Zamani nilikuwa naumia Sana,Kila wakati namtafuta, akiwa mbali nalia nahisi anafanya mambo yke, kiufupi alikuwa haonyeshi ushirikiano. Sa ivi simtafuti, na asiponitafuta Naona kawaida tu, mpaka anaanza kunilaumu kwa Nini hatuwasiliani, Nimeteseka Sana Hadi nilifikiria kujifanyia unyama, but now I thank God I'm free, let me relax with my daughter
❤😅😅🤩TRUE STORE NILIPITIA YOTE ILA NIKA MOVE MIAKA 2 NIPO OMAN SIKU IZI MWANAUME HUKAA AKANITAFUTA YY ET NNA MWANAUME MWINGINE MARA NIKILUDI YUPO MM NIMESHAMZARAU MARA 2 YAKE NA NYUMBA YANGU INAKARIBIA KWISHA AHSANTE Dr.Chiris Maukii👍
Asante dr.chris kwa somo zuri.... Asilimia kubwa tulioko kwenye mahusiano tumeshafikia hatua hiyo... Naomba tusaidie tufanye Nini sasa ili tuweze kurudishwa uko moyoni ambako tulishatolewa? Tusaidie...🙏
Njia sahihi ni kutulia kidogo kimwili na kiakili usinywe pombe, punguza marafiki wa kike uwe na marafiki wa kiume sio boyfriend na washikaji tu. Uwe unawauliza maswali ukijifanya sio ww unae pitia hilo jaribu, ili upate ushauri nini afanye huyo mnae mzungumzia. Utafurahi sana wanaume ni washaur wazuri sana. Utapona haraka sana na utatoka kwenye jaribu kirahisi sana.
@@zuhura.suleimanmwamwari3083 pole sana. Huyo sio yy ni pepo mchafu kamuingia. Huyo ni rahisi sana kupona. Nenda kawe kwa mwamposa. Km hauko hapa mjini mtazame kwenye TV ya Arise & shine utanipa mrejeshe mzuri muda mfupi sana
Inaumiza kwel nimekuwa na hili ttz dalili zote naziona napata shida SN izi dalili zipo na amekuwa mtyu anawez asikutafute siku nzm Ila ukashangaa anapiga simu SA Saba usiku usiku WA manane ni ii upoje doctor @Dr.chris Mauki
@@neemaloy889 upendo haununuliwi. Ukiona unafanya ili mwenzako akufanyie na yeye, ujue hapo unanunua Upendo’ kwako. Anayekupenda hata usipompa zawadi, hiyo haimsumbui. Kama ni mwanamke atakutii. Kama ni mwanaume atakupenda bila kudai utii wako.
Ni mimi kabisa kwaza hata simpendi kama zamani niliacha kwenda kusoma kwaajili yake lakini sielewi kawaje mtu m,babe kilakitu anakijua yeye wakati mwanzo hakuwa hiv
Ni mimi kabisa kwaza hata simpendi kama zamani niliacha kwenda kusoma kwaajili yake lakini sielewi kawaje mtu m,babe kilakitu anakijua yeye wakati mwanzo hakuwa hiv
Hapa umeniongelea mim ,Si ulizi chochote wala silii wala silalamiki akinitafuta sawa asipo nitafuta sawa yaaan cjali chochote, kulia kulala mika nilisha fanya vyote sasa Ni Kimya tu
Hiv Kama mpenz wako upo na na yubo bz San anakutaft Mal mbil kwa siku tu mchan na jion au usiku mkajachat kidog ukimwambie tachane anasem umeon ww unahasila mm nakupend hembu acha utoto Kam nimekukusea nisamehe bc anakutaft kesh vp huyu mtu Yuko upande ngan
Asante na je utamjuaje mwaume mwenye mpenzi mwenye mtoto au kuwa kabebeshal mimba kwa mwanamke mwingine mkiwa kwenye mahusiano kama mpenzi wake utajuaje
Jiunge nami ktk vipindi vyangu shiriki ktk vipindi utapata haya na mengine mengi. Ungana na Dr RUTA (RUDISHA TABASAMU) naamini utarudisha tabasamu ktk nyanja zote ndoa, mahusiano,uchumi na familia.
