Yaan Maneno yako yamenitia moyo kwa kiwango cha juu na kuiludisha dhamani yangu niliyokuwa nimeipoteza mimi mwenyew kwa mwanaume Mpumbavu asiyeweza kuijali wala kuiona. Now Niseme ninauwezo sasa wa kufuta chochote nilichonacho kwenye Akili yangu kuhusu yeye, Bado nina dhamani kwa mtu Mwingine na Mungu Atanipa wa kufanana nae In the Name of Jesus❤️🙏
Wooooow😀👏👏🔥🔥🔥 huyo sasa ndio wewe lazima ujitete wakati wote wa maisha yako usikubali kujibagua na kujisusa lazima ujipambanie. Safi endelea kuwa hivyo good💪
@@SwaleheHemed-n9s heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
@@salomevestinamichael1458 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
True hujakosea kaka mie napata tabu sana kwa mume ila kinachoniweka ni wanangu ananidharau tosha unaongra ukweli mtu unatugusa ndipo from USA 🇺🇸 shukran sana
@@faithismail7557 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
@@ElizabethThomas-n6g heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Oh karibu sana moyoni mwangu,yote unayoongea ni sahihi kabisa,ata mimi naishi kwa mazoea,nimejaribu kutoka kweny ndoa nimeshindwa, ongera sana maneno yako ni msaada kwa kila mtu alietendwa!
@@Angelmhagama-p4v heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Asante kwa ushauri mzur kwa kweli masono yako n mazur san,kak m natak ushaur nilipatq na mwanaum online 8 month sas,tulikua vzr tu sas kumbe alikua na dmu kabl anipat mm,huyu akwa na boll akazaa sas huyo demu wazaz wake wakamleta kwa huyo mvulan mwenye nadate naye,sai yuko apo na mtto,alfu mm tulikua tumepang kila kitu kiko saw bado ndowa tu,sas nimechanganyikiwa hadi yey mwenye pia maan hakutarajia itakua ivo,ju huyu dem alikua wameachan hadi yuko kwa mtu mwengin then wazaz wake sas akamlet apo kwa huyo boy mweny nko nae ushaur jamen nimuache,am tuendele na mioango yetu ya ndoa hadi nasikia kuchanganyikiwa plz plz plz ushaur

gentlemen nowadays ni wengi mnoo...alafu kiporo hakinogi kama fresh food yaan ...alafu sasa utamu wa jana hauwezi kufanana na utamu mpya ... ulikuwa unanipatia asilimia 60 nikiwa na umri wa miaka 25 nina 30
Mmi hata cna lakusema maana ajuaye ni mungu maana hata niliamua kusafiri lkn hata sasa ana miezi miwili hanipigii sm hata nimemuacha tuuu mungu amsaidie
😢😢😢 jee kama anakuhitaji 2 wakat anatakaa kitu kutoka kwako do anaonesha yupo romantic ilaa ukisema 2 huwezi kufanya anachukia na hakutafuti tena hii ina maaana gani
Kwakweli niliteseka kwa ndoa ya miaka nane mwanaume ataki upate ata Mia naukipata uwa unamsaidia yy lakini yy asamini zarau vipigo masimango na hivi mungu ajanijalia watto na yy basi mungumba nikibeba mimba zinatoaka anasema nara nyama nimeangaika mabakwata kwenye Sheria zote meshindiakana ila na mshukuru mungu Allahamdulilah nimetoka kwenye kifungo chake nimemwachwa yake mwenyewe katoa taraka nimeshinda kwa bira ungovi Wala kupigana kukaa kimya tu ilikuwa jibu na kutomfanyia yote nilio kuwa na mfanyia nikacha nikataoa mapenzi kabisaa na yy nikawa nipo nae lakini naishia Kama Sina mtu akirudi sawa akienda sawa atimaye kila kitu limeisha maisha yanaenda kikubwa tu mungu ndo mgawa ridhi kuwachana niradhima akuna anaeishi milele na mtu Mana kila mtu ana kaburi lake Kama ajatengana kwa taraka mtatengana kwa kifo na maisha radhima yaendelee ila Leo namani Sana mungu katenda na mshukuru
Mimi imenifungua ndani cha kifungo haijalishi anakujali vipi ila upendo haupo kabisa anafanya tu kama wajibu ila upendo hakuna kabisa.maelezo yako yana nguvu kubwa na yanaukweli mkubwa sanaaa katika maisha.
