatilia Kwa miezi mtatu na nashukru nimefanya Mambo ambayo nilikua siyawezi be blessed brother

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 ปีที่แล้ว +7

    Kaka Joel nimeyaona matunda kupitia ww una mchango mkubwa sana ktk mafanikio yng haswa 2021 -2022 alhamdulillah nimeongezwa mshahara pia Nina account bank nakushukuru pia namshukuru mungu 🙏💖💖💖

  • @king-gtv2010
    @king-gtv2010 ปีที่แล้ว +28

    Yan kaka Joel mungu akubaliki sana ❤🙏🙏🌎 uzidi kwenda viwango vya kimataifa 🌎🌎⛪️

    • @alexmushi6017
      @alexmushi6017 ปีที่แล้ว +1

      Hakika

    • @hamadnassor2523
      @hamadnassor2523 ปีที่แล้ว +1

      Hongera kaka tunajivunia kwa class zako

    • @JustaTz
      @JustaTz 4 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏

  • @mariamnestory5543
    @mariamnestory5543 4 หลายเดือนก่อน +3

    Binafsi napenda kukushukuru sana kupitia hili SoMo nmejifunza kitu katika maisha na nitaishi kwenye hii mikakati

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 ปีที่แล้ว +7

    Joel asante kwa kutufundisha maisha yaani wewe kaka mungu peke yake aendelee kukutunza na kukubariki zaidi unafundisha vizuri sana nafatilia sana video zako.

  • @user-ei6oh7vl8z
    @user-ei6oh7vl8z 11 หลายเดือนก่อน +1

    Thnx me naweza tumia hio njia ya 1 na ya 2 kupitia sacos na uptu asante sana mna biashara yngu ina mwaka sasa iko vle vle haikui na mashallah inatembea vzur tuh

  • @LincolnMoshi
    @LincolnMoshi 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤ Bank ya NBC Malengo inasaidia sana utoi pesa mpaka miez 6 nimeijaribu maana M Pesa imenishinda natumia pesa nyng MB na kubeti😮

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 3 หลายเดือนก่อน +3

    asante joel,ila mimi nitakuomba wewe unisimamie ,,,,najua una kazi nyingi sana still nitakuomba wewe kila mwezi unanifatilia

  • @halimayahaya5558
    @halimayahaya5558 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nashkuru mungu kwenye hizi njia zote nimepita and thank you 🙏

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 ปีที่แล้ว +9

    Nimepata hamasa kubwa Kwa hili fundisho lako, Lazima niyafanyie kazi mwaka huu 2023

  • @yahyahadji21
    @yahyahadji21 ปีที่แล้ว +9

    Nidhamu ya fedha ni jambo la msingi katika kufanikisha malengo maishani

  • @patelnay4124
    @patelnay4124 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki Sana,am learning a lot from you,na niseme tu hivi Sasa Nina uwezo wa kujiwekea akiba na kufanya vitu vya maana kupitia wewe, seminar zako na kitabu Cha money formula vimeniboost Sana🙏🏼🙏🏼

  • @omarimtau5162
    @omarimtau5162 ปีที่แล้ว +8

    Ahsanteee Broo nanauka kwa kutewa kwenye njia kuu juu ya nidhamu ya fedha.. njia zote ni nzuri na muhimu sana kuzitumia lakini mimi ningependa kuanza na njia ya kumshirikisha mtu nnae muheshimu na kuweka akiba,, naamini zitanisaidia kama ntazifuata kikamilifu..
    **Ubarikiwe sana kwa masaada wako kwenye jamii**

    • @mariamzambi1995
      @mariamzambi1995 ปีที่แล้ว

      Amina sana. Nimeipenda hii njia ya kuwa na account bila ATM CARD. ubarikiwe sana . Acc ya WADU POSTA.

