TUKIO LA KWANZA LIMESHATOKEA CALIFORNIA, Ndugu zangu tusali sanaaaaa bado hatuko salamaaaaa, uliuyemdhurumu mtu kamwombe msamaha, tupendane dunia inaenda kuangamia
Ee MUNGU MKUU naomba uturehemu watanzania utuponye,tulinde twakusihi utuepushe na majanga .Tuombe sana Mungu nchi yetu ilindwe kwa jina la YESU KRISTO.Ameen
Ee Mungu niokoe mimi pamoja na family yangu yaani baba watoto wangu wazazi wangu pamoja na ndugu zangu wote simama Mungu ututetee na kutuhirumia baba wa huruma niponye magonjwa yote yanayonitesa na unishike kwa mkono wako unishindie roho zote za mauti baba yangu
“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. ” *2 Mambo ya Nyakati **7:14*
BWANA tunakuomba ibariki, kuilinde na kuikinga Tanzania dhidi ya maafa na machafuko ya aina yeyote. Ni katika jina la Yesu, tunaomba na kuamini, Amina.
Yesu tusaidie🙌🏻Yesu tutetee Yesu tupiganie kumbuka Rehema kwa taifa letu la Tanzania Kumbuka Neema na msamaha Na tunakushuru kwa yale mazuri umetujulisha na kwa mabaya tuepushe tuvushe kwa ushindi🙏🏻kwa jina lako Lililotukuka Yesu Bwana wa Tanzania🙏🏻
Nawaombea sana watanzania mungu awape neem iliy ya hali y juu kwa sababu MUNGU anawapenda sana kila sekta ya dunia kuna tokea unabii ...ss bas watanzania mumekuwa kama mji waisraeli .. MUNGU wambingu anawapenda sana naomba nguvu zake zitembee Tanzania
Mungu wangu tuna Omba Ulinzi wako utukinge mimi na Familia yangu na Jamaa zangu utukinge na Mauti Magonjwa na Ma Adui wanao onekana na wasio onekana Tuepushe na hatari zote mimi na Uzao wangu tupe Uzima na Afya Njema katika Jina la Yesu. Amina.
Asante nabii wa Mungu,Mungu akulinde daima. Naomba Mungu anilinde mimi na familia yangu, Wazazi wangu, ndugu zangu wadogo kwa wakubwa,wake kwa waume, viongozi wa dini na wa kisiasa wenye kutenda haki na wanaopigania HAKI katika Taifa letu, wale waovu wote wanaoua watu kwa sababu ya maslahi yao binafsi na kutafuta madaraka kwa nguvu! na kuonea na kutesa maskini! Naomba Mungu uwafute katika uso wa Nchi hii, AMEEEEEEENI.
Kwajina la yesu naaribu na kufuta kila umaut katka familia yangu.. naomba ulinz wa mungu mara dufu mm pamoja na anaesoma ujumbe huu.. gamilia yangu na nch yangu naieka kwako Jehovah
Mungu wangu wa mbinguni naomba uniepushe na mauti mimi na familia yangu....na wote wanao soma koment hii tufunike kwa damu yako bwana yesu
Mungu naomba unilinde mim na familia yangu pamoja anayesoma message hii
Amina na we pia
Amen
Amen pia nawe
❤
Amen
Nafuta mauti za mapema kwenye familia yangu,uzao wangu ,uzao wa tumbo langu katika jina la Yesu amen
Mungu ananguvu saana.....kibanda Cha shetani kishaungua tuseme Amen 🙏
Aminaa
amèen na huu ni mwaka wetu wa kumilik na kutawala nà màbaya yote tumeyàacha 2024
Amen
@@Bles-x1v Amen
@@Bles-x1v Amen
Ee Mungu wangu nakuomba unilinde mimi na familia yangu naumulinde kila anaye soma ujumbe huu yeye na familia yake ameni🙏🙏🙏
AMEEEEEENI.
Amen
Amen
When the prophet talks,the wise listens
Mwenyezi Mungu anitunze mimi na familia yangu Amen
Lord I pray for protection for my country,my family n my loved ones in Jesus name. No premature death in my family
Amen amen
TUOMBE SANAA WATANZANIA . MUNGU AMETUTUMIA SALAM KUPITIA WATUMISHI WAKE KAMA VILE HUYU.
Ni kwel aliwahi tabir kuhusu magufuli kifo chake
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu "MUNGU IBARIKI TANZANIAN 🇹🇿 MUNGU IBARIKI AFRICA 🌍
Baba naomba upigane nao wanaopigana nami 🙏🙏 . Baba Mungu naomba unipe funguo za maisha yangu
TUKIO LA KWANZA LIMESHATOKEA CALIFORNIA,
Ndugu zangu tusali sanaaaaa bado hatuko salamaaaaa, uliuyemdhurumu mtu kamwombe msamaha, tupendane dunia inaenda kuangamia
We have received the prophet.may the Grace of our Lord be upon kenye, and our beloved families
Mungu linda watu wako.Amina.
AMEEEEEENI
HALLELUJAH AMEN to GOD for the Saving Grace upon the Popular Man, Praise JESUS SERVANT OF GOD
Mwenyezi Mungu atusaidie sana, aisee.