Nataman kumuacha kumsahau kabisa kwa vituko vyake n mtu wa tamaa za wanawake ila ananijali nachotaka ananipa ila n muongo sana nashindwa kuachana nae kwakuwa tunaishi mtaa mmoja na mm n kaz siwez kuhama je nfanye nn

Mimi Nipo
Sawa kaka nimechukua hatua
Asante Kwa kutufungua akili kwamana daaah tumechoka mnooo kunyanyaswa Yan mwanaume anamanyanyaso anaona akiondoka kwake hutaolewa
Daah pole sn mpendwa
Asante sana bro hii video imenipa imani mpya kwenye maisha yangu...nimepata nguvu mpya kwakweli
Asante kaka kwa ushauru . Ume eleza point ya maisha yangu
Unajua sana big up ndio nashindwa kutoka kwa jili io
@@SwaleheHemed-n9s heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
peace of mind kuwa single kuliko kuendelea ku stuck kwenye unhealthy relationship...
Yani ni mm uyu nimepitia ndoa ya makelele naomba mungu anipe nguvu nitoke
Mwanangu somo lako ni zuri🎉
@@salomevestinamichael1458 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Nimekuelewa Sana na asante kwa kuponya moyo wang🙏
Karibu sn mpendwa
True hujakosea kaka mie napata tabu sana kwa mume ila kinachoniweka ni wanangu ananidharau tosha unaongra ukweli mtu unatugusa ndipo from USA 🇺🇸 shukran sana
Ooh asante sna kwa kuendelea kujifunza mpendwa pia pole sn
Kweli unayo yasema more bless
Asante mpendwa 🙏🤣
Nakupenda saaana umenisaidia saanaaa nimetoka kifungoni kwa bwana aliyekuwa anacheza na hisia zangu. Nashukuru nimefanikiwa kumove on Nina Amani sana
@@Judith892 woow vizuri sn😊
Umenifariji San kaka
Ukweli mtupu mashauri Yako yananifundisha kitu Asante sana kaka
@@SarahWangoi-nj9vp karibu sn
Nirimpenda kumbe nimaraya wa chini chini hatari sana zamani arikua
Jamani nimebarikiwaa kwa somo zuri Mungu akubariki
@@IsabellahKayuni Amina amina
Uko sahihi kaka mungu akubariki San uishi maisha marefu sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Nimejifunza sana kaka hatimae naisi ninafulah sasa
Good👏
Asante unaeleweka mno yan nimependa
Asante Sana kaka nafrahia Sana advice zako 🎉
Karibu katika darasa letu la WhatsApp 0659152333
Tunafuraiya mafundishoyao,munguakubariki
Amina🙏. Karibu kwenye darasa la whatsapp group.
Ahsante sana brother ❤🎉
Karibu sn
Kaka umeongea sana
Nimegua kwamba 98% ya me/ke wako kwenye mahusiano ilimladi2 wapo lakini ni kwamoto😅😅😅😅 mi bado kwanza wacha nijitafute kwanza kupenda baaade❤
@@EliasLucasjr 😀
Asante Sana nimepona🙏
Ngoja nijaribu 😔
@@faithismail7557 heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Amina kaka Mungu akubariki 🎉🎉
@@ShamimShamy asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Asante sana kaka Sasa naanza upya kutafuta furaha yangu
@@ElizabethThomas-n6g heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Upewe maua yako Asante sana ❤❤❤❤❤
@@Vestina-q5r karibu sn 😊🙏
Oh karibu sana moyoni mwangu,yote unayoongea ni sahihi kabisa,ata mimi naishi kwa mazoea,nimejaribu kutoka kweny ndoa nimeshindwa, ongera sana maneno yako ni msaada kwa kila mtu alietendwa!
