Nakumbuka siku yule dogo aliponitaja | Askofu Gwajima asimulia kisa hiki tena

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 358

  • @MirriamMeshach-j2c
    @MirriamMeshach-j2c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha wazidi kunitegeneneackeshovyangu

  • @chikuluchidodokochiitingan340
    @chikuluchidodokochiitingan340 3 ปีที่แล้ว +14

    Wewee ni munguuu eeeee.olee wakoo utakapokutanaa na mungu wa kwelii utajutaa";

    • @muudjumaa1841
      @muudjumaa1841 3 ปีที่แล้ว

      Olee wake

    • @fredyona5780
      @fredyona5780 3 ปีที่แล้ว

      Huyu kuna kitu anatafuta,akasome habari za mfalme nebukadineza

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 3 ปีที่แล้ว +3

      Hujui maandiko ama? Unashangaa nini sasa?. Biblia inasema "ninyi ni miungu wa dunia hii" sasa unashangaa nini?

    • @salomenachunga3590
      @salomenachunga3590 3 ปีที่แล้ว +1

      Mafundisho makubwa haya, yanahitaji wenye uelewa mkubwa, yanawataka wenye kufahamu, ndipo watafahamu 😅 tunafundisha kwa hekima ya ki Mungu si dunia

    • @brothermoud631
      @brothermoud631 3 ปีที่แล้ว +1

      @@richardboaz-mashagospel2346 wee zombi sana ....
      Kwaiyo na ww ni mungu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nampendaga sana askofu gwajima nainjoy gwajima kuzaliwa Tanzania

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว +11

    Sasa je ni kweliiii? Au uwongo ooo!. Hebu tuambie huku ukimwogopa Mungu. Maana sisi hajui kinacho endelea. Msituingize kwenye mataa.

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KAMROGA MAKONDA HUYO ANAPENDA UCHAWI.

    • @sebastianmwita9149
      @sebastianmwita9149 3 ปีที่แล้ว

      Baba askofu yupo sawa, mimi tokea nianze kufuatilia mafundisho yake, kiukweli nimekuwa nipo tofauti sana, nimeanza kumfatilia tokea 2017, kabla ya hapo nilikuwa simjui na nilikuwa sijawai kulisikia jina lake Popote pale, ila nilianza kumsikia kipindi cha mchakoto wa katiba mpya, alipompa makavu KADINALI PE- -GO

  • @eugenedesdery9879
    @eugenedesdery9879 3 ปีที่แล้ว +15

    Mimi ni mtoto wako japo hunifahamu nakupenda sana baba

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 3 ปีที่แล้ว +1

      Unamaanisha baba aliyekuzaa au kiroho

    • @eugenedesdery9879
      @eugenedesdery9879 3 ปีที่แล้ว

      Yote mema

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 3 ปีที่แล้ว

      @@eugenedesdery9879 Unamaanisha nini kusema yote mema??

    • @eugenedesdery9879
      @eugenedesdery9879 3 ปีที่แล้ว

      Namaanisha yeye ni baba yangu kama yeye alivyo ndivyo nilivyo

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 3 ปีที่แล้ว

      @@eugenedesdery9879 Hongera ila inauma sana kumfaham baba yako afu yeye hakujui hii ni laana hakikisha unamwendea akujue usije beba laana hiyo na wewe

  • @omarymvungi6409
    @omarymvungi6409 3 ปีที่แล้ว +7

    Dogo bwana hahahaha Tanzania nzuri Sana jamani

  • @sebastianmwita9149
    @sebastianmwita9149 3 ปีที่แล้ว +8

    Barikiwa sana, baba Askofu mafundisho yako yamenipigisha hatua sana, umesababisha ndoto zangu zitimie haraka, kwa jina la Yesu kristu

  • @christophermika6968
    @christophermika6968 3 ปีที่แล้ว +8

    wewe Pastor duu!! Majeshi majeshi kweliii

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 3 ปีที่แล้ว +8

    NAKWELI UMEMTOA KATIKA ULIMWENGU WA KISIASA NA KUTOKUKUBALIKA NA WATU DUUH NA WEWE UMEINULIWA KWENYE ULIMWENGU WA KISIASA.

