@@robertphilip385 mimi si wakujipitisha nina heshma zangu na nina mume wangu alhamdulilah nampenda kwa KAZI zake subhanalla muogope mungu jawabu gani hili
Nafuraihi.. yaani.. hasa.. mimi.. [Öcëng Abönyö Öyügï (Oceng Abonyo Oyugi) (ÖAÖ)].. nikisikia Mzee wetu hu.. muhimo sana.. (President Kikwete) akiongea.. akitokeza (kwa kifupi) maisha yake ya utotoni wake.. Thank you..! Thank you..! Mku President Kikwete.. I DO.. and very Genuinely.. will always Love TANZANIA.. (It is my "blood" childhood love..) [Permanent.. Literally nothing shall change it (my love for Tz..).. I am planning to come "home" (to Tz) at appropriate time..] Thank you "AyoTV".. Good health to all the team always... ÖAÖ
MH.JAKAYA ALLAH AKULINDE BINAFSI NAKUFATILIA SANA YANI UNANIPA FUNZO KUBWA SANA KAMA ALIVYO SEMA MUNGU....TABASAM HAKIKISHA UNATABASAMU KWANI HUONDOA CHUKI HUSDA NA ROHO MBAYA,,MH.ULIFANYAKAZI SANA HII NCHI.ALLAH AKULIPE WEMA.
Jambo jema sana Mheshimiwa msahau kwao mtumwa" kwa hilo wewe umepasi mtihani,watu wengi katika maisha wakifika daraja fulani katika maisha usahau walipotoka hongera sana kwa kuieshimisha asili yako Mungu akujalie afya njema "
Nimeipenda hii programu. Hongera Millard Ayo. Mheshimiwa JK nilimkuta Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nilipoingia pale kusoma mwaka 1973. Halafu tarehe 27 mwezi Julai mwaka huu tulionana tena pale pale chuo kikuu alipokuja kuhutubia kwenye sherehe fulani, tukapiga picha.
Huyu ndo aliokuwa rais kwa upande wangu. Kikwete na mkapa. Kwenye uchaguz mtu akishindwa kihaki kbisaa na mtu akishinda kihaki kabisaa. Big up sana rais mstaafu jk
Rais kipenzi usiye na damu za watu mikononi mwako,Raisi uliyekuza democracia na uhuru wa kuchagua na kujieleza,ukadhibiti mfumuko wa bei kwa kuandika bei elekezi kwenye bidhaa,ukajenga barabara za rami za kutosha bila kujisifia kwenye tv kila siku. Ni mengi Raisi wangu mungu akupe maisha marefu
@@davidpallangyo114Kabisa aisee Kikwete demokrasia aliipatia sana na alivumilia mengi sana ya kutukanwa, kukosolewa, kukejeliwa, na kudharauliwa...Mungu ampe maisha Marefu sana Jakaya Kikwete.
Mtu akiwa na Ela kitu hata hakichekeshi watu wanacheka😂.sasa mwenzangu na mie usiyekuwa na Ela kwenye vikao vya family ukionekana unachangia hoja unaonekana Kama unapiga kelele tu daah maisha haya
Hiyo nyumba nlifanya kazi kipindi hicho, na nakumbuka alitoa maagizo hiyo nyumba ijengwe kwenye mfumo ule ule wa wa zamani. Na nje ya hiyo nyumba kulikuwa na kifaru na hisi sasa wamekitoa hapo mbele. Nami na timu yangu ndio tulifanya tena kazi ya kuiripea. Nakuelewa mzee wa msoga. Wapeleke na kwenye yale makaburi wapate history vizr
Nahapo wenye wanaonyesha Uzawa wao wa kale, lakini wanajisahau wanavyoamusha watu kinguvu wakiwambia eti wanakosoa Selekari na Watekaji wanaibuka😂😂😂 Bora miye ninaeshi Binguni sina shida na Dunia😂😂😂❤❤
hukumuuliza: a) wazazi b). Nyumba kwa ss nni anaishi c). inavyumba vingapi. d) shule za msingi na sekondari zilikuwa wangapi wakt wake n.k Ulipata fursa kuwa na Mh ungeandaa maswali kiongozi
father bhaana ni mtu wa watu tena kipenzi cha watanzania....siku moja alitacha hoi mtaani kwetu sinza mapambano alikuja kumuona kaka yake mzee khalfan ilikuwa by saa tano usiku yupo yeye mwanawe wa kike mdogo kipindi hiko na dereva tu board gud hayupo basi wakapiga sana story mpaka by saa saba wakatoka wakasimama wakatusalimia tulikuwa washikaji wanne tumekaa home kibarazani wakasepa hakaenda mtaa wa pili wake kuna ndugu yake mwingine anaitwa dr tamimu wala ajakaa sana wakaondoka tulifurahi sana kuona rais hanati kujiona yeye ndio kila kitu....🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Safi sana, like father like son. Ila fuata nyayo za Mzee wako. Anazeeka akiwa na smile usoni mwake. Yupo peaceful na happy kila wakati na kwa kila mtu. Una baba Bora Maashallah.