Asante sn mpendwa
🎉🎉🎉@@mbekitv693
Asante kwa kutufundisha
@@Angelmhagama-p4v heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Asante kwa ushauri mzur kwa kweli masono yako n mazur san,kak m natak ushaur nilipatq na mwanaum online 8 month sas,tulikua vzr tu sas kumbe alikua na dmu kabl anipat mm,huyu akwa na boll akazaa sas huyo demu wazaz wake wakamleta kwa huyo mvulan mwenye nadate naye,sai yuko apo na mtto,alfu mm tulikua tumepang kila kitu kiko saw bado ndowa tu,sas nimechanganyikiwa hadi yey mwenye pia maan hakutarajia itakua ivo,ju huyu dem alikua wameachan hadi yuko kwa mtu mwengin then wazaz wake sas akamlet apo kwa huyo boy mweny nko nae ushaur jamen nimuache,am tuendele na mioango yetu ya ndoa hadi nasikia kuchanganyikiwa plz plz plz ushaur
Muache aende angekuw anakupenda wew asingekutendea ivo .
Hakiyamungu umenipa some ambalo limetuliza moyo wangu ❤ asante kaka
@@AishaDady Oh vizuri sana mpendwa😊👏
😄Ila kweli
Sahh
@@SwaleheHemed-n9s heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
🎉ahsante brooo
@@MaalimBoy karibu
Barikiwa sana
@@EllyFedry amina amina 😊🙏
Somo hilo Kaka ndo maisha ambayo ninaishi katika ndowa yangu.mimi n'a mume wangu tuna yaishi,kwangu mimi sinahaja ya kumuacha alakini yéyé ana itaka.
@@FelistasMgrk doh pole sn
Nashukulu kaka
Asente Kaka nimeelewa somo maana nilkuwa katka fumbo zito
@@RachelAlvin-y5l ooh good👏👏
Somo hilo kaka ni lifaa sana😊
Daa aisee mahusiano ni changamoto sana nimelizwa mpaka hamu Sina 😢😢😢
Ooh pole sn mpendwa.. kwanini tena?
Ahsant kwa ushauri wako
@@Hamisaramadhani-w7u karibu
Asante jaman umeongea ukweli
Karibu sana
Asantee ndugu
@@kassimothman-o1y karibu
Mpaka nimepata hata nguvu ya kula
@@ElizabethThomas-n6g heri ya mwaka mpya, nakukaribisha kutazama Somo letu jipya lakufungulia mwaka, tayari video ipo hapa karibu utazame na tuendelee kujifunza pamoja, asante.
Uko viziri Sana kijana
@@levinalyimo6240 bless🙏
Naomba no zako
0659152333
🙏🏼🙏🏼 Be blessed 🙌 😇
@@ayeehprovibez asante😊🙏
Ushaur mzur
🎉❤
@@user-ro7jm8ui6m ❤️
Asante sana kaka yangu
Karibu sn🤝
Ni kweli kaka umenena vyema,
Ukiona vyote vizuri alikuwa anakufanyia ghafla vikaisha,
Asee washa indicator toa gari kwa parking
Hakika
Asante umeniponya
@@MercyDaniel-h7h Mungu azidi kukufungua
Wewe kaka nimekusikiliza mpaka nimetoa machozii mbonaa umeongea vizurii sana
Sahihi
@@CasparyNdunguru hakika
Mama uko right kabisa but Rashidi sio kupenda kwake alikorogewa na JOY bibi yake ndio sababu unaona mwanao Rashid yuko kwa iyo ali
gentlemen nowadays ni wengi mnoo...alafu kiporo hakinogi kama fresh food yaan ...alafu sasa utamu wa jana hauwezi kufanana na utamu mpya ... ulikuwa unanipatia asilimia 60 nikiwa na umri wa miaka 25 nina 30
nime grown up najua kutofautisha utamu wa jana wa asilimia 60 wa leo wa asilimia 80 nashindwaje kukuachaa...very easy...
