VURUGU BUNGENI MSUKUMA, MATIKO "JANABI AJIELEWE, ASHIKE BREKI, MAZIWA YAMELALA" POMBE KALI NI BALAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 240

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 หลายเดือนก่อน +22

    Msukuma Uko vizuri

  • @Lighttemba
    @Lighttemba หลายเดือนก่อน +13

    Safi sana mh. Msukuma

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +5

    Msukuma. Allah akulinde. Maashaallah. Unajitambua sana

  • @bonsondavid5756
    @bonsondavid5756 หลายเดือนก่อน +19

    Msukuma we ni proffeser,madini unayoyatoa ni fire,sauti ya Magufuli ipo ndani tunaisikia big up

  • @user-wl3bg9ed1l
    @user-wl3bg9ed1l หลายเดือนก่อน +14

    Mweshimiwa msukuma hongera na pia nakupongeza lakini jee mmepitilia kwenye vioski wamepata wapi vibali vya kuuzia pombe Kali watu Huwa wanatumia kutoka asubuhi

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 หลายเดือนก่อน +5

    Allah akuzidishie

  • @user-kv4zd2mz7y
    @user-kv4zd2mz7y หลายเดือนก่อน +5

    Msukuma kwa hayo Mungu akubariki

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 หลายเดือนก่อน +20

    Tafti ya msukuma naikubari,, sarutttti

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 หลายเดือนก่อน +6

    Ahsante sana Msukuma kwa kumwaga upupu,TBS hakuna uthibiti kazi ni kugonga mihuri.Cha msingi hapa ni sisi wananchi/wanywaji kususia hizo pombe za kigeni, acheni ulimbukeni kwa kujigamba unakunywa pombe za kutoka nje ya nchi eti utaonekana ni mtu mwenye uwezo wakati haufahamu kilichochanganywa humo.
    Kunyweni pombe zinazotengenezwa humu nchini,zipo bia zetu nzuri,pombe kali zenye ubora. Na sio uongo anachosema Msukuma hizi imported liquors nyingi sio salama mtaharibu figo,maini na kusababisha impotence kwa wanaume.

  • @jerryrugiga5157
    @jerryrugiga5157 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana msukuma unatuwakirisha vyema

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 หลายเดือนก่อน +7

    Daktari msukuma tumesha chelewa kaka ningumu Sana kwasasa

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi หลายเดือนก่อน +10

    Wabheja sana nsukuma mwichane🎉🎉🎉love you 😍 ❤️ 💖

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 5 วันที่ผ่านมา

      Onsukuma ng'wiyo jinga sana! Ahale mbehi o-mpina, nadarahile sana, ontwe gwakwe hamo gomadekile mashi, ali dogohaya genehe?

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 หลายเดือนก่อน +3

    Tusemee tusioweza kupaza sauti ikasikika.
    Mwenye Sikio na asikie
    ❤❤

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 หลายเดือนก่อน +12

    Msukuma hoyeeee

  • @saramartine7330
    @saramartine7330 หลายเดือนก่อน +2

    Mm mwenyewe namuelewa sana kwakweli Mr Janaby

  • @ChimolasiniourMagawa
    @ChimolasiniourMagawa หลายเดือนก่อน +9

    Hongera mh kasheku mtani wangu. Huwa nakukubali sana ndio wabunge ninao wataka waaina yako

    • @pablomuyu1670
      @pablomuyu1670 หลายเดือนก่อน

      Unawataka wewe kama nani ??

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r หลายเดือนก่อน +3

    Asnt sana ubarikiwe

  • @ramadhanabdul2297
    @ramadhanabdul2297 หลายเดือนก่อน +9

    🎉huyu ndo msomi pekeee bungeni

  • @edsonsalvatory5121
    @edsonsalvatory5121 หลายเดือนก่อน +4

    Msukumu is very genius❤

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 หลายเดือนก่อน +6

    Ndio shida yetu watalamu wetu hatwatumii , wazungu hawawezi kutupenda kama munavyokuwa munazani wataraamu amukeni .