Mastermind kanali JK. Muulize kagame alivyotengenezewa mchoro wa kumtorosha jasusi Patric karegeya..... kagame hadi leo anamuogopa jk😅 una akili sana JK
Aache kufanya Movie kuhamisha mawazo yetu.Sasa hivi Hot issue ni Uchaguzi wa Serkali za Mitaa.Atoe maoni yake kauonaje ulivyoendeshwa naa anashauri nini kutokana na Mtanziko huu wa Uchaguzi uliopi.Ninyi mnatuletea "arobaini hadithi" za Sungura kamkaba Tembo na tembo hakufurukuta.Ongeeni Hot issue za kitaifa sio porojo.
❤Nakupenda Kikwete jamanii Mungu akuweke uishi maisha marefu ukimombea mtu unabarikiwa na wewe nakuombea Sana🤲
Very happy old man,and very healthy,mwenyezimungu akupe umri mrefu wenye afya tele
Jamani nampenda sana kiketwe subhanallah mtu ambaye anajielewa sana nakupenda sana brother from oman 🇴🇲 ❤❤❤❤
@@robertphilip385 mimi si wakujipitisha nina heshma zangu na nina mume wangu alhamdulilah nampenda kwa KAZI zake subhanalla muogope mungu jawabu gani hili
Hapana ni kwa Nia njema TU,huyu mzee ana hekima Sana kwa kweli
@@fatmasalim8293hachana nae huyo ao ndo wapi wenzso wacoment wao wakosoe ujinga tu
Long live JK
Nafuraihi.. yaani.. hasa.. mimi.. [Öcëng Abönyö Öyügï (Oceng Abonyo Oyugi) (ÖAÖ)].. nikisikia Mzee wetu hu.. muhimo sana.. (President Kikwete) akiongea.. akitokeza (kwa kifupi) maisha yake ya utotoni wake..
Thank you..! Thank you..! Mku President Kikwete..
I DO.. and very Genuinely.. will always Love TANZANIA.. (It is my "blood" childhood love..) [Permanent..
Literally nothing shall change it (my love for Tz..).. I am planning to come "home" (to Tz) at appropriate time..]
Thank you "AyoTV"..
Good health to all the team always...
ÖAÖ
Raisi wetu mstaafu anaonekana yeye ndio mdogo kwa hao ndugu zake ila ni hali za kimaisha insha'allah mngu awatunze🌹
MH.JAKAYA ALLAH AKULINDE BINAFSI NAKUFATILIA SANA YANI UNANIPA FUNZO KUBWA SANA KAMA ALIVYO SEMA MUNGU....TABASAM HAKIKISHA UNATABASAMU KWANI HUONDOA CHUKI HUSDA NA ROHO MBAYA,,MH.ULIFANYAKAZI SANA HII NCHI.ALLAH AKULIPE WEMA.
Huyu mzee utampenda tu ,very smart mzee wangu Mungu azidi kukutunza na utukumbuke vijana
Jambo jema sana Mheshimiwa msahau kwao mtumwa" kwa hilo wewe umepasi mtihani,watu wengi katika maisha wakifika daraja fulani katika maisha usahau walipotoka hongera sana kwa kuieshimisha asili yako Mungu akujalie afya njema "
Mzee wa mastori, napenda sana kumsikiliza.
Kikwete Jembe. Big up Rais wetu.
