Kauli kali za SPIKA mwanzo mwisho "Mama hatabiriki" || Pambana na kitu kingine sio Ndugai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2022
  • Job Ndugai amejiuzulu nafasi yake ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kubaki kuwa Mbunge wa Jimbo la Kongwa. Katika kipindi chake cha Uspika tunakuletea kauli mbalimbali alizowahi kuzitoa ndani na nje ya Bunge hadi alipofikia kumwomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na baadaye kujiuzulu nafasi yake ya Uspika.

ความคิดเห็น • 350

  • @abelsonmakabala6090
    @abelsonmakabala6090 2 ปีที่แล้ว +23

    Appreciate this Man....hata kuiongoza familia kunahitaji msimamo na jeuri....huyu ndo kiongozi tumtakaye....2025 niko upande wako mzee wangu........

    • @salmawatuta6468
      @salmawatuta6468 2 ปีที่แล้ว +1

      Msimamo unaomba radhi?

    • @robbiejerrson7437
      @robbiejerrson7437 ปีที่แล้ว +1

      Si Kila msimamo ni hekima. Misimamo mingine ni ujinga na upumbavu mtupu. Huyu ndivyo alivyokuwa na nduguye mwendazake!!

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 2 ปีที่แล้ว +13

    Ndugai haya ni maisha tu anaeyaweza.ni mungu tu nilijua utamaliza vibaya na bado hiyo ni trela

  • @israelifadhili9744
    @israelifadhili9744 2 ปีที่แล้ว +19

    Bila msimamo wa namna hiyo, huwezi kusimamia bunge. Bungeni kuna kanuni, ASA kama mbunge hafat kanuni unataka afanyeje. Alifanya vizur sana, kasoro yake ni kumsalit magufuli bandari ya bagamoyo bas. Alaf ninyi mliotengeneza hii, mnapenda kuponda sana wengine wakt ninyi wenyewe ni makaburi yaliojaa kila aina ya uchafu. Jiangalien na ninyi matendo yenu, yeye ametubu na mungu amemsamehe

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว +1

      Usimtetee Msaliti!

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 2 ปีที่แล้ว +1

      Huo si misimamo,unazuia mishahara ya watu unasema.huo msimamo?

  • @mokhimji
    @mokhimji 2 ปีที่แล้ว +8

    tumshukuru mungu kamaliza kazi bila kumjeruhi mbunge ata mmoja... ameena..

  • @thomasmerinyomollel3544
    @thomasmerinyomollel3544 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mungu na ni mwenye wifu hawezi kukubali miungu watu ndani ya dunia akiwaacha watambe basi itakua kakosea kumtoa mwanae wa pekee kuchukua ufalme duniani na mbinguni nenda wewe mungu mtu wa ----

  • @gabrielaniseti1537
    @gabrielaniseti1537 2 ปีที่แล้ว +11

    TAARIFA IMEEGEMEA UPANDE.MMOJA.
    SAWA SISI NI WA TAMZANIA MWISHO WA SIKU.AMANI UPENDO NA UMOJA WA KITAIFA UTAWALE

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 2 ปีที่แล้ว

      Na watanzania walivyokuwa na uelewa mdogo wanaacha kujadili deni kubwa sana na mfumuko wa bei wanahangaika na ndugai

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 2 ปีที่แล้ว +8

    Mnaanza kumtetea baada ya kujiuzulu, acheni unafki

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 ปีที่แล้ว +1

    I just love vichapo vyako. Kwa upole na taratibuuu na kiboko kinakupata...

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 2 ปีที่แล้ว +3

    Ata asingejiuzulu angeezuliwa tu kama mzee six ..aliambiwa safari hii tunataka spika m-mama

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ndugai utakula jeuri yako na hao wanaoshangiria nyote ni dhaifu na mazuzu kweli yaani wewe babu jeuri kweli sijui hilo juso lako na upara wako utauweka wapi ulifikiria utakaa hapo milele m.mungu anakuhukumu na kiburi chako kitakurudia

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 2 ปีที่แล้ว +7

    Sentensi ya mwisho ni tamu sana!