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 หลายเดือนก่อน +3

    Daaa! kwaupande waushoga watoto wetu wanangamia kwakweli bora hatamusukuma umesema

  • @MartinGao-pq3ed
    @MartinGao-pq3ed 9 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana musukuma

  • @MONEY_CHANNEL.
    @MONEY_CHANNEL. หลายเดือนก่อน +6

    Prof Janabi Said it Right! If you think it is a joke, Keep ignoring it as Ignorance is expensive than Education

  • @omaryshafii1284
    @omaryshafii1284 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli wazungu wanaajenda mbaya sana kwetu tuaiposhituka tutakwisha hongera msukuma mungu azidi kukuongoza

  • @khamisihamadi629
    @khamisihamadi629 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana

  • @ngosimabwai322
    @ngosimabwai322 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli kaka chanjo zimezidi sanaa😢😢

  • @MelkioryDigha-ry8nu
    @MelkioryDigha-ry8nu หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa jembe sana safi dah

  • @chrismkama4889
    @chrismkama4889 หลายเดือนก่อน +2

    Kama si siansa, Bunge liombe ushahidi wa kisayansi kuhusu alichokisema janabi kiletwe tena bungeni ikibidi aje aeleze mbele ya Bunge kama waliyomkosoa hawatahaibika.Wabunge jifunzeni kunyamaza kama hamna uelewa na kile kinachozungumzwa na wataalamu waliyosoma kwa miaka mingi vyuoni na kuhitimu.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +13

    Ila kwa Dr. Janabi. Anaeleweka sana anafundisha vizuri ukimsikiliza utaishi vixuri bilaya maladhi maashaallah. Janabi Allah akupe umri wenyeheri nawe❤❤

    • @judaspantaleo9779
      @judaspantaleo9779 หลายเดือนก่อน

      Ndio lkn kwa kundi frani la wenye nacho hakuna faida kwa maskini kwa maelekezo yake

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 หลายเดือนก่อน

      Msukuma ameeleweka kwa wenye akili kubwa tu, mafundisho ya Dr. ni general sana na yanatia hofu hata wasio husika! Awe mahususi!

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow หลายเดือนก่อน +1

      ​@@judaspantaleo9779so kweli dada masikin hawez kosa maharage mboga za majani tena Mimi imenisaidia sanaa

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow หลายเดือนก่อน

      Sanaaa

    • @MahmoudMohamed-gx1fk
      @MahmoudMohamed-gx1fk หลายเดือนก่อน

      Dr janabi anafafanuw vzr kwa kila aina za watu na kazi zao vp waishi

  • @AllyAllyRamadhani
    @AllyAllyRamadhani หลายเดือนก่อน +1

    Upo vizuri sana kweli

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน +7

    Tanga kuna watu bora sana,waaminifu sana,hawana tamaa, wataendelea kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi hii, ni watu sahihi. Amen

    • @thinktwice7176
      @thinktwice7176 หลายเดือนก่อน

      Hoja yako ya mahali inakujaje hapa

    • @hakihaki2154
      @hakihaki2154 หลายเดือนก่อน

      Yanga na Zanzibar tofauti yao ndoho Sana ubinafsi 😂😂😂

  • @barikielisulle9300
    @barikielisulle9300 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi ni mpinzani ila msukuma kawapiga chini wasomi wa nchi hii maprofesa mpo tu mnapiga makofi bungeni.. Anahoja ya msingi.

  • @Bareboy-fx9so
    @Bareboy-fx9so 10 วันที่ผ่านมา

    Nzuri ndugu

  • @nurulukali4291
    @nurulukali4291 24 วันที่ผ่านมา

    Safii sanaa,, unapoint babaaa😢 ,,viongozii wafanye ytafti ndani ndan huko nd kuna mambo

  • @ibrahimkasim922
    @ibrahimkasim922 หลายเดือนก่อน +3

    Unafaa kuwa waziri ❤❤

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 หลายเดือนก่อน +2

    Bunge limechangamkaaa fact kama hizi ndo tunazozihitajiii mtaani pagumu wakuu watu wako na hali ngumuuu😢🫶🏿

  • @Yerevandayizoh
    @Yerevandayizoh 18 วันที่ผ่านมา

    Umetisha

  • @johnmichael-zg6sd
    @johnmichael-zg6sd หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee n daktar kabsa

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 หลายเดือนก่อน

    Aisee hii nimeipendaa..

