Zaburi 31 1 Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, 2 Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa. 3 Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge. 4 Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu. 5 Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee BWANA, Mungu wa kweli. Amen
Zipo njia NYINGI za kumjengea Mungu Madhabahu Ili Madhabahu ikamilike lazima iwe na mambo haya. 1.Kuhani (Oracle) 2.Kafara 3.Matamko 4.Roho AINA ZA SADAKA. 1.SADAKA YA MUDA 2.SADAKA YA MWILI WARUMI 12 :1-2 3.SADAKA ZA VITU 4.SADAKA ZA FEDHA NK
Nashukuru kwa shuhuda zako na kuokoka kwako nimejua vitu vingi ambavyo nilikuwa sivijui ila nashangazwa na kujikuta nina maswali yasiyo kuwa na majibu, no za cm unatoaga kwa ajili ya mawasiliano mwenye kutaka kujifunza zaidi kutoka kwako au tuna wagonjwa nikipiga cm hupokeagi sms hujibugi na wakati mwingine unakuta cm inatumika lakini baada ya mda ukipiga hupokei,, sasa huduma hii unafanyaga kwa watu baadhii?hii imekaaje eti?
Ubarikiwe mtumishi
Nashukuru pastor Katekela kwa kutufundisha kweli ya MUNGU ila imekatishwa mapema
Waaa kwa kweli mungu amekutoa mbali Jina la bwana libarikiwe mungu azidi kukupa nguvu zaidi mtumishi wa mungu ubarikiwe
Mtumishi wa mungu ubarikiwe Sana. Nimesikia shuhuda zako nyingi Sana na nimejifunza vingi.😊
Amina mtumishi wa Mungu neno hilo limetujenga kiroho na kimwili 😊😊😊😊
Mtumishi barikiwa na Mungu sana tunaomba basi hata namba zako
Ubarikiwe sn mtumishi wa Mungu katekela❤
Zaburi 31
1 Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
2 Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
3 Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
4 Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
5 Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee BWANA, Mungu wa kweli.
Amen
Mimi kila kukicha nakubaliana naww Ubarikiwe saana Mchungaji
Ipo siku inakuja mungu anakuja kulipa ujira
❤ameen ubalikiwe sana mtumishi wa mungu
Amen asante kwa wimbo tumebarikiwa sana mtumishi daudikatembo barikiwa pia
Mungu akupenguvu uzidi kudufundisha
HALELUYA amen
❤❤❤❤ ubarikiwe kwa uwazi na kuponya
God bless you
Maombi lundo, na miyayo juu😅
Ubarikiwe sana mch Amiel katekela
Amen😊
Bàrikiwa mtumishi
Angemalizia ya nabii muuza mafuta
Sitaionea haya kamwe injili ya Bwana iletayo wokovu hata watu wanitenge vip sitaogopa
Amina
Kwakwl kusema ukwl hata mim umenivumbua masikio nilikuwa nikiwaamin sana Hawa mitume na manabii nikijua hivyo vifaa vya kiroho ni vya MUNGU kwel.
Amen 🙏🏽🇰🇪
Mtumishi maneno yako ni kweli mbinguni hamna kuoa wala kuolewa tunaridhi ufalme wa Mbinguni
Watatembea kwa miguu wala hawatachoka wala kuzimia walio zahifu waseme wana nguvu Isy 19:14
2Kor 10:18'12->13
What is Nafsi? Is it your soul or spirit?
mhhhhh
Safi kabisa
Amen
MUNGU wa mbinguni atusaidie
Asante sana mtumishi baba yangu katekella
Sijasikia jibu la swali: Unajengaje madhabahu ya Mungu?
Zipo njia NYINGI za kumjengea Mungu Madhabahu
Ili Madhabahu ikamilike lazima iwe na mambo haya.
1.Kuhani (Oracle)
2.Kafara
3.Matamko
4.Roho
AINA ZA SADAKA.
1.SADAKA YA MUDA
2.SADAKA YA MWILI WARUMI 12 :1-2
3.SADAKA ZA VITU
4.SADAKA ZA FEDHA
NK
Ungemalizia ya mtume nanabii muuza mafuta
Hawa wagawa mafuta nani huyooo ajaowaaa ngoja nifanyee utafiti
Mbona yupo kutoka mby
Nenda temboni
Nashukuru kwa shuhuda zako na kuokoka kwako nimejua vitu vingi ambavyo nilikuwa sivijui ila nashangazwa na kujikuta nina maswali yasiyo kuwa na majibu, no za cm unatoaga kwa ajili ya mawasiliano mwenye kutaka kujifunza zaidi kutoka kwako au tuna wagonjwa nikipiga cm hupokeagi sms hujibugi na wakati mwingine unakuta cm inatumika lakini baada ya mda ukipiga hupokei,, sasa huduma hii unafanyaga kwa watu baadhii?hii imekaaje eti?
Huyu nikiboko kwa porojo
Amina
Amen
Amina