Mungu tusaidie
Ee MUNGU MKUU naomba uturehemu watanzania utuponye,tulinde twakusihi utuepushe na majanga .Tuombe sana Mungu nchi yetu ilindwe kwa jina la YESU KRISTO.Ameen
Naombea Mema kwa Nchi Yangu,
🙏 Amen 🙏
Ninauona mkono wa Bwana kwenye family yangu. Mungu nilinde na family yangu amen
Ee Mungu niokoe mimi pamoja na family yangu yaani baba watoto wangu wazazi wangu pamoja na ndugu zangu wote simama Mungu ututetee na kutuhirumia baba wa huruma niponye magonjwa yote yanayonitesa na unishike kwa mkono wako unishindie roho zote za mauti baba yangu
Ubarikiwe mchungaji
Bwana Yesu tulinde Mimi na watoto wangu na wapendwa wangu wote ameen
Najificha Mimi na familia yangu na ndugu zangu ndani ya Damu ya Yesu. Ameen.
AMEEEEEENI.
Amen
Amen
Amen
ameen
Naharibu kila mipango ya muovu shetani kwenye maisha yangu familia yangu na uzao wangu katika jina la Yesu kristu aliye hai.Amen🙏
Tuombeeni na Zambia 🇿🇲 hatutaki bendera nusu mlingoti mungu tulinde
Kweli kbs watu tumejichimbia Huku Mungu atuokoe sana nataman baba uludi Tena Huku Zambia
Alisema Kenya bendera itakuwa nusu mlingoti 2020,Sai imetendeka
Kenya tunaitaka kwa haraka bendera nusu mlingoti
mtumish wa Mungu ubarikiwe Sana huwa nakuelewa Sana
Watching You from Ethiopia!
Amen - Waje Tuu kwa Yesu tunawasubiria tuendelee kumuabudu Mungu aliye hai Pamoja
In Jesus mighty name I truly believe & trust the journey of TEACHER Aminiel Makuzo
Lord have mercy on us and our families and loved ones 🙏🏽
May God protect me ad my family ad my country Kenya,in Jesus name
Jehova to b praised forever
Mungu Aibaliki tanzania mwaka huuu❤
I pray God to lead us every day till he comes
“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
”
*2 Mambo ya Nyakati **7:14*
Amen 🙏
Ameeeeen
Ameen
ameen
BWANA tunakuomba ibariki, kuilinde na kuikinga Tanzania dhidi ya maafa na machafuko ya aina yeyote. Ni katika jina la Yesu, tunaomba na kuamini, Amina.
Amen. Oh GOD have mercy on us Tanzania
Amen from Nairobi , Kenya 🇰🇪 .
Mungu nakuomba ulinde familia yangu, ndugu zangu wote na Wapendwa wangu wote,Mungu naomba ulinde Jimbo langu
mtumishi ambaye ninakukubali Sana. Mungu azidi kufanya kazi kupitia wewe. ubarikiwe Sana. Pia Mungu atunusuru na mabaya yote na kutimiza mapenzi yake
Mungu akubaliki sn kwa neno lako Zr
I declare total protection in my life and tge fruit of my womb in Jesus might name
Yesu tusaidie🙌🏻Yesu tutetee Yesu tupiganie kumbuka Rehema kwa taifa letu la Tanzania
Kumbuka Neema na msamaha
Na tunakushuru kwa yale mazuri umetujulisha na kwa mabaya tuepushe tuvushe kwa ushindi🙏🏻kwa jina lako Lililotukuka Yesu Bwana wa Tanzania🙏🏻
Yesu tuepushe na majanga yote yaliyotajwa yasiyotokee kwetu we pray thee in Jesus name
Mungu ibariki TANZANIA Mungu ibariki AFRICA
Nakufatilia Sana mtumishi Mungu atusaidie. Atukuzwe mungu kwa kua hamfishi Neno mtumishi wake
Lord Jesus , deliver us oh Lord.
Nawaombea sana watanzania mungu awape neem iliy ya hali y juu kwa sababu MUNGU anawapenda sana kila sekta ya dunia kuna tokea unabii ...ss bas watanzania mumekuwa kama mji waisraeli .. MUNGU wambingu anawapenda sana naomba nguvu zake zitembee Tanzania
Mungu atusaidie sana
Mungu turehemu usiliache Taifa lako la Tanzania gairi BWANA jitwalie utukufu Mungu turehemu naomba ubatilishe Jehovah
Mungu niokoe mimi na family Yang na taifa langu oooo mungu tuokoe
Mungu ni Linda na Familia yangu katika jina la yesu🙌🙌🙌
Dearl god, remember my family and my country
Mungu wangu tuna Omba Ulinzi wako utukinge mimi na Familia yangu na Jamaa zangu utukinge na Mauti Magonjwa na Ma Adui wanao onekana na wasio onekana Tuepushe na hatari zote mimi na Uzao wangu tupe Uzima na Afya Njema katika Jina la Yesu. Amina.