Mbona hii inanihusu mimi kabisa kwa kila kitu na ninaamani kabisa nalea watoto hata cwazi hata anifanyie nini cwazi nashukuru niko huru kiukweli ila bado niko nae na anahisi ananikomoa kumbe anajidanganya
Ndoa yangu Mimi imekua na mizumbazumba na pia kwa saizi ni miezi sita alishaa toa pete yetu ya harusi sasa mm najiuliza Mimi niendelee kuivaa yangu ama nitoe
Kweli kabisa unachokisema yani mumewangu ndio anatabia yakuniambia, ilo neno mara kwa mara fanya unalofanya uwanajiuliza lakini leo umenifungua pakubwa sana,
Na Mimi iki kitu inaniumiza Sasa ivi Yani anajifanya hanioni Wala apigi cm Wala ajari na Mimi naumi sana jamani Namuomba Mungu anipe subila nivumilie tu niachane nae
Mimi nikiomba hata michango ya kanisani anamuuliza kiongozi kwanza ndo anipe nikimuuliza lolote ananijib unaniuliza kama nani au anakuwa mkali yana hata kama kitu natamani naogopa kusema anakuwa mkali sana
Samahani doctor,mfano kama mwanaume umeanza naye uchumba hadi mnafunga ndoa ukimuliza tuzae watoto wangapi halafu anakaa kmy badala ya kukujb,ukizaa mtoto moja,hatak utumie uzazi wa mpango anasema wee zaatu,
yani kwenye ndoa yangu Mimi uliyoongea yapo yote kabisa docta nahisi kabisa mke wangu kanitoa moyon ,kihsia hata kimwili kabisa dalili naziona kabisa Kila siku haish lawama Mimi wakukosea tu Kila siku Kila nikisema hanielewi tunaishi kwasababu tuna watoto tu anasema kwahiyo nimeelewa kabisa unayosema Hana muda na Mimi na pia kaniambia kabisa Hana hisia na Mimi nishauli nifanyaje dr
good point nilimuacha mwanaume wangu hakuamin mpaka leo anataka tuludiane mwaka wa nne sasa huu alikua anachelewa kulud nyumbani nikawa namuuliza anaomba msamaha namsamehe analudia akaanza tena usiku ananiaga naenda kuangalia mpila analud asubui namuuliza mpaka Nalia ananicheka uku akiomba msamaha yan alikua na vituko visivo isha ikafika mda akawa nawaambia marafik zake mke wangu alikua akinisumbua mwanzo sasaivi kazoea kaacha ata nilud asubui aniuliz izo dalili zote ulizo zisema nilizifanya na hakuamin siku namuacha
Namshukuru Mungu aiseee mapenzi haya bas t ngoja niseme tu Mungu yupo
Mimi sasaivi hataa afanye nini wara hainishtui wallah nshachokaa kujipa umuhim kweny maisha ya mtu asiejua umuhim wangu
Inauma sana
Zamani nilikuwa naumia Sana,Kila wakati namtafuta, akiwa mbali nalia nahisi anafanya mambo yke, kiufupi alikuwa haonyeshi ushirikiano. Sa ivi simtafuti, na asiponitafuta Naona kawaida tu, mpaka anaanza kunilaumu kwa Nini hatuwasiliani, Nimeteseka Sana Hadi nilifikiria kujifanyia unyama, but now I thank God I'm free, let me relax with my daughter
You took a good decision dear
Go ahead, never beg for love
Nami nilikuwa hivo saahii niyeye anahangaika nilikuwa na mtumia message haisomi masahaa nane kumi yakaisha sku hizi niyeye anahangaika
Pole
@@Angependo9141 kutesa kwa zamu
God bless you
