Chozi la Baba Kwa mwanawe ni laana kubwa Sana mtoto ..mzazi nni mzazi Tu hata awe mbaya aje atabaki mzazi...eeh mwana skiza nakuambia saidia babako naye pia afurahie siku zake zilizobaki huku duniani na akubariki...😢😭😭
Anaingea vizuri lakini ndo ajifuze kutelekeza mtoto ni jambo baya sana kisha unaludi kwa mafanikio sio kweli ata kama mama ndio mmekwazana tembelea ata watoto
Historia ya maisha ya watu ni fumbo la maisha.. kwa nini hamsaidii sababu na ukweli wanaujua wao na mungu wao.. maana hapa kila mtu anajua alipotoka na sio kila kitu cha kuweka wazi.. mambo ya malezi na makuzi ya wazazi kwa watoto wao yana mikasa mingi.. ila ukiona umejaliwa moyo wa kusamehe na kusahau ya nyuma na kuwatendea mema waliokufanyia mabaya basi mshukuru mungu na Yule asiyeweza endelea kumfanyia ibada mungu amfanyie wepesi moyo wake.
Uyo n bbke diamond kbsa n wamefanana...ila tatizo wanamama waliowengi km wamegombn n waume zao wanawambukiza ugonv wao watoto...hvo bas uyu mama diamond amemwambia diamond maneno maneno ya uchonganish kbsa ndio mana diamond yuko hvo....na hvo ndio ilivo mwanamke ukizaa nae ukiachana nae kikubwa cha kusubil n kukuchafua tu
Mimi naona Diamond angemsaidia saana huyo mzee iwe ni baba ake au siyo baba yake, ila kitendo cha kumkojoza mama ake miaka yote hiyo, ni heshima kubwa saana, kwahyo anatakiwa aheshimu hilo tu
Laana zinazidi kumbana Japo unahitwa baba mlezi Léo lakini nguvu zako na jasho lako mzee kesho litaongea mbele ya mungu usijali mungu mkubwa yupo anaona wote yanaofanyika pôle mzee
Ina maana Diamond, huyu mzee umekaa naye miaka yote hiyo hakuna jema lolote amekutendea, hao mliokutana tu ukubwani unawapa magari huyu mzee vipi,,,mpe ndinga,,umekula vyake,,lzm,hata kama sikuwepo,,haiwezekani mtu anaishi na mama yako tangu unazaliwa hadi form two,,,alafu ujala vyake,,,lipa fadhila
Huyu ni Baba mlezi na sio mtu mwenye shida ana nyumba mbili ila shida ni starehe na ujana mwingi .Hata yeye alikuwa na magari starehe zikamponza ,na Diamond anamjua vizuri sana hawa ni aina ya wazazi hata umpe nini shida haziishi maana ujana upo mbele.Hata apewe hilo gari itaishia wanawake mwisho juu ya mawe
@fatumahapesamohamedfatumah4633 Ulikuwepo wakati ujauzito ukiingia maana unashabikia kama unauhakika wa kweli acheni unafki kujitia mnajua ukweli wa kila kitu .Huyo kamlea lakini sio Baba mzazi. Au uliwafanyia DNA ?
Halafu umepata wapi ujasiri wa kunitukana,am sorry hapa tunabishana kwa hoja sio matusi,coz kama ni matusi mm familia yangu haijui matusi,pole sana mungu akupe ufahamu na macho ya kuona mbele 🤣🤣
Mzee uliongea sana ikafikia adi kuzitupa pesa za simba na kusema asitumie jina lako tna hya sasa tena unarudi kuomba ingawa mzazi hanuniwe lkn mzee ulijua kuzunguka na kumchafua simba wakati ugomvi wenu ni wa wazazi wawili😢
Hii mond iangalie kwa kina xana kuna watu wanatamani kuwaona baba zao wakiwa hai kama hiv ila hawakuwaona so wewe kama mtoto wakiume litazame hil achana na ugomv wawazi utapata laana
Usisikitike mzee, Bodyguard alizawadiwa Gari Wiki iliyopita na juzi Zuchu kazawadiwa Gari pia, huyo Bodyguard kabahatika sababu Mondi alitaka kufunika kashfa za kua amemuhonga Hawara yake Zuchu Gari, hiyo yote ilikuwa ni njia ya kufunika maneno
DANGOTE FUNGUA MOYO ..MNUNULIE BABA YAKO KITU CHA KUMFURAHISHA UPATE BARAKA. HATA KAMA NI BABA MLEZI SAWA HATA KAMA NI MZAZI...FUNGUA MOYO BWANA MDOGO HII DUNIA NI DUARA
Duuuu masikini huyu baba! Yaani sauti ya huyu baba inafanana na sauti ya diamond kabisa. Hata kama kamlea anashindwa kumsaidia kama anavyowasaidia wengine kweli?
