By the way God is faithful 🙏🙏 and have learnt something big through this testimony 1.usimwamini mtu yeyote 2.usitamani mali ya mtu mwingine 🙏 maana ujui anatumia nn ili kuinua mali yake 3.mwamini MUNGU kwa jambo lolote lile 4.usimsikize kila mtu 5.usiwache MUNGU kwa sababu ya shida ulio nayo 6.baraka za MUNGU zinadumu kuliko ya mizimu na inagharama 6.tumtumainie MUNGU siku zote bila kuchoka eeh MUNGU tupe macho ya kiroho ili tueze kukumbana na haya majanga ya ulimwengu 7.tumtazamie YESU msalabani 😢😢😢na tuwe na imani 8.tuwe prayer warriors
This is true let this open our eyes Also prayer is the key 🔑especially wanaposema Mke wako anatuharibia kwa sababu ya Maombi hii ituoneshe nguvu ya maombi
Hata sasa Kristo ni Ebeneza Saluti Kwa YESU KRISTO Nakupenda mnooo Bwana Yesu hata tukipotea unatutafuta na kiturejesha kwako. SIFA NA UTUKUFU NI WAKO MWOKOZI YESU KRISTO!
Usimwache Yesu kristo tena anakupenda sana, ukawe ushuhuda kwa ulimwengu, soma neno la Mungu kila wakati na kuitafakari, siku zote za maisha yako, ubarikiwe na Bwana yesu kristo
Naufanananisha na ushuhuda wa emanueli enny aliyekuwa mawenyekiti wawachawi kuzimu mpaka kuokoka na kuwa muhubiri wa kimataifa hakika mungu ni wa upendo
mmh ! awali alisema saa kumi tena saa7 mchana!!.ubora huo sijauona ni kujichosha dunia hii..kukutoa kwenye kusoma neno na kuomba.kuchelewashana tu huko kiroho
Mungu akupe maisha marefu, vizazi hadi vizazi vishuhudie UKUU wa Mungu, asante sana kwa kushare story hii ndugu zetu wengi wamekuwa MATEKA wa SHETANI, wanataka utajiri wa haraka haraka! Matokeo yake wameangamiza vizazi vyao!
Kuanzia leo siwezi ku judge mtu aliyejiuwa.ukweli huwezijua mtu anapitia nn.huyu kaka kama sio huruma za Mungu angeshajiuwa na angekuwa zao la kuzimu.Mungu wa mbinguni pokea utukufu.
Asante kwao ushuhuda huu mungu ni mwema. Funzo 👉tukikabithi maisha yetu yesu 💯%, tusome neno kila Siku, tuishi kwa maombi kila siku, tujazwe na Roho mtakatifu,tumtafute mungu ,tusiwe wepesi wa kushawishiwa , tuchukue muda kuchunguza bihashara au Fedha kabla hatuja fanya hatuja yeyote.,tujazwe na neno.. Roho mtakatifu ni msaidizi, na Advicer anatukanya na mapema Kama tunakaa nayeye, .Kama hatuna Yesu ndani yetu , tuko tuputupu na kwa hatari kabisa.
Thank you Jesus for this testimony, nimejifunza mengi sana, tuwe makini sana kupeana mikono na mtu usiyemjua. Ni wepesi sana kukimbiza mikono yao ya kishetani ili akuteke akili zako, Tutembee na Jesus, the name ABOVE ALL NAMES, umemkimbilia yeye uta Arise and Shine tena, in Jesus name🙏
Nashukuru Mungu Kwa huu ushuhuda,Kwa maana yatubidi kuomba Kwa kujitakasa mwili mzima Kwa damu ya yesu kristo mda wote.kingine shetani siku zote anakutisha ili uogope,Kwa iyo wapendwa tuwe na Imani thabiti isiyo yumba.
From kenya, am surprised by the story but have learnt alot. This world is not our home , we are on credit and our redeemer is on the is above all . May God hold our hands all together as we look for his face .May the testimony create an impact to however come across it .
Bwana Yesu Kristo ni mushindi amina na lisujudiwe jina lake maana ni kubwa mno halielezeki,limebeba nguvu zote,✊✊✊🙏🙏🙏Yesu ni wokovu jamani Sulemani kaomba kitu cha maana hapa nimeelewa usiombe chochote bali hekima na neema ya Mungu🙏🙏🙏ila huyo mtu ameshikilia mic 🎤 amechoka mkono ila Mungu amubariki ushuhuda ulikua mrefu mununue mic zile za kuweka kwenye shingo la nguo la mtu anae toa shuhuda🙏🙏ni ombi langu
Praise God! Kweli Mungu anatupenda hata tupitie majaribu gani. Asante sana kwa maisha yako kaka na Mungu aendelee kukupigania wewe Pamoja na familia yako kwa la Yesu. Mungu awabariki watumishi wote waliokuombea.
