I just love this man of God for speaking the truth this is the third time I'm listening to him my eyes have opened alot,I pray for him and his family for more grace
Amen nashukulu mchungaji,kuisaidia familia yang kututoa kwenye munyololo wa mizimu ya ukoo iliyotushikilia ,sasa imeshindwa kwa jina la Yesu ,sasa tunaamani familia yote ya wilson
Ridia samahani mpe Bwana Yesu hadhi yake kwa kutumia herufi kubwa.. Bwana Yesu. Kuhusu hawa manabii feki, Endelea kupokea Neno sahihi kwa Watumishi sahihi. Taka sana Uongozi wa Roho Mtakatifu. Jifunze sana kuhusu 1Wakorintho 12: 8-10.. Karama za Roho Mtakatifu.. zaidi zile 3 za Mafunuo ( Kupambanua roho, Neno la Maarifa na Neno la Hekima)....Kanisa la Kweli litake sana karama hizi ....ili tuwezeshwe kuzitambua hizo roho..1Yohana 4:1....Mathayo 24: 11, 24 nk... Barikiwa...
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Ila mafundisho haya kuna vipande vipande vinakatika katika inapungua mwendelezo wa message kamili. Alietengeneza hii vidéo aombe Mungu, shetani asiilie tukaja kukosa ujumbe mzuri.
Mchungaji ana hubili ukweli kabisa watu tumekuwa wavivu wa kujiombea tume kuwa wavivu tunataka kuombewa tu imani hatuna kabisa Kwakweli umetufunguwa na kutegemea maombi kwa watu wengine MUNGU akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai akubaliki sana
Niliwai findisha kwamba Roho wa Mungu aiangushi bali inasimamisha,sasa watu wamrudie mwenyezi Mungu waache kukimbilia miujiza hii lugha eti ni ndimi sijewai Amini Mimi Asante Mungu kwa hekima
Umesema vizuri sana mtumishi.... Juu ya mwamba huu....sio petro bali ule ufunuo wa kujua kuwa "kristo ni Yesu mwana wa Mungu aliye hai" huo ufunuo ndio mwamba, Yesu ni mwamba hakuna mwingine petro ni mwanadamu ila aliye kufa na kufuka kwa nguvu zake mwenyewe wala hakuombewa yaani yesu ndio mwamba
Hebu igiza kilicho sahihi ili tupambanue kunena kwa shetani na kwa Roho wa Mungu! Shetani hupenda kuiga ndivo ninavoelewa mimi so utajua kwa Neno la maarifa kuwa hii siyo!
Ukinenewa uliza kwa jina la yesu utajua kama ndie au sie the bble says kwa jina la yesu kila goti litapigwa mm nliwahi muona ndege kazin kwangu anantabasamia nkamwambia njoo kwangu kwa jina la yesu akakimbia mbio NA kutoka hapo
Hallelujah hallelujah hallelujah jina la BWANA lipewe sifa milele na milele AMINA KUBWA hakuna kama MUNGU wambinguni mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
Ameen mtumish ubarikiwe na bwana
I just love this man of God for speaking the truth this is the third time I'm listening to him my eyes have opened alot,I pray for him and his family for more grace
May God bless you for me
@@liliannyangweso8033😢😢😢😢😢😢😊😢😊😢
Bwana Yesu asifiwe mtumishi,naomba mawasiliano ya mchungaji katekela
Kuanzia Leo sitahangaika kutafut miujiza.nitamtafut yesu na roho yng na pesa
Mungu akubarik saana na kukulinda mch Amiel kwa mafundisho mazur
Mungu akulinde kwakazi unayo fanya kwaajili ya kuponye mioyo ya watu. Mungu akupe maisha marefu uzindi kuponye watu wa Mungu kwakusundi lake.
Amen Amen Asante Muchungaji kwa mafundisho mazuri barikiwa sana pamoja nawe Promover TV.
Mungu azidi kukutumia Mch.Amiel Katekela katika kazi yake. Nimebarikiwa sana na mafundisho yako. Ni Mungu tu AMINA. UBARIKIWE SANA.