@leokamil6284 wewe naye Vipi kwani nani aliyesema ni baba wa diamond? Hebu soma vizuri nilichokiandika hapo kama Kuna sehemu nilipoandika ni baba! Kama hujasoma vizuri usiwe mwepesi kujibu kitu ambacho hujakisoma vizuri.
Hili liwe funzo kwa wale wazee wajinga wajinga, wanafki wanajizima data humu, tuangalie maisha yake na nasibu na mamake kipindi mama na mtoto wanasota, na mzee alikuwa na mali na macheni anakula bata ikumbuke alitamka sio mtoto wake, akatupa dhahabu, mondi kumshughulikia ni hiari, hana ubaba wa kufikia laana. Na msije ropoka humu kumbe mtu hata hajui mzazi wake alikwenda chooni lini.
Ni bora mzee akakaa kimya akamwachia Mwenyezi Mungu
@@saidsuleiman1753usimlaumu Anajitefutia pesa za kuishi tokea kwa Media, anapewaga laki moja kwa kila Interview na ndiyo hulipia nazo kodi ya nyumba
Kwl kabsa.Mungu ndo anajua kila kitu
Kuna muda ina muuma kama mzazi
Chozi la Baba Kwa mwanawe ni laana kubwa Sana mtoto ..mzazi nni mzazi Tu hata awe mbaya aje atabaki mzazi...eeh mwana skiza nakuambia saidia babako naye pia afurahie siku zake zilizobaki huku duniani na akubariki...😢😭😭
Mzee Abdul anajua kuongea vizur great sana, maneno yenye ustara na heshima
Anaingea vizuri lakini ndo ajifuze kutelekeza mtoto ni jambo baya sana kisha unaludi kwa mafanikio sio kweli ata kama mama ndio mmekwazana tembelea ata watoto
Historia ya maisha ya watu ni fumbo la maisha.. kwa nini hamsaidii sababu na ukweli wanaujua wao na mungu wao.. maana hapa kila mtu anajua alipotoka na sio kila kitu cha kuweka wazi.. mambo ya malezi na makuzi ya wazazi kwa watoto wao yana mikasa mingi.. ila ukiona umejaliwa moyo wa kusamehe na kusahau ya nyuma na kuwatendea mema waliokufanyia mabaya basi mshukuru mungu na Yule asiyeweza endelea kumfanyia ibada mungu amfanyie wepesi moyo wake.
Huyu mzee kiroho yupo vizuli. Lakina atakikufanya ibada. anapenda ujana. Allah akuongoze mzee wetu🤲
Umejuaje km hafanyi ibada
@humbleshoal anaefanya ibada utamjuatu kaulizake na mavazi yake kwaniibada yakiislam humbadilisha mtu inampamba na mambo mema
Hongera sana baba abduli nasibu ,umeongea vzuri sana mana ww ni mtu mzma
Kwani queen darling Ako wapiasaidie baba
Mzee ni mtulivu saaaana 😊
Dah inahuzunisha sana hata kama mshua alikosea adhabu uliyompa kumtenga zaidi ya miaka 15 inatosha saizi amuhudumie mzee apate baraka kwa Mungu
@@AgiripinaNisiphory dah inaumiza sana aisee kwa pesa alio nayo Mond alafu baba mzazi yuko ivi ata aeleweki kabisa duuh😭
Balaka gani pesa za kisweitwani
Huyu mzee anabidi awe na podcast mtu wa stori sana 😂😂 l love him .. he seems like he can talk lots of stories
Anaongea kama mwanae
Uyo n bbke diamond kbsa n wamefanana...ila tatizo wanamama waliowengi km wamegombn n waume zao wanawambukiza ugonv wao watoto...hvo bas uyu mama diamond amemwambia diamond maneno maneno ya uchonganish kbsa ndio mana diamond yuko hvo....na hvo ndio ilivo mwanamke ukizaa nae ukiachana nae kikubwa cha kusubil n kukuchafua tu
Kafanana sana na diamond mpaka sauti wanawake sisi jamani
Hiyo huruma anayotamani aonewe ...yeye alimuonesha Diamond alipokua mtoto ?