Asante sana huyu ni me kabisa na ninayo yapitia 😢 ngoja najitahidi japo naipenda
Iam new to your channel, thank you bro it is very helpful 🙏 be blessed
MUNGU mwema sipo kwenye zote naomba Mungu atusaidie tufike mbali
Hongera. Mungu azidi kuwasimamia
Mungu azidi kuwalinda
Asante dr yote nayaona na nimekubali kuachia ngazi Japo inauma nitajikaza
Tujipe pole
Naona kabisaa ata kwangu japo inauma najikaza pia
Ni ngumu sana kumuachilia mtu unayempenda
Dawa ipo
😂,😂@@williamishmael933
Tuambie iyo Dawa @@SamiraAmiri-j2b
Asante sana nimejifunza jambo kupitia hii video
Mm😭kumbe nimeachwa jamani😭 message nikituma saa1asubui najibiwa kesho Mpk nimpigie Mimi nisipo mpigia anipigi Daaah wanaume MUNGU ANAWAONA 😭🙏
Kwa kweli 🙌
Hata wanawake wapo mimi mwenyewe mke wangu ananifanyia hivyo😢😢
@@SamiraAmiri-j2b kama mke wakk fanya njia yyt arudishe Moyo wake ila hawa wapenz kupotezea tu
@@allthingdranabeauty kutafuta sio shda una vumilia kusema atabadilika
@@jamilashabani8580 Nikweli
Upo Vizuri kwa mafundisho, japo imechelewa. Comente upo Vizuri good job ❤❤❤
Sitaki kulia,,,niko kwa long distance relationship,,God lead me on your path
Dr mafundisho yako ni ya maana sana ni ya kujenga umeongea ndipo kwa nyumba yangu dah
Thanks dr. Nimejifunza kitu
Nimejifunza kuako Dr, gostei muito desse vídeo, muito obrigada dr bom encinamento
❤😅😅🤩TRUE STORE NILIPITIA YOTE ILA NIKA MOVE MIAKA 2 NIPO OMAN SIKU IZI MWANAUME HUKAA AKANITAFUTA YY ET NNA MWANAUME MWINGINE MARA NIKILUDI YUPO MM NIMESHAMZARAU MARA 2 YAKE NA NYUMBA YANGU INAKARIBIA KWISHA AHSANTE Dr.Chiris Maukii👍
Mashaallah
Anataka pesa zako huyo achana naye
❤😅🎉❤❤
Love you my friend ❤❤❤🎉
❤
Daaa kwa ujumbe huu nimeshatolewa moyoni hadi mdomoni, moyo unauma ila sina namna
Well explained
Asante dr.chris kwa somo zuri....
Asilimia kubwa tulioko kwenye mahusiano tumeshafikia hatua hiyo...
Naomba tusaidie tufanye Nini sasa ili tuweze kurudishwa uko moyoni ambako tulishatolewa? Tusaidie...🙏
Kweli kabisa, Nini dawa ya kuirudisha Hali ya zamani??? Plz msaada
❤😂wanifrahisha kpeenzi. siunaelewa hakuna hta mwanaume mmoja🤦🧏, mwenye mwanamke mmoja maana sawa 🤷 anaweza kuoa kweli lakni michepuuuukooooo😢😅😅😅😅😅.
Mungu akubaliki sana Dr.
Uko vzr kabisa kaka, mungu azidi kukupa MAARIFA zaid
Asante Sasa nimeelewa Nini kifanyike
Dr nisaidie dalili zote anazo nifanyeje nimuache nashindwa kbs
Dr naumia sana napitia Hali hiyo na bado nampenda sana nateseka mimi nifanyeje
Pole mama tuko kwenye njia moja
Pole sana.
Njia sahihi ni kutulia kidogo kimwili na kiakili usinywe pombe, punguza marafiki wa kike uwe na marafiki wa kiume sio boyfriend na washikaji tu. Uwe unawauliza maswali ukijifanya sio ww unae pitia hilo jaribu, ili upate ushauri nini afanye huyo mnae mzungumzia. Utafurahi sana wanaume ni washaur wazuri sana. Utapona haraka sana na utatoka kwenye jaribu kirahisi sana.