  • @LovelyOutdoors-wd5nh
    @LovelyOutdoors-wd5nh 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,mimi napenda kutumia njia ya kikoba nilichopata hapo ninunue vitu vya jumla nimechoka na rejareja

  • @osangoamosi4355
    @osangoamosi4355 ปีที่แล้ว +4

    Ahxante sanaa Mr Joel nanauka, hakika umetupa somo bora sanaa MUNGU AKUBARIKI,WEWE NI MTU MHIMU SANAA KTK HII JAMII MUNGU AKUBARIK SANAA

  • @MwasiMhango
    @MwasiMhango 4 หลายเดือนก่อน

    Since i started following your classes, you have been such a big help kwenye maisha yangu hasa kifedha.Mungu akubariki

  • @michaelmsazi9722
    @michaelmsazi9722 13 วันที่ผ่านมา

    Ni nzuri saana
    Jia ya kuweka akiba kupitia upatu hii nsions ni 100% na ilinisaidiaaa

  • @lightnessmachua6587
    @lightnessmachua6587 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Joel , Asante Sana kwa mafundisho yako,mm Nina akaunti ya akiba na vikoba.

  • @king-gtv2010
    @king-gtv2010 ปีที่แล้ว +15

    Nakukubali sana kaka Joel my Tz mentor I wish Nikuone one day 🙏❤️❤️

  • @GloryKakole
    @GloryKakole 5 หลายเดือนก่อน

    Njia ninayoona ni best kwangu ni kuweka ikiba kwa upatu na kufanya manunuzi ya ujumla... Ahsante sana kaka🙏🙏

  • @SamwelLodorumbe
    @SamwelLodorumbe 8 วันที่ผ่านมา

    Let God bless you I have learn damething

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sana kiongozi kwa Elimu

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว +1

    TANGU NIMEANZA KUKUFUATILIA MITANDAON NA KUNUNUA BAADH YA VITABU VYAKO NMEKUWA MTU NINAYEISHI KWA FURAHA SANA KWASABABU LIPO TUMAIN.
    GOD BLESS YOU MY BROTHER

  • @winfridagbcl271
    @winfridagbcl271 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana kaka mm nilisikiliza hii na Leo NARUDIA tena nilicheza upatu na mwezi huu napokea milion 7 na Laki mbili nikianza mwez wa 12 mwaka 2022. Mpk Sasa ni miezi nane nashukuru Sana na pesa hiyo nakwenda kufungua biashara ya huduma za kifedha.

  • @karuhangasulaiman
    @karuhangasulaiman 8 วันที่ผ่านมา

    ❤ Asante sana kwamafunzo mazuri

  • @martinenkingwa1757
    @martinenkingwa1757 ปีที่แล้ว +2

    Hongera bro kwa kazi nzuri unayofanya. Maana unatujenga kifikra,mitazamo ili tuache yasiyofaa tuimarishe Hali zetu.

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 4 วันที่ผ่านมา

    Asante kaka kwa kunifungua akil

  • @user-ul2sf9uq6r
    @user-ul2sf9uq6r 6 หลายเดือนก่อน

    Vijana wengi unatufundiaha maisha hakika ambayo hatojifunza na kuchukua hatua ni uzembe wake ila kaka inabadilisha maisha ya vijana wengi Mungu akubarik

  • @etiennenebus4087
    @etiennenebus4087 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana baba Joel nanauka

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Joel kwa mafunzo yako.
    Katika kuweka akiba nashauri watu wa Mungu watumie Utt kama njia nyingine ya uwekeza jwa kuwa wanatoa gawio nzuri kwa mtindo wa compound interest ni nzuri sana .just try!

