ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

CHRISTINA SHUSHO AMEKUWA MWIBA KWENYE IMAN YA KIKRISTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.9K

  • @elishayohana6259
    @elishayohana6259 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pastor umeongea kwa Uchungu sana hakika Mungu atajibu katika hili vinginevyo Mungu amrehemu huyu Dada,
    Amekufa Kiroho lkn kimwili yu Hai, hakika Mungu wetu amrehemu amrudie Mungu wake 🙏

  • @user-yl4ud7gr8s
    @user-yl4ud7gr8s 4 หลายเดือนก่อน +40

    Asante baba Kwa haya uliyoyaona na kuwa na ujasiri wa kuitetea Imani yetu nikuhakikishie baba, Mungu hadhihakiwi na ni mwingi wa rehema atajibu Sasa hivi.

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 4 หลายเดือนก่อน +30

    Kabla Yesu Kristo arudi tutakuwa tumeisha ona mengi!
    Wakristo tukaze mwendo safarin bado🙏

  • @mossendoghwe317
    @mossendoghwe317 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umeongea kwa uchungu na maneno yaliyonyooka sana!

  • @stellamugara983
    @stellamugara983 4 หลายเดือนก่อน +10

    Asante mtumishi umeweka sawa kabisa.Dada Christina usishupaze shingo kubali maonyo mrudie Mungu upone.Pole mzee Shusho Mungu akutetee.

  • @rehemafyumagwa8005
    @rehemafyumagwa8005 4 หลายเดือนก่อน +19

    Mtawajua kwa matunda yao, pole sana mzee shusho, Mungu akutie nguvu

  • @ayubumbembati8658
    @ayubumbembati8658 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nilikuwa namkubali sana Christina kwa kazi zake nzuri na zaidi nilipenda sana kwa kutokuwa na skendo yoyote kwa kipindi chote. Kwa hiki kimetokea kimefanya nijiulize maswali mengi sana juu ya Dada Christina. Anyway Shetani nae yupo kazini muda wote, hivyo yeyote ajidhaniye kuwa amesimama na ajiangalie asianguke! Christina umetoa kali ya mwaka 2024! Mungu akusaidie.

    • @TedyanodiTedy-fp9mh
      @TedyanodiTedy-fp9mh 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna kitu kipo nyuma yapazia nyie hamuwezi kujuwa ndowa zina mambo mengi

  • @TawakalStorecoltd
    @TawakalStorecoltd 3 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks my brother for your good godly advice. May god bless you

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx 4 หลายเดือนก่อน +58

    Asante Daktari kwa kusafisha ukristo wetu. Huyu dada kwa kweli ni limbukeni na anahitaji msaada wa haraka.

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 4 หลายเดือนก่อน +6

      Huo wito wake si wa Mungu wa Abraham na Isaka na Yakobo Bali ni wa mungu mwingine.

    • @MerryPhilimon-es9gz
      @MerryPhilimon-es9gz 4 หลายเดือนก่อน

      Alienda hata Kwa yule nabii mweupe wa Arusha akapewa na mil kumi​@@maystellakajuna5461

    • @EstherCharo-lc3md
      @EstherCharo-lc3md 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂anahitaji msada gani yeye kama hata badilika angojee jehanamu ya milele

    • @billmkushi849
      @billmkushi849 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hosea 4:6 IPO kazini

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 3 หลายเดือนก่อน +1

      LIMBUKENI ! Je unauhakika/

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 4 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu Alie Ziumba mbingu na nchi na atusaidie sana pamoja na dada etu Christina binafsi nimeumia sana na MAOMBI YANGU arudi kwa Mungu Tena Yeye Mungu Bado ni WAREHEMA SAAANA

  • @AngelaObedi2
    @AngelaObedi2 8 วันที่ผ่านมา

    Ahsante mtumishi kwakutetea imani uyu dada ameiacha njia ya Mungu

  • @salamalupenza5082
    @salamalupenza5082 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nilikuwa mpenzi sana na nyimbo zako. Kwa hili sibarikiwi nazo tena. Nakuomba urudi kwa mmeo shetani yup kazini ameshaona udhaifu yako .

