@@PromovertvTz naomba unisaidie ni njinsi gani ninaweza kuongea na huyu mtumishi wa Mungu kapo dakika2 tu Kuna mambo mengi yananisumbua Sana nahitaji msaada au ushauri au nipate majibu yake nateseka Sana naomba unisaidie nakuomba
Dah sioni at shida kumalza bando kwa ajil ya mambo yakumtukuza YESU wangu.kuwapendraaa tu ndo nachojuwa mm.naomb niulze Kwan mkutano na semina zimeisha jmn.nataman mkutano usiishe kila leo wachawi wasalimishe mikoba yao... blessed all.promover tv.
The same case here ,with me as long as ni kitu Cha kulitukuza jina LA yesu then sijali bundle sinaisha ama yaan I am happy that our God is this powerful to rescue from the power of darkness
Barikiwa sana Jacktan. Mtumishi wa Mungu usijali watu wanaosema haujaokoka. Wewe ni Mtumishi wa Mungu 💯%. Barikiweni sana Watumishi wa Mungu Aliye Hai.
Tujitahidi wana wa Mungu tuwe tunachangia uwezeshaji wa kwenye hiz shuhuda kiukwel zinatuinua wengi na kutufanya tujue namna gan ya kuomba juu ya hizi nguvu za giza zinazotutesa kila kukicha
Mungu akubariki sana umetufunza mengi kweli y Dunia n mengi inabidi ss wadamu tumurudie Mungu hatuyajui y kesho ukiwa n Imani utashinda vita y dunian m niko Imani tutashinda hii vita tusaidiana kw maombi
Na mushukuru Mungu sna kwa kutukutanisha tena na ww jactan na mtumishi katekela...kwa majina ni florence mueni toka Kenya nikubukeni kwa maombi juu mmenisaidia sna kiroho
Wow nimefurahi kuona mwendelezo, Mungu awabariki, naomba unisaidie kumuuliza Jacktan kwamba ni namna gani jini linakuwa katika umbo la mwanadamu na wengine kuzaa na kuzaliwa na wanadamu, asante. Rusi/ Ruth kutoka Canada.
Jacton barikiwa ma vizazi wako kwa kueneza injili kupitia shuhuda .mtumishi kupitia shuhuda hizi nimepata Imani ya kuomba na kumuombea mume wangu na mungu wetu anatenda kweli ...napenda msemo wake huu ..penda chuma na mlingoti chuma😊 piga! Piga!
Umeeleza vizuri sana kwenye kunena kwa lugha.Kwa kuongezea;lugha za mapepo zinamfanya anaenena kufanya fujo au kuanza kupiga watu ngumi,wanakuwa kama mazomi au kulewalewa.Pia mtu ndiye anaeamuru watu wanene na wanaanza na sio kwa ufunuo wa Mungu.Kuna muhubiri fulani mke wake huwa anawambia watu watamke asante yesu mara nyingi haraka haraka(hypnosis) ili wanene na wananena
Habari ya mchungaji Wewe ulisema jina la yesu likitajwa na mmoja wa hao washirika wa kuzimu linachoma watu Vipi unasema wengine ni nitumie na manabii wa uongo huko kanisani hawataji jina la yesu Linatuchsnganya wengi hilo
Mungu Akubariki sana Mch.Amiel kwa kutufundisha siri nyingi za kuzimu.Pia Ubarikiwe sana Jacktan kwa kutuletea shuhuda motomoto,tunajifunza mengi sana.Stay Blessed.
Eti nimempa Yesu maisha lakini ingawa vifungo haviishi kwa siku moja. Mimi Yesu ninaemjua akiingia ndani yako vyoote vinaondoka labda kama sio Yesu ninaemjua.
Kama ataendelea kujibu maswali, naomba umuulize kuhusu kiwanda cha kutengeneza rasta kuzimu je rasta zote kusuka ni dhambi au kuna rasta ambazo hazina madhara kwa watu waliookoka
Huyu kijana ni mnyenyekevu sana. Damu ya Yesu iendelee kukufunika
Mungu umbariki mtumishi Amieli ametufunza mengi Sana tunakusubiria hapa Kenya God bless this platform ya promover TV in Jesus name.