Surely our heavenly father is faithful. He can deliver us from anything or any where. We should be more careful, when the deal is good, think twice. May our might father deliver us from any evil.
Ushuhuda umenibariki Mino Mwenyezi MUNGU akubariki Sana kakangu Kwa kweli ushuhuda wako umeniliza😭😭😭...Ila ashukuriwe Mungu Kwa kuyanusuru Maisha yko.(Nahumu 1:12.)
Hayo ndo mashariti yanshetani .anakupa pesa lakini anakupa maisha ya shida. Wako watu wanalala chini. Wanakula kwa kuombaomba huku wakati wanamapesa kibao. SHETANI NI MWONGO SANAA.
My own uncle is a millionaire but the lifestyle he lives in is something else first he doesn't have teeth all the teeth are gone and he was not sick at all
Nakushuru sana Mungu kwa kunipigania wapendwa wana wa Mungu kwa Yesu kuzuri maana kwa shetani kuna mateso makubwa sana.Ninambariki huyu Yesu kwa kunipigania na kuniepusha na huyu shetani kumbukeni mawakala wa kuzimu duniani Leo ni wengi sana na wanafanya kazi usiku na mchana tumwombe sana Mungu maana hakuna la kumshinda Mungu
Mwacheni mungu aitwe mungu yaani kupitia huu ushuhuda tumejifunza mengi mwenyezi mungu atusaidie tuweze kushinda majaribu kama mwenzetu alivoshinda majaribu makubwa
Pia lile kanisa la kwanza aliloenda kule Kilosa, Roho wa Mungu alikua pale. Mungu azidi kuwabariki sana, vita ilikua kubwa lkn Yesu Kristo jJemedari wa vita akawashindia
Machui, hilo ulilolipitia Mungu anakuhitaji sasa umtumikie., simama kwa Yesu, kwa ushuhuda wako umeinua imani za wengi, wapendwa, Mungu ni mwaminifu, hakukubali roho zao zenu wewe na familia yako ziguswe...fedha inatafutwa. Sifa Heshima Shukrani na Utukufu ni kwa Mungu juu.
Eeeh Mungu ni rehemu mimi baba niondole nguvu za giza nakila madhabau madhabau chafu. Zote za ukoo wa baba eeh Mungu mrehemu fredy mama angu wadogo zangu katika kiti chako cha rehema peke yangu swezi😢
Maombi yangu kwa Mungu akurejeshee kila kitu ulichoibiwa na mwovu shetani,Bwana Yesu azidi kukutunza na usiache kumtumikia maisha yako yote🙏🙏🙏🙏
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Amen
+!+niII8n😂😊by 3. . 5:13
. 35:13 @@emanuelmachuikilalakherisi134
Amen🙏
By the way God is faithful 🙏🙏 and have learnt something big through this testimony 1.usimwamini mtu yeyote 2.usitamani mali ya mtu mwingine 🙏 maana ujui anatumia nn ili kuinua mali yake
3.mwamini MUNGU kwa jambo lolote lile
4.usimsikize kila mtu
5.usiwache MUNGU kwa sababu ya shida ulio nayo
6.baraka za MUNGU zinadumu kuliko ya mizimu na inagharama
6.tumtumainie MUNGU siku zote bila kuchoka eeh MUNGU tupe macho ya kiroho ili tueze kukumbana na haya majanga ya ulimwengu
7.tumtazamie YESU msalabani 😢😢😢na tuwe na imani
8.tuwe prayer warriors
Ni Mungu au MUNGU na sio mungu
Ni Yesu au YESU na sio yesu
Huwezi kufanya lolote hapa duniani bila mwanadamu you need people regardless muombe Mungu akupe roho ya kutambua roho isiyo ya Mungu
Na faida ya kuwa na roho mtakatifu
@@johnmark3236uko sahihi
Ni sahihi ni heri kuepuka tamaa kabisaa na kuridhika na ulichonacho na Mungu atuongoze na kutusaidia sana🙏
This testimony is a great lesson to us! Shuhuda kubwa zaidi kwa mwaka huu 2024.
