Dah! Braza. Nimejikuta naweka simu chini napiga makofi, “huku kimeumana kashafaulu”. All the best brother, Mungu atakunyooshea njia mahala pengine, kwa mapenzi yake.
@@RamadhanAli I think you should do that coz you see disability in albinism. There is no disability in God's creation you need to think like a human not like white man, the colonizer of your brain.
@@BigZhumbe Don't force me to follow your way of thinking, you are talking about me following the White Man's way of thinking yet you're enjoying the benefits of a White Man's efforts and using the White Man's language? So stop the double standard and put yourself into your line. N hayo tu kwa sasa.
Jamaa nimempenda bure..! Yuko vizuri sana sema tu inchi hii imearibika na siasa za ovyo. Watu wa ovyo wanachaguliwa kwasababu ya mambo ya siasa na watu wa wazito wanaachwa kiza sio wa CCM. Pole yetu wa Tanzania
Mama nakusii ikikupendeza mtafutie pakutumika katika nchi yetu....Hii akili haijatumiwa bado....Wenye nafasi ya kusema hawana ya kusema na wenye ya kusema hawana pakusemea....
Hongera sana mh.Said Ndonge..mama atakutafutia nafasi yenye tija kwenye Taifa hili,,ili hayo mawazo na uwezo wako wa akili uutumie kuijenga na kuinufaisha jamii yetu ya Kitanzania!
Hebu bunge limfikirie mgombea kwenye nafasi zingine za uteuzi.Mgombea ana kibali kwa wananchi na bunge.Hata mm nampenda awe kiongozi.Ongela sana Ngoge Said Ndoge.
Mwomba ridhaa na sio mgombea. Ugombea ni ugomvi. Sisi hatutaki ugomvi. Kwa madarasa Mama kupiga sanaa. Bado chakula cha mchana. Mnyonge mnyongeni lakini Mama kupiga madarasa 15,000. Kaweka historia ya aina yake. Mwomba ridhaa uko juu kwa siasa za mdomoni.
Nampongeza mama kwa ujenzi wa madarasa kuipa heshima nchi.Pia umewapa heshima walimu kufundishia kwenye madarasa ya kiwango,nashukuru pia kwa kuwamini walimu kuwa wasimamizi wa ujenzi wa madarasa kazi imeoneka.Mama nakuombea kwa Mungu aendelee kukupa hekima,busara na maarifa kutuongoza Watanzania.Mpaka sasa naona 2025 huna mpinzani ndani ya Ccm na nje ya ccm.Ongela sana mama.
EJAMAAEEEEEH!!,,,, HIVI HAMJUI NI KWA NAMNA GANI NGOMA ZANGU NI KALI SANA,,, UNYAMA MWINGI,,, AAAAAH😂😂😂😂😂MTAKUWA MNAZINGUA NA MASIHARA MENGI... NJOOO KWENYE PAGE YANGU SIKILIZA UNYAMA AFU KUNIFOLLOW UTAAMUA WEW UKISHAONA UNYAMAAAA👏👏👏👏
Mh Ndonge s Ndonge Tunashukuru kwa kuutambua mchango mkubwa wa Mh Rais ktk madarasa hata ktk kata yako ya Bungu Ni wanufaika wakubwa wa hayo sisi na maji tumeongezewa ktk shule yako uliosoma msafiri
Mhe. Lukuvi anafaa sana kuwa Speak wa Bunge hili mana ana msimamo na anajua anafanya nini. Kwa upande wangu mgombea hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kusifia tu ila nampongeza kwa ujasiri wake.
icho kiti cha uspika anagombea yeyote ata huyu japo sio mmbunge Ata ww unaweza kikubwa kusoma na kuandika namambo mengine kama mwijaku alivoenda kuchukua fom
He is very strategic hakutaka uspika alitaka kutambuliwa and he made it... subirini uteuzi wake soon... proud of him. Tanzania tuna lots of talents,.
Very true imendeze mama tu
Dah! Braza. Nimejikuta naweka simu chini napiga makofi, “huku kimeumana kashafaulu”. All the best brother, Mungu atakunyooshea njia mahala pengine, kwa mapenzi yake.