Amen
@@PromovertvTz naomba unisaidie ni njinsi gani ninaweza kuongea na huyu mtumishi wa Mungu kapo dakika2 tu Kuna mambo mengi yananisumbua Sana nahitaji msaada au ushauri au nipate majibu yake nateseka Sana naomba unisaidie nakuomba
@@channyqueen6288mpigie kwenye simu yake maana namba yake aliitoa kwenye part 1
Ko
Amen Mungu wetu ni mwenye nguvu na uweza ubarikiwe sana mchungaji Amiel katekela namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi wa Mungu
Watanzania hii ni azina tuliyopewa na Mungu tumtumie sana na kumwombea sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ubarikiwe Sana watumishi wa MUNGU Kwa KAZI njema.kweli tungependa kujua mtumishi T b Joshua
😂
Ohooooo😂😂😂😂
Dah sioni at shida kumalza bando kwa ajil ya mambo yakumtukuza YESU wangu.kuwapendraaa tu ndo nachojuwa mm.naomb niulze Kwan mkutano na semina zimeisha jmn.nataman mkutano usiishe kila leo wachawi wasalimishe mikoba yao... blessed all.promover tv.
The same case here ,with me as long as ni kitu Cha kulitukuza jina LA yesu then sijali bundle sinaisha ama yaan I am happy that our God is this powerful to rescue from the power of darkness
Amina,,ubarikiwe zaidi
hapa ni mahali sahihi pa kumalizia bundle
Barikiwa mtumishi wamungu jacktani mimi nasikia wito moyoni mwangu wakutumika je mwanamke ni dhambi kutumika kama mtumishi madhabahuni naomba umuulize
Barikiwa sana Jacktan. Mtumishi wa Mungu usijali watu wanaosema haujaokoka. Wewe ni Mtumishi wa Mungu 💯%. Barikiweni sana Watumishi wa Mungu Aliye Hai.
Anasema kuna baadhi ya Manabii wakubwa ni maagent wa shetani.
Asante kwa muendelezo wa shuhuda inatusaidia kumjua adui yetu na jins yakupigana naye mbarikiwe sanaaaaa
Tujitahidi wana wa Mungu tuwe tunachangia uwezeshaji wa kwenye hiz shuhuda kiukwel zinatuinua wengi na kutufanya tujue namna gan ya kuomba juu ya hizi nguvu za giza zinazotutesa kila kukicha
Mtumishi kwa Yesu kuna na amani tele tena bure mcheki Mussa Chesa , Meshack wanavyonawiri kwa Yesu
Na zabron na kanyerere
Mungu akubariki sana umetufunza mengi kweli y Dunia n mengi inabidi ss wadamu tumurudie Mungu hatuyajui y kesho ukiwa n Imani utashinda vita y dunian m niko Imani tutashinda hii vita tusaidiana kw maombi
Ushuhuda umenifanya niwe jasiri sanaa asante mtumishi wa Mungu
Weuh huyu mtumishi Amiel ananibariki saana woiii wish ningekuwa Kenya hizo tarehe akh singekosa but it's my prayer to meet this God servant
Asante sana hii ushuhuda unanitia nguvu sana sifa na utukufu zirudie huyu Mungu
Natamani siku moja nifike kanisani kwako tusali pamoja mch amiel najifunza vitu vingi sana ubarikiwe Jactan
Amen
Pole sana
Mtumishi katekela uwe hodar na moyo wa ushuhuda chapa kazi yesu Yu pamoja nawe.
Glory To Jesus
Mungu akutie nguvu sana mtumishi wa Mungu uendelee kutufundisha
Thank you,promover TV,for the,great mission you are doing,for Jesus Christ,thank you for bringing man of God,katekela.
Aminaa aminaa sifa kwa bwana ubarikiwe saana baba yetu 🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵
Thanks Mtumishi wa Mungu God bless you more, more.
Na mushukuru Mungu sna kwa kutukutanisha tena na ww jactan na mtumishi katekela...kwa majina ni florence mueni toka Kenya nikubukeni kwa maombi juu mmenisaidia sna kiroho
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa ushuhuda
Aminaa Aminaa Yesu ni Bwana Mwokozi wa mataifa yote
Mungu ni mwaminifu kwa kila jambo ushuhuda huu uko na mafundisho mazuri
Yesu Kristo tawala dunia kwa nguvu zako.