This is an eye opener...the devil is a lier he comes to kill,steal and destroy.......Hakuna kitu Cha Bure duniani let's learn to trust God🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is true let this open our eyes
Also prayer is the key 🔑especially wanaposema Mke wako anatuharibia kwa sababu ya Maombi hii ituoneshe nguvu ya maombi
Satan has no free gifts🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duu aise
@@miriamhezron4052😊?
Very true.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe ni Mtumishi wa Mungu mtumikie Mungu aliye kuokoa kwa haya yote uliyoyapitia naskiza Toka Kenya.
WELL DONE MSHIKA MAIKI
Daah kwa kweli
Amefanya kazi kubwa sana
Siwezi muacha Yesu Dunia hii bila yeye sitoboi
Kabisa
Kabisa
Kabisaaa
Amen 🙏 🇰🇪
Kweli kabisa. Yesu na Yehova baba yake wapendwa tuishi nao
Hata sasa Kristo ni Ebeneza
Saluti Kwa YESU KRISTO
Nakupenda mnooo Bwana Yesu hata tukipotea unatutafuta na kiturejesha kwako.
SIFA NA UTUKUFU NI WAKO MWOKOZI YESU KRISTO!
AmeeeeeeniYesu ni Bwana.Hallelujah.
AMEEEEEEEEEEEN
Jesus loves us too much oooo.
JESUS paid it all at Calvary ❤
ALL IN ALL MSHIKA MAIKI ANA STAMINA NZULI SANA APEWE MAUA YAKE
Hahahaaa
😂😂
Kwakweli uyo jamaa mkono habadilishi 🙆♂️
😂😂😂😂😂😂
Umeona eee mshima maiki nakupa maua yako kazi nzuri
Baba imani yako kwa mungu ndio iliokuokoa
Amen bwana asante kwa ushuhuda huu mzr Amen Yesu ni Bwana
Hakika niseme uyu mungu tunayemwomba yupo hai neema,rehema, nguvu na utukufu ni zake zake🙏😢🙏❤️
Usimwache Yesu kristo tena anakupenda sana, ukawe ushuhuda kwa ulimwengu, soma neno la Mungu kila wakati na kuitafakari, siku zote za maisha yako, ubarikiwe na Bwana yesu kristo
Barikiw sanaaa Mungu anatenda Miujiza mingi barikiwa 2025...
Ee Bwana Yesu tusaidie. Dunia ina mambo. Inatishaa sana mpaka hapo Yesu ni mshidi amemuokoa😢😢
Dunia ina siri nzito
Aisee uyu ni Mungu wa aina gani mbona anaupendo hivyi 🙌aijalishi wapi unapita🙏Mungu ni mwaminifu Sana🫶🥳
1:35:54 1:35:54
Mungu wetu ni mwema sana
Mungu wetu ni mwaminifu juu ya watu wake hakika jina la yesu lihimidiwe
Mungu nimkumbwa
Nashukuru sana kwa maombi hayo au ibada hii bwana yesu asifiwe
Pole sana kaka me mwenyew nilipita kwenye changamoto kama hiyo, mungu ni mwema
Kumbe aya mambo yako😳😳😳
Farida ilikuwa aje?!. Hebu nieleze
Huu ushuhuda ni miongoni mwa shuhuda bora zaidi nilizowahi kuzisikia. Hakika, Yesu ni BWANA
Ameen
ungejua ungekimbia kungali mapema...ila sasa ulifungwa jamani
@@dorahmushi-we6ts⁷😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Naufanananisha na ushuhuda wa emanueli enny aliyekuwa mawenyekiti wawachawi kuzimu mpaka kuokoka na kuwa muhubiri wa kimataifa hakika mungu ni wa upendo
mmh ! awali alisema saa kumi tena saa7 mchana!!.ubora huo sijauona ni kujichosha dunia hii..kukutoa kwenye kusoma neno na kuomba.kuchelewashana tu huko kiroho
Mungu akupe maisha marefu, vizazi hadi vizazi vishuhudie UKUU wa Mungu, asante sana kwa kushare story hii ndugu zetu wengi wamekuwa MATEKA wa SHETANI, wanataka utajiri wa haraka haraka! Matokeo yake wameangamiza vizazi vyao!
Kuanzia leo siwezi ku judge mtu aliyejiuwa.ukweli huwezijua mtu anapitia nn.huyu kaka kama sio huruma za Mungu angeshajiuwa na angekuwa zao la kuzimu.Mungu wa mbinguni pokea utukufu.