Msaidie Huyo mzee rafiki yako mungu atakulipa🙏🙏🙏
Kw nn Useseme Amsaidie ndgyako,
Umeambiwa Yule n mwalim mstaaf😂
amsaidie Kwan mlemavu au amesema hajiwezi,,,
We unajuaje ka anataka msaada unaonekana unapenda sana kuomba omba
😅😂😢@@FahadAbubakari-y3f
😂😂😂@@FahadAbubakari-y3f
Nimeipenda hii programu. Hongera Millard Ayo. Mheshimiwa JK nilimkuta Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nilipoingia pale kusoma mwaka 1973. Halafu tarehe 27 mwezi Julai mwaka huu tulionana tena pale pale chuo kikuu alipokuja kuhutubia kwenye sherehe fulani, tukapiga picha.
Tuonyeshe picha izo acha polojo
@@abdalah-tg5bnAbdallah kisoda Sasa hapo Cha ajabu ni nini?
Vipi unazeeka na ujinga😮
@@abdalah-tg5bn Acha ujinga, nenda kwenye page yake ya Facebook anaitwa Joseph Mbele, ni Profesa huyo anaishi Marekani. Kwanza umekula?????
@@AlhajiIssa-jb9hrBora umemkodo maana awo wengine Kila kitu kupinga tu umbeauo kuoga aah
Handsome old boy❤ Mzee wa smile nakupenda sana
Huyu ndo aliokuwa rais kwa upande wangu. Kikwete na mkapa. Kwenye uchaguz mtu akishindwa kihaki kbisaa na mtu akishinda kihaki kabisaa. Big up sana rais mstaafu jk
Nakukubari %%%mungu akupe maisha malefu.baba yetu mpendwa
Hongera mzee wetu umeenzi mucheza kwao hutunzwa pokea mauwa🎉
Hapo Ridhiwani unaona tu maruweruwe,umekulia kwenye viyoyozi😂😂😂😂.Msikilize mzee smile akihadithia
We cannot see chase cars,bodyguards etc very humble indeed
President kikwete never rages.. 10years younger❤❤
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza Mheshimiwa Rais Mstaafu Kikwete na wazee wenzako hao ili Taifa tuendelee kunufaika na busara zenu!
Mshauri Samia awaache wamasai kwenye maeneo yao ya Asili kwa kufuatia historia hiyo
Kumbe unalifahamu jioni linalokunywa damu za watanzania
❤ ni furaha kukutana tena
Safi sana nimeyapenda hayo maisha uliyokulia
😂😂😂😂😂😂 asante mungu akupe umri zaidi
Hongera Rais wetu mstaafu
😂😂😂kikwet anamaish maref😂
Safiiiii mzeee kikwete....😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤....CCm juu...mama Samia miaka mitano teena
Ni wewe mwenyew au kuna kitu cha ziada una gain?
Mimi mwnye...2po na bba e2 mstaafu...Rais Jakaya....CCm Juu
sio bure
😂😂wonderful memories
Hongera mstafu
Hongera sana Rais mstaafu kwa kuenzi ulikotoka.Uendelee kuwa mfano mwema.
Mzee upo vizuri sana….
Hebu itengenezee kidogo ingae ungejisifia vizuri
@@kenwatkinz9828
Inakuwa mbukumbuku.
Nafikiri wameacha kama historia.
Rais kipenzi usiye na damu za watu mikononi mwako,Raisi uliyekuza democracia na uhuru wa kuchagua na kujieleza,ukadhibiti mfumuko wa bei kwa kuandika bei elekezi kwenye bidhaa,ukajenga barabara za rami za kutosha bila kujisifia kwenye tv kila siku.
Ni mengi Raisi wangu mungu akupe maisha marefu
Jidanganye 😢
Ni Ukweli Mtupu.Mheshimiwa Kikwete Alifanya Mambo Mengi Sana Mazuri Kwa Maendeleo Ya Nchi Yetu.Mwenyenzi Mungu Azidi Kumbariki Na Ampe Maisha Marefu.
@@davidpallangyo114Kabisa aisee Kikwete demokrasia aliipatia sana na alivumilia mengi sana ya kutukanwa, kukosolewa, kukejeliwa, na kudharauliwa...Mungu ampe maisha Marefu sana Jakaya Kikwete.