Blessed past Katekela..Niko na maswali yakuulza kwko nitakupigia kwa no yako
Wow nimefurahi kuona mwendelezo, Mungu awabariki, naomba unisaidie kumuuliza Jacktan kwamba ni namna gani jini linakuwa katika umbo la mwanadamu na wengine kuzaa na kuzaliwa na wanadamu, asante. Rusi/ Ruth kutoka Canada.
Alishaeleza kweshuhuda ya 1-9 rud msikilize vizuri
Mungu akubariki mtumish wa mungu nimeguswa na s huhuda zako
Barikiwa sana ndugu JACKTAN pamoja na MCHUNGAJI Amiel kwa kutufunulia mambo ya giza yenye hatungejua Bwana awe nanyi..
Asante sana kwa majibu.barikiwa 🙏🇰🇪
Amina 🙏 Mungu azidi kukubariki mtumishi na promover tv kwa ujumla
Asante sana Jactan ubarikiwe Kwa kumleta mchungaji tena... waiting patiently for the next part
Mungu atakulinda mtumishi wa Mungu
ameni Mungu akubaliki promover tv pia mtumshi kiukweli ushuhuda huu unajenga sana
Mungu ndie mfalme juu ya falme zote.
Amieli umeokolewa kwa kusud maalum usiogope fanya kazi yesu atakutetea mtumishi
nasubili kwa hamu sana sehemu ijayo na Mungu amuinue na kumpa nguvu ya kuusema ukwl inawezekana ukawa wakala na haujui,Yesu tusaidie 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amin mungu akubaliki nchungaji amieli. Jacktan mozambique tunakupenda sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
MUNGU akubariki muumba bingu na nchi na akupe maisha marefu
Jaktan na pastor Amiel Mungu wa mbinguni awaimalishe na m balikiwe sana
Glory to God 🙏 continuation iko hapa💃💃💃💃💃mchungaji Amiel n jactan blessings...can't get enough of this MCH
Jacton barikiwa ma vizazi wako kwa kueneza injili kupitia shuhuda .mtumishi kupitia shuhuda hizi nimepata Imani ya kuomba na kumuombea mume wangu na mungu wetu anatenda kweli
...napenda msemo wake huu ..penda chuma na mlingoti chuma😊 piga! Piga!
Siri za shetani zinawekwa Sana wazi siku hizi hadi raha.
Tujiweke tayari ndugu, Yesu yuko mlangoni
Unajuwa ni siku za mwisho
Alafu damu ya yesu na jina la yesu liko na nguvu.
Tuombe bila kukoma maana shetani anatuwinda
Blood of Jesus cover us
Mh
Kwakweli Ni Raha Sanaaaaa
Hii neema jamani msiomwamini Yesu naomba mjifunze kupitia Mchungaji huyu hamjachelewa.
Asante Mtumishi jactan na Amiel kwa kutufungua mambo ya kiroho ili kuzifumbua fumbo za shetani na kazi zake.
Umeeleza vizuri sana kwenye kunena kwa lugha.Kwa kuongezea;lugha za mapepo zinamfanya anaenena kufanya fujo au kuanza kupiga watu ngumi,wanakuwa kama mazomi au kulewalewa.Pia mtu ndiye anaeamuru watu wanene na wanaanza na sio kwa ufunuo wa Mungu.Kuna muhubiri fulani mke wake huwa anawambia watu watamke asante yesu mara nyingi haraka haraka(hypnosis) ili wanene na wananena
Amen Mtumishi nakuelewa sana Damu ya Yesu
Nashukuru nina ujasiri tangu nianze kufuatikia mtumishi huyu.
Amina kubwa pastor
Mungu akubariki baba jaman tuamke wakristo
God is good all the time, from Mozambique
Nimekumis sana kaka jaktani mungu akuongezee mda wakuishi ili uzidi kumtangaza krixto barikiwa kila unapoingia
Ukiandika jina kma KRISTO YESU plzzz andka kwa erfi kubwa kiswahl fasaha
Asanteni sana Wana wa mungu mzidi kuieneza ushuhuda hizi ili tukombolewe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Sana mutumishi wamungu umetutia not ten mungu akujarie ten karibun kwete burundi
Nakufuatilia nikiwa hapa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮100%
hakika ushuhuda huu umenijenga sana.