Nimejifunza mengi kupitia huu ushuhuda Asante Yesu wewe uliye kuwa mlinzi wa yote kwakweli Wewe ni EE beneza
Ushuhuda mzito sana Mungu utupatie macho ya roho tupate kutofautisha watu na mapepo
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 hossana JUU mbinguni
Hossana JUU mbinguni
Hossana JUU mbinguni
Ushuhuda umenibarki Nami naenda kusimama ju yamaombi mme wangu pia simuelewi
Katika hii maisha hakuna shortcut mtumainie mungu fanya kazi za kihalali na baraka utaziona
Asante kwao ushuhuda huu mungu ni mwema. Funzo 👉tukikabithi maisha yetu yesu 💯%, tusome neno kila Siku, tuishi kwa maombi kila siku, tujazwe na Roho mtakatifu,tumtafute mungu ,tusiwe wepesi wa kushawishiwa , tuchukue muda kuchunguza bihashara au Fedha kabla hatuja fanya hatuja yeyote.,tujazwe na neno.. Roho mtakatifu ni msaidizi, na Advicer anatukanya na mapema Kama tunakaa nayeye, .Kama hatuna Yesu ndani yetu , tuko tuputupu na kwa hatari kabisa.
Thank you Jesus for this testimony, nimejifunza mengi sana, tuwe makini sana kupeana mikono na mtu usiyemjua. Ni wepesi sana kukimbiza mikono yao ya kishetani ili akuteke akili zako, Tutembee na Jesus, the name ABOVE ALL NAMES, umemkimbilia yeye uta Arise and Shine tena, in Jesus name🙏
Nashukuru Mungu Kwa huu ushuhuda,Kwa maana yatubidi kuomba Kwa kujitakasa mwili mzima Kwa damu ya yesu kristo mda wote.kingine shetani siku zote anakutisha ili uogope,Kwa iyo wapendwa tuwe na Imani thabiti isiyo yumba.
From kenya, am surprised by the story but have learnt alot. This world is not our home , we are on credit and our redeemer is on the is above all . May God hold our hands all together as we look for his face .May the testimony create an impact to however come across it .
Licha walimkamata kuna neema ilikuwa inamlinda ❤❤❤
Kabisa
Kiasi cha Chembe ya haradari na bado ilimtendea
Wachawi wafe tuuu
Wachaw wafe kabisa
kabisa Yani,Mungu ni halisi hakika
Ni sahihi kabisa, na hicho hata Mimi nimejisemesha moyo kuwa huyu bwana neema ya Mungu ilimbeba sana
Asante kutoa uwu ushuhuda jamani 😢😢😢pole sana baba
Bwana Yesu ,asante sana kwa neema yako kwangu! Zaburi 35
Nimejifunza vitu vingi mmno kupitia ushuhuda huu Ee Mungu nipe ufahamu nikujue zaidi baba Ameen
Sifa Heshima Shukrani na Utukufu vimrudie Mungu.
Shetani mbaya sana Mungu tutetee yani inahuzunisha natamani ningekua na hela nimlipie hayo madeni dah Yesu mfungulie milango huyu baba
God's always faithful❤
Mshika Mac big up sana
Yesu ni wangu wa uzima wa milele kamwe sinto t
Rudi nyuma Asante Mungu wangu kwa upendo wako mkuu maana umetupenda sana
Mwanadam anaweza kukuchelewesha lakin hawez kuzuia kusud la mungu tumtegemee mungu kwa Kila jambo amen 🙏🙏🙏
Kila mfanyalo kwa neno au kwa tendo fanyeni kwa Jina la Yesu,
Mungu atusaidie kumtumia kila mahali na kwa kila kitu😢
Glory be to God for that very powerful testimony, it has some touching spiritual powers, MUNGU POKEA SIFA NA UTUKUFU UKIWA KATIKA ENZI ZAKO.