Amina
Nilichofurahi ni kumuona mch gwajima, Mungu akutunze BABA
Jitu la MBINGUNI
Mm pia
Jamaa katoa pesa kachukua form kakosa uspika hajapata hasara,karudishiwa pesa aliyoitoa nakubwa zaidi kapata faida kubwa kwani amejitangaza nawatu wamemjua naserikali imemjua.Msije shangaa kapewa ukuu fulani...Hongera.Tengeneza mfereji upatapo fursa kama hii.
Jamaa kasha kuwa maarufu tayari dakika 14 zimebadili maisha yake tayari.👍
Ana confidence ......maashaaAllah Mungu akusinamie....baba Amiin
Great guy!!! I believe that disability is not inability, this guy has shown he is capable. Hilariously took the session with great confidence.
Why are you thinking of disability, who said albinism is disability??
@@BigZhumbe Do you even realise what you are talking about? Kindly enlighten yourself before involving yourself into such a topic.
@@RamadhanAli I think you should do that coz you see disability in albinism. There is no disability in God's creation you need to think like a human not like white man, the colonizer of your brain.
Very true
@@BigZhumbe Don't force me to follow your way of thinking, you are talking about me following the White Man's way of thinking yet you're enjoying the benefits of a White Man's efforts and using the White Man's language? So stop the double standard and put yourself into your line. N hayo tu kwa sasa.
Jamaa nimempenda bure..! Yuko vizuri sana sema tu inchi hii imearibika na siasa za ovyo. Watu wa ovyo wanachaguliwa kwasababu ya mambo ya siasa na watu wa wazito wanaachwa kiza sio wa CCM. Pole yetu wa Tanzania
Amazing Ndonge Said Ndonge wewe ni mkali ubarikiwe sana
Charisma of this man will make parliament active.
Mungu wambinguni Akujalie uzima na Afya njema kijana mwenzangu ulimavu wa ngozi sio Akili
Ameen
Mama nakusii ikikupendeza mtafutie pakutumika katika nchi yetu....Hii akili haijatumiwa bado....Wenye nafasi ya kusema hawana ya kusema na wenye ya kusema hawana pakusemea....
Dar
Duhh
❤
Askari kweli kweli et “ we ni chaguwe afu uone shuhuli “ 😂✊🏾🙌🏾
Jembe kweli kweli nichague halafu uone shuhuli
Nimependa maongezi yake mungu mpatie nafasi nzuri ya kazi nyengine yenye kheri na yeye
Allahumma Amiin
Hongera sana mh.Said Ndonge..mama atakutafutia nafasi yenye tija kwenye Taifa hili,,ili hayo mawazo na uwezo wako wa akili uutumie kuijenga na kuinufaisha jamii yetu ya Kitanzania!
Dakika 14 zimebadilisha maisha yake. Sema bongo nyoso sana....
Kama mkenya🇰🇪 nimependa anavyoongea maze wish him all the best
Love love him, Nitchague kwanza kisha uone shughuli.
Hahaaa
I truly love the orderliness with the tanzanians in such openess. Kenya Bunge, learn
Mimi mzaliwa kenya, na kwa ukweli nimefurahi kuona vile mnatafuta Umoja wa wanainchi 🙌🏾🙌🏾👍🙌🏾 HONGERA!!
Mashalah anafaa sana ana confidence
Ndonge anatufaa sana .mama tunaomba umpe kitengo HUYU mwamba ana kitu kwetu
HUYO LAZIMA AINGIE FAINALI KOMBE UWANJANI👍👍👍👍
He's the greatest confidence man✊❣️🙏
Hadi rahaaa mama amuangalie vizurii huyu anaweza kutufaaa ata kua mkuu wa wilaya
I am happy to see my fav former minister Sir Mwalukuvi,
Hebu bunge limfikirie mgombea kwenye nafasi zingine za uteuzi.Mgombea ana kibali kwa wananchi na bunge.Hata mm nampenda awe kiongozi.Ongela sana Ngoge Said Ndoge.
Hongera sana kiongozi unaweza
Wamempa hela halafu hakuna aliyempigia kura 🤣🤣🤣
Hiii ndio Tanzania tunayo itaka mm napenda sana nikiona watu wanafurahi hivo mungu awasaidie sana viongozi wetu muwe na amani hiyohiyo
Nice
Mungu amekuchagua kwa wakati wake sahihi
Anauwezo wa kushawishi.
