ASKOFU GWAJIMA | Kutoka kuwa mchoma mkaa mpaka kumiliki Helkopita

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2021
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 285

  • @nelsonkiula9879
    @nelsonkiula9879 3 ปีที่แล้ว +49

    Natamani 2025 ugombee urais naamini utawajali wenye Maisha ya chini kama mpendwa wetu Magufuli alitupa moyo tufanye kazi kwa bidii uku akitusupport

    • @anithafesto3010
      @anithafesto3010 2 ปีที่แล้ว

      Asante bb kwel akna ajuae kesho yake mngu akubalik unafaa kuwa kiongoz

    • @stevenrichard189
      @stevenrichard189 2 ปีที่แล้ว

      Naiwe ivoo kwa jina la Yesu

    • @rachelmikey5493
      @rachelmikey5493 ปีที่แล้ว

      Mi nlisha s jisemea nataman awe rais

    • @rachelmikey5493
      @rachelmikey5493 ปีที่แล้ว

      Namuombea MUNGU amuwezeshe

    • @user-co1tx2cz1r
      @user-co1tx2cz1r 11 หลายเดือนก่อน

      Watu wenye shuhuda wanayajua maisha hata wakiwa viongozi watawajali wanaowaongoza

  • @ngwanamabande8036
    @ngwanamabande8036 3 ปีที่แล้ว +9

    Gwajima wewe kwa sasa hauongei na kanisa unaongea na nchi yetu we love you.! 25 gombea urais , wewe ni Musa wetu usikasilike ukamtenda Mungu zambi

  • @conceptananjala2067
    @conceptananjala2067 3 ปีที่แล้ว +24

    Hii maisha ninayoishi sio sehemu ya maisha yangu Mimi naenda kwenye kusudi langu barikiwa the servant of God amen

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 2 ปีที่แล้ว +3

    Umenipa Nguvu Baba Naiona Kesho Bora Sana

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 ปีที่แล้ว +15

    Wote tunaokusikiliza Mungu alikuwa ashakuwa asha panda haya kakwo. Kwa ajiri yetu.. ndani mwako...... Mungu alituona

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 3 ปีที่แล้ว +6

    Ukimsikiliza Askofu Gwajima hautakata tamaa katika maisha. Utapsmbana mpaka upate mafanikio kwenye maisha. Isijalishe magumu unayoyapitia. Kwa kweli wewe umebarikiwa na Mwenyezi Mungu. Ni wachache wenye roho kama wewe. Mungu azidi kukubariki.

  • @rosemaryblessed9682
    @rosemaryblessed9682 3 ปีที่แล้ว +26

    People come from nothing to something Gwajima may God continue to bless you
    Encouraging words🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @magangamalale9939
    @magangamalale9939 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewendio unastaili mana unatia moyosana asante gwajima 👏🏾👏🏾👏🏾

  • @ericmtalemwa3573
    @ericmtalemwa3573 3 ปีที่แล้ว +22

    My brighter tomorrow is around.

  • @user-ur7vv6tz6w
    @user-ur7vv6tz6w 11 หลายเดือนก่อน

    Askofu Gwajima nakupenda sana umenifundisha neno la Mungu.Rioba.

  • @ratohabi6459
    @ratohabi6459 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli Mungu akubariki sana young brother. Bwana Mungu wetu Jesus Christ anapenda sana wanaozungumzia mapito yao bila aibu.

  • @pendaelnm6623
    @pendaelnm6623 3 ปีที่แล้ว +4

    The same story to me nilisha beba mkaa wenye Moto kichwani .
    Sitazisahau hizo siku .
    Leo kila mtu aliyefanikiwa watu wanamwita majina mabaya bila kujua historia ya mtu .
    Mungu akubariki Sana Bishop Gwajima

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapa nilipo sio mahali pangu.mungu.anaenda kunipa mahali pangu Ameen

  • @hbdina
    @hbdina 3 ปีที่แล้ว +11

    Love Askofu Gwajima ❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 May God our Jehovah bless you in Jesus name Amen

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen...Nimewahi pita kwenye hayo na bado nasonga mbele,naamini ipo siku nitafika

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 3 ปีที่แล้ว +4

    Namshukuru mungu kwa kukufahamu baba nimejifunza mengi na nimepata ufahamu mkubwa maishani mwangu (shalom)

  • @kelvinmulengo8555
    @kelvinmulengo8555 3 ปีที่แล้ว +10

    Powerful message man of God am following you papa preache to the world am Kelvin watching you from Lusaka Zambia

  • @rodrickmataba8999
    @rodrickmataba8999 3 ปีที่แล้ว +4

    Powerful message Mtumishi. Umetugusa vijana tunaopambana

  • @juliusmakongoro4726
    @juliusmakongoro4726 3 ปีที่แล้ว +6

    AAA gwajima umenikosha bwana kumbe fani nimoja

  • @edwardkimaro5383
    @edwardkimaro5383 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nimeipenda Askofu.
    Ninapata nguvu mpya kwa neno la Ushuhuda wako baba.

  • @daudipaulo-jb5us
    @daudipaulo-jb5us ปีที่แล้ว

    Amina baba na endelea nimepokea kitu hapa leo ujumbe mzuri sana

  • @rv.anicetomari9166
    @rv.anicetomari9166 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen Mungu akubariki mtumishi kwakunitia nguvu maana najiona nikiwa mshindi kupitia Mungu

  • @MumQueen
    @MumQueen 3 ปีที่แล้ว +11

    No situation is parmanent. Glory to Jesus

  • @julietknight6270
    @julietknight6270 2 ปีที่แล้ว +4

    You are an encouragement Sir! Remain blessed. I thank GOD for you.

  • @tumainimwanyonga4195
    @tumainimwanyonga4195 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu Mwema atatutoa mbali hongera unatia moyo kila wakati viwango vingine vipo tena Glory to God ubarikiwe safi sana

  • @kusigwamakoye1300
    @kusigwamakoye1300 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen sana Askofu Gwajima nimependa sana inatia moyo iyo story.

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina barikiwa mtumishi kweli

  • @segolinetingo2916
    @segolinetingo2916 2 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana gwajima ..c km wengine mafuta ya upako ..nakupenda sana kuna sehemu unatakiwa kuwa

  • @emmanuelinkilijiwakapalata3516
    @emmanuelinkilijiwakapalata3516 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi wa Mungu
    Nimeipenda sana hiyo story nimejifunza kitu kikubwa sana naamini mafanikio hua yapo tu kwa yule aliye na juhudi ya kazi na si mvivu.

  • @kelemakelema3705
    @kelemakelema3705 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen bishop unanifurahisha kweli leo

  • @baltazalbusanya8851
    @baltazalbusanya8851 3 ปีที่แล้ว +6

    Askofu nimeipenda hii story naitaji mwendelezo wake

  • @mrslucasndoka2920
    @mrslucasndoka2920 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Asante baba kwa shuhuda nimejifunza kitu kikubwa sana ubarikiwe sana🙏🙏🙏

  • @richardnyitambe9603
    @richardnyitambe9603 3 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima you good mungu awe pamoja nawe Sana

  • @alphajara1170
    @alphajara1170 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen najua Mungu ako upande wangu

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmh maisha ni safari ndefu sana. Ni neema ya Mungu tuu.

  • @achileedgar3008
    @achileedgar3008 3 ปีที่แล้ว +10

    Hakika Askofu nimekukubali Sana Maana umetoka mbali.ila Jana ulivyoongea kuhusu Corona nimekuelewa Sana.

  • @jamesojode7758
    @jamesojode7758 3 ปีที่แล้ว +12

    That message is encouraging.

  • @tumainimwanyonga4195
    @tumainimwanyonga4195 3 ปีที่แล้ว +4

    Umenifurahisha inapendeza Mtumishi

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 ปีที่แล้ว

    Hiyo kazi nimefanya mtumishi Mungu akubarik sana

  • @kiangemohamed6126
    @kiangemohamed6126 3 ปีที่แล้ว +6

    This is courageous Pastor. Amen

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 ปีที่แล้ว +2

    Umenibariki sana mpendwa wangu!!!gwaji boy

  • @johnallen680
    @johnallen680 2 ปีที่แล้ว +1

    I believe in Jesus and everything is possible

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 หลายเดือนก่อน

    Shuhuda zako zinatia faraja sana, ubarikiwe sana.

  • @herrysedward3591
    @herrysedward3591 2 ปีที่แล้ว

    Asante askofu nimeipenda hii fanya kazi kwa bidii utapasua kuliko pokea gari kwa upako wa maji na mafuta

  • @nelsonbreidon6600
    @nelsonbreidon6600 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Mtumishi. Nimembalikiwa naneno vzr amen

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye uvivu umeongea kweli hata umuombee vip sawasawa na bule🤝

  • @susananicolaus9189
    @susananicolaus9189 3 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima saiv tunakufatilia Sana wewe si kiongoz tu wakanisa bali ni wa nchi nzima

  • @franklinkessy586
    @franklinkessy586 2 ปีที่แล้ว +2

    Sikuwahi kujua kama Gwajima ni Genius

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 ปีที่แล้ว

    Amina ,amina mtumishi wa Mungu hakika nimekuelewa sana Mungu aendelee kukutunza.🙏

  • @hiland255fundi5
    @hiland255fundi5 2 ปีที่แล้ว

    Very interested sir Gwajima tutakuwa kama ww ngoja na sisi tukaze Mungu anatuona

  • @bibianajangandu1727
    @bibianajangandu1727 2 ปีที่แล้ว

    Amen baba ubarikiwe

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi umetoka mbali nimejifunza

  • @pst.johnmesa1621
    @pst.johnmesa1621 2 ปีที่แล้ว +3

    Glory to God

  • @filimonsima6317
    @filimonsima6317 3 ปีที่แล้ว +1

    Umefaa kuwepo hapo ulipo mungu akubariki anibariki na mm pia nipate njia yangu ya kutokea

  • @graceraphael3046
    @graceraphael3046 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza na kukupa afya njema mtumishi wa Mungu

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 3 ปีที่แล้ว +5

    Preach preacher 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ivanedwardtz
    @ivanedwardtz ปีที่แล้ว

    Amina Bishop

  • @denisrukangula7086
    @denisrukangula7086 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuchoma mkaa ni moja kati kazi ambazo zimetengenezwa na Mungu ili kuwapatia watu kipatoooo.... Ivo hii kazi kwanza ni nzuri na yenye kipato kizuri... Japo watu waweza kuiiona ni kazi ya kimaskin.
    Lkn ukingalia mkaa unatumiwa na kila aina ya watuu... Maskini na Tajiri

    • @magrethnimemsikiakatan496
      @magrethnimemsikiakatan496 3 ปีที่แล้ว

      Nimejifunza kitu hapo

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni ngumu Sana hiyo kazi.mama yangu amewahi kuchoma mkaa...hua hata sipendi kumbuka anihadithie Mara mbili

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo nimeipendaa na nimejifunzaa mnoo

  • @kazizaidi1695
    @kazizaidi1695 3 ปีที่แล้ว +4

    Askofu nimejifunza kituleo..
    Mungu nimwema

  • @stevenrichard189
    @stevenrichard189 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

    • @elizabethganai9520
      @elizabethganai9520 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina Nampokea mtu atakaye nihurumia mahari

    • @stevenrichard189
      @stevenrichard189 2 ปีที่แล้ว

      @@elizabethganai9520 Ubarikiwe mwana wa Ganai

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 ปีที่แล้ว +3

    such inspirational, see you at the top

  • @PIODETV
    @PIODETV 3 ปีที่แล้ว +4

    Ushuhuda mzuri sana huu

  • @francisbeda8346
    @francisbeda8346 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua, umenikumbusha

  • @emmysanga9763
    @emmysanga9763 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina 🙏🙏🙏hakiki mimi ni waviwango vya juuu

  • @user-vs2wi4cz2j
    @user-vs2wi4cz2j 5 หลายเดือนก่อน

    Baba umenigusa Sana njia ni moja

  • @ashuraabasi1744
    @ashuraabasi1744 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeniongezea Iman gwajima

  • @happykisite3990
    @happykisite3990 2 ปีที่แล้ว

    Amina Baba barikiwa

  • @ev.dorcasrehoboth8690
    @ev.dorcasrehoboth8690 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitimize kiu kilicho dani yangu. Powerful.