Yesu jina lako ni la kuaminiwa sana Ahsante kwa kusimama nasi nyakati zote🙏
Pongezi msimuluzi na pole kwa ysliyokusibu,ur testimony is great lesson to us,may God bless u🙏🇰🇪
Bwana Yesu Kristo ni mushindi amina na lisujudiwe jina lake maana ni kubwa mno halielezeki,limebeba nguvu zote,✊✊✊🙏🙏🙏Yesu ni wokovu jamani Sulemani kaomba kitu cha maana hapa nimeelewa usiombe chochote bali hekima na neema ya Mungu🙏🙏🙏ila huyo mtu ameshikilia mic 🎤 amechoka mkono ila Mungu amubariki ushuhuda ulikua mrefu mununue mic zile za kuweka kwenye shingo la nguo la mtu anae toa shuhuda🙏🙏ni ombi langu
Praise God! Kweli Mungu anatupenda hata tupitie majaribu gani. Asante sana kwa maisha yako kaka na Mungu aendelee kukupigania wewe Pamoja na familia yako kwa la Yesu. Mungu awabariki watumishi wote waliokuombea.
Surely our heavenly father is faithful. He can deliver us from anything or any where. We should be more careful, when the deal is good, think twice. May our might father deliver us from any evil.
Nimejifunza kitu kukubwa sna ktka hii shuhuda.Mungu akuwezeshe umalize madeni yotena usimame upya.Amen
Hakika Mungu ni mwema sana, kuna baadhi ya watu wengi san sana wanapitia haya wanapitia huu utumw wa shetan bila kujua namn ya kutoka
Ushuhuda umenibariki Mino Mwenyezi MUNGU akubariki Sana kakangu Kwa kweli ushuhuda wako umeniliza😭😭😭...Ila ashukuriwe Mungu Kwa kuyanusuru Maisha yko.(Nahumu 1:12.)
Dhu!! Hayo makanisa yako Mungu wa mbinguni tuepushe nayo katika jina la Yesu, Amen
Zaidi ya yote,ni Yesu Kristo alikusaidia,sifa na shukrani zimrudie bwana,,amen🙏
Pole sn shetani mbaya,Asante Yesu kwa ushuhuda mzuri
Hayo ndo mashariti yanshetani .anakupa pesa lakini anakupa maisha ya shida. Wako watu wanalala chini. Wanakula kwa kuombaomba huku wakati wanamapesa kibao. SHETANI NI MWONGO SANAA.
My own uncle is a millionaire but the lifestyle he lives in is something else first he doesn't have teeth all the teeth are gone and he was not sick at all
Ukichanjwa chale mwilini unakuwa umejikonect na hao mashetani Yani watakuona Hadi utumbo ACHENI kujichanja chale
@@JujuGurugu04😂😂 nacheka kama mazuri
@JujuG😂😂😂urugu04
What a powerful Testimony, God bless you 🇰🇪🙏
Ushuhuda huu umenifunza mambo makubwa sana. Pole sana mtumishi wa Mungu. Mungu anahitaji umtumikie.
Nakushuru sana Mungu kwa kunipigania wapendwa wana wa Mungu kwa Yesu kuzuri maana kwa shetani kuna mateso makubwa sana.Ninambariki huyu Yesu kwa kunipigania na kuniepusha na huyu shetani kumbukeni mawakala wa kuzimu duniani Leo ni wengi sana na wanafanya kazi usiku na mchana tumwombe sana Mungu maana hakuna la kumshinda Mungu
Kila kilichopotea Huyu Mungu tunaemtumikia atakirudisha mara mbili 🙏❤️
Mungu atakurudishia kila kilichopotea
Hallelujah
Hallelujah
Hallelujah
Glory be to you God
Sitaacha kukuabudu wew Mungu wa kweli
Pole sana,kujua Kila kinachoendelea kwako,wanakua wamekuteka nasfi na kufunga ufahamu,unakua chini yao
Huu ushuhuda wa huyu baba umenitoa hatua moja kwenda nyingine Mungu akubariki sana na akulejeshee kila ulichoibiwa ktk maisha yako
Mungu awatangulie kwakuruhuru ushuhuda
Halleluya Mungu wetu ni mwaminifu sana,tuzidi kumuomba tusiache!
Pole sana kwa yaliyo kukuta wamtumainiyo bwana nikama mlima sayuni usimwache yesu kwenye maisha yako 1:10:25
Sasa nimeelewa😢😢😢 nikiswali naoneshwa yote yanayoendelea kwangu na kuoneshwa ubaya wa mume wangu ila nikiomba kwa jina la yesu sivioni na nahisi amani
Basi swali kwa kutumia Imani yako wewe unayoijua wewe
@judieesjeremiah2649 Yesu ndo jibu mfalme wa amani
Wivu tu
Mungu apewa sifa sana sana
😥😥😥😥Ee Mwenyezi Mungu nikomboe mm na familia yangu kwa Damu Ya Yesu 🤲
Mungu tusaidie wanaume.Kila tunapohangaika tunahangaika kwaajiili ya wanaotutegemea.