Tunapenda shuhuda hii ♥️♥️♥️, inajenga
Asante Jactan kWa kumhoji mtumishi kWa faidA ya wasikilizaji
Baba Askofu gwajima ,safi.endelea na kazi uliyoitiwa baba
May God bless Baba Ngwajima😊
Mungu ni mwema siku zote na Kwa Kila amwaminiae
Habari ya mchungaji
Wewe ulisema jina la yesu likitajwa na mmoja wa hao washirika wa kuzimu linachoma watu
Vipi unasema wengine ni nitumie na manabii wa uongo huko kanisani hawataji jina la yesu
Linatuchsnganya wengi hilo
mmmhhhh
Mungu awabariki sana
Kazi nzuri jacktan,bali naomba umulize kuhusu nywele za kuzimu na pia swala kuhusu nyota
Sawa atajibu
Mungu Akubariki sana Mch.Amiel kwa kutufundisha siri nyingi za kuzimu.Pia Ubarikiwe sana Jacktan kwa kutuletea shuhuda motomoto,tunajifunza mengi sana.Stay Blessed.
Amen
mungu azidi kk fungus mile Amina
Asante kwa maekezo yako muhimu Sana.
Mungu akulinde sana brother
asante sana kwa huo ufunuo
BARIKIWA MTUMISHI Q
Nmejaribu kufatilia mchungaji katekela kupitia ushuhuda wako Imani yangu imeongezeka...
Amen.Asante
Damu ya yesu ikufunike zaidi mpendwa
Jacktani Mungu akuweke miaka 500, nampenda bure Mtumishi Amiel kwa kutupa siri ya ufalme WA giza
Amen
Halelujha Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Eti nimempa Yesu maisha lakini ingawa vifungo haviishi kwa siku moja. Mimi Yesu ninaemjua akiingia ndani yako vyoote vinaondoka labda kama sio Yesu ninaemjua.
Kwa hyo hapo umeelewaje?
Bado hujamjua ..
wewe vyako vifungo vya biscut.....................sio vya chuma
Naomba kujua haya mapambo ya wanawake
Ubarikiwe 🙏🙏🙏sana mch
Sema tupone mungu akulinde
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 be blessed man of GOD
Ameeeenn God bless you,,
Mungu akubariki sana, akulinde na akupe mahisha marefu saaaaaaana tu.
Ukishamjua adui hakusumbui watu wanalogwa kwa kukosa maarifa
hapo umegonga ndipo😀
@@barakamanu1514 true
Mungu anisaidie,pia mim mamandogo,alikufa gafla, na mm sikumzika ila usiku huo,alinifata kwa usingiz na kusema hajafa nisaidie 😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana kwa kumkimbia shetani
Waislam wamezuiliwa kumjua wala kumpokea roho mtakatifu ili wasiujue ukwer kumhusu yesu Kristo na kupelekea kuokolewa kwao
Je! Anayoyasema pasko kssian ni ya kweli
Husein Mubarak na mjua alifika kwetu Kenya kuhubiri,hapa kwa mwaliko wa mtumishi pn makenzi
Ameen.Ila sauti,haijachujwa vizuri.
I wish ningekua Nairobi singekosa kuja hiyo kongomano umoja2 hiyo ni eneo ya nyumba, mchungaji katekelo lazima angekunywa maji kutoka kwangu
Amina mungu ambaliki daima amiell Katekela
Hakika mungu nimwema na tuendelee kuombea wengine walionaswa wachiwe katika jina la yesu .
Ubarikiwe
Yes pastor George kariuki niliona shuhuda yake
Yes
Ameeen asante sana nahama viwango hata viwango
Mungu awabarki sana Bro Jacktan
Ubarikiwe sana Jactan
Amen
Naomba naomba yamchungaji amieli
Kama ataendelea kujibu maswali, naomba umuulize kuhusu kiwanda cha kutengeneza rasta kuzimu je rasta zote kusuka ni dhambi au kuna rasta ambazo hazina madhara kwa watu waliookoka
Yesu tusamehe
Amen Amen
Mimi naomba no y'all Niko hamu kenya nairobi
Shalom kaka jacktan
Tunaomba ufanye mahojiano na Dr Hamis Hussein Mubarak
Mtafte TH-cam