Nimeelewa, kwamba maisha sahihi ni rohoni tu, ila macho ya nyama hayana uwezo wakutambua rohoni usipotiwa nuru ya yesu baba wa uzima. Ndipo yesu anasema hivi,"Muwe werevu kama nyoka lakini , Muwe wanyenyekevu kama njiwa"
Huu unaweza kuwa ukweli juu hata kifo cha marehemu mdogo wa Kanumba kiliambatanishwa na nguvu za hiki chama kwa jinsi ambavyo kilitokea mwezi, siku, tarehe na saa kama zile zile za Kanumba ndugu yake! Surely damu ya Bwana Yesu Kristo iwafunike waliobakia katika hii familia ya marehemu jameni!! Hii inakaa kuna ukweli ndani yake na ni hatari mno!!!
Amina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye Hai Yesu Kristo kwa kuhubiri KWELI isiyogoshiwa Mimi ni Mchungaji Punda wa Yesu Kristo wa Nazareti Napatikana GEITA mjini
Wooooi YESU KRISTO tawala tawala Maisha yangu yabadilishe tabia zangu nirehemu eh Yesu Kristo hili nikaione uzima niokoe nafsi yangu Kwa mabaya yote univaishe ushindi na saburi nikakuone Ee Baba yangu
amina amina, bwana Yesu asifiwe sana, na tuombe neema sana yakufika Mbinguni.. Bwana Yesu mwenye uruma na mwenye mapendo aturehemu sana, na atuepushe na zambi!!
Hakika ulitumwa na Mungu!Wanadamu tunapenda vyaharaka! Ongea mtumishi wa Mungu aliye hai kanisa la Mungu lipone, barikiwe sana shujaa wa Mungu aliye hai Amieli wetu.
kwakweli MUNGU atusaidie tawala maisha yetu turidhike na maisha yetu tushindie EEBWANA pigana badara yetu tufunike na nguvu zako tufunike na utisho wako EEBWANA YESU 😭😭tunakuomba EEMUNGU mwenye nguvu. tuna jinyenyekeza chini ya mkono wako ulio hodari Ameeni.🙏🙏
God bless you pastor nimekuwa katika process ya kutaka kujiunga na freemason ili niwe tajiri ila nimejifunza mengi kutoka kwako naomba unipe appointment ya kuonana na wewe
BAADHI YA MAANDIKO YANAZUNGUMZA KUOMBEA MAREHEMU...SEMA BIBLIA TUNAZOTUMIA HAZIJAKAMILIKA!!! NA WANAOOMBEWA NI WALE WALIOKUFA KATIKA NEEMA TU NA SI VINGINEVYO!!!SOMENI ' KITABU CHA ESDRAS KITABU CHA KWANZA NA CHA PILI....NI MAFUNUO ALIYOPATA NABII EZRA!!!❤
Ushuhuda wa amiel ulinijenga sana, Mwenyezi Mungu akubariki ndugu amiel na familia yako.🙏
Amen ushuhuda wako umenifungua macho ni ombi langu mungu akufunike na damu yake ili utufunulie zaidi katika ulimwengu wa kiroho amen
Mungu anisamehe dhambi zangu na anipe tumaini la mwisho
Nimeelewa, kwamba maisha sahihi ni rohoni tu, ila macho ya nyama hayana uwezo wakutambua rohoni usipotiwa nuru ya yesu baba wa uzima. Ndipo yesu anasema hivi,"Muwe werevu kama nyoka lakini , Muwe wanyenyekevu kama njiwa"
Nakuelewa sana mchungaji ubarikiwe sana
❤❤❤❤ Alie wa Muñgu anajulikana toka akiwa tumboni mwa Muñgu hii ni Neema
Mungu akubariki mtumishi,funikwa na damu ya Yesu
Mungu akulinde sana mtumishi Kwa huu ukweli
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na rafikiangu, Mch. Katekella! Aliye na masikio na asikie Roho awaambiacho Kanisa!
Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu
Mungu anisameh zambi zangu
Huu unaweza kuwa ukweli juu hata kifo cha marehemu mdogo wa Kanumba kiliambatanishwa na nguvu za hiki chama kwa jinsi ambavyo kilitokea mwezi, siku, tarehe na saa kama zile zile za Kanumba ndugu yake! Surely damu ya Bwana Yesu Kristo iwafunike waliobakia katika hii familia ya marehemu jameni!! Hii inakaa kuna ukweli ndani yake na ni hatari mno!!!
Ubarikiwe sana mtumishi na mungu akutangulie.
😢😢😢😢😢nimeogopa hatar jaman mwenyezi mungu aturehemu
Mungu akulinde amieli watu wamwilini hawawez kukuelewa,shuhudia baba.
“Mwenye masikio, na asikie.
”
- Mathayo 11:15 (Biblia Takatifu)
Kwa mungu hakuna kisichowezekana.