Finaly kwa Yesu! Yote yanawezekana!! Nimejifunza Mengi mno mno
We need the gift of discernment sana.
Sure....may the Lord help us
Nimejifunza kitu cha tofauti sana kutoka kwenye huu ushuhuda. Kuna fake prophets wanatumia nguvu hii hii kuwarubuni na kuwaibia watu wa Mungu.
Huu itakua ukweli mana ukisoma saikorojia ukiona mtu anaongea kwa vitendo ujue huo ni ukweli
Kwel asilimia 💯
@@ibrahimalex4978inawezekana ni kweli
Mwacheni mungu aitwe mungu yaani kupitia huu ushuhuda tumejifunza mengi mwenyezi mungu atusaidie tuweze kushinda majaribu kama mwenzetu alivoshinda majaribu makubwa
Ubarikiwe Sana Kaka Mungu ameskia kirio chako
mungu ni epushe n marafiki nisiyo wajua🙏🙏🙏
Pole sana kwa yaliyo kukuta wamtumainiyo bwana nikama mlima sayuni usimwache yesu kwenye maisha yako
Huyu Mungu ni waajabu sana wacha tu tumtumikie ushuhuda mzuri sana ❤❤❤
Huu ushuhuda ni mahubiri kamili.
Aiseee!!! Duniani kuna mambo magumu sana. Mungu atusaidie
God Jesus Christ open our Spirual eyes
Kazi nzuri kabisa Dangulo and your team
Ee YESU utulinde na hatari zote za roho na zamwili siku zote za maisha yetu 🙏🙏
Si Dhani kama Yesu ana kulinda , Mungu ndo anaelinda
Mungu akuzidishie pia mm nlikua natafutwa na roho wa giza ila Mungu ni mwaminifu
Bwana Yesu Christo Atukuzwe siku zote 🙌🙏
Pia lile kanisa la kwanza aliloenda kule Kilosa, Roho wa Mungu alikua pale.
Mungu azidi kuwabariki sana, vita ilikua kubwa lkn Yesu Kristo jJemedari wa vita akawashindia
Mungu ni mwaminifu sana amekutetea Mungu atakurejeshea vyote ulivyoibiwa
Duhhhh pole sana mtumishi, nimejifunza kitu
Hii ni kali 🔥🔥🔥🔥Mungu atunusuru tuu bila Yesu haiwezekani
Jamaa yuko humble sana
Mshika maik mungu akubariki🙏
Yesu Kristo yu hai milele, tunaamini na kuabudu kitu halisi na sio mazingaombwe wala kukalilishwa
Machui, hilo ulilolipitia Mungu anakuhitaji sasa umtumikie., simama kwa Yesu, kwa ushuhuda wako umeinua imani za wengi, wapendwa, Mungu ni mwaminifu, hakukubali roho zao zenu wewe na familia yako ziguswe...fedha inatafutwa.
Sifa Heshima Shukrani na Utukufu ni kwa Mungu juu.
Asante Yesu kwaajili ya huyu baba hakika ni shuhuda inafundisha
Powerful Powerful Powerful, may the name of the Lord Jesus, be glorified....🙏🙏🙏
Mungu nisaidie roho yà maden iniachoe am so tired
1:14:42 Mungu ameruhusu hayo ili utukufu wake udhirishwe. Huu ushuhuda ni mzito sana 🥺
Mungu atusaindie juu 😢😢😢 kweli ni nyakati za mwisho izi
Daah,,mmh MUNGU Baba tunamshukuru sana Kwa ushuhuda.Tuokoe Bwana Yesu na nguvu za Giza.
Wangapi tumelia online? Our God is always the way, the truth and the Life, Anasema njooni kwangu wote mlemeawo na mzigo nami nitawapumzisha.
Nimelia haki😢😢
Jamani ebu mnikutanishe nauyo mchungaji Mme wangu pia yuko ivo
Pole dada
Dunia inamambo 😢mwenyezi mungu naomba ulinzi wako unilinde baba
UTUKUFU, NA
HESHIMA UPEWE MUNGU WA MBINGUNI HATA MILELE AMEN.
Asante Bwana Yesu Wewe ni Mungu ukomboaye🙏
Shetani ni mbaya sana! Yesu tufungue macho ya rohoni.