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 หลายเดือนก่อน +27

    Mimi binafsi kaniumiza sana. Nilikuwa nikisikiliza nyimbo zake my spirit was so lifted up just find myself crying and I could fill the power of God was so heavy on me 😢😢😢
    Yani nilipomuona kenda kwa madhabahu ya mtu fulani nikajua tayari amekengeuka.

    • @rosemarinawiliam3289
      @rosemarinawiliam3289 4 หลายเดือนก่อน +2

      Alipoenda kwa Geo Dav nilisema basi Tena Yuko upande mwingine

    • @user-cz8lg9uz5h
      @user-cz8lg9uz5h 4 หลายเดือนก่อน

      Amefanya Vinayak sana

    • @mwendwacephas5291
      @mwendwacephas5291 3 หลายเดือนก่อน +1

      Christina shusho amedaganywa na mwanaume mwingine, shetani ako na uwezo pia.
      Christina shusho usizushe nyavu tafadhali.

    • @user-wr4zu4un4s
      @user-wr4zu4un4s 3 หลายเดือนก่อน

      Baba umeeleweka Sana Mungu akutie nguvu Mimi mwenyewe nilishituka mtoko wa pasaka

    • @officialhopestarmusic959
      @officialhopestarmusic959 3 หลายเดือนก่อน

      Yule mzee aliyejichubua sio ?​@@rosemarinawiliam3289

  • @bonifacematuku
    @bonifacematuku 4 หลายเดือนก่อน +9

    So much truth. Tumuombee uyu dada.
    Music is spiritual, and i think this is the reason personally bado nasikiza nyimbo za Shusho za kale kidogo, lakini nyimbo anatoa siku izi nalemewa kusikiza kisa hazina mguzo spiritually
    The same thing na dada yetu Rose
    Jameni ni siku za mwisho na Shetani ameingia kwa wanaomtafuta Mungu Tuombeni sana Mungu atupee nehema ya kumkana shetani. Napenda sana dada mmoja Sarah Magesa nyimbo zake zote hadi sai ziko na upako kwa kiwango cha juu sana

  • @user-bv2jl7du1i
    @user-bv2jl7du1i 4 หลายเดือนก่อน +7

    Asante Sana Prophet umetusaidia sana sana🙏🙏

  • @MAGDALENAURIO-jq3ip
    @MAGDALENAURIO-jq3ip 4 หลายเดือนก่อน +32

    Asante sana jaman huyu dada amejidhalilisha.barikiwa mtumishi

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 4 หลายเดือนก่อน +21

    Asante sana Mtumishi wa Mungu Ndugu Richard. umekuwa mkweli na dada tetu christina Mungu amsaidie kwa kweli arudi kwa mumewe maana ukweli anapoteza uelekeo

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanza SAMAHANI. NINAWAPENDA WOTE HUMU. Ninamtazamo tofauti na Christina Shusho naanza na Prophet Dr. Richard .Hili suala halihitaji ushauri wa kibinadamu kwasababu huwa ndo zinapovunjika ni ngumu kujua CHANZO CHAKE ila Kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu.Nilitegemea Prophet Ungemtafuta kwanza Christina ukaongea nae KWA FARAGHA ukiongozwa na Roho wa Mungu na akikataa ndipo ulete hii habari kwenye mitandao ya kijamii. MUNGU habadiliki BALI WANADAMU NDIO WANABADILIKA, NAOMBA TUMWACHIE MUNGU HILI SUALA. NAOMBA
    ASILAUMIWE YEYOTE .BARIKIWA WOTE

    • @jacklinemyala8194
      @jacklinemyala8194 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi mwenyewe namshangaa..inawezekana ana makosa na hayuko kiroho siku hizi lakini kuja kumuanika huku ..anakosea sana.. ni kama anatafuta Kiki. Kanikera sana. Na ninahisi kuna ugomvi nyuma ya pazia ..sisi hatujui chochote ila tunabwabwaja tu.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 4 หลายเดือนก่อน