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 ปีที่แล้ว +1

    Nashukur sana kaka Joel Mungu akubariki sanaaaa kwani nilikuwa sina utumiaji wa pesa vzr ilaa umenifungua sanaa akili yangu tangia nianze kufatiria ndundishi yako. Barikia sana 🙏🙏

  • @franciscarsongea7948
    @franciscarsongea7948 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Kaka ubarikiwe mambo mengi nshayajua sasa makosa ya matumizi ya pesa niko mayo Dana Sasa nshajua njia

  • @user-we1wt2kg8m
    @user-we1wt2kg8m ปีที่แล้ว

    Nakuelewaga sana mwalimu Joel mimi binafsi njia ya vikindi ndo naitumia na naendelea vizuri ila malengo yangu simshirikishi yeyote lakini kuwa peke yangu imenijia vigumu mana kuna mahali nahitaji ushauri ila kwa somo hili nadhani ntaangalia watu ninao wakubali niwashirikishe ili nifikie malengo yangu

  • @nikolausmnanka9362
    @nikolausmnanka9362 6 หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizur sn umenijenga sn nanauka

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 ปีที่แล้ว +1

    ##Nimekuelewa Sana broo...na nashukuru sana kwa SoMo maana kwangu mm hela napata Sana but matumizi makubwa...##

  • @fridalifa7575
    @fridalifa7575 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana brother @Joel Nanauka. Binafsi umenitoa mbali sana kuhusiana na nidhamu ya kifedha. Naendelea kujifunza zaidi🙏🙏

  • @tinoh7_
    @tinoh7_ ปีที่แล้ว

    Mungu akuongezee kaka..nakukubali Nivilee hujuh 2..god be with you

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 ปีที่แล้ว

    Umenifungua macho ,kumbe kila kitu kinawezakana ukidhamiria ili kutimiza malengo yako,mtu unaweza kata tamaa ila ukisave elf 50 kila mwezi at the end of tha yr una laki 6,jamani ngoja nianze this January sijachelewa bado.thanx sana mtumishi wa MUNGU

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana coach Joel

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 ปีที่แล้ว

    Nakuomba Uwe mentor wangu, na unanifuatilia kila mwezi. Asante

  • @aboymoon9972
    @aboymoon9972 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Kwa elimu Yako nimevutiwa sana na itakufatilia sana🙏🙏

  • @123chitib90
    @123chitib90 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kaka kwa darasa naamin siku ya leo haitapita kwangu bila diar na pen kukutana

  • @jamesngasi7252
    @jamesngasi7252 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka leo nimekusikiliza na lipoti ijayo kwa neema ya Mungu itakuwa ni ushuhuda

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani Mr Nanauka. Kupitia chaneli hii nimefanikiwa jinsi ya kuweka akiba. Cha kujiongezea nitafungua akaunti ya Benki ili nihame m pesa niweke akiba yangu Benki. Ubarikiwe sana.

  • @christermlewa8471
    @christermlewa8471 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka na Mimi ni mtumiaji mbaya sana wa pesa mpaka huwa najiombea Mungu aniongoze

  • @adamhamis5560
    @adamhamis5560 6 หลายเดือนก่อน +1

    ubarikiwe sana

  • @erickmnzava9848
    @erickmnzava9848 12 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏 god bless you 🙏🙏🙏

  • @rabiaiddi2884
    @rabiaiddi2884 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana brother kwa somo zuri hata mimi vikoba vimenisaidia sana kwakweli 🙏🏼

  • @magemwaipaja8650
    @magemwaipaja8650 ปีที่แล้ว

    Yaan kuna kitu cha muhimu sana nmekipata hapa
    Asante kwa ushauri mzuri

  • @shabanabdallah376
    @shabanabdallah376 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana Brother Darasa limeeleweka vzur unastahili maua yako.

  • @johnmaduhu9435
    @johnmaduhu9435 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka.