Hajakupata subir yakukute kama utaonesha hyo jeur maana hujui jinsi mapenz yanavyohangaisha watu,😂😂😂😂😂😂😂@@carolinejulius5332
Huu ndio mwendo wa maisha yangu sasa naangalia ni nani ana melengo yanayoendana
@@cutefaaherbal4107 good👏
Mmi hata cna lakusema maana ajuaye ni mungu maana hata niliamua kusafiri lkn hata sasa ana miezi miwili hanipigii sm hata nimemuacha tuuu mungu amsaidie
😂😂
Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona wanicheka
😂😂😂😂
Umesema kweli kaka 🙌
Ahsante sana ❤❤❤
@@aminatanzanya7475 asante
Fact brooo
Kweli kabisa kaka Mazoea
@@Edger-fp4qc kabisa
Asante kaka
@@MwanaHasan karibu saaana
😢😢😢 jee kama anakuhitaji 2 wakat anatakaa kitu kutoka kwako do anaonesha yupo romantic ilaa ukisema 2 huwezi kufanya anachukia na hakutafuti tena hii ina maaana gani
@@salmazwallo5920 woooow hilo somo ndio nimepost muda huu ebu tazama video hiyo mpya…
Nilimpenda sana aliamini cwezi kumuacha lkni mungu mwema bhana nilishba maovu yake nikatoka hd Leo haamini!!!
@@MariamSwalehe-h3p eeh
Kwakweli niliteseka kwa ndoa ya miaka nane mwanaume ataki upate ata Mia naukipata uwa unamsaidia yy lakini yy asamini zarau vipigo masimango na hivi mungu ajanijalia watto na yy basi mungumba nikibeba mimba zinatoaka anasema nara nyama nimeangaika mabakwata kwenye Sheria zote meshindiakana ila na mshukuru mungu Allahamdulilah nimetoka kwenye kifungo chake nimemwachwa yake mwenyewe katoa taraka nimeshinda kwa bira ungovi Wala kupigana kukaa kimya tu ilikuwa jibu na kutomfanyia yote nilio kuwa na mfanyia nikacha nikataoa mapenzi kabisaa na yy nikawa nipo nae lakini naishia Kama Sina mtu akirudi sawa akienda sawa atimaye kila kitu limeisha maisha yanaenda kikubwa tu mungu ndo mgawa ridhi kuwachana niradhima akuna anaeishi milele na mtu Mana kila mtu ana kaburi lake Kama ajatengana kwa taraka mtatengana kwa kifo na maisha radhima yaendelee ila Leo namani Sana mungu katenda na mshukuru
@ pole
Asantee kaka
Karibu
Nacici wengine tumesha zaa watoto lakini huyu mwanaume nimaumivu
@@RucyMartin pole
Kaka unayoongea ni ukweli kabisa ila tatizo watoto wetu tunaogopa watateseka
Yaan cjui ulikua wapi ww kaka jmn kma umeniambia mm vile
@@NuratRajab-x8b ahaha Eti eeh😀
Ubalikiwe Kaka umenipa akili
@@MagdalenaDionez asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
😢😢yani mm kaka natiwa bulok kilasiku sijui kosa lang nn mm ananitukana mm nimechoka sn ila nashindwa kumuacha jamani mm 😢matatizo
Yes hilo ni tatizo
Na je Kama bado anaonyesha anakupenda na bado anakuhutaji lakin bado ana mamb mengi nifanyaje 😢😢
Mtu anayekupenda ataacha kila jambo baya kwaajili ya mahusiano yake. Vinginevyo wewe uwe dhaifu.
Brother ume bezz Santa kwa wanawake
@@DavidMatambo sawa kaka nitarudi na kwa wanaume.