Msaidie huyo Mzee na Mungu atakubariki kweli
Chiju b umetisha mwanangu
Mtu akiwa na hela hata kitu hakichekeshi watu wanacheka dah .....
😂😂😂😂😂😂😂
Aah aah alafu ww
Wivu tafuta na wewe
Huyuuu jamaaa ilitakiwaa arinew urais nakupendaa mzeee wa tpdf stamina😂😂😂
Mbona video sio nzuri hii, maneno yanapishana na picha yaan ubora mbaya
Mtu akiwa na Ela kitu hata hakichekeshi watu wanacheka😂.sasa mwenzangu na mie usiyekuwa na Ela kwenye vikao vya family ukionekana unachangia hoja unaonekana Kama unapiga kelele tu daah maisha haya
zamani huo mjengo wa maana sana
hyu masta mtu smart sana
Wonderful
Sijawah kumuona mzee kikwete amenunaaa!!
wanafanana sana sisi wazigua eti ng'ongo hahahha any way ni lugha moja kinacho tutenganisha ni mto wami.Historia Nzuri mkuu
Safiiiii inapendeza
Kumbe alikulia maisha mazuri huyu mzee kikwete
😂😂😂😂 Ukachoka kusoma Baba,,,Jamani
😂😂😂😂😂 ila kikwete nikachok kusom
Jk safi sana
Hiyo nyumba nlifanya kazi kipindi hicho, na nakumbuka alitoa maagizo hiyo nyumba ijengwe kwenye mfumo ule ule wa wa zamani.
Na nje ya hiyo nyumba kulikuwa na kifaru na hisi sasa wamekitoa hapo mbele.
Nami na timu yangu ndio tulifanya tena kazi ya kuiripea.
Nakuelewa mzee wa msoga.
Wapeleke na kwenye yale makaburi wapate history vizr
Mzeee baba,Tunakukymbuka,Wakati wako uchaguzi haukuwa wa kihuni hivi.
Allah akujlie Kila la kheri una baya ma mtu
Mungu azidi kukutunza kiongozi,
Mtu wa watu.
Sasa hiyo nyumba ezi hizo nika parm villegg 😂😂😂😂
Baada ya kuzungumzia mauwaji yaliyofanyika kipindi hiki cha uchaguzi serikali za mitaa mnaangaika kuonyesha makazi mungu anaziona nia zenu.
Nahapo wenye wanaonyesha Uzawa wao wa kale, lakini wanajisahau wanavyoamusha watu kinguvu wakiwambia eti wanakosoa Selekari na Watekaji wanaibuka😂😂😂 Bora miye ninaeshi Binguni sina shida na Dunia😂😂😂❤❤
Kama wew umeyaona hayo mauaj tuonyexhe sio lazma yye aonexhe
Hapo pazuri mbona baba...! Wengine walikulia kwenye tembe...
Alikuwa the best president ever
Ajira km zote haki
we miss you Dad - Kikwete, really we miss you.
Sasa mbona mmekata simulizi JK
Life is a book each chapter has a lesson plan!
The best former president ever in our country history, God bless him
Nimekumis mr. President
Nyumba nzuri kabisa sana tu hiyo
Zina Dake da udodo😂😂😂😂😂
Uzee ni noma sana
Mashallah
Kikwete ulisona na baba yangu kibaha John pita shauri
hukumuuliza: a) wazazi b). Nyumba kwa ss nni anaishi c). inavyumba vingapi. d) shule za msingi na sekondari zilikuwa wangapi wakt wake n.k Ulipata fursa kuwa na Mh ungeandaa maswali kiongozi
Kikwete sasa una hela za kumwaga wape hao jamaa,,mpe pesa mw.Thomas,,maana muonekano wao hawana pesa
😂😂😂😂😂
Real JK still strong
Kukulia hapo au alizaliwa hapo?
Kumbe sio Ruto pekeyake alitoka kwenye maisha ya kubahatisha.
