MDOGO WA MSTAAFU KIKWETE AFUNGUKA "WALITAKA KUUA KIJIJI CHA MSOGA, JINA LA KIKWETE LIMELETA HESHIMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @ocengoyugi4578
    @ocengoyugi4578 20 วันที่ผ่านมา

    CCM.. Ndiyo..!! Ndiyo..!! (Yes..!! Yes..!!)
    Napenda mimi.. (kunzia ujana wangu..) TZ (Tanzania)..
    (mUganda mimi.. lakini wafamilia WaLüö/wö tele.. wako wenyezi wa Tanzania..)
    Asante sana.. (Thank so much..)
    Afya njema sote.. (Good health to all involved..)

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah uko.vizul wangu maana umechambua aswaaaa family

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 หลายเดือนก่อน +4

    Humble great man very cool

  • @Boyfromtanzania
    @Boyfromtanzania หลายเดือนก่อน +8

    Kweli pesa inamfanya mtu awe kijana daima. Huyu mimi nilijua ni kaka yake Jakaya kumbe ni mdogo wake 😮😮

    • @SalumKanju-ik1bk
      @SalumKanju-ik1bk 24 วันที่ผ่านมา +1

      hahaha mengine baki nayo moyoni ndugu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +6

    Nyerere kastaafu akiwa kawaida serikali ukamfikiriya karume mkubwa kafa akiwa kawaida kawawa mzee jumbe mzee idrisa Abdul wakil na mifano ya hao kwa iyo kuwa kiongozi sio sababu ya kuneemesha wako😊

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 22 วันที่ผ่านมา

    Wanafanana sana hata sauti kama Mstaafu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 หลายเดือนก่อน +7

    Viongozi wengi wa Tanzania huwa wana sahau kuinua ndugu zao

    • @SalumKanju-ik1bk
      @SalumKanju-ik1bk 24 วันที่ผ่านมา

      muda bado anao uwezo anao ni maamuz yake kufanya hivyo au laa

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s หลายเดือนก่อน +7

    Huyu baba sidhani kama ndugu yake alimkumbuka. Ila ndugu ni ndugu tu

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee yupo vizuri katika kuchambua family history ya kwao.

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o หลายเดือนก่อน +7

    Mbona ndugu yangu umechoka huku anae kuzidi yeye akionekana bado kijana. Sema ukweli not huna Yani hukuwezeshwa mpunga

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน +2

      Pesa sabuni ya roho, hadi uzee unakukimbia🤣

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 หลายเดือนก่อน +4

      Humjui vizuri huyo Mudy ww

    • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
      @EmmanuelNyinyigwa-m1o หลายเดือนก่อน

      @@jumaamohamed2815 simjui ndio we humuon

  • @Marjeby
    @Marjeby หลายเดือนก่อน +4

    Daaah aiseee jamaa mpaka kuongea kama Jakaya Kikwete nomaa sana

  • @stephenaxwessp7087
    @stephenaxwessp7087 20 วันที่ผ่านมา

    Maajabu kweli. Yaani unapata nafasi ya kumhoji and that is all you can do? Inabidi ukasomee journalism upya. Umetuacha hadhira with a lot to be desired. What a waste

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v หลายเดือนก่อน

    Lishe mazoezo kuchekiwa afya mara kwa mara ndio mana kikwete anaonekana kijana na huyu mdogo mtu anaonekana mzee.ila sauti nikikwete kwisha kazi.ila mzee kikwete mpemtaji mdogo wako aone wepesi maisha sio wemzee uwe kijana mdogo wako aonekane mzee mpige tafu lakibabe

  • @AsendeNyota
    @AsendeNyota หลายเดือนก่อน +3

    Mbona kama yeye ndo mkubwa. Kazeeka saan kuliko kikwete

  • @KedmonistMaconfidance
    @KedmonistMaconfidance หลายเดือนก่อน +5

    Kafanana naye sura hata tabia ya kujikuna kwao kichwani

  • @omarothman-bj2wf
    @omarothman-bj2wf หลายเดือนก่อน +2

    Yuk vizuri

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 25 วันที่ผ่านมา

    ELA BWANA,YEYE NDIO ANAONEKANA MKUBWA

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu หลายเดือนก่อน +5

    Naogopa kusema jambo Mungu nitudishe nyumbani

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน +5

    Anafanana na ridhiwani

    • @Jurbeg
      @Jurbeg หลายเดือนก่อน

      Kweli 😂

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 23 วันที่ผ่านมา

    Anashindwaje Kuibzdili Nyumba Aliyozaliwa

  • @amonalexander1513
    @amonalexander1513 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona mdogo mtu kazeeka kuliko kaka mwenyewe?,au macho yangu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +2