Pole sana Mimi pia nampenda hanipendi huyu wangu imefika anataka kubaka watoto so afadhali wewe yangu mazito
@@zuhura.suleimanmwamwari3083 pole sana. Huyo sio yy ni pepo mchafu kamuingia. Huyo ni rahisi sana kupona. Nenda kawe kwa mwamposa. Km hauko hapa mjini mtazame kwenye TV ya Arise & shine utanipa mrejeshe mzuri muda mfupi sana
Thanks doctor Chris ❤❤❤❤
Dr mie naachia ngazi moyo umechoka
Nilipitia zote hizo lakini nilipriotize myself,amani ninayo huh😊😊🙏🙏. Sasa hivi yuanitafuta yeye mwenyewe
Dr,nimekuelewa sana
Nashkuru sana kwa ujumbe huu, umenisaidia kunifungua macho na kujua nafasi ameniweka kwa maisha yake 😢
Safi sana thanks sai ukimya wake zilipendwa naakae hata mwaka i don't care
Thank you so much
Al yo said is true🙏
Mm binafc naumia sana ninayo yapitia ila nakaza moya wakupotezea nan nahic kuumia sana man yupo alokuwa bor kuliko mm mungu nisimamie nahaya
Inaumiza kwel nimekuwa na hili ttz dalili zote naziona napata shida SN izi dalili zipo na amekuwa mtyu anawez asikutafute siku nzm Ila ukashangaa anapiga simu SA Saba usiku usiku WA manane ni ii upoje doctor @Dr.chris Mauki
Anakutamani tu huyo kimapenzi
Napitia kabisa Hali hiyo. How can I restore Dr? Please I need an assistance, reply to me Dr.
Let her go, sio wako tena
Move on with your life.Maisha lazima yaendelee bila yeye
Anza kumjali tena,Anza kumpenda sana,mletee ZAWADI Kaa karibu nae,Anza kumsemesha maneno mazuri
@@neemaloy889 upendo haununuliwi. Ukiona unafanya ili mwenzako akufanyie na yeye, ujue hapo unanunua Upendo’ kwako. Anayekupenda hata usipompa zawadi, hiyo haimsumbui. Kama ni mwanamke atakutii. Kama ni mwanaume atakupenda bila kudai utii wako.
Uko Sawa Yote kweli
Very true aki, balikiwa tu Sana
Aiseee me nilishamove on bfr hajaanza sema hayo maneno
Sijui nicomment mwalimu Mauki unapenyeza basi tu acha niache kuongea. Asnte Dr kwa somo
Thanks a lot
Duuuu kumbe nimeixha Tolewa moyoni mwake Mungu xaidia😮😮😢😢
Mm nilipokuwa sijaolewa mda wote yupo nami lkn aliponioa dah hizi tabia zote alinionesha 😭😭😭lkn alhaamdulilah tushaachana
Hongera kaka ,upo sahihi na unachongea ,zote dalili zilizohai kabsa
kwa dalili hizo nimeshaona sipendwk
Mimi siezi pewa stress na mwanaume juu ya mapenzi nasemanga kaende kakiendanga wacheni nitafute pesa atajileta kwangu mwenye i don't force issues
Your right Mr.
All these are good bt mtumishi tufundishe namna ya kupata pesa, pesa ndo kila kitu under the Sun
Ni mimi kabisa kwaza hata simpendi kama zamani niliacha kwenda kusoma kwaajili yake lakini sielewi kawaje mtu m,babe kilakitu anakijua yeye wakati mwanzo hakuwa hiv
Ni mimi kabisa kwaza hata simpendi kama zamani niliacha kwenda kusoma kwaajili yake lakini sielewi kawaje mtu m,babe kilakitu anakijua yeye wakati mwanzo hakuwa hiv
Hapa umeniongelea mim ,Si ulizi chochote wala silii wala silalamiki akinitafuta sawa asipo nitafuta sawa yaaan cjali chochote, kulia kulala mika nilisha fanya vyote sasa Ni Kimya tu
Hujari lolose 😂😂😂😂😂
Noma sana,yaani apa nkama nmemulikwa jamani,shida yangu kabisa ni hawa watoto,apa daktari nahitaji nkuskilize sana maanake nmeshindwa cha kufanya
Weng tupo Kwa ajil WA tt
❤❤asante sana kwa sasa hivi nimejifunza kitu
mm naitwa abduli bagamoyo. Yamenikuta kweri mwanamke asiekujari achana nae mm nimetupilia mbali natafuta.mwngine
Wew Bado hujakoma sisi tusha piga moyo konde 😂😂😂😂😂
Mungu anusulu ndoa zetu mana paspo hvo sjui tu
Hongera mwalimu
Mm toka nimempoteza mzazi wangu Nnaye mpemda wallah sizan kama uyu aliekuwa ananiumiza moyo kama ntamuwazia tean
Wew ni kama mim jaman yan
Asante san kakangu
Habari Dr. Chris. Nina swali, mwanaume anayependa kwa hisia yupoje?