Malipo ni hapa hapa
Hongera baba
Mimi naona Diamond angemsaidia saana huyo mzee iwe ni baba ake au siyo baba yake, ila kitendo cha kumkojoza mama ake miaka yote hiyo, ni heshima kubwa saana, kwahyo anatakiwa aheshimu hilo tu
Mzee Kisha kavaa shanga na chain ....
Tupige mstari neno MZEE
Bigappu mzee wangu utalipwa na allah
Mzee ana mengi sana ya kuongea ila kumbe alishakatazwa kuongea, afu nnachoona mim ajapata mtu wa kumhoji!!!😢
Laana zinazidi kumbana Japo unahitwa baba mlezi Léo lakini nguvu zako na jasho lako mzee kesho litaongea mbele ya mungu usijali mungu mkubwa yupo anaona wote yanaofanyika pôle mzee
Ila mzee anaongea vizuri sana kuliko wazee wengi sana wasasa
Rudi kwa ALLAH we mzee,acha kuvaa cheni,andaa akhera yako ajili ya maisha ya milele, diamond kukutenga huenda ni kheri kwako.
Acha ushamba Cheni inahusiana Nini na allah
Kafanana na mwanae
Yaani huyu NASSIB ABDUL LAANA INAKUTAFUNA yaani baba yako anasema hata ukimpa baskel da huyu kijana ana laana
Huyu mshua msela sana 😂 l like him .. he cool pipo sana msela sana
Ina maana Diamond, huyu mzee umekaa naye miaka yote hiyo hakuna jema lolote amekutendea, hao mliokutana tu ukubwani unawapa magari huyu mzee vipi,,,mpe ndinga,,umekula vyake,,lzm,hata kama sikuwepo,,haiwezekani mtu anaishi na mama yako tangu unazaliwa hadi form two,,,alafu ujala vyake,,,lipa fadhila
Umezaa nao kumbe kweli wale ndugu zako
Daah. Diamondi utapata razi kubwa sana
Hapati razi ng'oo, sio babake mzazi
Huyu Baba Nassib Anabusara sana
Wazazi wapendeni watoto wenu na muwalee kwa mapenzi makubwa ili watoto wakikua wakumbuke malezi na mapenzi yenu. Muangalieni mzee Abdul ni mfano tosha
Free mason hawaowagi mpk afe kama maiko Jackson
Ni mfano tosha kwa akina mama wanaharibu watoto wamchukie baba wapendwe wao!
Anaongea tu ila anaumia sana mtt keshawekewa sumu na mamayake mh mm nainavyosemekana kalambishwa sio rahisi aache kumsikiliza mamaake
Huyo mzee anaijua siri yote diamond alifanya kitu gn na mamake sema hataki kusema ila ipo siku atasema
Ukiisiliza saut ya huyu mzee inafanana kabsa na diamond hauna baya mzee
Mzee Abdul kaza huyo mwanao jeuli inatoka kwa mama yake
Ucijali mzee wangu MUNGU anakuona ucijali ipo siku yako muache atambe namali hizo sio ki2
Diamond ni dini flani ok tumekusoma mzee
Huyu ni Baba mlezi na sio mtu mwenye shida ana nyumba mbili ila shida ni starehe na ujana mwingi .Hata yeye alikuwa na magari starehe zikamponza ,na Diamond anamjua vizuri sana hawa ni aina ya wazazi hata umpe nini shida haziishi maana ujana upo mbele.Hata apewe hilo gari itaishia wanawake mwisho juu ya mawe
C kwl ni Babake mzazi.Wameamua tu kumdhalilisha huyu baba.Ila Mungu analipa wakae wakijua hilo.
@fatumahapesamohamedfatumah4633 Ulikuwepo wakati ujauzito ukiingia maana unashabikia kama unauhakika wa kweli acheni unafki kujitia mnajua ukweli wa kila kitu .Huyo kamlea lakini sio Baba mzazi. Au uliwafanyia DNA ?