      Pesa weweeeeeee

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 หลายเดือนก่อน +1

      Life style ndugu yangu tupo wengi huku mtaani

    • @Jurbeg
      @Jurbeg หลายเดือนก่อน

      Kweli bhana 😂

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 หลายเดือนก่อน +1

    Kama alipotoka Kikwete kuna foleni ya maji katika karne hii ya 21, basi Afrika kuna matatizo makubwa sana. Huenda dunia ikaisha kabla Afrika haijaendelea🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @IsayaMgaya-y2j
    @IsayaMgaya-y2j หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae agombee uraisi 2025 tumpe kura za ndio

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 หลายเดือนก่อน

    Amezeeka

  • @martinsafaris4314
    @martinsafaris4314 หลายเดือนก่อน

    Kweli ela ni kipodozi...ukiangalia anaonekana kama ndio kaka mtu.
    Mpaka unamuita MZEE MUHAMMED 😂 mbona huitaki mstaafu MZEE KIKWETE😂😂😂
    kwa ground vitu ni different bro!

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni mdogo wake kikwete? Au sijaelewa vizur

    • @BimHamdi
      @BimHamdi หลายเดือนก่อน

      Sauti ni kikwete mtupu haitaki tochi

    • @AsendeNyota
      @AsendeNyota หลายเดือนก่อน

      Ndio 😂😂 ulifikiri baba yake

  • @MidddleSimbaaa
    @MidddleSimbaaa หลายเดือนก่อน

    Aisee kikubwa usima

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +2

    Unajuwa viongozi wengi ambao walikuwa na hofu ya mungu kiasi familiya zao zakawaida

  • @HamadMahenya
    @HamadMahenya หลายเดือนก่อน +3

    Huyu anaongea kama ridwani

    • @abdullahwaziri5499
      @abdullahwaziri5499 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi kabisa sauti ya ridhiwan kabisa

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu หลายเดือนก่อน +2

    Maisha ya kawaida sana huyu baba sijui misaada ni hafifuu

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 หลายเดือนก่อน

      Atakuwa mkorofi kwa kaka yake.

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg หลายเดือนก่อน

    Huyu kafanana na ridhiwani sura hadi sauti.

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 หลายเดือนก่อน

    Kweli uyu ni familia.. vinasaba vipo kabisa.. sema tu wamemtelekeza sana kwa inavyoonekana dah

  • @josephmolle
    @josephmolle หลายเดือนก่อน +4

    Maisha tu ya kawaida sana licha ya kaka yake kuwai kuwa rais Wa nchi

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 หลายเดือนก่อน

      Heeee alikuwa Aishi vipi jaman

  • @linogracephord9785
    @linogracephord9785 หลายเดือนก่อน

    Vipi naye ni mwananchi au Madunduka?

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Huyu utopolo tu huyu😅😅😅

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 หลายเดือนก่อน +1

    Hence sadi hata mimi ktk picha kabla kufunguwa nilijuwa mwanamke nisamehe kaka kwa kufikiriya

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 หลายเดือนก่อน +2

    Amezeheka kuliko kakaake

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kachoka jamaa alikuwa hana muonekano huo miaka michache ya nyuma 😂😂 amerudi kijijini noma na vile hana hela duh!

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna magonjwa yafanya mtu kubadilika...

  • @HanceSadi-r8z
    @HanceSadi-r8z หลายเดือนก่อน +5

    Mm nilijua ni mwanamke kabla hajaanza kuongea

    • @ShukurkollAngel
      @ShukurkollAngel หลายเดือนก่อน +1

      Huna adabu, laana we !

    • @HanceSadi-r8z
      @HanceSadi-r8z หลายเดือนก่อน +1

      @ShukurkollAngel sioni sababu ya kuniita laana huo ndo mtazamo wangu kwani nimee mtuc? Vp ndugu?!

    • @Jurbeg
      @Jurbeg หลายเดือนก่อน

      ​@@HanceSadi-r8z🫡🫡🫡

    • @NoelChambo
      @NoelChambo หลายเดือนก่อน

      ​@@ShukurkollAngelunamakengeza

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      ​@@HanceSadi-r8zitakuwa wewe unavibasaba vya kike kama ulisoma seminari basi utakuwa ulibanduliwa

  • @HamadMahenya
    @HamadMahenya หลายเดือนก่อน +2

    Huyu anaongea kama ridwani

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 หลายเดือนก่อน

      Yes

    • @jumannerizimbura6750
      @jumannerizimbura6750 หลายเดือนก่อน

      Kidogo niseme kitu. Yaani anafanana na Ridhi kweli2 utadhani ndo nanihii wake