  • @HassaniMkanga
    @HassaniMkanga 19 วันที่ผ่านมา

    Huko sahihi sana kaka hongera

  • @NyamiziIddy
    @NyamiziIddy หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho yako

  • @user-fy4tl2te2r
    @user-fy4tl2te2r 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa elimu nzuri hakika... Mungu akubariki

  • @LilianfelixFelix-wg3wh
    @LilianfelixFelix-wg3wh 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaa naamini malengu yakununua Gari yatatimiaa

  • @christopherndelwa2
    @christopherndelwa2 11 หลายเดือนก่อน

    nimeipenda hiyo ya kuweka standing order be blessed brother

  • @NehemiahChomola
    @NehemiahChomola 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli joeli me umenipa maarifa makubwa san mung. Akup maish marefu

  • @DJJIMYTZ
    @DJJIMYTZ 4 หลายเดือนก่อน

    Nice story champion mwamba wa mwambafix nimeufuatilia mpk mwisho

  • @user-re2jl5rn4h
    @user-re2jl5rn4h 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kiongozi kwa kifungua vichwa vya wengi

  • @user-qz3od7go7h
    @user-qz3od7go7h ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe mtumishi napenda mafundisho yako

  • @priscashairock2679
    @priscashairock2679 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki Sana our mentor..

  • @user-di8ox6xz1j
    @user-di8ox6xz1j 5 หลายเดือนก่อน

    Asnt sana mwl kwa mafundisho yako hakika umenibadilishia sana maisha yangu.. mm natumia vikoba

  • @AbduMadandi-my6dc
    @AbduMadandi-my6dc ปีที่แล้ว

    Aksante sans bi.ejifunza mambo mengi kwako mungu akubarki

  • @omarjuma1794
    @omarjuma1794 ปีที่แล้ว +3

    #JoelArthurNanauka Jenius by Discovery

  • @lebahatikeiya8666
    @lebahatikeiya8666 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother nimejifunza mengi sana kwako toka nikufahamu

  • @naomikubini970
    @naomikubini970 ปีที่แล้ว

    Kaka Asante Sana unisandia Sana mpaka Sasa nimefanya Mambo ambayo nilikuwa naona siyawezi

  • @allyjuma9365
    @allyjuma9365 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kaka njia nzuri zaidi ni hiyo ya benk kuzuia kutoa baada ya muda flan nimeipenda ntaifanyia kazi

  • @LadouceKulimushi-qb5oe
    @LadouceKulimushi-qb5oe 3 หลายเดือนก่อน

    Asante nimejufunza kwa mafundisho

  • @paulyusuph7572
    @paulyusuph7572 ปีที่แล้ว +1

    Honger sana bro joel nanaukakwasaaa una video 669 zote hiz nimeziangalia na kuvifanyia vitendo asante sana

  • @TANZANIANFIGHT
    @TANZANIANFIGHT ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke maisha mengi kaka, tunataka kuonyesha matunda yako uliyo yapanda kwetu,

  • @hamphreymbachira3017
    @hamphreymbachira3017 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli kabisa ndugu true

  • @user-mu9dy4ml5p
    @user-mu9dy4ml5p 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumish ahsante Sana najikuta nazidi kubadilika kamaisha kupitia masomoh yako

  • @user-vd5fe4ve6l
    @user-vd5fe4ve6l 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde uzidikutipatia somo maana daa nakuleewa sana

  • @eunicemusa5057
    @eunicemusa5057 3 หลายเดือนก่อน

    Hsanteee sana kaka mimi ndo nataka kuanza biashara ndo maana natafuta ushauri mbalimbali kwa wataalam

  • @user-um6oj8ci9i
    @user-um6oj8ci9i 2 หลายเดือนก่อน

    Asante tuku pamoja na darasa lako❤

  • @izacklukumai7658
    @izacklukumai7658 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe san mtumishi wa daah.🤔

  • @onesmomnkondya1725
    @onesmomnkondya1725 ปีที่แล้ว

    Asante kaka kwa somo hili mimi nipenda sana kutumia zaidi benki mala nyingi kwakuweka akiba