Nafurahia sana darasa lako ,,❤❤
Hiv Kama mpenz wako upo na na yubo bz San anakutaft Mal mbil kwa siku tu mchan na jion au usiku mkajachat kidog ukimwambie tachane anasem umeon ww unahasila mm nakupend hembu acha utoto Kam nimekukusea nisamehe bc anakutaft kesh vp huyu mtu Yuko upande ngan
Ilo kweli unasema Dr
Asante na je utamjuaje mwaume mwenye mpenzi mwenye mtoto au kuwa kabebeshal mimba kwa mwanamke mwingine mkiwa kwenye mahusiano kama mpenzi wake utajuaje
Jiunge nami ktk vipindi vyangu shiriki ktk vipindi utapata haya na mengine mengi.
Ungana na Dr RUTA (RUDISHA TABASAMU)
naamini utarudisha tabasamu ktk nyanja zote ndoa, mahusiano,uchumi na familia.
Mbona hii inanihusu mimi kabisa kwa kila kitu na ninaamani kabisa nalea watoto hata cwazi hata anifanyie nini cwazi nashukuru niko huru kiukweli ila bado niko nae na anahisi ananikomoa kumbe anajidanganya
Saiv hata siumii tena huu moyo ushaumizwa na kugalagazwa mpaka umekufa ganzi hausikii maumivu
😹😹😹polee nikila mtu tu
Ata mm naanza kubadilika nikitaka niwe ivyo nitumie njia gn
@@shedy_marie😂😂😂😂😂
😂😂
Mhuuuu mungu atutee kweli tupu
Kiukweli ndoa sitamani Tena nataka nikae pembeni nimlelee mwanangu nimeshakubali mi ndo baba na ndo mama
Mmmh😅😅😅
Me single mother kma ww ila naumia kulea mtot bila baba 😢😢
Dah Kaka umenigusa
Pole
@@rukyomar1955pole
Mmmh ,nahisi tumechokana tena sana 😢😢
Jamani mie mwenzenu sasa iv bora nifanye maisha yng mapenzi yashanichosha 😢
Thank you
Ngoja nijaribu kurestart japo support ykee ipo chini sana na unaonekana msumbufu
Thanx
Mm napenda kumtafuta mtu kuhusu ishu za pesa tu kwenye mapenzi nilitoka mda sana
Swadakta zote nimepitia kwenye ndoa yang ck alonipa taraka kama nimetua mzigo mwepesi
Dr mafundisho yako yananifundisha mengi sana
Dh kweli kaka uko sahihi
Daaaa nataman ningekuwa karibu kuna kesi naendelea na mkewang ningetamani sana ushauri kama huu akiwepo
Jaman mm mwenzenu naombwa hela na yeye kila siku yupo bsy na biashara
Ndoa yangu Mimi imekua na mizumbazumba na pia kwa saizi ni miezi sita alishaa toa pete yetu ya harusi sasa mm najiuliza Mimi niendelee kuivaa yangu ama nitoe
Doctor Una ya restore vip sasa doctor mtu mahusiano ya mtandao kufika kufuta WhatsApp,,
Hy nn mm kabisa Yan ukinuna siulizi ukikaa kmy siulizi
Ila nw nipo kama sipo
Namimi kaka yalinikuta sana kiukweli nililia sana mpk nikawaza kwann mimi?? Kiukweli niliamua kumwambia ww nenda tu...kwasasa ninaishi nawanangu kwa amani na upendo...