  • @israelifadhili9744
    @israelifadhili9744 2 ปีที่แล้ว +16

    Nakubali msimamo wako. Achana na wajinga wasio kuelewa

  • @raphamahengo5480
    @raphamahengo5480 2 ปีที่แล้ว +6

    Damu ya wengi itawarudia wenyewe twende sasa

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 2 ปีที่แล้ว +6

    naweza kukupiga marufuku kuongea huku ndani hakuna cha swali wala nyongeza na hunishtaki popote😂😂😂

  • @saramichael1632
    @saramichael1632 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa Kweli Alitenda Apendavyo

  • @anordkyelula6266
    @anordkyelula6266 2 ปีที่แล้ว +3

    Ilove tanzania ilove my nation

  • @rasurmasoud5762
    @rasurmasoud5762 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimemkubali Sana jeneral ulimwengu

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว +2

    Ama kweli kabla hujafa hujaumbika binaadam tumekuwa waungu tunalaani ovyo ovyo

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 ปีที่แล้ว +1

    Urudi kumuomba radhi professor Asad kweli bunge dhaifu

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani alijiona kama Bunge kama la babaake vile na kusahau kuwa cheo ni dhamana😏

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi bila kuwa na msimamo utaendeshaje kundi ulilonalo acheni kumsema ndugai kauli za watu fulani zilikuwa za ajabu ndugai ni jembe mkatae mkubali aliwaweza sana wenye vimidomo sijaona ubaya wake

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 2 ปีที่แล้ว +10

    Kiburi cha uzima kimemponza, ndio ajue kuwa Dunia ni ya Mungu sio ya wanadamu. Aliwaona wenzake hawana thamani isipokuwa yeye sasa kafika wapi?

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

      Sana tu hakuna kitu kibaya km ukijiona Mungu mtu Kiburi chake kimemrudia mwenyewe!

  • @tbsgenterprises.hongera4631
    @tbsgenterprises.hongera4631 2 ปีที่แล้ว

    Ndugai Lisilowezekana kwa binaadamu kwa Mwenyezimungu litawezekana.leo umeuona mkono wa Mungu usioshindwa na mamlaka yoyote.Unayoyapitia sasa ni matokeo ya kiongozi au kutumia mamlaka uliyonayo pasipo hofu ya Mungu.Spika sio Mungu Spika ni mtumishi wa watu.anapaswa kuwaheshimu ili kulipa heshima mamlaka anayoiongoza.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +24

    Na mazuri yake wekeni. Tanzania ifike mahali tuwaheshimu watu kwa mema yao na si kwa kutafuta mabaya tu. Hastahili dhihaka hizi alifanya kwa nafasi yake pia jamani.
    Huu ndio uhuru wa habari tunaouliliaga?!Muacheni mzee wa watu jamani.

    • @davegervas4707
      @davegervas4707 2 ปีที่แล้ว +1

      weka wewe kama unayajua

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaweke ww hayo mazuri acha kupangia watu cha kuposti

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +1

      @@davegervas4707 fedheha ikupate

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +2

      @@madetetv6576 ww ndio unataka kunipangia cha kupost ndio maana ume reply kwangu. Kumbe hata hujielewi!!Ss unatokwa poovu. Huna hata cha kusema bendera tu wewe .

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +1

      @@davegervas4707 bendera fuata upepo tu wewe

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว +4

    We will miss you!!!

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Ndugai Unavuna ulichopanda yote mabaya uliyowafanyia wenzio yanakurudia. ✔️

  • @saitotimariba2209
    @saitotimariba2209 2 ปีที่แล้ว +3

    Kuna mda utafika mtamuona ndugae kuwa alikuwa sahihi nyie endeleeni kupiga midmo

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 2 ปีที่แล้ว +2

    kwenda uko Ndugai huna kauli nzuri kwa watu wazima wenzako sasa utapiga makofi mezani km wenzako dadadekiii zako muliona Samia mwanamke wa mchezo mchezo Mama Samia kenda labour hawaogopi nyote na magenge yenu

  • @johnnnko5814
    @johnnnko5814 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu wee ni Mungu....kuheshimu mamlaka ni muhimu kwa woteee..