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 หลายเดือนก่อน +2

    Wape ukweli chpsi mjini bwana,wakulima wapi na wapi

  • @user-og2hm6fk7b
    @user-og2hm6fk7b หลายเดือนก่อน +1

    Musukuma uko sawa, ila Janabi naye yuko byeee na elimu ya afya, muache atufun dishe afya

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc หลายเดือนก่อน

    Mwamba huyu hapaaaa❤❤❤

  • @flomenamvungi988
    @flomenamvungi988 หลายเดือนก่อน

    Mzee uyu yupo vzr

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 หลายเดือนก่อน +1

    MSUKUMA HONGERA SANA. HIZI CHANJO NA POMBE ZIFANYIWE TAFITI

    • @bennygwasa4563
      @bennygwasa4563 หลายเดือนก่อน

      Msukuma ana akili sanaaaa

  • @jerryrugiga5157
    @jerryrugiga5157 หลายเดือนก่อน +3

    Umenigusa sana kwenye swala la chanjo na kutahiri watu

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi aisee huyu jamaa ni mtu na nusu

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 หลายเดือนก่อน

      Ila watu kama hawa ni kama hawathaminiwi, ila huyu kaka ni lulu kweli. Ameongea mambo kontu

  • @allysaidallysaid4530
    @allysaidallysaid4530 หลายเดือนก่อน +7

    mimi ningekuwa mbunge nanipo bungeni ningeomba kiti changu kiwe karibu na msukuma😂😂😂

  • @joshuakobe6619
    @joshuakobe6619 หลายเดือนก่อน

    Hajamuelewa Prf. Janabi

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 หลายเดือนก่อน +1

    Naona wakevi mnakuwa wakali musuku kugusa pombe zenu.Mpaka mnamtukana,tena hizo pombe ziondolewe kabsa,hazina faida kabsa.

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 หลายเดือนก่อน +1

    Changamoto sio maprofesa tu hata hapo kwako. Mmmm sijawapata kabisa. Rushwa urasimu. Vyuo shuke wanasakili maelfu ya wanafunzi kwa lisaa lakini ardhi itatembea miaka bilakupata umiliki wa ardhi. Bank hakuna mikopo kwa wanyonge... Utafuti unahitajika lakini kuwa na watunga sera hai na Serikali hai

  • @VenaEliki
    @VenaEliki หลายเดือนก่อน +1

    Yaan wabunge mnaacha mambo ya bima ya afya nilijua mtakataa ghalama za bima kupanda mnazungmzia kadi za watoto

  • @HappyKiteboarder-du9th
    @HappyKiteboarder-du9th 28 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni Zaidi ya wabunge wote bungeni hongera sana upo vzr nchi inahitaji iwe na wakina msukuma Kama wewe mfike 100 tutafika mbaki

  • @selemanikazingini5566
    @selemanikazingini5566 หลายเดือนก่อน

    Msukuma ni msomi kweli kweli
    Ni afadhali ya msukuma aliyesoma informal education

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana maukuma.hizi chanjo zimezid balaa

  • @user-qt5tx7xu8f
    @user-qt5tx7xu8f หลายเดือนก่อน

    Safi.sana msukuma

  • @julyodette6945
    @julyodette6945 หลายเดือนก่อน

    Papai la njano nje ndani kugumu kama maisha ya mtanzania wa kawaida☹️
    Hatuna vyakula vya asili masoko yamejaa matakataka tu matunda holaaa nafaka ndo usiongee mifugo huko ndo full michanjo 😭😭😭 huko mbele ni taabu tupo

  • @emmanuelsalala-xu1xj
    @emmanuelsalala-xu1xj หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa lakini serikali,haichukui hatua hizo chajo ni nyingi muno

  • @LukaLazaro-fd1kr
    @LukaLazaro-fd1kr หลายเดือนก่อน +1

    sukuma 1

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 หลายเดือนก่อน +4

    wewe msukuma kweli , hujamuelewa prof. msikilize tena vizuri. sio ujazo wa chakula kula ubora wa chakula , na aina yake. haya asbh uji, mchana ugali ,usiku wali/ugali tena kula kwa mwaka huku unalima au zaidi lazima mwaka unafuata unapiga hodi MNH unabisha endelea . na unachokilima kipo gharani halafu NHIF imeota miguu