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KAMROGA NA MAMBO YOTE YA WACHAWI ANA YA JUWA YEYE.

    • @amanimanase1591
      @amanimanase1591 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimsaid7200 si mwingine ni makonda eti

  • @abelmbilinyi7401
    @abelmbilinyi7401 3 ปีที่แล้ว +17

    Mafundisho na mahubiri yako yananipatia nguvu ya kuendelea na maombi ya kupambana na vikwazo katika matarajio yangu ya kila siku na familia yangu

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 3 ปีที่แล้ว +10

    I understand you properly bishop gwagima

  • @yvesntawuyamara1972
    @yvesntawuyamara1972 3 ปีที่แล้ว +11

    Warola 12:17-21. 17.Msimlipe yeyote uovu kwa uovu. Zingatieni mambo yaliyo mema kulingana na maoni ya watu wote. 18 Ikiwezekana, kwa kadiri inavyowategemea ninyi, fanyeni amani na watu wote. 19 Wapendwa, msijilipizie kisasi bali iachieni nafasi ghadhabu; kwa maana imeandikwa: “Kisasi ni changu; mimi nitalipa, asema Yehova.” 20 Lakini, “ikiwa adui yako ana njaa, mlishe; ikiwa ana kiu, mpe kitu anywe; kwa maana kwa kufanya hivyo utakusanya makaa ya mawe yanayowaka juu ya kichwa chake.” 21 Usiache ushindwe na uovu, bali endelea kuushinda uovu kwa wema.

    • @charlesemidy2615
      @charlesemidy2615 3 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 3 ปีที่แล้ว +1

      Umenigusa sana ndugu yangu...Naomba tutafutane Facebook...Natumia jina la "Boaz Kibona a.k.a Sir:Kibo@Gold.!

    • @farajachesco985
      @farajachesco985 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwan amesema alipigana kimwili? Alipigana kwa maombi acha kuhukumu

    • @atusbaraka
      @atusbaraka 3 ปีที่แล้ว

      I like it

    • @dizla_mgz
      @dizla_mgz 3 ปีที่แล้ว +1

      Yesu alisema akikupiga shavu la kulia mjeuzie la kushoto usimlipize

  • @bernardsamizi7289
    @bernardsamizi7289 3 ปีที่แล้ว

    Maskini kweli umenikumbusha habari za Bashite hivi kapotelea wapi huyo Bashite???.Kweli Mungu yupo Duu! Kweli ulimfuta kwenye uongozi na utawala.Kweli amtegemeaye mwanadamu AMELANIWA.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Gwajima hakika ni baba sababu hakutaka kukimbizana bila kujiweka sawa. Umevamiwa , silaha huna na una Yesu unamwita Yesu akupe Majibu na silaha ya kutumia. EEEH mfalme teta nao watesi wangu kokote waliko silaha zao zianguke chini au ziwamalize wao kwa wao. Majaribu ni mengi na Mungu hashindwi lolote anafanya tu. AMINA.

  • @charlesnkasi9904
    @charlesnkasi9904 3 ปีที่แล้ว +20

    YANI MCH.GWAJIMA MIMI NAGUSWA SANA NA MAHUBIRI YAKO NAYAPENDA NA PIA NAKUPENDA SANA MANA UNASEMA UKWELI,WEWE NDO ELIA WA SASA.

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Eliya😅😅😅😅😅
      Hivi wewe unasomewa biblia au unasoma mwenyewe???

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Hujaiona Video yake na yule mwanamke????

    • @kingmwaxoh6420
      @kingmwaxoh6420 3 ปีที่แล้ว

      @@myself4128 yale mauno sasa

    • @GisubizoTheddy-xg3mh
      @GisubizoTheddy-xg3mh 2 หลายเดือนก่อน

      Hongela mno BaBa yangu

  • @bejishful
    @bejishful 3 ปีที่แล้ว +9

    Amen, mtu ukinijia hovyo jiandae kufa!! Asante baba!