Somo zuri sana mtumishi wa MUNGU. Nabarikiwa sana kwa jina la YESU
Tumehudumiwa na Roho Mtakatifu
Akitukumbusha zaidi ya zaidi 🙏
Oooh nimebalikiwa Duniani na mbinguni ahsante MWENYEZI MUNGU kwa hii Neema 🙏🙏
Amen nashukulu mchungaji,kuisaidia familia yang kututoa kwenye munyololo wa mizimu ya ukoo iliyotushikilia ,sasa imeshindwa kwa jina la Yesu ,sasa tunaamani familia yote ya wilson
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa " kwanzia Leo , nimepata maarifa , man of MIGHT GOD be blessed alot , preach always like never before
MUNGU akubariki sana Mtumishi wa MUNGU alie hai. Unatufunulia yaliyofichika sirini. Uzid kulindwa kwa DAMU ya YESU KRISTO.
Asante Mungu wetu kwakuokowa mtumishi wako, pia na sisi utusaindie kelikeli🙏🙏
Kwa jina la Yesu Kristo Amen Amen 🙏🙏🙏
From Kenya Bungoma we are blessed. God bless you servant of God
chukua vyote niachie Yesu💯
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU. From Mozambique 🇲🇿
Hello
Asante Yesu Mungu awabariki wote mliousika kuiandaa semina hii katoka Jina la Yesu Kristo alie hai .Amina.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu aliye juu ninayaelewa sana mafundisho yako
mungu akubariki mchungaji maubiri yako yanibariki sana mungu akupe nguvu yakutangaza injili
Bwana Yesu asifiwe wapendwa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu endelea kutuambia ukweli tuendelee kujuwa ukweli
karibu sana kenya mafundisho kama hayo nimuimu sana kwa makanisa yakenya nimembarikiwa sana naumefungua macho yangu asante sana
Nimepokea mtumishi Mungu akubariki kwa ushuhuda wako
barikiwa sana mtumishi Yesu akutunze
Asant sana Mchungaji Mungu akutunze
Amen hv umeshamkutanisha na Askofu Gwajima nataman Sana hiyo siku
Hata mimi niliwahi kulifikiria hilo
Ubarikiwe Sana mtumishi was Mungu
Nakukubali sana mtumishi
Amen Amen Mafundisho Yako inanibariki sana God bless you.
Ubarikiwe mchungaji wangu
Asante mtumishi kwa kunifungua mm nilikua mtumiaji mzuri wa hayo mafuta Asante Yesu kwa kuniokoa🙏🏾
ubalikiwe.mtumishi.endelea.kufunguawatu
Hii ni kwel kweli tunaihitaji ufunuo nakuelewa kuwa Yesu Kristo ndio mwana wa Mungu
Amen mchungaji ubarikiwe sana
More grace and Protection of God man of God.
Mungu akubaliki sana mtu wa Mungu huo ndio ukweli nabalikiwa sana ukweli usemwe tu kuliko kuwa sikiliza matapeli wa injili
Mtumishi MUNGU hakubariki kwa mafundisho
Amen mtumishi nmebarikiwa Kwa mafundisho haya🙏🙏🙏
MUNGU hakubariki mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho Niko Kenya trainsmara
Asante kwa neno limenifungua mungu nisamehe na unirehem bwana yesu jaman Kama kwa manabii naenda sana
Ridia samahani mpe Bwana Yesu hadhi yake kwa kutumia herufi kubwa.. Bwana Yesu. Kuhusu hawa manabii feki, Endelea kupokea Neno sahihi kwa Watumishi sahihi. Taka sana Uongozi wa Roho Mtakatifu. Jifunze sana kuhusu 1Wakorintho 12: 8-10.. Karama za Roho Mtakatifu.. zaidi zile 3 za Mafunuo ( Kupambanua roho, Neno la Maarifa na Neno la Hekima)....Kanisa la Kweli litake sana karama hizi ....ili tuwezeshwe kuzitambua hizo roho..1Yohana 4:1....Mathayo 24: 11, 24 nk... Barikiwa...
Asante sana mtumish wa mungu amiel hakika mungu akulinde sana sana
Amen namuelewaga sana huyu mtumishi
Amen mtumishi WA Mungu
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri ya Mungu tunawapata vema kabisa
Amina mtumishi wa mungu
Mungu akutie nguvu zaidi
Ubarikiwe mnoo,DAMU ya YESU ikufunike.