      @@jacklinemyala8194 USISHANGAE ndoa hazifanani MIMI NAOMBA KWA MUNGU KUSUDI LA MUNGU LITIMIE.CHRISTINA Shusho Kuandaa MTOKO wa PASAKA KWA kumshirikisha Diumond Platinum sio kosa maana ndipo watu wanamjua zaidi Yesu kwa namna mbali mbali lakini pia PESA ZOTE NI MALI YA BWANA kwa hiyo HAPO SIONI TATIZO Bali ametumia VEMA MALI ZA BWANA YESU ILI WATU WAZIDI KUMJUA YESU KRISTO WA NAZARETI.

    • @leahjamess9359
      @leahjamess9359 4 หลายเดือนก่อน

      Christina aliongea umuumu lazima ajibiwe umu umu.Asante

    • @user-ih1pk1vs4q
      @user-ih1pk1vs4q 3 หลายเดือนก่อน

      Ww unajuaje kama hajamfuata?Christina changudoa huyo

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo mmechanganyikiwa sana yaani hadi mnaingiza Mungu kwa upuzi na tamaa zenu za duniani. Ni Mungu gani anakuamrisha kuacha ndoa yako na familia yako ili umtumikie yeye? SO FANTASTIC

    • @ambrosealbogast792
      @ambrosealbogast792 21 วันที่ผ่านมา

      Umekosea ku-generalize Wakristo na ndio maana una Like 1. Otherwise ulikuwa umeandika vizuri

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 21 วันที่ผ่านมา

      @@ambrosealbogast792 Siandiki kutafta like coz hazitonisaidia leo wala kesho siku ya hukumu. Lakini ukweli utaisabika siku zote daima.

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 4 หลายเดือนก่อน +67

    Mungu amtie nguvu mzee shusho pamoja pamoja na watoto yake. kanisa lipo nyakati za mwisho.

    • @rerisamba
      @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน +4

      😭😭😭😭 anayo pitia Mungu amuwezeshe

    • @victoriarichard8761
      @victoriarichard8761 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yupo kwenye maumivu sana yule mzee 😢 Mungu amtie nguvu

    • @catherinegichiri1246
      @catherinegichiri1246 4 หลายเดือนก่อน +2

      Pastor ni jina tu.Wengine ni wambaya kuliko watu wakawida

    • @poolkingservices6928
      @poolkingservices6928 3 หลายเดือนก่อน

      Kanisa lilianza kufanya makosa makubwa pale lilipo futa au kukataa mafundisho ya Yesu aliyeujia ulimwengu ili aukomboe Mt 6:24. Kanisa liko wapi juu ya somo hilo? Manadhani Yesu alikuwa anatania? Amin amin ninawaambia. Fedha ndiyo chanzo cha mmomonyoko wa maadili unaolitafuna kanisa leo. Pole kanisa

    • @poolkingservices6928
      @poolkingservices6928 3 หลายเดือนก่อน

      Misingi ikiharibika, mwenye haki atafanya nini. Zag 12: 1-8

  • @leonardmakwela5551
    @leonardmakwela5551 4 หลายเดือนก่อน +26

    Barikiwa mtumishi wa Mungu!
    Wewe kwa hili hudaiwi ! Umetimiza wajibu wako !
    Nasikitika kutamka kwamba KANISA LILILALA !
    Wakati dunia inadai usawa wa kijinsia , kanisa lilikurupuka !
    Usawa wa kijinsia ni UPINGA KRISTO!
    Upinga Kristo maana yake nini ?
    Upinga Kristo ni "Kinyume na Kristo"
    (Yaani kinyume na Mungu).
    Maandiko yako wazi kwamba mume ni kichwa cha mke !
    Mwanaume atamtawala mwanamke !
    Haya ndiyo maandiko !
    Kanisa lilikubalije huu usawa?
    Unajua dini nyingi zilianzia kwa wenzetu huko Ulaya !
    Wenzetu hawa walishakengeuka ! Hawa jamaa ndio waanzilishi wa FREEMANSORY !
    Kwa kifupi usawa wa kijinsia ni u freemason !
    Never trust a woman !!!
    Nasikitika kusema hivyo !
    Ndivyo walivyo tangu mwanzo

