Acha ubwege huyo ni profesa na ameaminiwa na nchi kuiongoza hospitali kuu ya taifa la Tanzania, hospitali ya Muhimbili, na pia ameshahudumu kama daktari mkuu wa raisi. Usimfananishe na hao waganga wako wanaojitia utume na unabii bandia wasiokuwa nao, hao matapeli kina kiboko ya wachawi na wale wa maji na mafuta wa pepo tokaaa..
Weka akiba hayajakukuta, mimi yalishanifika soda nimeacha huu ni zaidi ya mwaka wa tano... nilikuwa nakunywa Pepsi au Cokacola na ndani yake natia korosho au karanga... sasa sinywi soda ya aina yoyote zaidi ya maji, juisi ya miwa au matunda na maziwa basi na nipp fresh.
Huyu Mzee atuache kwanza😂
Janabi hana chochote kwenye maisha yako ye akikuacha hana hasara 😅😅
Janabi atuache kwanza
Mimi na pepsi,pepsi na mimi.
Mambo mazito hapa!!
Na nikiwa na hamu ya mbunye nitafanyaje ili hamu iishe😂
Janabi is celebrity doctor. La sukari vipi, nchi bado tunagombania sukari eti uchumi wa bluu. Professor tuelimishe ubaya wa sukari ndugu!
Yan inamaana niache kunywa pepsi😢😢
Siyo Kwa kuipenda Pepsi jamani 😢😢😢😢
Upo hatarin sana b carefully
Nlikua kama wewe klichonikuta najua mimi
Hata mimi
Kimekukuta nn@@tanzaniamycountry9308
Ata mim ila natamani niache
Tufanye Nini jamani kuikwepa Pepsi?
kwa ufupi soda,keki usile ila tafuta matunda mbadala wa hivyo vinywaji
Upo sahihi sana
Naka kujua yy hata kufa
Kukwepa magonjwa ni kazi sana
😂😂 inabidi atuambie uo udaktari alipataje
Acha ubwege huyo ni profesa na ameaminiwa na nchi kuiongoza hospitali kuu ya taifa la Tanzania, hospitali ya Muhimbili, na pia ameshahudumu kama daktari mkuu wa raisi. Usimfananishe na hao waganga wako wanaojitia utume na unabii bandia wasiokuwa nao, hao matapeli kina kiboko ya wachawi na wale wa maji na mafuta wa pepo tokaaa..
Mmh! Kama unahamu ya soda unapiga tu
Hapo kwenye soda na cake kwa kweli situmii
Mzee unazinguaaa,
Nakula apple ndizi na Pepsi na keki
Wale wazee wa Pepsi bariiidi baada ya supu ya mbuzi na chapati mbili.. like hapa
Aku😅😊x
Huyu naye aache yeye kula aishi milele
Bola ufe kuliko kuugua
Na maepo yakiisha itakuwaje
Epo moja buku
Soda imeanza kabla ya huyo jamaa..! Anazeeka vibaya
Meno yameisha mpk ya mbele ni ivyo vitu
HUYU NI MUONGO TUMEKUNYWA SODA MIAKA YOTE HAKUNA KITU
Weka akiba hayajakukuta, mimi yalishanifika soda nimeacha huu ni zaidi ya mwaka wa tano... nilikuwa nakunywa Pepsi au Cokacola na ndani yake natia korosho au karanga... sasa sinywi soda ya aina yoyote zaidi ya maji, juisi ya miwa au matunda na maziwa basi na nipp fresh.
Inaendana na umri watu ila Janabi yuko sahii. Ikiwa hakuna kitu kimekutokea lazima utakuwa na tambi sukari na wanga uongeza unene.
Kila kitu kinamadhara kikizidi mwilini sio soda tuu
Huo uprofesa ameupatawapi
Babayo ndio kampa uprofesa
@@faridithomas4859😂😂😂😂
Kasoma miaka 22
Chuoni
Aliuokota
Mimi na pepsi,pepsi na mimi.
Mambo mazito hapa!!
Soda imeanza kabla ya huyo jamaa..! Anazeeka vibaya
😂
Endelea kuipiga
Wekunywatu alafu utaenda hospitali unalia bilikubwa.utamkumbuka janabi
Ndugu yangu huo ni ukweli mm mwenyewe ni mhanga