UTIISHO WA MUNGU NDANI YAKO ITAMFANYA KILA MTU AJUE UKUU WA WAKE NA NGUVU ZAKE NDANI YAKO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2022
  • MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU MBEYA DAY 4. 2022

ความคิดเห็น • 227

  • @aidaniagizo967
    @aidaniagizo967 ปีที่แล้ว +9

    Hapa nimekula nimeshiba miaka mingi kwako ili unilee bdo nimchaga hata kukaaa bdo hivyo nimaombi yngu kwa Mungu akupe maisha marefu ili unikuze baba

  • @josephinemapuga3515
    @josephinemapuga3515 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki mwl.uliyefanywa na Mungu kuwa Mkuyu kwangu, asante Kwa mafundisho haya yenye upako kwangu na familia,Amen

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 ปีที่แล้ว +5

    AMINA baba libarikiwe tumbo lililokuzaa, namtukuza sana Mungu pia Kwa kunikutanisha na mtumishi wake hakika umekuwa msaada tena sana kwenye nchi hii ya utaumwa 🇸🇦🇸🇦🇰🇪❤️

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 23 วันที่ผ่านมา +1

    Haya yamenigusa Mimi kabisa
    Hakika Hatuna haja ya kuwa Na hofu
    Ikiwa Mungu yupo upande wetu

  • @emmanuelsanga7363
    @emmanuelsanga7363 ปีที่แล้ว +5

    Sio TU kwamba tunasikiliza lakini zaidi sana tunaelewa kwa kweli Mungu ni mwema sana tunamshukuru sana

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 ปีที่แล้ว +9

    Amen Mwl. Asante YESU kwa somo zuri sana . Ubarikiwe MTUMISHI wa MUNGU na MUNGU akupe maisha marefu sana kwa ajili ya kanisa sawa na mapenzi yake

  • @CutekarnuZakayo
    @CutekarnuZakayo 2 หลายเดือนก่อน

    Glory to God 🔥🔥🔥 ACHA Mungu afanye jambo kwa maadui zangu ofisi wakujue wewe ni MFADHILI WANGU mkuu kwenye KAZI na Nafasi ofisin kwangu🙏✍️

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว +1

    Ameni ameni 🙏 Nabalikiwa Sana
    Mwl
    Bwana Yesu akupereke viwango vya juu kabisa

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

    Mwakasege is one of the greatest men of God in Tanzania and in the world an he is HUMBLE. hajawahi kutafuta kutambulika au kuheshimiwa ila MUNGU anamheshumisha. Very humble man of God

  • @constantinewilbroad1654
    @constantinewilbroad1654 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Mungu wetu akulinde ili utulishe Neno la Mungu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mungu baba Kwa kutupa mtumishi wako Christopher Mwakasege Africa na Dunia nzima watu wanampokea YESU KRISTO kuwa Bwana na mwakozi wa maisha yao kupitia mahubiri ya injili isiyogoshiwa.

  • @jofreychristopher7672
    @jofreychristopher7672 ปีที่แล้ว +3

    Nondo za huyu Mwl. Mwakasege yaaani ni mwisho ukiziaaply lazima wakae wanabaki na labda.

  • @annytarimo-tk6dj
    @annytarimo-tk6dj ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki uwe na uhai mlefu vizazi Hadi vizazi

  • @maureenchuwa8012
    @maureenchuwa8012 ปีที่แล้ว +3

    AMEN! Mungu ni mwaminifu sana🙌

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 10 วันที่ผ่านมา

    Haya anayo sema nimeyashuhudia kazini kwangu, nakudisha utukufu kwa MUNGUamen

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Yesu kwa neno la kupitia Mtishi huyu Amina.

  • @oscarsakilu2494
    @oscarsakilu2494 ปีที่แล้ว +5

    Ameeeni nimepokea nguvu tena Mungu akutunze babaangu

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya nimebarikiwa asante Mungu Baba kupigana nao wanao pigana nami pokea utukufu wote, heshima na sifa zote. Mungu Baba akubariki na akukumbuke na kukuongeza wewe na uzao wako tutamhimidi Bwana daima. ZABURI 115:12-18.