Acha tu ndugu yangu
Mm pia Niko na mtu hapo nyuma tulikua hatumalizi siku mbili bila kuonana bt sai ako na week mbili mbila kukutana wala mawasiliano
I am speechless 😷😷😷😤😤
Jamani kumbe mm nilishaachwa zamani tu jamani
Asnte san Dr mafundisho ni mazur nina mtu wangu dalil hiz nazion kbs yan hat ipit siku 3 ye wal hat hawz yan 6:27 6:27
Kweli kabisa unachokisema yani mumewangu ndio anatabia yakuniambia, ilo neno mara kwa mara fanya unalofanya uwanajiuliza lakini leo umenifungua pakubwa sana,
Na Mimi iki kitu inaniumiza Sasa ivi Yani anajifanya hanioni Wala apigi cm Wala ajari na Mimi naumi sana jamani Namuomba Mungu anipe subila nivumilie tu niachane nae
Napitia Hali hiyo kabisa Dr. I need your assistance. How can I restore Dr? Please reply to my comments
Uko wapi Jak uwe best wangu tushauliane?🤣🤣
@@happynescostat7420 tushauliane bhna nipo hoi 😢😢
pole
@@Johnjoo196 send for me your phone no. Thnx
@@happynescostat7420 send for me ur phn no
Kaka agu mm ndo maisha yangu haya
Mimi nikiomba hata michango ya kanisani anamuuliza kiongozi kwanza ndo anipe nikimuuliza lolote ananijib unaniuliza kama nani au anakuwa mkali yana hata kama kitu natamani naogopa kusema anakuwa mkali sana
Nashukul kwa ushuli make tupo Kunye mabano na .aamz tulikuwa hatuna apa umetusaidia
Dahhhh, Safi doctor❤
Samahani doctor,mfano kama mwanaume umeanza naye uchumba hadi mnafunga ndoa ukimuliza tuzae watoto wangapi halafu anakaa kmy badala ya kukujb,ukizaa mtoto moja,hatak utumie uzazi wa mpango anasema wee zaatu,
yani kwenye ndoa yangu Mimi uliyoongea yapo yote kabisa docta nahisi kabisa mke wangu kanitoa moyon ,kihsia hata kimwili kabisa dalili naziona kabisa Kila siku haish lawama Mimi wakukosea tu Kila siku Kila nikisema hanielewi tunaishi kwasababu tuna watoto tu anasema kwahiyo nimeelewa kabisa unayosema Hana muda na Mimi na pia kaniambia kabisa Hana hisia na Mimi nishauli nifanyaje dr
Iyo nimeambiwa sana..
Napitia hayo sahii nashindwa kujitoa nifanye nini
Yaan haya ndyo naaplay Kwa huyu mtoto wa mama mkwe, aisee mwanaume nilimpenda nikafa nikaoza lkn sasa hv hta nyegezi hazipo
Upo sahihi kabisa kaka point
inafikia kipindi moyo nao una choka
good point nilimuacha mwanaume wangu hakuamin mpaka leo anataka tuludiane mwaka wa nne sasa huu alikua anachelewa kulud nyumbani nikawa namuuliza anaomba msamaha namsamehe analudia akaanza tena usiku ananiaga naenda kuangalia mpila analud asubui namuuliza mpaka Nalia ananicheka uku akiomba msamaha yan alikua na vituko visivo isha ikafika mda akawa nawaambia marafik zake mke wangu alikua akinisumbua mwanzo sasaivi kazoea kaacha ata nilud asubui aniuliz izo dalili zote ulizo zisema nilizifanya na hakuamin siku namuacha
mh pole sn mtihan sisi wanawake tunapitia changa moto nyingi mno
Nikweli kabisaaa daktari
@@zaitunjuma870na mim nachanga moto kubwa sana
Zote izo dalili zipo kwenye mahusiano yangu wacha nijifunze kumsahau ili akiniacha nsiumie sana
Kabisa wangu
Je nikiona hayo nafanyeje maana watt Bado wadog na wanasoma
And how do you restore this?
Ukiona yupo hv mwach mtaftie mwingne umkomexhe wanaum xo wat wazur 😮😅 ukijileta kwang namkomexha kaz na daw
Utabadilisha aje Chris
Pole.