Aminaaa
🙏
Nimejipata hapa
Eti eeh😀
@@mbekitv693 aki
Umesema KWELI
Hakika
Nakibali sana kaka umenifungua
@@Muba-s9b good😊
Mh sisi wanawake kinacho tuuma ni watoto wetu ndy maana tunateseka
@@BurureMarwa then jiwekee misingi mipya
Ilawanaumewengi,niwaongo,anakulagaiapateanachokitaka,akishapataanasepa
Ndio lazima uongeze maarifa ya kuishi nao
Mim mume wang alishawah kuniambia nimekosea kuolewa nae mpaka leo najiuliza alikua na maana gan??
Amesha maneno yake kwenye uhalisia wa maisha yenu myb unaweza ukaelewa kitu
Mm nataman kutoka lkn nina watoto wa 3 natokaje na hizi hali za sasa zilivo ngumu
@@fatmasaid4806 tafuta somo langu nimeandika mambo 4 yakufanya kabla haujavunja mahusiano,
@@mbekitv693 ok shukran
Nampeda mafudisho yako.
@@SalmaaliSalama-f5m asante sna mpendwa 😊🙏
Asanteeee
🙏🙏🙏🙏🙏
@@StellaMwaisaka-l6x 🙏
Nipo dar kwa muda mfupi,naomba no yako, tuwasiliane unisaidie,
0659152333 Karibu sn
Naomba uniambie hii video imekusaidia vipi?
Mimi imenifungua ndani cha kifungo haijalishi anakujali vipi ila upendo haupo kabisa anafanya tu kama wajibu ila upendo hakuna kabisa.maelezo yako yana nguvu kubwa na yanaukweli mkubwa sanaaa katika maisha.
@@azizapeter2042 wooow vizuri sn mpendwa💪
Point kabisa💯💯💯
@@nahlahassan-fd6le kabisa
Nimefurahi kujijua sehemu nilipo, maneno yako yanafungua macho na ufahanu wa ndani kanisa,Barikiwa sana
Alo unachokisema nikwel kaka
Hakika
🙏🙏🙏💕💕💕
Karibu sana
🙏
@@MwajumaMohamedi-vd7vr 😊🙏
Asante
@@dorcusjohn3032 asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
Mpenzi wangu kaniambia tu mute ila tu nimuheshimu Ina maana nishaachwa au??
HOW?
Napitia challenge ambayo nakosa majibu
@@emmylitavicent1308 nini tatizo
Nataman kumuacha kumsahau kabisa kwa vituko vyake n mtu wa tamaa za wanawake ila ananijali nachotaka ananipa ila n muongo sana nashindwa kuachana nae kwakuwa tunaishi mtaa mmoja na mm n kaz siwez kuhama je nfanye nn
Karibu Whatsapp tuongee zaidi
Pole hakuna mkamilifu mamy
Nimefunga ndoa na dada mmoja. ila hataki watu wajue kua nime muoa
Duuh.. kwanini sasa?
Bro peupe hupendwi,
Washa indicator toa gari kwa parking, wacha magari mengine yapark hapo
😂😂😂😂 duh hii nayo kali
Ukweli bro wengi tumeumia for long na vita and we are still young
@@naomisammy181 Hatari sn
Kaka naomba ushauli wako je kama mamamkwe ndo kikwazo nifanyaje? mme wangu akiwa hayupo akihatu lasma mi na mme tunagona nipen ushauli.
@@RahmaYusuph-eh4ry nicheki whatsapp
Boy friend wangu anpitia Hy han furah anamuwaza x wake ilaaa moyo wakeee haupoo
haki nime 😭😭😭😭😭
@@finamussanhembo7868 kwanini
Ina ukwelihii
Hakika
😢😢😢😢nimekuelewa san Asante
Unaongeasana
Jamani watoto wangu sasa
Kaka, hauwezi kumuacha mtu ukisha ingia naye kwenye ndoa.
@@OdetteKahambu sijaelewa hili ni swali ama unanijulisha?😀
@@mbekitv693 Kaka nilipenda nijuwe kama mwapashwa achana hata kwenye ndoa