    • @jentamwadime5910
      @jentamwadime5910 4 หลายเดือนก่อน

      I love his speech

    • @tabyngugi9424
      @tabyngugi9424 4 หลายเดือนก่อน

      Oo

    • @jacksonmwasibila9310
      @jacksonmwasibila9310 4 หลายเดือนก่อน

      Ni tupu mtumishi

    • @dolvinshao6956
      @dolvinshao6956 4 หลายเดือนก่อน +1

      Very good speach

    • @shemkaiglory6982
      @shemkaiglory6982 3 หลายเดือนก่อน

      Ukwel nimeumia sana sikutegemea kua hata Tina utavunja ndoa Yako jamani😭😭 ww ni barua , ni kioo unasomwa na Kila mtu ...hapa umeharibu ushuhuda wako

  • @MarySanga-st5ex
    @MarySanga-st5ex 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi ubarikiwe sana,I'm very sad for Christina shush na mimi nimekuwa nikipenda sana nyimbo zake...kiukweli dada kindly deliverance muhimu kwako

  • @dorisal7361
    @dorisal7361 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks for being brave

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kunamuimbaji, nilionyeshwa na Mungu,watu wanasema tunenda kumzika mwimbaji frani wakamtaja jina,kukaa kidogo ndoa ikafa,,waimbaji wengi baadhi yao wamejiunga na shetani kizimu dunia imewaza..mchane christana Mungu atampaka matope,hyu kashalanika amejunga na dunia,huyu anataka usera arishakufa kiroho zamani ,,usikute yule baba arishi kwa mateso na huyu dada.subilieni mtaona mwisho huyu dada ametudhalisha wanake hakuna wito hapo, Mungu wetu hadhiakiwi..

  • @weremamwita8981
    @weremamwita8981 4 หลายเดือนก่อน +10

    Asante mtumishi kwa kuwa mdomo wetu, inatusikitisha ki ukweli; mapataga ukakasi kila nikisikiliza clip zake za mahojiano. Mungu amrehem pst. Eveng' Christina Shushu.

  • @AsyonLayson
    @AsyonLayson 2 หลายเดือนก่อน +1

    Loo mch mungu akubariki umeongea sana mungu atambadilisha tu tumwombee kweli wewe ni mwalimu

  • @Ceciliapampii
    @Ceciliapampii 3 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks for being brave. God bless you

  • @maystellakajuna5461
    @maystellakajuna5461 4 หลายเดือนก่อน +30

    Mtazamo wangu, amemkosea sana Mungu, pili this is a spiritual matter, spiritual matters hazihitaji ushawishi, hilo ni swala la Imani ambalo kila mtu anamaamuzi yake. Hahitaji ushauri, huyo si mchanga kiroho bali amemezwa na kuingia ktk imani nyingine. It's not about us but about God! Hajatudhalilisha sisi bali Mungu. Hizi ni siku za mwisho, tuwe waangalifu sana na kuomba na kuombeana pia. Mtu yoyote anaweza kuanguka ndugu zangu, we are in the dangerous days.

    • @erickmillanzi4391
      @erickmillanzi4391 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna imani kinyume na biblia hakuna usiri juu ya utumishi usiri ni kumtumikia shetani tu kama hivyo.