  • @user-mk7qe1bt8r
    @user-mk7qe1bt8r 10 หลายเดือนก่อน

    Brother ahsanteee sana kwa elimu Yako muhim ya maisha🙏🙏

  • @HeneryKhamis
    @HeneryKhamis 3 หลายเดือนก่อน

    asante sana nashukuru

  • @babybhalo8723
    @babybhalo8723 ปีที่แล้ว +1

    Asantee 🙏🙏🙏🙏

  • @asifiwesamson2977
    @asifiwesamson2977 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mim nimeamua kutumia mfumo wa Bank na haitoi

  • @joycekyando5321
    @joycekyando5321 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi japo nimechelewa

  • @alexmushi6017
    @alexmushi6017 ปีที่แล้ว

    Shukrani kiongozi Nanauka tuko pamoj

  • @ramzmw1763
    @ramzmw1763 ปีที่แล้ว +1

    Nakwaminia Sana kaka Joel unatufikia pale pale tunasumbuliwa, Asante Sana 🙏🙏

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo nimejifunza kitu

  • @mussabaraka5221
    @mussabaraka5221 ปีที่แล้ว +1

    hakuna kipindi naenjoy kama huu mwezi yani kila siku tunapata elimu mpya
    kaka joely sikuizi autucheleweshei mibaraka
    zamani video zilikua zinachelewa
    ila sikuizi ni🔥🔥🔥🔥
    nipende kusema MUNGU akubariki🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annethpascal1184
    @annethpascal1184 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana kaka Mimi nilikuwa sijui namna yakutunza nilikuwa natumia ovyo jamani Asante sana

  • @lastborntz520
    @lastborntz520 ปีที่แล้ว +1

    Asante nanauka

  • @mathewmartin4413
    @mathewmartin4413 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka hakika unanipa hatua Kila Leo ndugu

  • @billuathman4318
    @billuathman4318 ปีที่แล้ว +2

    Unajitahid kuelezea je kwnn Sasa hutumii mawazo hayo Ili upate pesa Zaid ya kina mo au bakhresa unajuwa kuongea n vyepec action xax n xhida

    • @TheSwahiliShow
      @TheSwahiliShow ปีที่แล้ว

      😁😁😁

    • @happynesslyanga6856
      @happynesslyanga6856 ปีที่แล้ว +1

      Kuna watu Mungu amewaweka special kuinua wengine na SI kwa kuwagawia fedha Bali maarifa,

  • @rukiakishar1155
    @rukiakishar1155 ปีที่แล้ว

    Binafa nashukuru sana Leo ndo nimeanza kukufuatilia lakini nimepata kitu kikubwa sana Kwa Mimi nitatumia benki kuweka akiba yangu

  • @user-qe3lo3rn8p
    @user-qe3lo3rn8p ปีที่แล้ว

    Asante kwa ushauri, naendelea kujifunza

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว

    Hilo no 4 ndio sehemu ya maisha yangu nimefanikiwa sana nikifanya manunuzi ya miezi 2 mpaka 3 au hata zaidi hata nikipata pesa yangu naweza nikafanya jambo la muhimu sana

  • @user-gd2qf4ee4n
    @user-gd2qf4ee4n 6 หลายเดือนก่อน

    Dah kaka Allah akubarik maana nishapambana sana bado ila sasa nafata hili somo lako

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 11 หลายเดือนก่อน

    Nimechagua kununua hisa na kutunza bank.asante sana

  • @tumainingoinei5013
    @tumainingoinei5013 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana binafsi inanisaidia kutunza fedha kwajili bina kuweka akiba na changamoto sana kwenye haya maisha ya sasa kwani akiba haiozi .mkuuu

  • @rafiudineassanebartolomeub9930
    @rafiudineassanebartolomeub9930 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali sana kaka. Mungu akubaliki sana.
    Rafiudine Assane Bartolomeu Toka Mozambique

  • @julioclauditayaye9368
    @julioclauditayaye9368 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema zote nzuri ubarikiwe

  • @user-tc8vv9yp2j
    @user-tc8vv9yp2j 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka
    Nimeanza kuweka akiba kwa kupitia AC ya mwanangu .
    Asante sn kwa ushauli