Mungu Jehovah ANISAIDIE nikauone Ufalme wake
Deus a abençoe o pastor Katekela
Ubarikiwe. Mtumishi. Wa .mung .unaye. Tupa ufunuo
Asnte mtumishi wa mungu nimejifunza mengi mnooo barikiwa sanaaa
MUNGU akubariki sana mtumishi nimekuelewa
Asante kwa Bwana wetu Yesu kristo
Yesu akuinue zaidi mch
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
God is pless you my paster
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏❤
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Ila mafundisho haya kuna vipande vipande vinakatika katika inapungua mwendelezo wa message kamili. Alietengeneza hii vidéo aombe Mungu, shetani asiilie tukaja kukosa ujumbe mzuri.
Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana mimi nimebarikiwa sana nikiwa nakuru kenya na naomba MUNGU sana anifungulie jia ya kukupata i have more to you
@@winfredmueni3281 come on ubarikiwe sana
Amen nimebarikiwa sna
Barikiwa mtumishi KATEKELA. Umenifumbua Sana katika shuhuda zako
Barikiwa sana mtumishi mungu azidi kukutunza .Nimebarikiwa sana natamani masomo yako yote nizidi kukua kiimani
Mchungaji ana hubili ukweli kabisa watu tumekuwa wavivu wa kujiombea tume kuwa wavivu tunataka kuombewa tu imani hatuna kabisa Kwakweli umetufunguwa na kutegemea maombi kwa watu wengine MUNGU akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai akubaliki sana
Mbarikiwa sana na yesu sana
Sawa Mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe Sana
Niliwai findisha kwamba Roho wa Mungu aiangushi bali inasimamisha,sasa watu wamrudie mwenyezi Mungu waache kukimbilia miujiza hii lugha eti ni ndimi sijewai Amini Mimi Asante Mungu kwa hekima
MUNGU awabariki watumishi wa BWANA na ashukuliwe kwa kuwatoa kuzim
Be blessed
Barikiwa sana
Mungu awabariki
Amen!! Ni kweli wanaondolewa utayari wa kumtafuta Mungu wa kweli
MUNGU akubariki
Mungu akubariki na kukutia nguvu🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amen amen mungu akulinde na famille yako azidi kukupanguvu .
THANKS
Amina baba
Umesema vizuri sana mtumishi.... Juu ya mwamba huu....sio petro bali ule ufunuo wa kujua kuwa "kristo ni Yesu mwana wa Mungu aliye hai" huo ufunuo ndio mwamba, Yesu ni mwamba hakuna mwingine petro ni mwanadamu ila aliye kufa na kufuka kwa nguvu zake mwenyewe wala hakuombewa yaani yesu ndio mwamba
Amen amen 🙏🙏🙏
Nashukuru mwenyezi Mungu Kwa mtumishi wake ,nimepata ufunuo na kubarikiwa.Sifa na utukufu simurudie yesu
YESU Akuinue Mtumishi wa MUNGU
Amen amen nimembarikiwa Sana naioneno la yesu
Napenda nipate namba ya mtumishi katekela,naomba Promover Tv
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu from Riyadh Saudia
Tuko wengi
Shetani hufikiri anawachukua wafuasi wake na kuwaonyesha fahari zote pasipokujua kuwa Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
Amina
Munguu wafungue masikio ya rohoni roho ya kawaida itoke kwa jina la yesu atupe moyo ulio pondeka
Amen sana ninaamin nimefuta kilakitu
Hebu igiza kilicho sahihi ili tupambanue kunena kwa shetani na kwa Roho wa Mungu! Shetani hupenda kuiga ndivo ninavoelewa mimi so utajua kwa Neno la maarifa kuwa hii siyo!
Ukinenewa uliza kwa jina la yesu utajua kama ndie au sie the bble says kwa jina la yesu kila goti litapigwa mm nliwahi muona ndege kazin kwangu anantabasamia nkamwambia njoo kwangu kwa jina la yesu akakimbia mbio NA kutoka hapo
Amen and Amen
Mtumishi upo vizuri
Uwe juu
Na.takasana barikiwa
AMENA AMENA
Mtumishi wa mungu ningependa utembee àta pande cha meru ubiri neno la mungu uko ukomboe mwoyo ya watu uko plz
Meru ipi ya Tanzania au Kenya?/
@@UsafiMichael-mc8ktkenya
Good work
Mungu nipe macho ya rohoni
Ameeeen
Hallelujah
Hallelujah hallelujah hallelujah jina la BWANA lipewe sifa milele na milele AMINA KUBWA hakuna kama MUNGU wambinguni mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
Yesu tusaidie
Amen Amen pastor
Mungu wambinguni atusahidiye ili tuiyone mbigu atuepushe na majaribu