  • @lucasmogoile7097
    @lucasmogoile7097 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanna kama Hawa ndo walikiwa wa kuijenga Tanzania unyama unyama🔥

  • @marywakesho4887
    @marywakesho4887 2 ปีที่แล้ว +3

    Uongozi hautaki nguvu na majigambo.... Wacha watu wakukubali kwa ubora wa uongozi wako...

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu na bashite akili zao sawa

  • @salehkioza-xo8ti
    @salehkioza-xo8ti 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu hayuko sawa na wala hastahili hata kuongoza shuĺle ya chekechea kwanza anazarau sana na kibri sana ila mungu mkubwa kuliko chochote kile,mwisho kaangukia puwa

  • @januaryjohn4771
    @januaryjohn4771 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kitu hapo ccm mmewaibia kura wananchi hamjachaguliwa zaidi ubepari tu,hicho ndio kinachowatafuna

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว +3

    Pambana na kitu Ingine sio Ndugai. Mmmmmmmmh ulitumia nafasi yako vibaya. Yalitunzwa Sasa wanakuonyeshea, yamekugeuka.

    • @lucyngoo6309
      @lucyngoo6309 2 ปีที่แล้ว

      Tena yeye yamemgeuka kwelikweli bila ya yeye kutarajia

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah, dunia hii

  • @jeromendetaulwa3466
    @jeromendetaulwa3466 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzuka wa lisu utakumaliza tubu toa ufafanuzi stahiki zake ulimfuta ubunge

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu mhimili umejiuzulu lakini una jambo kubwa sana unalificha Ndugai tuambie Watanzania tujue kinachoendelea

  • @doralupenza3363
    @doralupenza3363 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda
    Mungu wangu amenipa kitu ninacho mikononi mwangu

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kweli kweli wewe Ni mkweli ndiyo maana

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndugui ww ni dhaifu xnaa, alaf kama una matatizo ya sasa unamwandikia mwenyekiti wa ccm ndio aliyekuchagua?mgogooooo

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 2 ปีที่แล้ว +2

    KILA BINADAM ANAMAKOSA YAKE ss ndugai kukosea ni ajabu???ipo siku tutamkumbuka maana wabongo hukumbuka shuka pakiwa pamekucha😥

    • @faumamakwaia5095
      @faumamakwaia5095 2 ปีที่แล้ว

      Kweli Ana mazuri mengi tu lkn wanaona mabaya tu,hakuna atakayekuwa mkamilifu duniani!

  • @allannelson1908
    @allannelson1908 2 ปีที่แล้ว +3

    Serikali aitakikuambiwa ukweli...tutafika safari ya baba wa taifa

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp ปีที่แล้ว

    Viongozi muwe mnachunga sana ndimi zenu ona sasa ulijifanya Mungu mtu kikowapi sasa ukiziona kauli ulizokuwa unalopo sijui unajionaje na unajisikiaje

  • @hassanmkotya4136
    @hassanmkotya4136 2 ปีที่แล้ว +7

    Mema yake yakowapi Yarrabi huyo ni mwanadamu kupatia na kukosea ni sehemu ya maisha yake hakika Mungu nipe jicho la tatu linijaze ufahamu binaadamu siyo watu nimeshindwa Sina hamu. Jobu Yustin Ndugai kila la kheri huko uliko.

    • @josephmwinuka3982
      @josephmwinuka3982 2 ปีที่แล้ว

      Wema wake ni ubabe na kukandamiza demokrasia

  • @silvangabriel3592
    @silvangabriel3592 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda hio ya mirembe apelekwe nayeye mirembe

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuliwahi kua na spika moja mbovu sana😂😂😂😂😂😂

  • @jamilahabdallah8397
    @jamilahabdallah8397 2 ปีที่แล้ว

    Kweliiii upo vizuri

  • @nenolako8522
    @nenolako8522 2 ปีที่แล้ว

    Huwa nikisikiliza dua ya kuliombea Bunge, na baadae kidogo tu nikiangalia jinsi mijadala inavyoendeshwa. Nabaki nikisema moyoni ACHA MUNGU AITWE MUNGU tu.

