MTANZANIA MWENYE NG'OMBE ANAYEUZWA MILIONI 12 'NAUZIA MBWA MAZIWA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 172

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 2 ปีที่แล้ว +34

    Hizi ndio habari zenye tija. Hongera sana mkulima, kazi nzuri hiyo. 👏👏👏👏

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว +7

    Uwe mkiristo, uwe muislamu, ukimuweka Mungu mbele ktk mambo yako ww ni rafiki yang mkubwa, mzee anamtaja Mungu mara kwa mara nimependa sana

  • @josephkahemele4648
    @josephkahemele4648 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana kwa mzee. Ila usafi wa wanyama si mzuri kwa kusema ukweli

  • @Mbingu77
    @Mbingu77 2 ปีที่แล้ว +4

    Boazi besti yangu .. da jamaa wa urio wana roho nzuri sana jmni Mungu awabariki

  • @marykaaya6314
    @marykaaya6314 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Ayubu. Kazi nzuri ila jitahidi kuwafanyia hao ng'ombe usafi.

  • @fatmaabasi5262
    @fatmaabasi5262 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashalla mashalla..hongera mzeewangu.

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 2 ปีที่แล้ว +13

    Crown moja ndio thaman yake .mzee Yuko vizuri Kwa kweli kajipanga

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana kwa kazi nzuri

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana. Mungu ailinde mifugo yetu.

  • @fudasiakishe15
    @fudasiakishe15 2 ปีที่แล้ว +1

    Hili ni shamba darasa kuliko chuo chochote kweli. Nakuombea kwa aliyekujalia huo ufahamu akupe ulinzi wa ziada. Naomba mawasiliano yako , nadhani wengi umetufurahisha, wenye husda wapigwe upofu na utelezi. Mungu baba akulinde.

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +12

    Bismillah maashallah haya maisha ya ndoto zangu nimependa mno mno, namba za cm pls nazipataje?

  • @mwanaidshaban373
    @mwanaidshaban373 2 ปีที่แล้ว +3

    Habar hongera sana baba na mm nataka ndama mdogo ninunue kwa Bei ya ndogo nipo Tanga

  • @frankmasamaki9640
    @frankmasamaki9640 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥
    ________________
    Karibuni

  • @mrwideputin2038
    @mrwideputin2038 2 ปีที่แล้ว +7

    Watanzania wanahitaji ripoti kama hizi. Sio udaku za wasanii wasiofaa

  • @stephanlayzer7196
    @stephanlayzer7196 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarik nimependa xna mirad yako.

  • @mathiasmwingira6951
    @mathiasmwingira6951 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mzee, na umepata mrithi wako mwenye kupenda kazi uliyoianzisha

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 2 ปีที่แล้ว +1

    MashAllah. Mungu ni mwema siku zote

  • @godfreybuluba7962
    @godfreybuluba7962 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana ndama unauza sh ngap

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp หลายเดือนก่อน

    Hongela mzee

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 2 ปีที่แล้ว +2

    Waoo nimefurahi sana na ufugaji wako kwani inamaanisha,asante kuipenda kazi yangu,hizi ndo habari zinatakiwa,hongera sana.

  • @elidangoti752
    @elidangoti752 2 ปีที่แล้ว +5

    Interview nzuri sana, daaaaaaah Ila fupi

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 ปีที่แล้ว

    Hayo ndiyo maisha siyo haya ya vijana wanatembea na soksi 2 mtaani

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 ปีที่แล้ว +4

    Hawa ndio wafugaji MashAllah

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana,

  • @barakamushi4530
    @barakamushi4530 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee uko vizuri ongeraa Mzee wangu

  • @Ketekuntu
    @Ketekuntu 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubariki mzee wangu

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeikubali hii Interview, kitu kizuri huyu Mzee anaelewana Vizur na Kijana wake wapo makini na miradi yao.

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongeraa mzeee

  • @aminaalfan2731
    @aminaalfan2731 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah 🙏

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana baba naomba uniuzie ndama

  • @danwutzddaniel7823
    @danwutzddaniel7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Sing'isi Meru 👏👏👏

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah kazi nzuri

  • @ronadtondi7936
    @ronadtondi7936 2 ปีที่แล้ว

    Unaonyesha mfano mzur mzee,,,big up

  • @marryg4235
    @marryg4235 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzee.

  • @ilundafarm2798
    @ilundafarm2798 2 ปีที่แล้ว

    One day yes

  • @stellapetro2617
    @stellapetro2617 ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว +1

    THE WORLD OF KNOWLEDGE KNOWHOW...

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Msafiri is very right nenda kichwa kichwa ukafuge wa kwako miaka kumi kama hukuambulua kusadoline cha maziwa

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah na hongera sana !