  • @ajualupembe4900
    @ajualupembe4900 ปีที่แล้ว +2

    Amen mtumishi wa Mungu. Mungu aendelee kukutunza

  • @user-rd3vh6mi8u
    @user-rd3vh6mi8u ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sanaa .Mungu akuinue kwa viwango

  • @elia9571
    @elia9571 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Mkuu asifiwe sana kwakweli tunaendelea mbele kwa ajili Neno la MUNGU liletalo uzima katika Roho zetu lipo nasi tupate kupona, tupate kuokoka

  • @BarakaElia-kr9dh
    @BarakaElia-kr9dh 11 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa sana.mungu azid kuktumia zaid na zaid

  • @TinnyMaope
    @TinnyMaope 26 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana mwalimu God bless

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 ปีที่แล้ว +2

    Ameen MUNGU type utiisho ndani yaetu Kila tupitapo maadui wakuone ww na Wala sio sisi🙏

  • @happinessmichael3424
    @happinessmichael3424 ปีที่แล้ว

    Ahsantee sana mwalimu umesema na Mimi kabisaaa Mungu azidi kukubariki nawe utupe baraka zako Amina

  • @leganluvanda2173
    @leganluvanda2173 10 หลายเดือนก่อน

    Amina amina barikiwa na Yesu Kristo Babaangu nakutakia ufanisi mwema wakuendele kutufikia

  • @SarahAlphonce-os2lt
    @SarahAlphonce-os2lt ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mwalimu Ni neno la kuaminiwa Ni kweli na Amina.👏🏼👏🏼

  • @susanmutua4640
    @susanmutua4640 ปีที่แล้ว +5

    Amen. Wataondoka wenyewe waniache...

  • @user-uc4yk3so5m
    @user-uc4yk3so5m 9 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu nashiba kweli kwel

  • @PastorMwakapyanila-sl9cj
    @PastorMwakapyanila-sl9cj 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu ukupe siku nyingi mtumishi

  • @eliedaluzuga3143
    @eliedaluzuga3143 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Yesu tunakuishi KUPITIA watumishi wako iliyowaamini🙌🙌🙌🙌

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 10 หลายเดือนก่อน

    Amen hapo kwenye kazi ni mim na pigwa vita adi natumiwa mavitu ya kutisha adi nimeacha kumbe nimekosea kuacha

  • @beatriceswai7650
    @beatriceswai7650 ปีที่แล้ว +2

    Ooor haleluya haleluyaa utukuzwe Mungu

  • @marytabu4904
    @marytabu4904 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @user-gq1dw8rt9f
    @user-gq1dw8rt9f ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 mtumishi nimebarikiwa

  • @michaellevi5577
    @michaellevi5577 ปีที่แล้ว +2

    Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu alie hai.

  • @mwajumasaid8305
    @mwajumasaid8305 ปีที่แล้ว

    Amen nimemuona mungu Kwa kweli waliotegemea nitaacha biashara yangu,lakn mungu wangu alivyo mkuu,wameondoka wao,Asante yesu Kwa kweli umejua kunipgania,

    • @vumiliaedward1631
      @vumiliaedward1631 ปีที่แล้ว

      Ameen NENO hili langu napokea kwa jina la YESU KRISTO

  • @subirahmwamaso2913
    @subirahmwamaso2913 ปีที่แล้ว +2

    Neno la wakati, Asante Yesu napokea katika Jina la Yesu

  • @julianamwakasege8825
    @julianamwakasege8825 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi naomba katka maombi haya mungu aniguse Leo asinipite

  • @jessemwombeck6006
    @jessemwombeck6006 ปีที่แล้ว

    Amen Asante mtumishi nimebarikiwa sana na ujumbe huu Mungu akutunze na kuendelea kukutumia