Mondi mtupu yani
Diamond mashart ya freemason ndo sababu
Nasibu muangalie baba Jamani baba ana upendo na wewe
Unamlazimisha
Huyu ni babaake mzaz kabisa lakn Diamond hana roho nzur, sijui nd mashart kapewa na hao Freemason
Wewe kuwa na roho nzuri
@stephenmsanzu9850 ww mkundu nn kamwambie mamaako mzaz hvyo, au nd ww ambae kundu la mamaako mzaz lilikuzaa
@ShaulizSeleman ama kwa kweli kipofu haoni mbele
Halafu umepata wapi ujasiri wa kunitukana,am sorry hapa tunabishana kwa hoja sio matusi,coz kama ni matusi mm familia yangu haijui matusi,pole sana mungu akupe ufahamu na macho ya kuona mbele 🤣🤣
😎
Mzee uliongea sana ikafikia adi kuzitupa pesa za simba na kusema asitumie jina lako tna hya sasa tena unarudi kuomba ingawa mzazi hanuniwe lkn mzee ulijua kuzunguka na kumchafua simba wakati ugomvi wenu ni wa wazazi wawili😢
Mzee mbona asije wcb tuimbe sote
tusiwakimbie watoto faida yake utaiona ukiwa mzee
Diamond hawezi kuoa masharti ya Fremanson hayo
Mzee unajichora we kaba jifiche
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi kwaio ndugu zangu tukumbuke kuwakumbuks wazazi wetu,,
Kwan huyu ndo baba mzaz wa Diamond au mlez
Baba ake mzaz huyo sio mlezi
👊👍✌️
Wanawake sio watu wazur pengine hata ni huyo mama anamwambia usimsaidie babako😢
Kwl kabsa
C yule kwini daling c mtoto wake nae c amsaidie baba ake
Diamond akivaa kofia kama aliyovaa mzee wanafanana copyright
Wewe nizazi usiyamari yote. Mapenzi hayaingiriwi wawili wakipendana. Adui hana nafasi
Huyu babaake mzazi ulimwengu tu binadamu noma akapime nae DNA
Mond na mamake wote Wana rahana
Hii mond iangalie kwa kina xana kuna watu wanatamani kuwaona baba zao wakiwa hai kama hiv ila hawakuwaona so wewe kama mtoto wakiume litazame hil achana na ugomv wawazi utapata laana
Usisikitike mzee, Bodyguard alizawadiwa Gari Wiki iliyopita na juzi Zuchu kazawadiwa Gari pia, huyo Bodyguard kabahatika sababu Mondi alitaka kufunika kashfa za kua amemuhonga Hawara yake Zuchu Gari, hiyo yote ilikuwa ni njia ya kufunika maneno
Freemason
Hamna haja ya kujianika mtandaoni fany kazi nguvu unayo mzeee acha mbwembwe pesa ya chain,kofia unavipata ila maneno mengiiiii
DANGOTE FUNGUA MOYO ..MNUNULIE BABA YAKO KITU CHA KUMFURAHISHA UPATE BARAKA. HATA KAMA NI BABA MLEZI SAWA HATA KAMA NI MZAZI...FUNGUA MOYO BWANA MDOGO HII DUNIA NI DUARA
Hata saut ni mond mtupuuuu
Duuuu masikini huyu baba! Yaani sauti ya huyu baba inafanana na sauti ya diamond kabisa. Hata kama kamlea anashindwa kumsaidia kama anavyowasaidia wengine kweli?
Sio Baba mzazi acheni kuwa mashahidi wa uzazi wa mtu .Diamond na Rikado Momo ni mmoja.
@leokamil6284 wewe naye Vipi kwani nani aliyesema ni baba wa diamond? Hebu soma vizuri nilichokiandika hapo kama Kuna sehemu nilipoandika ni baba! Kama hujasoma vizuri usiwe mwepesi kujibu kitu ambacho hujakisoma vizuri.
Wazee wa dar hawataki uzee kabisa Sasa huyu Mzee mwenzangu cheni kubwa shingoni pete kubwa kwenye vidole
Mnyororo kama ubwa. Mtihani ataibada afanyi huyu mzee ajatulia
Hii inasababishwa muda mwingine na wanawake ,wanawapa sumu watoto na kuwaona baba zao wabaya ,akumbke mzee huyu anamchango kwake
Kabla ujibu kwa undani thing twice pls
Kwani baba anashida gani?
Mbona yuko sawa tu
Cheni hizo na mapete makubwa kweli mtu alale njaa atakua hivo?
Achane uchoko
Huyu mzee mhuni anavaa mpaka cheni
Anafanya kusudi kuvaa kihuni ili watu wacomment, siyo mara yake ya kwanza kufanya hivyo na pia sio mara ya kwanza kurekebishwa
😂😂
Mtihanihuyu mzeekijana😂
Mtangazaji wewe baba yako umemnunulia chakula ?Maswali ya uchochezi🐕 ww
😂😂
Umenifanya nicheke
😂😂😂
Mlevi huyu haeleweki
kumbka mzazi ,2 ustukane wakunga angali uzazi unao