Namtumikia mungu tu
Mungu nisaidie mimi mwisho mwema
Heri mali zilizo halali kuliko Mali za mikataba,Yesu atusaidie sana
Mmh barikiwa kabsa
Ubarikiwe mtumishi wa mungu umeletwa kwa wakati sahihi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kushika dini na kumpokea Kristo Yesu kuwa Bwana wa mwokozi wa maisha yako
Mungu tawala maisha yang
Hatari sanaa Mungu atusaidie
Nimekupenda
Amina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye Hai Yesu Kristo kwa kuhubiri KWELI isiyogoshiwa Mimi ni Mchungaji Punda wa Yesu Kristo wa Nazareti Napatikana GEITA mjini
Mungu anivungue kwajina LA yesu
Aame
Yesu ni jibu Katinka majibu yesu azidi kukujibu mch Amiel unatu bariki
Wooooi YESU KRISTO tawala tawala Maisha yangu yabadilishe tabia zangu nirehemu eh Yesu Kristo hili nikaione uzima niokoe nafsi yangu Kwa mabaya yote univaishe ushindi na saburi nikakuone Ee Baba yangu
Amen
Mungu akubariki mtumishi
amina amina, bwana Yesu asifiwe sana, na tuombe neema sana yakufika Mbinguni.. Bwana Yesu mwenye uruma na mwenye mapendo aturehemu sana, na atuepushe na zambi!!
Sorry 'Bwana' sio bwana
Deus te abençoe Mtumishi
Kimbe ilikuwa simple tu kurudisha mali!!!!! Mungu tuondolee roho ngumu pale tunapokosea
Mwenye masikio asikie,wakati ni huu tu wa kumrundia mungu
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mungu akubark mtumish kwa kaz ya mungu
Anasema kweli Mungu atusaidie
Mungu atusaidie aki
Mungu akurinde na kukutunza
Ubarikiwe, zidi kutufunza
Revive me once more my Lord
Hongera RAFIKI yangu
Hakika ulitumwa na Mungu!Wanadamu tunapenda vyaharaka! Ongea mtumishi wa Mungu aliye hai kanisa la Mungu lipone, barikiwe sana shujaa wa Mungu aliye hai Amieli wetu.
Amen..a great lesson..be bless man of God.
Shuhuda zako zanijenga akuinue Mungu
Asante
Mutumishi
Mungu tunusuru
Ameni amenii,,hakik Mungu amekupa neema tamu mno
Kulwa michuzi neema ya mungu ikuokoe
Bila Yesu siwezi chochote
Mchungaj Asante kwa kunifungua nisiyoyajua
Naokoka sasa
Jamani tusisahau kumwita YESU siku za mateso yako anaokoa ameniokoa
Naomba namba yako mchunga
jaman mungu tusaidie
Mungu aibariki kazi yako mtumishi.naomba umwombee kijana wangu Sist Sunday anaumwa.zaidi ya miala 5.asante.
Ubarikiwe
Mungu atusaidie
Yesu ni mbabe akamuokoa jamaa kutoka huko mbali kote .Yesu mi Bwana mfalme mkuu.
😂umewaza mbali sana
Saaaana!
kwakweli MUNGU atusaidie tawala maisha yetu turidhike na maisha yetu tushindie EEBWANA pigana badara yetu tufunike na nguvu zako tufunike na utisho wako EEBWANA YESU 😭😭tunakuomba EEMUNGU mwenye nguvu. tuna jinyenyekeza chini ya mkono wako ulio hodari Ameeni.🙏🙏
Amina kubwa mtumishi 🙏🙌
Niatari,,,,
Hata imeandikwa,ukishatoka duniani baasi hakuna kuabudu,kuokoka wala kumtafuta mungu.Maombi ya wafu nikuamsha mashetani
Keep
Padta
I receive I receive I receive
Yesu ndiye njia ya usima tu
Jesus🙉🙉🙉nirehemu nipe huruma zako oooh mungu nisaidie nisije nikaingia kwenye tamaa ya dunia😭😭
KWELI kabisa katekela
God bless you pastor nimekuwa katika process ya kutaka kujiunga na freemason ili niwe tajiri ila nimejifunza mengi kutoka kwako naomba unipe appointment ya kuonana na wewe
Duh pole sana
Okoka alooo
It is true story pastor
Ukweli kabisa juu nililetwa kwa maono hiyo siku nikamuka nikasema kutoka injee nikasikia habari so mimi na shidwa mimi ni nani😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ulionyeshwa nn?
@@lilianmanguya1510MUNGU inusuru nafsi yangu, kuoteshwa si jambo zito mno
Mungu atutie Nguvu
Siri za Mungu
Listening from.Kenya, pastor God bless you
Me too also listen to Erica at Life is spiritual channel
Damu ya yesu iwe juu Yako
Kweli 👍
Nimeishiwa
AMINA mtumwa wa Bwana
Jesus Christ reigns forever
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏
Duuuh Yesu ni njia ya kweli na uzima
Haya ni mambo ya kiroho,Kama hauelewi muomber Mungu neema
Mungu wangu kanumba nazidikumuota njozi akiwanafanyakazi mniombeee
Amen amen
Amina kubwa kwa ukweli huu .
Mungu akupe Manisha marefu baba
Mungu anisameh zambi zangu
Good
Bwana yesu asifiwe naombanambayamch amiel katekela
Duuuh🙌🙌🙌🙌
Ameee
Mleteni nabii wenu kama atafanana na mfalme Yesu
Ukipta nafas ya kuwaombeaa,omba tu.maan wengne n huduma, y kuwaombeaa wajeuri walioshindikana😢 nlikumiss my pastor blessed promover tv
Waaaaah.....yesu tuokoe
Yesu si yesu
Mutumishi wa mungu aliye hai chums mulingoti
Ubarkiwemtumishi
Naomben namba ya mtumish katekela
Nimeshanga sana juzi niliota kanumba anaishi kumbe ni kweli hii 2024
Kwani akifa Kuna Nini, mwataka Aishi milele? Si watu wanakufa kila siku