  • @user-zl3le1wz2u
    @user-zl3le1wz2u 4 หลายเดือนก่อน

    Aliongeza bunge kwa manufaa ya taifa lakini kujiudhuru kwake si kwa manufaa ya taifa ila alifurahisha nafsi yake, sababu tumepoteza bandari.

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 ปีที่แล้ว +1

    Muwe na akiba ya maneno tu.jakaya alitukanwa weeee hakumjibu mtu.dugai nae pia ameshatukamwa Sana.lakini yote yatapita

  • @user-jn4zq3zm5o
    @user-jn4zq3zm5o 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa usidharau usiye mjua

  • @davidjohn5977
    @davidjohn5977 10 หลายเดือนก่อน

    Au kwa sababu ni omba omba,haya kati ya majizi na Ombamba unachagua nini?.Mimi ni Mgogo acheni dharau za Makabira.

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah yan kuna watu vyeo viliwalevya🤣🤣 leo chaliii..cheo dhamana ndugu zangu

  • @davidmwandiga3465
    @davidmwandiga3465 11 หลายเดือนก่อน

    Hamkuchaguliwa na wananchi mnaimba kura kwakutumi vyombo vya dola mungu atatoa hukumu ya haki

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t หลายเดือนก่อน

    Hajakosea ni kweli ni dhaifu

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huyu pwagu huyu hata atubu VP hawezi enda peponi kirahisi rahisi,natamani nimtie chupa ya Mirinda huyu,mxhiuuuu..

  • @JackSolomon-oy7kb
    @JackSolomon-oy7kb 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani uchaguzi uwe wa amani kwani mungu apendi fujo

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 ปีที่แล้ว +5

    RIP Ndugai, utangulie mapumzikoni huko

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +2

      Mmm kwani Uspika ndo Maisha tu??

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

      Kwani ivyo ndio kashakufa km hajakufa maneno yanaeeza kumuua akapata maradhi ata mapesa yake akakosa kuyatumia na kuinjoi nayo!

    • @scholaredwardo6383
      @scholaredwardo6383 2 ปีที่แล้ว +1

      Jaman msinichekeshe

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 16 วันที่ผ่านมา

    Hivi haya anayasikia kweli

  • @FromenaWilly
    @FromenaWilly 27 วันที่ผ่านมา

    Shida ni nchi kuegemea chama kimoja jamani

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 16 วันที่ผ่านมา

    G z ya tz itakuja maana wako wengi mtaan bila ajira

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว

    Nimegundua huyu ndugai ni mnafiki"hajampenda samia"mbona kipindi cha magufuli ameikubali mikopo?

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 2 ปีที่แล้ว +1

    Da ndugai uko vzur sana 🪴 2025

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว +1

    La proff Assad ndo lilinichukiza kama mtanzania

  • @josephyasata9017
    @josephyasata9017 2 ปีที่แล้ว +1

    Naona mnamponda utafikir mnajua Sana kuliko aliokuwa anakaa nao, vi clip vya mkato ndo mnakoment ujinga

  • @erickthom6308
    @erickthom6308 2 ปีที่แล้ว +1

    mimi nakuunga mkono kwa kila jambo

  • @TAMBIMEGELI
    @TAMBIMEGELI 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa maana sana job ndugai

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusom kuandik gusa pich yang hapo kama hautojl

  • @joune8260
    @joune8260 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya Sasa kinyozi umejinyoa! Ulikuwa unajiona nusu mungu kwa kauli zako za vijembe! Na hiyo Covid ulivyochanjwa mbona bado uliendelea kuugua tu. Nimependa ulivyotoka kwenye hiyo nafasi maana inahitaji mtu mzalendo zaidi na powerful brains!

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z ปีที่แล้ว

    We ulisema nchi itauzwa wakakutoa, shimo ulilochimba umefukiwa mwenyewe.ukowapi?.

  • @aminamnega1778
    @aminamnega1778 2 ปีที่แล้ว

    Kujiamini ni vizuri

  • @kkkbrotherskahixe6818
    @kkkbrotherskahixe6818 2 ปีที่แล้ว

    Iyo ya profesa Asad...