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations mzee ,million 12, in kenya ni pesa ngapy please

  • @azizmussa6019
    @azizmussa6019 2 ปีที่แล้ว +2

    Sawa

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 2 ปีที่แล้ว +4

    Video nzuri manweka dakimoja za kipuuzi mnaweka masaa mawili hebu badilikeni basii hivi vitu vaya kilimo na ufugaji vina tupa hamasa ya kuvifamya halafu mnaweka video fupi sio poa😭😭😭

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 ปีที่แล้ว

    Wow amazing

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Jamani juweni wazungu walitupita mbali. BOOSTERS ZIKOOOO. KIKA KITU KIBAWEZEJANA KWA MAARIFAA NA CHEMICALS ANACHOKISEMA Msafiri is right

  • @anateisaya361
    @anateisaya361 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee urio nakubal sana

  • @dani4rl216
    @dani4rl216 2 ปีที่แล้ว

    Hongera xana

  • @josephnjella4919
    @josephnjella4919 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @piusassenga9070
    @piusassenga9070 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no ya cm ya huyu mzee....

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 ปีที่แล้ว

    Sasa hapa nimelelwa Sana habari za mafanikio

  • @VicentMaliya
    @VicentMaliya 10 หลายเดือนก่อน

    Ukovizuri👏👏👏👏

  • @charlesatanaschishsyela2563
    @charlesatanaschishsyela2563 2 ปีที่แล้ว

    Je hizi kuku ntazipataje?

  • @seldamichael3047
    @seldamichael3047 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mzee

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @unjubinunuki7174
    @unjubinunuki7174 2 ปีที่แล้ว

    good job mzee

  • @godfreypeter8383
    @godfreypeter8383 2 ปีที่แล้ว +1

    Simnipe namba ya huyu mzee jaman ninunue hapo mmoja

  • @African511
    @African511 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana ayoub

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Wapemba ni wazuri sana ,mashaallah

    • @zuhurazuh516
      @zuhurazuh516 2 ปีที่แล้ว

      Kwann?? Ila MaashaAllah

    • @ndohoriomsacky445
      @ndohoriomsacky445 2 ปีที่แล้ว

      Huyu siyo mpemba huyu ninmchaga anaitwa orio

    • @mcdonaldkaaya8555
      @mcdonaldkaaya8555 2 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Mmeruu sio mchaga wala mpemba

  • @KONAMIPESMOBILE-jm7se
    @KONAMIPESMOBILE-jm7se 2 ปีที่แล้ว +5

    So amazing

    • @mariagimase1486
      @mariagimase1486 2 ปีที่แล้ว +2

      I know these people, I just live near them. They do a great job and inspire alot ... Keep it up jaman

    • @panicumtz2002
      @panicumtz2002 2 ปีที่แล้ว

      Kabla ya kujaji jifunze hizo breed zipo zinatoa maziwa ya kutosha,mm ni dactar wa wanyama nataka nikwambie kuwa kuna had wanaotoa had lita 70,,hao wanaitwa pure breeds hasa breed ya Friesian hao wanaotoka Islael na Denmark

    • @RM-fs8ub
      @RM-fs8ub 2 ปีที่แล้ว

      I take my hats off to these people who put food on our tables...we have become accustomed to food getting to us in boxes and packages. Hope schools will take students to see these farms.

  • @jameskemboi3905
    @jameskemboi3905 2 ปีที่แล้ว

    Good job but observe hygiene bro. Cows and cow shed must be very clean.

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba namba yako ya cmu baba!

  • @samkilawe7620
    @samkilawe7620 2 ปีที่แล้ว

    Tusaidie namba za uyo mkulima

  • @ombeninasari6441
    @ombeninasari6441 2 ปีที่แล้ว

    Ongera mzee urio

  • @MohamedMangongo-n9t
    @MohamedMangongo-n9t 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani ninshida na namba ya huyu mfugaji

  • @jonasbuhabi2172
    @jonasbuhabi2172 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zake

  • @shalomsichone6728
    @shalomsichone6728 ปีที่แล้ว

    Nataka hiyo mbegu ya ng'ombe napataje

  • @alextercisio
    @alextercisio 9 หลายเดือนก่อน

    Hakuna ngombe anatoa maziwa 60ltrs in the world ata kule ulaya hakuna ngombe anayetoa maziwa mengi ni 25-30ltrs ...

  • @pascalntandu1217
    @pascalntandu1217 2 ปีที่แล้ว +2

    Oi mzee baba tupatie namba za huyo mzee.

  • @habibmbarouk9528
    @habibmbarouk9528 ปีที่แล้ว

    Nimeangalia comments zote Ila naombeni muingie kwenye huu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa alaf ndio mtajionea ukweli ... Nikiwaambia huyu mzee ni muongo hamtoweza kuaminisha ... Hakuna ng'ombe wa zaidi ya Lita 20 hakuna ng'ombe wa hata Lita 35 hapo hakuna ... Kama hujui utaona ni kweli Ila hapo huyo mzee ni muongo tu

    • @AsaphMkaaya
      @AsaphMkaaya 2 หลายเดือนก่อน

      Mzee CYO Muong wew wivu wako tuu nani ambae hajui lengo lako, wew ng'ombe wako Yuko wapi tumuone. Uwongo wake cyo kitu ila biashara yake ameitangaza mnafiki mkubwa ww. Yey ndo mwanaumw wew utaposti maneno tuu, ila ajakulazimisha ukanunue Wala kuangalia owaa kula nyama nyamaza

  • @edsonoisso4271
    @edsonoisso4271 2 ปีที่แล้ว

    Masasiliano contact!