Safi sana.
🤣🤣🤣🤣anaongea kwa cofides Sana akikosa uspika mama samia suruh Hasan amfikirie kwa nafasi nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣
I'm Thrilled, This Is Love.
Ndugu Ndonge Saidi Ndonge uko vizuri baba nyota inang'aa😂😂😂
Ana Akili timamu kabisa! Respect !👌👌👌🔥🔥🔥
Mwomba ridhaa na sio mgombea. Ugombea ni ugomvi. Sisi hatutaki ugomvi. Kwa madarasa Mama kupiga sanaa. Bado chakula cha mchana. Mnyonge mnyongeni lakini Mama kupiga madarasa 15,000. Kaweka historia ya aina yake. Mwomba ridhaa uko juu kwa siasa za mdomoni.
Mama mtu voo mungu azidi kumlinda 🙏
Wewe kwanza nichague kisha uone kazi yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We KWANZA nichague alfu uone shuguli😂😂😂
@MillardAyo “Mwomba Ridhaa” sio Mgombea🤣🤣🤣🤣🤣
Muomba rithaa Ndonge Said ndonge yuko vizuriii sanaaa 👏👏👏👏👏
Safi sanaa Mr.Ndonge umeupiga mwingi muomba ridhaaaaaaa
Nampongeza mama kwa ujenzi wa madarasa kuipa heshima nchi.Pia umewapa heshima walimu kufundishia kwenye madarasa ya kiwango,nashukuru pia kwa kuwamini walimu kuwa wasimamizi wa ujenzi wa madarasa kazi imeoneka.Mama nakuombea kwa Mungu aendelee kukupa hekima,busara na maarifa kutuongoza Watanzania.Mpaka sasa naona 2025 huna mpinzani ndani ya Ccm na nje ya ccm.Ongela sana mama.
EJAMAAEEEEEH!!,,,, HIVI HAMJUI NI KWA NAMNA GANI NGOMA ZANGU NI KALI SANA,,, UNYAMA MWINGI,,, AAAAAH😂😂😂😂😂MTAKUWA MNAZINGUA NA MASIHARA MENGI... NJOOO KWENYE PAGE YANGU SIKILIZA UNYAMA AFU KUNIFOLLOW UTAAMUA WEW UKISHAONA UNYAMAAAA👏👏👏👏
Jamani kama mmehesabu kama Mimi naomba like zangu🤗🤗
Nimefurahia confidence yake🤣
Anazingua, coz anaongea Joking kwenye jambo serious
Hapo pembeni ya mheshimiwa Msukuma namwona msanii wa bongo fleva KEISHA
Mh Ndonge s Ndonge Tunashukuru kwa kuutambua mchango mkubwa wa Mh Rais ktk madarasa hata ktk kata yako ya Bungu Ni wanufaika wakubwa wa hayo sisi na maji tumeongezewa ktk shule yako uliosoma msafiri
Mnapotezea watu muda afu mshaandaa watu wenu mnaboa sana ccm asee bs tu
Inasikitisha Sana yaani. Shida ndiyo hiyo, tunawekewa matikiti maji😓😥
Nchi ya kishamba sana
Kweli umetisha sana kamanda
NDOGE mama yetu fanya utupe mwamba huu nafasi yoyote atumikie nchi yetu
Allah akupemafanikio inshallah
Allahumma Amiin
Huyu jamaa alistahili kuwa spika kabisa. Angefanya jambo ktk bunge ili tufikie malengo jamani. Hivi Tulia si wale wale au?
Kweli wenye mengi ya kusema hawana nafasi ya kusema na wenye nafasi ya kusema hawana la kusema...dongo kwa wabunge walio wengi hilo kawapiga kiaina
Mhe. Lukuvi anafaa sana kuwa Speak wa Bunge hili mana ana msimamo na anajua anafanya nini. Kwa upande wangu mgombea hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kusifia tu ila nampongeza kwa ujasiri wake.
Lukuvi yupo vzr sana👏🏻👏🏻👏🏻
Naungana na mhe. Simon Mabula . Lukuvi anafaa nafasi ya uspika.
Kutunzwa kwa fedha ni kwamba anafaa au kamsemea Mama vizuri? Naona giza hapa
@@loishiyesamwel1374 kamsifia mama na wampendae mama wakamuunga mkono.