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 4 หลายเดือนก่อน

      Oooh yes tumuombee rehema kwa Mungu ndugu yetu

    • @myself4128
      @myself4128 4 หลายเดือนก่อน

      yeye ni kioo cha Jamii

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 3 หลายเดือนก่อน

      @@myself4128 kioo cha jamii kidunia sawa, lkn yeye si kioo cha Kiroho au cha Ukristo, kioo cha Ukristo ni Neno la Mungu, tukifata watu ndo wawe kioo cha Kiroho Sasa hivi hapa dunia ilipo, tutapotea sana! Sasa hivi hata Pastor wako inabidi umsimilize na kupima anachokisema kwa Neno Mungu, lkn km utamuona Pastor km kioo chako ndugu utapotea. Hayo yalikua huko nyuma.

    • @clarencemeena1628
      @clarencemeena1628 3 หลายเดือนก่อน

      MUNGU amsaidie kutambua na kuona sawa sawa

  • @ellentukiko5699
    @ellentukiko5699 4 หลายเดือนก่อน +31

    Thank you Prophet of God, umeongea kwa HEKIMA sana, God bless you and your Ministry🙏

    • @prophetdr.richardgodwinmin2221
      @prophetdr.richardgodwinmin2221  4 หลายเดือนก่อน +1

      Bless you

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 3 หลายเดือนก่อน

      Pastor KYABASHASA kupitia Moja ya Mafundisho yake hapa Yutube akimjibu Mw.l Isaya Benson aliyepotosha kuhusu Ndoa za Wake wengi na Kuachan a katika Ukristo Amefafanua vizuri sana kupitia Msingi wa Maandiko Matakatifu Yaani Biblia.
      Mfuatilie Kuna jambo Zuri utaendelea Kujifunza.

  • @Tulia-bw6kp
    @Tulia-bw6kp 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi .kuna wanawake wa jinga sana n'a wengine ni wenye akili tena wana mutumikiya Mungu n'a ku kuheshimu waume zao .ila Christina alisha kuwa mu ulimwengu mwingine.Mungu ata muweka hazarani siku moja

  • @gloriashoo3707
    @gloriashoo3707 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa Mbinguni akubariki mno akuinuwe zaidi mtumishi wa Mungu Kwa kuwa mkweli Kwa ajili ya kristo

  • @geraldmanyogoto1358
    @geraldmanyogoto1358 4 หลายเดือนก่อน +18

    Asante Mtumishi wa Mungu kwa kumpa ukweli. Huyu ameitwa na shetani na kuitika kwa sauti kubwa!!!! Amrudie Mungu haraka vinginevyo siku zake zinahesabika! Kwa sasa ni mtumishi wa mungu wa Diamondi! Ndiyo maana anamwita mchungaji!

    • @RhodaMwampagama
      @RhodaMwampagama 3 หลายเดือนก่อน

      Ahahahaha

    • @user-xx6yc3mz1w
      @user-xx6yc3mz1w 2 หลายเดือนก่อน

      Amurudie mungu,kwa kutubu maana mungu hawezi kukupa wito kwa kuvunja ndoa,ndio maana hata nyimbo zake saivi zmekua hazina upako.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 หลายเดือนก่อน +4

    Umefanya vyema kuyasema hayo Mtumishi wa Mungu. Mungu akubaruki sana. Amemwaibisha Mungu wetu pia.
    Hata baadhi ya Mashekhe wamemshambulia sana Diamond kwa kushirikiana na Christina Shusho kwenye Mtoko wa Pasaka. Hii ni huduma mpya kabisa haijawahi kutokea popote. Na bila kumung'unya maneno Christina anamtumikia mungu wa herufi ndogo, siyo Mungu YEHOVA tunayemwabudu.

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana sana mtumishi wa Mungu Wakristo tupo kwenye maumivu makali mnoo kwa ajili ya Christian shusho anapaswa kuomba radhi kwa kanisani la Kikristo ametudhalilisha mno huyu kwa sasa tumwite tu agent kuzimu
    Wachungaji watumishi wa Mungu wamekaa kimnya kama vile awaoni mwingine anasimama na kusema anamtetea mtu amabaye siyo wa imani ya Kikristo
    Namshukuru sana Mungu kwa kukupa ujasiri wa kulisema hili Mungu akubariki sana

  • @user-eh4ew6qc9j
    @user-eh4ew6qc9j 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mwanajeshi mwenzetu ametekwa nyara na jeshi la shetani, jeshi la Mungu tuamke twende vitani against kambi ya shetani,tukawakomboe wenzetu badala ya kuwasema vibaya,we can not afford to lose her.

    • @nasimiyujustine
      @nasimiyujustine 3 หลายเดือนก่อน

      You have said the trueth

    • @elishayohana6259
      @elishayohana6259 3 หลายเดือนก่อน

      Njia ya kumsaidia mtu lazima umeambie ukweli

    • @liliankibambo2313
      @liliankibambo2313 3 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 4 หลายเดือนก่อน +6

    Very true Man of God aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika gafla .

  • @godlistenmangowi9328
    @godlistenmangowi9328 4 หลายเดือนก่อน +7

    Kuwa katika ndoa ni Kulitimiza kusudi la Mungu.Dada Christina anaitajika sanaa kuwa sehemu ya kusudi la Mungu na ni wakati wake sahihi kumshuhudia Mungu ,yaan Bwana wa Mabwana,mfalme wa wafalme!Nimesoma kitabu cha ufunuo wa Yohana milango mitatu nikashtuka sanaaaaaa.
    Ufunuo wa Yohana 12:
    Ufunuo wa yohana13:
    Ufunuo wa Yoha 14:
    Soma sura nzima ,Mungu Atupenda sanaa.

    • @benjamenshepa1000
      @benjamenshepa1000 4 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo ni halali kuvunja ndoa ili umtumikie Mungu ndugu

  • @barakaroman4325
    @barakaroman4325 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazingua Sana kweli mungu haangali mwanzo wa kazi Bali mwisho (mungu anaangalia mwisho wa kazi)

  • @tirigimusiba3815
    @tirigimusiba3815 3 หลายเดือนก่อน +3

    Inauma sana! Aache kudharirisha ukiristo.

  • @mackilinakainamla8933
    @mackilinakainamla8933 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mungu amusamehe

  • @elinipasumary8885
    @elinipasumary8885 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakushukuru sana Prophet kwa kuamua kuongea juu hili, Mimi ni miongoni mwa wanawake waliofedheheshwa sana na Christina, na bora angetoka kwenye ndoa yake akanyamaza kimnya, asimdhalilishe Mungu na Kanisa la Kristo.Anataka kutuambia kuwa Mungu ameamua kupingana na Neno lake. Nimesikitishwa na Tina. Kweli Mungu aturehemu!!!! 😢😢😢

    • @wahidakisingo3588
      @wahidakisingo3588 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu aturehemu 🙏

    • @RhodaMwampagama
      @RhodaMwampagama 3 หลายเดือนก่อน

      Njia yake si ndefu sana Mungu atasema nae

  • @shedracklaiza6827
    @shedracklaiza6827 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu akubariki sana Kwa ujumbe huo kama anayo masikio ya kusikia basi angejirudi na kunyenyekea na kutubu Kwa mambo anayo yatenda

  • @michaelbenjaminsambua5349
    @michaelbenjaminsambua5349 4 หลายเดือนก่อน +25

    Baba MUNGU akubariki sana BABA MTUMISHI

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n 4 หลายเดือนก่อน +9

    Asant mchungaji ila mimi kwa mtazamo wangu mimi pia mtenda Zambi ila hawa nao waimbaji wengi wa nyimbo za injili hawajasimama

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 4 หลายเดือนก่อน +1

    Before u come out in the public,it's always good to approach the individuals privately to get the backstory and full story.

  • @onesimokivuyo4706
    @onesimokivuyo4706 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Hakika wakristo tumekusoma!