  • @dianamwanua9564
    @dianamwanua9564 2 ปีที่แล้ว

    Hongeraa Sana daddy

  • @BariyoJames
    @BariyoJames 2 หลายเดือนก่อน

    Bora usafi wa mabanda

  • @samkilawe7620
    @samkilawe7620 2 ปีที่แล้ว

    Namba za uyo mkulima

  • @prezzomwangi3174
    @prezzomwangi3174 2 ปีที่แล้ว

    Germany shepherd ni pesa ngapi

  • @piusassenga9070
    @piusassenga9070 2 ปีที่แล้ว

    Habari nauliza na ndama jike anauza sh, ngapi.....? Km jike kubwa anauza million 12, na mtoto jike ambae ameacha kunyonya.....?

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 ปีที่แล้ว

    💪

  • @jemsminja1788
    @jemsminja1788 2 ปีที่แล้ว

    Namba za cm

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 2 ปีที่แล้ว

    Big up sana Dingide ✌✌

  • @wairimokilemba2964
    @wairimokilemba2964 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba za simu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah, hongera sana Mzee WETU.

  • @johnrimoy1613
    @johnrimoy1613 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana, 👍👍👍

  • @angelaonesmo
    @angelaonesmo 8 หลายเดือนก่อน

    Mim nauza ngo,mbe kama uyo

  • @samwellukumay7978
    @samwellukumay7978 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba xako tafadhali

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr kuku,naomba contact tafadhar

  • @danielsifael7493
    @danielsifael7493 2 ปีที่แล้ว

    Contacts/address za kumfikia mzee tunaomba muweke

  • @abdonmsafiri8014
    @abdonmsafiri8014 2 ปีที่แล้ว +8

    Factor behind the pricetag Ni quantity ya maziwa inayozalishwa kwa huyo ngombe. Na Kuna investment ya kipekee iliyafanywa kwa huyo ngombe hadi amefikisha hizo Lita. Possibly Kuna vipandikizi ama hormone za u ongezaji uzalishaji ziko under reserçh kwa huyo ngombe. So the main issue Ni consistency ya uzalishaji na quality ya ingredients ya hayo maziwa. Is it natural amezaliwa kiasili na kujikuta anazalisha hayo maziwa just kwa kula tuu nusu pickup ya majani?. Is there any boost?? Be careful. Kuna kuku wa wiki 2 ready for meals be careful?. Chimba Sana kabla ya kupongeza unaezajikuta unapongeza vyanzo vya kansa etc.

    • @greysonsindini5489
      @greysonsindini5489 2 ปีที่แล้ว +5

      Unajifanya umesoma unajua umewahi kufuga wacha ubishi wa kuchanganya maneno ya kizungu kujifanya unajua

    • @eliyabry8855
      @eliyabry8855 2 ปีที่แล้ว +1

      Hana lolote kazi kuponda maendeleo ya watu

    • @angelmassawe6655
      @angelmassawe6655 2 ปีที่แล้ว

      Tumeinhiliwa na mzungu au?

    • @ebenezernnko8251
      @ebenezernnko8251 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona tuzadharau sana vyakwetu?ingekuwa ni mzungu ungeamini tuu lkn kwakuwa mtz nimajungu tuu

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 2 ปีที่แล้ว

      @@greysonsindini5489 ha ha ha ajui hata mtu tunapishana kwenye ulaji kuna wengine wanakula kilo tatu ya dona mlo wa mchana,usiku wali kilo 4,kuku wawili

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Cha maana hapa omba ufundishwe utaalamu na lishe na dawa za booster sio magadi otherwise u will definately walk naked if not mental ...hata ukilima mahindi yatadumaaa bila mbolea ya kisasa

  • @joycemushi5102
    @joycemushi5102 2 ปีที่แล้ว

    Ni wakwetu...ni fahari yetu

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ปีที่แล้ว +5

    Inapendeza Tanzania kuwekeza katika ufugaji na kilimo Ukraine haina matatizo na sisi

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Safi sana

  • @ludovickmuro6750
    @ludovickmuro6750 ปีที่แล้ว

    10M kama yupo tayali

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Bass haya

  • @richardmosses6776
    @richardmosses6776 2 ปีที่แล้ว

    Nitafutie namm mzuri baba

  • @gilbertmgana7894
    @gilbertmgana7894 2 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano yako wapi

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว

    Aise Urio mbeeee KOTANAA

  • @joycemushi5102
    @joycemushi5102 2 ปีที่แล้ว

    PAMBANA SHEMEJI YANGU

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    M nataka mbwa😉

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Milon. Moja sinunuwi pesa nyingi hizo unajenga nyumba

    • @AsaphMkaaya
      @AsaphMkaaya 2 หลายเดือนก่อน

      Mim ni shabiki wa huyo mzee hujalazimishwa kununua

  • @sigifridaloyce7116
    @sigifridaloyce7116 2 ปีที่แล้ว

    aah