  • @ElvisMwaigombe
    @ElvisMwaigombe หลายเดือนก่อน

    Mungu alibariki baba tunapokea

  • @jbofficially4482
    @jbofficially4482 ปีที่แล้ว +6

    I'm a Catholic Believer but my self I'm proud of you mwl. Mwakasege❤❤❤❤❤

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu atapigana na adui zangu na kunifanya salama

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 5 หลายเดือนก่อน

    Baba wa Kiroho wa Taifa letu Mungu akutunze baba

  • @lucasmwiga2656
    @lucasmwiga2656 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen nabarikiwa sana

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏, Utukufu kwa Yesu 🙏

  • @wivinarwegoshora5235
    @wivinarwegoshora5235 ปีที่แล้ว

    Hapa nimepata fungu langu lililo jema ktk maisha yangu ndani ya Ukristo

  • @paschalduwe817
    @paschalduwe817 ปีที่แล้ว

    Nataman Mungu asimchukue mwaka Sege Wala asizeekee

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu anasamehe na kusahau kama tukitubu kwa kumaanisha…

  • @rebecaphaustine4170
    @rebecaphaustine4170 ปีที่แล้ว +3

    Waooooh Glory to God, Glory to God

  • @euphrasiantawatawa1510
    @euphrasiantawatawa1510 ปีที่แล้ว

    Ubarkkiwe sana ,Mtumishi wa Mungu,nakuelewaga sana mimi

  • @eliseefaraja9533
    @eliseefaraja9533 ปีที่แล้ว +4

    Parole édifiante et très profonde. I'm really blessed to understand this gospel. Be blessed Pastor.

    • @brianmatechi8546
      @brianmatechi8546 ปีที่แล้ว

      Amina mtumishi

    • @ramadhanganzor8813
      @ramadhanganzor8813 ปีที่แล้ว

      Mungu azidi kkuinua naakupe Afya njema kwahuduma unayoitoa mm nimebarikiwa mpaka nashindwa kuelezea

  • @user-rk9lu4ri6k
    @user-rk9lu4ri6k ปีที่แล้ว

    Mungu atuinue zaidi

  • @marrywema7850
    @marrywema7850 ปีที่แล้ว +3

    Glory to God ,,,may God bless you daddy

  • @zimanigervas7281
    @zimanigervas7281 ปีที่แล้ว +7

    Very powerful ,🙏

  • @hadijamduda5545
    @hadijamduda5545 ปีที่แล้ว +1

    Mwi tunashukuru kwa maneno mwzuri ya mungu

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN in Jesus mighty name

  • @albentinaleonard3679
    @albentinaleonard3679 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu

  • @TyasonKinyaga
    @TyasonKinyaga หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana

  • @user-lk8ws3fz9x
    @user-lk8ws3fz9x 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wa Milele najiunganisha na mtumishi huyu ninaomba baraka zote niniingie

  • @juniormachariawambui
    @juniormachariawambui ปีที่แล้ว +3

    Very powerful God bless you🙏🙏

  • @hamphreymimbo770
    @hamphreymimbo770 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 baba barikiwa m mmmno

  • @Angels_2024
    @Angels_2024 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi nabarikiwa sana na huduma hii

  • @joycephillip8926
    @joycephillip8926 ปีที่แล้ว +6

    Very powerful sermon be blessed man of God

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie niwekeze kwenye hofu yako

    • @azimaazimakasinja
      @azimaazimakasinja ปีที่แล้ว

      Mungu akujalie miaka ming ya baraka uzidi kutufundisha mengi tusiyoyajua

  • @anjelamahenge9439
    @anjelamahenge9439 8 หลายเดือนก่อน

    Utiisho wako Mungu Uende pamoja nami.Amen.

  • @danielkivuyo2052
    @danielkivuyo2052 ปีที่แล้ว

    Amen Mwl Mungu azidi kukutumia

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 10 หลายเดือนก่อน

    AMEN MTUMISHI WA BWANA

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 ปีที่แล้ว

    AAAMEEEN ❤️❤️ baba Mungu
    Akupe maisha marefu
    Na mwisho mwema wa
    Watakatifu wake.