Kijiji kimekaa ovyo hiki 😂😂
father bhaana ni mtu wa watu tena kipenzi cha watanzania....siku moja alitacha hoi mtaani kwetu sinza mapambano alikuja kumuona kaka yake mzee khalfan ilikuwa by saa tano usiku yupo yeye mwanawe wa kike mdogo kipindi hiko na dereva tu board gud hayupo basi wakapiga sana story mpaka by saa saba wakatoka wakasimama wakatusalimia tulikuwa washikaji wanne tumekaa home kibarazani wakasepa hakaenda mtaa wa pili wake kuna ndugu yake mwingine anaitwa dr tamimu wala ajakaa sana wakaondoka tulifurahi sana kuona rais hanati kujiona yeye ndio kila kitu....🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Miaka yake ndio nyumba za kitajiri bana
Nyumba nzuuuri hiyo Kwa nyakati hizo mambo yalikuwa safi
Kabisa.. walikua na maisha mazuri
Wanaonekana walikuwa wa kishua
School mate wangu
Weee mbwwa samiaa kauzaa nn mkuki kwa nguruweee kula chumaaaa😅😅
Asili iheshimiwe
Kweli wazaramu hawanaga maendeleo kwaiyo wewe umeshindwa kuilekebisha iyo Nyumba😢
@@Aishajohn-o3m Huoni kama ni sehemu ya kumbukumbu,,
Nani kasema wazaramu hawana maendeleo
kama ndio hapo basi walikua wakishua.. maan miaka hiyo kua na nyumba kama izo sio rahisi
@saf sana kikwete
Kumbe amekulia mazingira mazuri namna hii jamani😂
Mbona hairekebishwaa jamanii ingejengwa kubwaaa
Hiyo ni ya kumbukumbu
Kumbe Mzee alikuwa anatoroka shule mm najiuliza hii tabia nimetoka wapi kumbe nimerithi huku😂😂😂
😂😂😂😂😂 fala sana wewe
Sasa wewe utamfikia uyu mzee alivo na akili nyingi
😅😅😅😅
@@MwitaKihugi hapo sasa
Safi sana, like father like son. Ila fuata nyayo za Mzee wako. Anazeeka akiwa na smile usoni mwake. Yupo peaceful na happy kila wakati na kwa kila mtu. Una baba Bora Maashallah.
Muheshimiwa basi si uitengeze hiyo nyumba kwa kuipiga rangi isiharibike au haikaliwi tena ?
Mastermind kanali JK. Muulize kagame alivyotengenezewa mchoro wa kumtorosha jasusi Patric karegeya..... kagame hadi leo anamuogopa jk😅 una akili sana JK
Amekulia Kota ettti
Tutafute hela ndugu zangu muheshimiwa Kikwete ana onekana dogo mbele ya marafiki zake daah
💯
Na huyo mmoja kamtangulia miaka 5
@@siasakhalfan2894😂😂😂😂
Sema mzee ata uchukue fom leo utapita kwa vishindo
mdogo ake mzee kuliko kaka mtu
Mnazingua video haiendani na vitendo
Kwa magni yangu binafsi, mzee JK apewe nafasi tena ya Urais atuongoze ni kiongozi mzuri mwadilifu
Nyumba aliyokulia tu,aoneshe pia s/m,sekondari na kila kitu
Aache kufanya Movie kuhamisha mawazo yetu.Sasa hivi Hot issue ni Uchaguzi wa Serkali za Mitaa.Atoe maoni yake kauonaje ulivyoendeshwa naa anashauri nini kutokana na Mtanziko huu wa Uchaguzi uliopi.Ninyi mnatuletea "arobaini hadithi" za Sungura kamkaba Tembo na tembo hakufurukuta.Ongeeni Hot issue za kitaifa sio porojo.
Mzee anatukumbusha tusisahau tulipotoka
😂😂😂hiko poa sana
Kumbe haka katabia kakutoroka ni karibia wote.
Ila baba yangu kiongozi kwenye swala la utoro😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani kama miaka ya 1950 nyumba ilikua hivyo na hapo ni kabla ya uhuru basi JK ametoka familia Bora.
Ashakwambia babu yake alikuwa mtawala
Hiyo nyumba inasaidia nini wakati umekaa kimya nchi inaangamia?
Sele mohamedi
Mzee huo km ni mgongo pori magamba yake yanatibu Kansa