  • @shine-tv9jw
    @shine-tv9jw 3 ปีที่แล้ว +2

    Radio kwenye helicopter gwajima hapo umedanganya, sasa baba ilikuwa station gani mtumishi.

    • @benardayoub6137
      @benardayoub6137 3 ปีที่แล้ว

      Ndo apo ss😂😂

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni tapeli na watu hawana uelewa wanashangilia

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 3 ปีที่แล้ว +4

    Mnafik huyu eti yy mungu

  • @fettycute3939
    @fettycute3939 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen nakuelewa sana baba napenda mafundisho yako

  • @pantalokulaya9823
    @pantalokulaya9823 3 ปีที่แล้ว +1

    Halafu cha ajabu wote ni kabila moja.

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 ปีที่แล้ว +5

    Amekupigisha hatua mbele kwenye mema. Safiii

  • @daliuskaloli3368
    @daliuskaloli3368 2 ปีที่แล้ว

    Ila mungu ni mukubwa alikiona chamoto huyo dogo nanajua mpaka Sasa anamkubari huyo mungu wako

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +1

    Mithali :141: 3,na zab: 39:1 omba sana hii mtumishi wa Mungu .adui Ni wengi.usikubali kutumuka.niliona wakati mbunge fidodilo akijaribu kupunguza nguvu zk za kuitetea chanjo .ila wewe unasimamaga kwenye kweli. Malinda alituokolea vijana wetu na madawa ya kulevya ivo mwacheni

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 ปีที่แล้ว +5

    Usanii mtupu..toeni sadaka tuu mchangie helicopter na utajiri wake

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 MUNGU KUNYA HUYO.

  • @futbolhighlights2061
    @futbolhighlights2061 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwenye mapepo wanajua kesho yako hapo naamini...

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hayupo Mungu ni mkuu sana.

    • @BENCOLE510
      @BENCOLE510 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona karudi

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama kweli waeza fufua kamfufue magufuli 😂😂😂

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 3 ปีที่แล้ว +1

      Amfufue dikteta ili nini? Hata akirudi akifufuliwa hatakua na na nafasi tena!

    • @bigbossmanbossman6946
      @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Ndu-wa.uroony2 basi amfufue mamake

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว +2

    Ulimfuta dogo kwenye ulimwengu wa roho hakika umemfuta dogo leo wewe ni Mkubwa kuliko bashite na kovakova

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 3 ปีที่แล้ว

      Engineer Gwajima.Popote ulipo yupo.Atakutandika mijerewdi ya hatari

  • @greathope2514
    @greathope2514 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda maneno yako sana uko vizuri ijapokuwa sisi watanzania hatujui kumutumia mtu mwenye upoko wa hari ya juu

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu kachukua masaa kakita ndege kuanzia dodoma adi dar mungu gani uyoo😃😃😃😃

    • @salimsuleiman6969
      @salimsuleiman6969 3 ปีที่แล้ว

      Hahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @julieluziga1095
    @julieluziga1095 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa mbinguni azidi kukuinua baba. Mimi si muumini wako lkn napendaga hekima zako za Kimbingu. Mafundisho yako huwa yananitafakarisha upya kuhusu Mungu!

  • @FrankMichael-us4dr
    @FrankMichael-us4dr 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mungu tangua kauli yako baba ila tunakupenda

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtu wa Mungu kuongea mambo yaliyokwisha pita na watu wakashikana mikono Kuna nini hapa?!?!?!ss so mbumbumbu bhaba

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      HUYO LAANA ISHAMPATA YA KUJIFANYA YEYE MUNGU KILA SIKU ZIKI SONGA DUNIA NZIMA ITAJUWA KAMA KALA ANIKA.

    • @geoffreywilliam6225
      @geoffreywilliam6225 3 ปีที่แล้ว

      Anakumbushia tu siyo dhambi

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@geoffreywilliam6225 NA ANAPOSEMA YEYE MUNGU TUMWAMINI????

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว

      Huo ni ushuhuda Wala tatizo kusema ni ushuhuda unaoonekana.sema tatizo nikujiita MUNGU daah

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว

      @@estermathias8354 sasa asemapo dogo Ni kwamba hajasamehe tusonge mbele kwa shuhuda zenye tija sio kuturudisha Misri

  • @NazarethNgwira
    @NazarethNgwira 2 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe huu umenigusa ktk malawi

  • @medardissa6253
    @medardissa6253 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo siyo Injili ya ukweli,Yesu kristo alisema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto! Msimlipe mtu kisasi. Sasa hiyo yako ya kulipa kisasi umeitoa wapi?

    • @salimsuleiman6969
      @salimsuleiman6969 3 ปีที่แล้ว +1

      Badilikeni kdg... umeona wapi Mungu kupanda ndege

  • @anafihamis27
    @anafihamis27 3 ปีที่แล้ว +6

    Dogo Leo kabaki story....

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      KESHA LAANIKA HAJUWI ASEMALO.

  • @lovemercygodmercy6400
    @lovemercygodmercy6400 3 ปีที่แล้ว +3

    Iwe FUNDISHO KWA WANAOSHAMBULIA SHAMBULIA WATU KWA MAKOSA BILA KUJUA umebeba nini.

  • @sweetbertkikarugaa8814
    @sweetbertkikarugaa8814 ปีที่แล้ว

    Mafundisho yk uwa yananigusa asikofu

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sio msharika wako ila nakupenda sana sababu ya mahubiri yako. Yanachoma ila yanajenga

  • @maryannqueen7356
    @maryannqueen7356 3 ปีที่แล้ว +1

    Majisifa ama Hivyo ndivyo anahubiri?? Yani ana ndege na makanisa lila mkoa...sasa na vile TZ NA afrika uchumi uko chini, pesa Unatoa wapi??

    • @davidmumo2512
      @davidmumo2512 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwani Mungu ni maskini?

    • @maryannqueen7356
      @maryannqueen7356 3 ปีที่แล้ว

      @@davidmumo2512 ahh so, Mungu Kampa Yeye?? Ahh pole sikujua,,.. nilijua mungu anawapa wote wanaomuomba.. pole Kafka kama nimekukwaza

    • @davidmumo2512
      @davidmumo2512 3 ปีที่แล้ว +1

      Washirika wa kanazawa hutoa zaka na sadaka mchungaji anayechunga kanisa akinunua ndege Alienda kutembelea makanisa sio ya sterehe

    • @maryannqueen7356
      @maryannqueen7356 3 ปีที่แล้ว

      @@davidmumo2512 wau!!! Respect

  • @JohnCIZA-Kusinza
    @JohnCIZA-Kusinza 11 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu tapeli, alishindwa kumfufua Jiwe!!!

    • @zephaniahlubuvah3185
      @zephaniahlubuvah3185 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni chombo tu yeye hutamka tu lakin mwenye kufufua ni Mungu.

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว

      Hakili zako ndiko ziliko ishia😏😏

    • @zakariaandrew6976
      @zakariaandrew6976 3 ปีที่แล้ว

      Uwezo wako wa kufili umeishia hapo nyumbani kwenu. Pole yako

  • @nicotv4162
    @nicotv4162 3 ปีที่แล้ว +1

    Muda ni muamuz wa mwisho, sote tutahukumiwa na Mungu mmoja, wakati ukifika basi wew na makonda Mungu atamchagua wake msema ukweli

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 3 ปีที่แล้ว +1

    Lungu la BWANA ubarikiwee

  • @mikastevenwahenga105
    @mikastevenwahenga105 ปีที่แล้ว

    KESHO YANGU INANOLEWA

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +6

    Mie najua Amina team msoga walioguswa juu ya madawa ya kulevya wamekutuma uwasafishe maana uliwachafua sana

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 3 ปีที่แล้ว +7

    Matapeli wewe na Dogo lako

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 ปีที่แล้ว +5

    Gwajima kama huyo alikulaani akalaniwa alitaka akufutilie mbali akapotea yeye basi Mimi moses mwailenge nakubaliki kama yesu aishivyo uwe na mwisho mwema saana ili namimi nibalikiwe Amina nakupenda saana msema kweli bila kutazama sula🙏🙏🙏

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +1

    WACHAWI WACHAWI WACHAWI wanahangaika na hatima zetu. He rode, Yusuf Yesu Kristo na mamajusi oooh.

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani wallah Leo kuona binaadamu wanajiita miungu Allah akuongoe ujue kwamba yeye tu ndio mungu wa pekee nakama sio mtu wa kuongoka basi allah akupe maradhi ya kuanguka hovyo duniani na akhera sasa umevuka mipaka unajifanya firauni

  • @djakmovie7198
    @djakmovie7198 ปีที่แล้ว

    Kanisa linapatikana wapi?

  • @NazarethNgwira
    @NazarethNgwira 2 หลายเดือนก่อน

    Nini baba napitia

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji wewe uliwashitaki kwa Mungu kuomba na kufungaaa...Mungu alikulipa ilaulisahau kama uliwashiraki

  • @godfreymsendo5812
    @godfreymsendo5812 2 ปีที่แล้ว +3

    "Ukiona Mungu ameona,
    "Ukisikia Mungu amesikia,
    "Ukisema Mungu amesema,
    Ukinyamaza Mungu amenyamaza
    ✊🏾🙏

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 2 ปีที่แล้ว

    Hi si injili ya Yesu

  • @christinamngara8277
    @christinamngara8277 2 ปีที่แล้ว

    yesssssssssssssssssssssssssssssssss

  • @herodeshoo8070
    @herodeshoo8070 3 ปีที่แล้ว +1

    Hilo la mayahudi nimekuelewa sana

  • @fredrickerasto349
    @fredrickerasto349 3 ปีที่แล้ว +5

    Am not much sure kama unaweza kuombea wenzako mabaya, ingekuwa hivyo hata Yesu asingefika kwenye Ufalme. Kumbuka ukipatwa na jambo jema au baya yakupasa kusema ASANTE. Huo ndo upendo wa agape

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ni mwongo tena roho mbaya kabisa na uchawi atakua nao maana sio kwa roho hio

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@jacksonngusi4122 MAFANIKIO GANI ANAYO JISIFIA KUIBA KURA????? MUNGU HANA SHIDA YA UBUNGE TAMAA YA DUNIA INA MSUMBUWA.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaaaa

  • @ariganyiraraymondbruce.1815
    @ariganyiraraymondbruce.1815 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen chombo cha Mungu.nibebarikiwa Sana

  • @emilyrissling9703
    @emilyrissling9703 2 ปีที่แล้ว

    Hiki chakula ni Cha Hali ya juu na sio Cha kila MTU,wengine kitawajenga wengine kitawatatiza kwa sababu NI ufunuo mkubwa Sana kwa watu walio tayarishiwa. NDIO sababu ...

  • @SamsOleupendo
    @SamsOleupendo หลายเดือนก่อน

    Amina pastor

  • @festusikwabe3416
    @festusikwabe3416 2 ปีที่แล้ว +1

    This is my massage. Bishop you are a heavenly mouth piece. Thanks daddy.

  • @neyhmrs7704
    @neyhmrs7704 2 ปีที่แล้ว

    AHSANTE

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 3 ปีที่แล้ว +2

    Sifa kwa Mungu Baba yetu

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 ปีที่แล้ว

    Ni. Kweli

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 3 ปีที่แล้ว +2

    AKIPEWA UTEUZI JE?,MAANA HUWEZI KUJUA.

    • @marechojohn4289
      @marechojohn4289 3 ปีที่แล้ว

      Uteuzi wa Nyokoooo

    • @geoffreywilliam6225
      @geoffreywilliam6225 3 ปีที่แล้ว

      Tayari anashikiliwa huko na dola kwa makosa mengi aliyofanya alipopewa uteuzi kipindi cha Magu

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 ปีที่แล้ว

    Amen Amen baba. Nimepata nguvu ya kusonga mbele. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🤺🤺

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว +3

    Bibilia inasema
    Vengeance is mine
    Halafu Toka lini Gwajima Ukawa Mungu??? Mungu gani ana video ya Ngono??

  • @evcarine8314
    @evcarine8314 3 ปีที่แล้ว

    Biblia himesema vita sivyenu vita nivyabwana sasa hinakuwaje mchungaji unatuambia mtu akikuchokoza mtandike?

  • @anglestinailungu9252
    @anglestinailungu9252 2 ปีที่แล้ว

    Mkutano wa lnjili Chamwino Dodoma Tarehe 4 Josephat Gwajima

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila silaha ulikotoka ikirudi ilikotoka

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

    Uzuri na raha ya Uwepo wa amaan Tz Congo, Somalia nk (kulikotoweka amaan) ni shida.
    WaTz tuilinde amaan yetu.
    But all in all dunia ni mapito na starehe zamuda.
    Mungu Mola Muumba anazo siri za kila mtu na siku ya hukumu/siku ya Kiama ndo kitaeleweka yapi magugu na ipi ngano.
    MWENYEMASIKIO NA ASIKIEEEEE

  • @salimsuleiman6969
    @salimsuleiman6969 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu gani ww unapanda ndege acha kudanganya watu......subiri ufe ndio utamjua Mungu

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 ปีที่แล้ว

      Ww Salim Suleiman ni mpumnavu ktk wapumbavu kwan ww unajua hautakufa kweli amakweli mpumbavu ni mpumbavu siku zote za maisha yake

    • @salimsuleiman6969
      @salimsuleiman6969 3 ปีที่แล้ว

      Acheni kupelekeshw nyinyi ......ww u amjua Mungu, ???? Yeye kama ni Mungu mbona hafufui watu waliokufa anawapanga watu na.kuwadanqanya wapumbavu kaa nyinyi

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni ww kujiona uko bora zaidi na hiyo dini ya majini na mapepo, hauna ishu za maana zaidi ya usenge na unafiki!!

    • @salimsuleiman6969
      @salimsuleiman6969 3 ปีที่แล้ว

      Jiongeze ww umeumbw na akili acha kupelekeshwa ......huyo gwajima anajua kila kitu anafanya hivyo kwa maslahi tu..unamfata huyo utaenda kumjibu nn Mungu aliekuleta duniani

    • @barnabasmajige8473
      @barnabasmajige8473 3 ปีที่แล้ว

      Kwan hao akina sule na mwaipopo ambao ni waganga wa kuuza madawa kwa kichaka cha dini unajua wanakokupeleka au unaongea km mtu usiyekuwa na hekima na neno la Mungu!!!

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 ปีที่แล้ว +4

    Aamen

  • @dizla_mgz
    @dizla_mgz 3 ปีที่แล้ว +1

    Kisasi ni cha Mungu , Yesu alisema akikupiga shavu la kulia mjeuzie na la kushoto

    • @emmiesulee4620
      @emmiesulee4620 3 ปีที่แล้ว

      We unaweza kugeuza Ilo shavu🤣🤣🤣🤣
      Ni mwendo wa vitasa tu

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani bado kuna watu wanamuamini huyu, kazi ipo

  • @merianmasangya6834
    @merianmasangya6834 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu tusaidie!

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 ปีที่แล้ว

    Utabiri kuhusu MAKONDA na CHADEMA na WEWE KUWA MBUNGE umetimia exactly....

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 ปีที่แล้ว +5

    wewe nimungu duhhhhh pole sana umepotea gwaji boy

  • @JeanPatrickBuhashe-ib2my
    @JeanPatrickBuhashe-ib2my 8 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu wako awe mungu wangu piya neema yako ini tawale mungu akufikishake hata suku moja huku congo(Bukavu)

  • @mangasonsamson2101
    @mangasonsamson2101 3 ปีที่แล้ว

    Mbona ulinunulia na magu ukatulia Tena mkawa urafki na huyo dogo Sasa Leo magu kafa ndo unajidai kurudia hayo maneno ya kutajwa mbona ulikaa kimya toka ulipolambishwa asali

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 3 ปีที่แล้ว +5

    MTU akijaa kwenye 18zako mtandike mpaka ahadithie wajukuu zake,

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 3 ปีที่แล้ว

    Ulisema unamfuta kwenye ulimwengu wa roho na wa mwili kweli kabisa umemfutaaa hayupooooo

  • @kissysimbaa2350
    @kissysimbaa2350 ปีที่แล้ว

    Dogo yupi uyo😂😂😂

  • @davidjasony8525
    @davidjasony8525 ปีที่แล้ว

    Mwanao nakupenda sana baba ishi hekima yako waione wajukuu zangu Nina miaka 27 hivyo ishi miaka 100+

  • @nadiasarah8844
    @nadiasarah8844 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @mangobase
    @mangobase 3 ปีที่แล้ว

    Wewe majina hayakuletwa na dogo bali na watu wanao kuzunguka usimlaumu dogo yeye alikua messenger.....mambo kamma hays mchungaji ni ya kusamehe yanapo kaa kichwani ni dalili ya kuto samehe

  • @sulemanishushaalain5171
    @sulemanishushaalain5171 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @hbdina
    @hbdina 3 ปีที่แล้ว +4

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️Love it

  • @markh8142
    @markh8142 3 ปีที่แล้ว

    Fact

  • @futbolhighlights2061
    @futbolhighlights2061 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 ปีที่แล้ว +1

    Mahibili mazuri Bishop.

  • @tinboy8815
    @tinboy8815 3 ปีที่แล้ว +1

    Eti,yy Ni Mungu!!! Siku akipaa na hyo helicopter akitua salama itakuwa miujiza

    • @emmiesulee4620
      @emmiesulee4620 3 ปีที่แล้ว

      Kashapaa mara3 n bado yupoo
      Vp ww uko salama uko au ndo ht chai ujanywa🤪
      Sisi ni Mungu wa dunia hii kijana tunamuwakilisha Mungu Sasa km husomi maandiko usikurupuke n imeandkwa laana isiyo n sababu haimpati mtu Sasa toa tu zikurudie

  • @ernestmbwana6282
    @ernestmbwana6282 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Pastor.
    Sijaokoka ila Napenda Sermon zako ni so Special ..

    • @emanuelandronicus2574
      @emanuelandronicus2574 2 ปีที่แล้ว

      Una kazi moja tu muamini Yesu tu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako na neema yake itakuwa juu yako yohana 3:18

    • @agnesmuthara3481
      @agnesmuthara3481 2 ปีที่แล้ว

      Okoka basi kaka

    • @eddyjunior2881
      @eddyjunior2881 2 ปีที่แล้ว

      Karibu kwenye WOKOVU bro

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 3 ปีที่แล้ว

    Kwani si waliyamaliza kwa Pengo kumbe huyu jamaa bado amelishikilia.

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +1

    Urongo mtupu

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji. Natamani sana ungetwambia kama ni wewe uliyetusaidia kuondoa lile tatizo lililokuwa linatunyima ajira.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +4

    Yesu alitufundisha kwamba mtu akikupiga shavu la kushoto, mpe na lakulia, vivyo hivyo akunyanganyaye shati, mpe na koti. 🤣🤣🤣🤣

    • @musakaphu4581
      @musakaphu4581 3 ปีที่แล้ว

      Na hivyo ndo tulinyang'anywa na wazungu na zaidi wakatuletea na matthew chpt 5. Verse10 wakatuibia na akili wakatuhifadhia na uchumi

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 3 ปีที่แล้ว

      @@musakaphu4581 🤣🤣🤣

  • @richardsilvanus8927
    @richardsilvanus8927 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna uhai kwenye mafundisho yako unajiongelea wewe na sio habari za yesu