  • @onesmokanga
    @onesmokanga ปีที่แล้ว

    Ansante mwalim KWA somo zuri

  • @saidalrhbi3675
    @saidalrhbi3675 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen and Ameeen Pastor

  • @rachelmbwaga9874
    @rachelmbwaga9874 ปีที่แล้ว +1

    ameen Mungu akutunze mwalimu

  • @kissajohn8676
    @kissajohn8676 ปีที่แล้ว

    AMINA mtumishi wa Mungu

  • @nasekilebwaya8925
    @nasekilebwaya8925 ปีที่แล้ว +6

    Glory to God, 🙌🙌

    • @jofreychristopher7672
      @jofreychristopher7672 ปีที่แล้ว

      Hii sio zege tu ni pamoja na nondo.

    • @EmilianGoyo
      @EmilianGoyo ปีที่แล้ว +1

      Amina mtumishi was mungu ubarikiwe sana

  • @Filopolazalo
    @Filopolazalo ปีที่แล้ว +1

    Bwana tuma utiisho wako mbele yangu unitangulie

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen penda sana mwalimu ❣️❣️❣️🔥

  • @faithnakizihirwa4622
    @faithnakizihirwa4622 ปีที่แล้ว

    Ameeen .Nabarikiwa mnooo

  • @janejane8177
    @janejane8177 ปีที่แล้ว

    Mungu akupemaisha marefukabisa umenitoambalisana bilawewekujua ninamshukurumungu kupitiawewe

  • @sundayeloiloi9257
    @sundayeloiloi9257 ปีที่แล้ว +1

    Kitabu Cha haya mafunzo mtumishi tafadhali ni ujumbe wa kusisimua

  • @josephraphael4154
    @josephraphael4154 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 wataondaka wenyewe waniache

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb หลายเดือนก่อน

    Asante yesu

  • @rosepatrick8148
    @rosepatrick8148 ปีที่แล้ว

    Ameen.....Mungu akutunze baba

  • @StephenKalenzi-fg3km
    @StephenKalenzi-fg3km 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @emanuelbadi4741
    @emanuelbadi4741 ปีที่แล้ว

    Ameni asantee ubarikiwe BABA

  • @JamesNelson-cm7gy
    @JamesNelson-cm7gy ปีที่แล้ว

    Barikiwa baba

  • @lazarozacharia4527
    @lazarozacharia4527 ปีที่แล้ว +4

    Glory to God

  • @sabratally7688
    @sabratally7688 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe baba

  • @sophylaizer8138
    @sophylaizer8138 ปีที่แล้ว +1

    Amen sana mtumishi wa Mungu

  • @magdalenanada6303
    @magdalenanada6303 ปีที่แล้ว

    Aminaaa Sana najifunza

  • @guraidiangovi2069
    @guraidiangovi2069 ปีที่แล้ว

    Haleluya Haleluya Amen Mimi Andrea

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว

    Eeee Mungu naomba uwekeze ndani yangu

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 ปีที่แล้ว

    Aminaa barikiwa mwalim

  • @tukaekidenya-ex4mn
    @tukaekidenya-ex4mn ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe.sanaa.haleluyaaaà🙏👍

  • @emmyeliudi5805
    @emmyeliudi5805 ปีที่แล้ว +1

    Ameeenbarikiwa baba

  • @sechamlaki8657
    @sechamlaki8657 ปีที่แล้ว +3

    Powerful🙏🏾

  • @gwantwajoseph5564
    @gwantwajoseph5564 ปีที่แล้ว

    Haleluya Mungu azidi kukutunza

  • @acquelinapissa2968
    @acquelinapissa2968 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa ❤

  • @user-rd1lk7io7x
    @user-rd1lk7io7x ปีที่แล้ว

    Ameen GodBless You

  • @tumsifumartine612
    @tumsifumartine612 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa y