He is my father. Tangu nilipomfahamu Askofu Gwajima, na nilipoanza kuwa mwanae, maisha yangu yamendelea kubadilika na kuwa maisha chanya. Mapungufu yangu yamekuwa yakipungua siku hadi siku ninapojifunza Neno la Mungu kupitia mtumishi wake, na nitafikia pale Mungu aliponipangia niwe. Amen
Pastor, unafundisha vizuri sana. Namtukuza Mungu kwa ajili yako. Lord Rothschild wa Uingereza wamesema yeye na wenzie waliunda taifa la Israel. Na ni wazi kuwa Israeli siyo taifa la MUNGU tena baada ya Mafunuo ya Yesu Kristu. Je huoni kuwa kwa kuwa ona Israel kuwa taifa teule la MUNGU ni kumpinga Kristo ambaye ndiye utimilifu wa election?
Kwa ufahamu wako tu wa kawaida, unahisi taifa la kutengenezwa tu na kikundi cha watu, linaweza kushinda nchi 7 kivita ndani ya siku 7 tu? TUMIA TU AKILI YA KAWAIDA KAMA YA KIROHO INAGOMA
Amen, wewe ni baraka kwangu nikiwa kenya
Nimejifunza mambo mengi ya Mungu through pastor Gwajima
Barikiwa sana mtumishi gwajima u are a blessing to many.
Penda sana mafundisho Haya God bless you bishop gwajima
Ntatafta no yake nisaidie
Ubarikiwe sana baba Askofu Gwajima (Jasusi La Mbinguni)!
Kweli mtumishi wa mungu ktk Kristo yesu atupendae❤❤❤
Amen 🙏 amen.
Asante sana kwa mubaraka huu
Mimi. Nataka nipate neema nimuone live. Namuona akiwa mkuu mahali pa juu sana
Ubarikiwe asikofu wetu
He is my father. Tangu nilipomfahamu Askofu Gwajima, na nilipoanza kuwa mwanae, maisha yangu yamendelea kubadilika na kuwa maisha chanya.
Mapungufu yangu yamekuwa yakipungua siku hadi siku ninapojifunza Neno la Mungu kupitia mtumishi wake, na nitafikia pale Mungu aliponipangia niwe.
Amen
Umebarikiwa kukua na askofi anayeona bali
Amen 🙏🙏🙏
AMEEN AMEEN NAPOKEA KWA JINA LA YESU 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙌🙌
Ameen Ameen nabarikiwa sana
My lovely dady, I love you so much.nimeshinda vita kupitia neno lako.
Mungu akubari imani yangu umeijenga
Ayayayaya,uwiiii,Asante sana.
Nobody can stop my destiny
Kila mmaleki anayepinga hatima yangu katika njina la yesu avutwe kutoka kwa uso wa Dunia this the prayer of this week
Nawafuta katika uso wa nchi katikaaa njina layesu
Ameniii mtumishiii mungu akutangulie
Ameen hakika haleruya
Amen
Maono mazuri hatma ya mtu imepangwa na MUNGU.
This one has really taught me.. may God keep you
Amina Mtumishi wa Munngu
God bless you much for cute words which edifying soul and heart
Amen Baba nakuerewa Sana barikiwa
Amen nimebarikiwa sana
From kenya following
Ama ajili ya yesu hujapata hasara ni faida tu. Ama yesu hakuna hasara
Ameeen
Nabariwa sana baba yangu
Amina sana najihiasimshindi
Uzidi kubarikiwa mtumishi wa BWANA
Glory be to GOD of Israel
Thanks Bishop
Ameeeee
Ameeeen
Amina
Aisee Bishop mbona umenifungua macho sana na huu ujumbe,Mungu akutunze sana
Wewe ni zawadi ya kanisa bishop Gwajima
Ameen
Aaamee
Sina hata la kusema jamani gwajima amenifungua MUNGU akubaliki
Mungu akutunze mtumishi wake! Tunapona na zaidi ya kupona
Following from kenya..
Aimen
Haleluya 🔥 🔥 ❤
Real blessed
Mimi ntakua vile Mungu anataka niwe
Powerful
AAAAAAAAAAMMEEEEEEEEN!!!
Amen baba yangu
Im praying for you to be the next president of TZ 🎉🎉🎉
Woooow
Amee baba gwajima lkn mmi npoo kagera biharamlo mzan ninaomba uniombee maana nkpata kaz haidumu kabsa
Na yesu alikuwa anatumia mwezi januar to desember au mwezi muandamo?
Samahan wapendwa hiv tar 25 desemba ndo siku aliyozaliwa yesu
Siku Yesu alipozaliwa, ndo siku tulianza kuhesabu siku, na ndo maana tunasema, miaka 2024 baada ya Yesu Kristo kuzaliwa.Najua unajua hivyo
Pastor, unafundisha vizuri sana. Namtukuza Mungu kwa ajili yako.
Lord Rothschild wa Uingereza wamesema yeye na wenzie waliunda taifa la Israel.
Na ni wazi kuwa Israeli siyo taifa la MUNGU tena baada ya Mafunuo ya Yesu Kristu.
Je huoni kuwa kwa kuwa ona Israel kuwa taifa teule la MUNGU ni kumpinga Kristo ambaye ndiye utimilifu wa election?
Kwa ufahamu wako tu wa kawaida, unahisi taifa la kutengenezwa tu na kikundi cha watu, linaweza kushinda nchi 7 kivita ndani ya siku 7 tu?
TUMIA TU AKILI YA KAWAIDA KAMA YA KIROHO INAGOMA
@@kabigumila,, nahitaji kujifunza toka kwa pastor. Swahili langu nila kisomi. Tunaita supercessionism. Hivyo nilitegemea atakuja kunijibu.
Mungu akutunze Mtumishi! Tunamuona Mungu akisema nasi kupitia wewe. Asante
Kitabu gani mchunganji alisema ?
Mtu akikusikia tu, hata kama hajijui anaaza kujijua.
Nafuta waamaleki wotee
Natamani kukutana na ww nikwambie kitu.
Ameen
Amen .
Amen
Amen
Amen
Amen
Ameeen
Amen
Amen
Amen