    • @yohanamkaga5230
      @yohanamkaga5230 หลายเดือนก่อน

      Ni mawazo Yake na wewe unaweza changia. Lengo la msukuma siyo kupingana na janabi ila anajaribu kuconect swala la chanjo, madawa vyakula na kinywaji vinavyoingizwa inchini vifanyiwe utafiti.. wewe ndo hujamuelewa msukuma

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 หลายเดือนก่อน

    Viwanda bubu ni vingi sbb
    Ya urahisi wake wa kutengeneza spirit na ladha ya chakula tu tayari pombe suala la kifo watu hawana huruma siku hizi,bora umewaeleza ukweli.

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Msukuma oyeeeee

  • @Ndushikayungilo722
    @Ndushikayungilo722 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika msukuma wewe ni mbunge wa taifa hakuna siku uliyofeli kwenye hoja za msingi, hongera kiongozi

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 หลายเดือนก่อน

    Musukuma na DP world oyeeeee

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani sasahivi watu tunaumwa magonjwa hayaeleweki!inasikitisha sana!

  • @MathiasMusobi-ob9cn
    @MathiasMusobi-ob9cn หลายเดือนก่อน +1

    Yaendelee kutolewa maelezo kwa kina juu ya madhara mbalimbali ya afya

  • @user-re3ww2sg8w
    @user-re3ww2sg8w 5 วันที่ผ่านมา

    Nan kama uyo mbunge apo bungen hakuna wengne machawa

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 หลายเดือนก่อน +8

    Hapoo chukua maua yakooo bila kificho umeongea vyema mnooo

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 หลายเดือนก่อน

    Kweli mtani wangu tunakula na kunywa vitu vya hovyo sana siku izi yani magonjwa matupu

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 หลายเดือนก่อน +7

    Acha kupoteza maana wewe prof:Janab anaeleza vitu vya ukweli.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +1

    Hapo prof Janabi aliongelea hasa watu wa mjini lakini MTU WA kijijini .nchi za kiafrica tunaangalia fedha hao watakuja maliza watu eti wafadhili watu wa serikali wakisikia mradi wa Una fedha wapombele kukimbilia miradi u jinga

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @user-wh7gj9ug9s
    @user-wh7gj9ug9s หลายเดือนก่อน +1

    Kweli msukuma chanzo,na na hujo janabi hapana lazima tule tushibe na chanjo

  • @backrissmgayamgaya749
    @backrissmgayamgaya749 หลายเดือนก่อน

    Safiii

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 หลายเดือนก่อน

    Msukuma mbunge kula tano iyo ✊👊

  • @user-so1ci1mv6x
    @user-so1ci1mv6x หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana msukuma huo ndio uzalendo, nchi hii haina utafiti

  • @mr.mchambuzitv5293
    @mr.mchambuzitv5293 4 วันที่ผ่านมา

    Dable kick smati jini zina uwavijana ukudani selikali tuwe makini na taifa linaangamia

  • @user-rt1wd2le6n
    @user-rt1wd2le6n หลายเดือนก่อน

    Ila huyu kaka jaman yuko vzur atafka mbali jaman kumbe dunia imekwsha hyo jaman TBS tusaidien tunakwsha😭😭

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 หลายเดือนก่อน

    Msukuma yuko sawa! Misaada ya mabeberu ni ya kuogopa kama ukoma. Mingi ina masharti nyuma ya pazia inalenga matakwa yao ya kipepo!

  • @lusane_village_maasai_home
    @lusane_village_maasai_home หลายเดือนก่อน

    😊😊

  • @aquinastera7404
    @aquinastera7404 หลายเดือนก่อน

    Taarifa 😅😮 Pombe 🍺 🤖 mteja 😂

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni zaidi ya pr.