Bwana Yesu naomba unisaidie Mimi na familia yangu
Eee mungu baba nilinde mm na familia yangu amen
Mungu naomba unilinde mimi na familia na pia maadui zangu usiwapige kwa calamity hii
Amosi 3:7 Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote,bila kuwafunilia watumishi wake Manabii siri yake🙏
Mungu atuepushe mbali na maafa yote Amina 🙏🙏🙏🙏
Kilichoonekana hakiepukiki
Mungu tusaidie...Asante kwa kumtuletea Nabii.Mungu mlinsmde.tuepushe na mabaya
Asante nabii wa Mungu,Mungu akulinde daima. Naomba Mungu anilinde mimi na familia yangu, Wazazi wangu, ndugu zangu wadogo kwa wakubwa,wake kwa waume, viongozi wa dini na wa kisiasa wenye kutenda haki na wanaopigania HAKI katika Taifa letu, wale waovu wote wanaoua watu kwa sababu ya maslahi yao binafsi na kutafuta madaraka kwa nguvu! na kuonea na kutesa maskini! Naomba Mungu uwafute katika uso wa Nchi hii, AMEEEEEEENI.
Aisee nimekusikiliza vyema sana nabii Rolinga na mara zote huwa nakuamini sana,huongeagi jambo likapita hivihivi....aisee watu tumrejee MUNGU
Amina 😊
Kweli
Kanisa lake lipo wapi
Duuuuuuu yani mpaka numeogpa duuu ubarkiwesana ulie tazama unabii duuuu🙏🙏
Unaogopa kifo
Mungu naomba utulinde 🙏, Leo nimeota nusu ya dunia umezama chini
A sua profecia é verdadeira , acontece aqui em Moçambique ....😢
Mungu jalia afya njema na baraka kwenye familia yangu
Mungu atusaidie
Kama unaamini huyo mtu wa Mungu ni Mwamposa gonga like usireply
God protect me with my family 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu uilinde familia yangu,Linda nchi yangu,Linda watu wako wote.tunafunga roho zote zote za kifo kwa jina la Yesu
Yesu wangu rudi upesi utuokoe na huu ulimwengu wa giza tuna kungojea EE BWANA
Mungu hepushia mbali majanga yasitokee,tunavunja kwa jina la Yesu
AMEEEEEENI
Aamina sitakufa bali nitaishi na niyasimulie matendo ya Bwana
Amen ❤❤
Amen
AMEEEEEENI.
Que Deus proteja a mim e minha família em nome do Deus nosso salvador e seu filho Jesus Cristo. Glória a Deus!
Jamani mtumisha tayari upepo wa moto umeshatokea USA hoo Mungu akubariki sana
2025 ni mwaka Wa utele na upaji Wa ki Mungu . Wamwaminio Yesu Wa see amina.
Sara wewe niwapekee anaye elewa tofauti umejaatumaini katikati ya hofu,tutiane moyo katika kristo
AMEN
Amen
Amen
AMEEEEEENI.
It's so deep
Pray for cameroon ❤
Mumgu anilinde na familia yangu Amen
Mungu naomba unilinde na familiy yangu,mtumishi mungu mungu akubariki sana
Mungu nilinde mm na famila yangu na wale wote niwapendao Mwaka huu ukawe furaha neema amani na mazur yote
Mungu nilinde mimi na familia yangu
Mmeanza!! Shindwa pepo
Hallelujah praise be to God Our Father through Jesus Christ 🙏
nice prophet
Waooo,Bigg thanks for Revillation Prophet of GOD Rollinga.
Kwajina la yesu naaribu na kufuta kila umaut katka familia yangu.. naomba ulinz wa mungu mara dufu mm pamoja na anaesoma ujumbe huu.. gamilia yangu na nch yangu naieka kwako Jehovah
Amina Amina pokea neema ya Mungu mwaka huu n baraka zake
Mungu maomba unilinde mimi na family yngu na family ytu,my God our country jehovah i know ur faithful God we need you ,
Nakubalian na ww mtumishi
Bwana.Yesu Yesu tutetee tusaidie
wazeh musiogop Mungu ndiye mwenye nguvu na urinz katika mwishoni wa hay yote kwa hiyo tumuombe Mungu zaidi
When you speak GOD speaks my Prophet! I have never doubt your prophesy. Accurately
Let's pray harder
Mungu ni mwema siku zote amen
Mungu twaomba neema yako❤
Haleluyaaaaa 🙏 Mungu atusaidie naamini yameishatimia
mapenzi ya mungu yatimizwe na neno lake likatimie nimechoka maisha ya tozo kila sehem
😅😅😅😅😅🙌
😂😂😂
😅😅😅😅@@christinewomanoffaith5479
😂😂
@@neemalema8992 😂😂😂😂
Thank you Jesus for the prophecy, Give us enough Grace to pray N success is assured. God remember Tanzania,God remember Kenya🙏🏿👏.
Yes God remember as
Mungu atulinde sote dunia na atupe ufunuo wa kipingu nawatakia usiku mwem
Thaks God for this prophetic
MUNGU BARIKI NCHI YANGU TZ NA KUIPA ULINZI🙏