Anafaaa sana kama asingegubikwa na UDINI...
Ahsante kwa kuizungumzia Katiba mpya
7:34 Ndonge kaupiga mwingi hapa 🙌🏾😂🤣
Duh jamaa apewe yeye tu huyo akson aende uko
Nimefarijika sna kumuona Mch.Gwajma akiwa bungen,Mungu yu mwema
Ila Ndonge kapiga pesa sna kwa dakika 10
He is great man 👏👏
Sasa nimepata JAWABU ni wapi MANARA alipochukua ENGLISH COURSE 😁😁😁😁😀😀😀 Nawahakikishia huyu lazima atakua " MNYAMA "tu
Hna akir wewe wngne wanajb yakuhsiana na tkio we unajb mambo ya mpira ama kwel akir ni nywele
Dada ROSEMARY hivi unamaanisha "AKILI au AKIR?" Na kama ni AKILI basi nipunguzie wewe mwenye NYWELE nyingi......
AAFC ndio chama gani au ndio sarakasi za CCM
icho kiti cha uspika anagombea yeyote
ata huyu japo sio mmbunge
Ata ww unaweza kikubwa kusoma na kuandika namambo mengine kama mwijaku alivoenda kuchukua fom
Umeongea kwa uwezo mkubwa sana
Dah huyu anafaaa sana yaani yuko vizuri labda akose busara 👍👍👍😂😂
Wangempa Lukuvi tu
Yupo makini sana aisee
Ana comfidence sana lakini kaaambiwa ajielezeee anatoka nje ya mada 😁🥛
Huyu jamaa ni nouma sana
Hahahaha
Nimecheka mnooo.
banging kweli cab mboga msukuma anavuta bang hasa
Umetisha Kaka hiyo ni lugha
Jamani mliomchangia pia mpeni na kura muomba ridhaa ....mungu awabariki wote watanzania mlioguswa na bwana ndunge
Mweshimiwa Said Ndonge kapita tayar kwtu
Ila lukuvi anafaa kuwa spika hataki ujinga na unafiki maswali ya kipuuzi anayacheua
Bwana ndonge chama kimemponza 🙌🙌🙌
Ndonge amemaliza kila kitu mimi ni mkenya ila nimempitisha ✌
Hongera Sana muomba ridhaa
Hivi vyama kweli Ni vya CCM
Wamakonde mpo hea mnatak nchi kilazima
Hakuna makonde ambaye anataka nchi kilazima acha kuleta mambo ya ukabila
Ndonge ana madini kichwani anafaa kuwa mkuu wa mkoa
Kweli Kawa speaker
I love this guy
Wabunge wa ccm Mungu anawaona, mnawapa wagombea nafasi za kujiekeza wakati m ajua hawashindi😝😝😝😝😝😝😝🤣🤣🤣
Uyo anae rusha mikono ametanguria mbere ukute nyumbani mke wake akisema nipe mwiko uwo utakuta anagoma oya KAZI zakike izo apo anapo pigamapigo
Ujasiri A point hakuna anatafuta pa kutokea
Duuuh.. ebhana muomba ridhaa katixha kinomah nomah...😂😂😂
Issue serious mtu anapiga porojo tu hamna kitu hapa
Nimefurah saana ❤️❤️❤️
Mungu akubariki kwani sio kwakupenda kwako
Amepata fulsa ila ameshindwa kuitumia !!!😳😳
MASHAALLAH
Ndoge umetisha
Hahahahaaaaa maisha kucheka tu
Wee kwanza nichague halafu uone shughuli 🤣🤣Ndonge kiswahili kingi amekaa sana vibaraza vya karata na kahawa 🤣🤣
Tanzania ❤❤❤❤
Tunaomba utulivu zimekuwa nyingi lakini hakuna utulivu😂😂😂
Huyu mama sio mchawi kweli alouliza swali la kwanza kwa muheshimiwa?!
Huyu anaomba ridhaa au anaomba budhaa🤣🤣🤣🤣🤣
Wee nichague Huone Shughuri 🤣🤣 nimechukua ilo langu🤣🤣🤣🤣
😁 yupo vizuri sana, naimani ataonwa zaidi
Nimefurahi kumsikiliza