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 หลายเดือนก่อน

    Wape vidongevyao

  • @33rmajaliwa
    @33rmajaliwa หลายเดือนก่อน

    Hizo ni agenda za utekezaji wa vizazi vyetu
    Viongozi tunaomba msimamie uchunguzi ikiwezekana kuzuia kabisa

  • @anthonytido
    @anthonytido หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @salcle9702
    @salcle9702 หลายเดือนก่อน +2

    Kuku wa kisasa na mayai ya kisasa

    • @alexmatt9504
      @alexmatt9504 หลายเดือนก่อน

      Hilo nalo ni janga,kwa sababu dawa na sindano wanazolishwa hawa broilers na kukua kwa muda mfupi lazima mlaji utapata madhara.

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 หลายเดือนก่อน

    Msukuma umeongea kweli kabisa waamuwe tu kupuuza lakini hali ni mbaya

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 หลายเดือนก่อน

    Kusiliza bunge la Tanzania ni bora kumskiliza Makonda hanapont ya msingi

  • @frankkitosi732
    @frankkitosi732 หลายเดือนก่อน

    Sema msuma

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 หลายเดือนก่อน +3

    Utafiti ni kitu muhimu na ukisubiri serikali ikutafitie utangoja sana na huenda utapitwa na wakati Kula kidogo hakuna madhara na kuna faida kubwa kiafya (one mill a day )na tutumie chakula kama dawa mboga mizizi na nafaka.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Hakika msukma anatakiwa kuwa wazir wa afya Ummy hafai kabisa jaman kizazi kinateketea tukiona hiv kweii Tukimbilie WAPI.

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose หลายเดือนก่อน

    Msukuma mtani wangu Ukosawa. na hayo unayosema. Tatizo tunalo kubwa ni asilimia kubwa ya hao viongozi ni wanachama wa chama cha nchi za magharibi. Kwa hio wana tekeleza walio kubaliana ndani ya mikataba yao! Ujue msukuma hayo yanayo fanyika ni kwa rithaa ya mtu m'tu mmoja sio rithaa ya umma! Na utambue msukuma ni Mkoloni wa nchi za africa ni viongozi wa nchi za Africa!

  • @GodfreyNefary-mq5gr
    @GodfreyNefary-mq5gr หลายเดือนก่อน

    Huwa sijutii kumaliza bando langu kimsikiliza msukuma kwa hakika hongera Sana msukuma ukiambiwa wanao kunywa pombe wanaakili unabisha kuna mijutu bungeni imekaa tu kama mizigo hatasikii wakichangia chochote inafikilia muda wa posho ufike basi 💉💉💉

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 หลายเดือนก่อน

    Yaaap,maana hizo machanjo,hazifai kabisaaaa.JPM Alipima papai kama litakuwa na corona.

  • @user-bo2mx9dy6v
    @user-bo2mx9dy6v หลายเดือนก่อน

    Uyu msukuma siangekua President

  • @NasriRashid-bv7zp
    @NasriRashid-bv7zp หลายเดือนก่อน

    Msukuma kazungumza jambo ovu kubwa LA pombe ni nikweli kuna pombe inatengenezwa na mchanganyiko wa spirit na kuna ile Dawa inayotengenezea sabuni ya magadi na nyingine wanatia jiki ya kutakasia Nguo, Mimi haya nimemsikia msambaza Wa pombe ambae alikua anamuuzia mteja wake dukani

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน

    Kweli msukuma unaongea point HUYO hafai kabisa ndio maanavifo vinazid haongei lolote. Anatetea WaTanzania Ummiy sii mtu mzur kabisaaaaaaaaa

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 หลายเดือนก่อน

    Kwa magufuli cooker hazikuepo alizifuta ndo viroba na double punch hz hzo

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 หลายเดือนก่อน

    Kizazi cha sasa kimefunikwa uwezo wa kifikra kuweza kuchambua mambo ya kuambiwa..hivyo basi Miongozo iliyo bora inahitajika sana..

  • @LisunguKipigapasi
    @LisunguKipigapasi หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 หลายเดือนก่อน

    Hakuna wakutugombanisha na janab harafu msukuma huwez kulinganisha uwezo wako na janab kwenye mambo ya afya

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 หลายเดือนก่อน

    Profesa Janabi anasema kukeni kulingana na Kaz mnazofanya