  • @masterkeymwakalanje5728
    @masterkeymwakalanje5728 2 ปีที่แล้ว

    Nimekubali pastor

  • @georginajohn8456
    @georginajohn8456 3 ปีที่แล้ว

    Amina Mchungaji Mahubiri yako yanajenga na kutia moyo sana

  • @rehemamalumbi4118
    @rehemamalumbi4118 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen Papa 🙏🏻🙏🏻

  • @edojoseph4273
    @edojoseph4273 2 ปีที่แล้ว

    Viva gwajima Mungu akuzidishie zaid na zaid

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 3 ปีที่แล้ว +2

    Powerfull message 🙏

  • @marcfreuryahishakiye5723
    @marcfreuryahishakiye5723 ปีที่แล้ว

    Naipenda saana askofu

  • @majaliwaelias1981
    @majaliwaelias1981 3 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima alipekecha moto kweli B.C

  • @fridamhapa1437
    @fridamhapa1437 2 ปีที่แล้ว

    Asante rais ujaye

  • @alamnyopo9739
    @alamnyopo9739 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameeeen

  • @medeckmichaeli9851
    @medeckmichaeli9851 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Baba

  • @laurentmihayo1117
    @laurentmihayo1117 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni Mungu aitwe Mungu

  • @costalukeha5191
    @costalukeha5191 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa kamanda wa yesu unachakula chauzima

  • @pastorlameckchahoa7876
    @pastorlameckchahoa7876 3 ปีที่แล้ว +3

    AMEN Baba yangu Nakuombea sana kila wakati MUNGU AKUTUNZE Sana AKUPE Afya Njema Kila Wakati Utuhudumie Wanao tunao Kupenda sana💌💖

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana gwajima kwa mahubiri yako

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 ปีที่แล้ว

    Askofu hongera sana, una haki ya kufanikiwa ingawa uliharibu mazingira

  • @rukambap8846
    @rukambap8846 2 ปีที่แล้ว

    I like so much your testimony

  • @elizabethganai9520
    @elizabethganai9520 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa.Mungu akaushe bahari nipite

  • @athumanisaid2044
    @athumanisaid2044 3 ปีที่แล้ว

    Askofu Gwajima MUNGU AKUBALIKI SANA SANAA

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh kweli kaka niliwambia watu ktk kchma mkaa kaz kuzma wanasema kukata kumbe n wasiohenya

  • @EmanuelKajiba
    @EmanuelKajiba 4 หลายเดือนก่อน

    NGAJIMA AMINA SAAAAAANA SOMO ZULI LIMENIPONYA NA MIMI HUKU SUMBAWANGA LUKWA

  • @nyororotherock5567
    @nyororotherock5567 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Bishop

  • @meladluvanda8765
    @meladluvanda8765 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanah askofuu na xjui ww unaedislike this video unafikiria nini..!?

  • @emanuellyimo8993
    @emanuellyimo8993 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mtumishi

  • @godfreychristian7196
    @godfreychristian7196 2 ปีที่แล้ว

    amen Mungu akubariki sana

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 3 ปีที่แล้ว +4

    Niko dubai saa hii nime choma makaa tano mbili ni kajaza FH gunia 220 na kutibu mke wangu ambaye ameavya from 06 up to 2012 . Alikuwa na tatizo la kuavya / miscarriage . For really anavyo zungumzi muchungaji is true .

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa kabisa 👏👏👏

  • @veronicajohn3109
    @veronicajohn3109 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu, nakuamunia endelea kutuinjilisha

  • @shadrackjaphali8036
    @shadrackjaphali8036 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @kasililamecksatano7302
    @kasililamecksatano7302 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali baba mchungaji

  • @GIFTEMANUEL
    @GIFTEMANUEL 9 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah!!!

  • @anordjoseph2091
    @anordjoseph2091 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu unafundisha vizuri sana