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwann watu hua mnaonaga mabaya tu? mazuri hayapo au

  • @boy-pq6ow
    @boy-pq6ow 11 หลายเดือนก่อน

    That is good

  • @kamotembaryo2283
    @kamotembaryo2283 2 ปีที่แล้ว

    Pole ndugai matamanio yagoma kuliongoza taifa

  • @neemajackson9876
    @neemajackson9876 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwan ndugai hajawahi Fanya jema mbona watu wanamsema sana🤔

    • @caesarmtebe544
      @caesarmtebe544 2 ปีที่แล้ว

      Mbona wewe hujaweka hayo mema maana yake si na wewe hujaona mema?

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 2 ปีที่แล้ว +1

    Wala huna bays ni vitu vya kawaida kabisaa walianza na magu wakaja na wengine list inaendelea wakimaliza tu tunakinukisha

  • @solomoneglesius9448
    @solomoneglesius9448 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ndege mjanja hunasa kwa tundu bovu😂😂😂 laana ya kumsingizia Yesu na muke yake😆😆😆

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli bunge la Ndugai ni dhaifu😅

  • @MwemaMichael-ge6np
    @MwemaMichael-ge6np ปีที่แล้ว

    Dugai ipo siku wanakuona huelewek ipo siku watakwelew me nakukubal sana ndo mana ulijiuzur mapem ulijua

  • @veronicamabinamasuka1755
    @veronicamabinamasuka1755 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa dugai

  • @alexmachare6495
    @alexmachare6495 5 หลายเดือนก่อน

    Hata kama hutaki nchi iuzwe kuna namna ya ku present hoja yako.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Hakuna aliyechaguliwa hata mmoja .Hawa ndiyo aina ya maspika tulionao Tanzania yaani wakanyaga katiba

  • @hamiduchingi2672
    @hamiduchingi2672 5 หลายเดือนก่อน

    Ndugai mimi ninakuelewa sana tazo watanzania tumezoa kuombwa ombwa tu atakama tunakosea au tunapokiuka maadili

  • @rasurmasoud5762
    @rasurmasoud5762 2 ปีที่แล้ว +2

    Uliamua kubeba yote ,maana Kuna ulio wabebea ndo maana ukaomba msamaa ukiwa umeyabeba yote

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว +1

    Badala ya kukaa na kumuomba muumba wetu awajaalie viongozi wetu waoo gone nchi kwa huruma na upendo

  • @mkombozikivamba8905
    @mkombozikivamba8905 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @vicentandrew1889
    @vicentandrew1889 2 ปีที่แล้ว +2

    mtazodowana wenyewe kwawenyewe

  • @tatianustihahilwa7169
    @tatianustihahilwa7169 11 หลายเดือนก่อน

    Kwakwer! Kujikweza kwa namna hii sijawai hona

  • @geneouscravery3428
    @geneouscravery3428 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @halisimediatz
    @halisimediatz 2 ปีที่แล้ว +2

    😃😃😃😃

  • @daphiadevencher7338
    @daphiadevencher7338 2 ปีที่แล้ว

    💞💞🔥🔥🔥🔥

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 หลายเดือนก่อน

    Kawachagua nani wakati mmekwiba kura

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 ปีที่แล้ว

    MILEMBE INAKUHUSU.BUNGE DESERVE BETTER SPIKA

  • @nazarimahamdu9524
    @nazarimahamdu9524 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nyinyi nizaifu Sanaa

  • @saidal-rawahi4564
    @saidal-rawahi4564 2 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 Kapatikana vibaya sana.

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmmh

  • @kulwamabula4983
    @kulwamabula4983 2 ปีที่แล้ว

    Malipo ni hapa hapa dunian, nakushangaa sana kulopokalopoka kwko umesaau ww kpnd ch magu aliekua analopoka bungen c ulikua unamfukuza

  • @user-jf3vp5zv5t
    @user-jf3vp5zv5t 4 หลายเดือนก่อน

    Sawasawa