  • @angaikundenikweka7517
    @angaikundenikweka7517 4 หลายเดือนก่อน +15

    “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

    - 1 Timotheo 4:1 (Biblia Takatifu)

  • @hurumasilasmwamwezi4351
    @hurumasilasmwamwezi4351 4 หลายเดือนก่อน +7

    Sema kweli nayo kweli itatuw3ka huru. Suddenly kaimba mlima HARARATI BADALA YA ARARATI. Ni shida. God bless you man of God.

    • @estherluvanda1192
      @estherluvanda1192 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @ekiliangoliga644
      @ekiliangoliga644 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani nini maana ya Harati na Arati sijui maanake

  • @shadymoses5813
    @shadymoses5813 4 หลายเดือนก่อน +12

    Ila Mimi Nasemaga Tanzania kwa ujumla inahitaji Baraza la kusimamia misingi na Matendo ya kikristo...Yaan Ukristo inabidi kiwepo chombo cha pamoja (achana na TEC, CCT nk) kinachoumizwa na Malpractices za watu na watumishi...na chenye uwezo wa kukataa na kuzuia endapo kanisa ama mtumishi anakengeuka, ili tubaki katika misingi ya kikristo.❤

    • @joycenganyule3231
      @joycenganyule3231 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna watu wanaonekana ni wakristo wazur tu makanisan but ni wachawi balaa so mi siamin kama Baraza linaweza kudhibiti mtu kuwa na uhusiano mzuri na Mungu, huko kote ni shida tupu

    • @ramadhansemvua9994
      @ramadhansemvua9994 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@joycenganyule3231duh

    • @naomichallo9766
      @naomichallo9766 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezi kumzuia MTU aliengeuka na Imani, ni MUNGU pekee ndie awezae kumzuia katika mwanae wa pekee YESU KRISTO

    • @anithakisima665
      @anithakisima665 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ikiwezekana hata sasa

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni Mungu aliesema Ndoa na Iheshimiwe na watu wote.
    Iweje leo aseme amepata wito wa kumtumikia Mungu alafu wito huo huo upinge andiko la Mungu mwenyewe la kututaka tuheshimu ndoa.
    Hapa kuna roho ya ukengemfu imeingia ndani yake anahitaji rehema za Mungu katika hili.

  • @troshan7844
    @troshan7844 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jinga sana hilo mama..limuache mungu wetu tunaemwani..asitufarakanishe na mungu wetu..mwenyezu mungu huwa hawaiti watu wajinga kama hao

  • @user-tx6nz4up5h
    @user-tx6nz4up5h 4 หลายเดือนก่อน +46

    Hawezi kuwa mwiba bali anazibitisha andiko la Paulo, christina anaupenda ulimwengu na hana huduma ya Mungu aliye hai na Mungu kamfunua

    • @elinisafibabarita
      @elinisafibabarita 4 หลายเดือนก่อน +3

      Correct!

    • @user-fq2jz9lm9f
      @user-fq2jz9lm9f 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sipendi tabia yako Kristina napenda tu nyimbo zako IGA tabia ya nzuri kama ya Nkone Jenipha Mgendi nk

    • @ruthjemson4386
      @ruthjemson4386 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @ruthmwenje8380
      @ruthmwenje8380 4 หลายเดือนก่อน +1

      Rudia haya maneno ya kweli kabisa

    • @user-ll5qx5up8n
      @user-ll5qx5up8n 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa mimi ni mama Mtumishi niko German nilikwaza sana hata ile nguo aliyokuwa amevaa kwa mtoko wa pasaka haikuwa ya heshima kabisa kwa wito wake ilibana matako yametoka njenje jamani kama siafu

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 4 หลายเดือนก่อน +89

    Christina shosho alipopata umaarufu alimchukia mume wake kana kwamba sio type yake

    • @rerisamba
      @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umegonga ndio anajiona mrembo nanihixo cream na nywele za mchina naakizikosa ako tu kama huyo mzee wamkumbuka Zamaridi alivyo kua rumande

    • @MalobeLujaga-rv1lx
      @MalobeLujaga-rv1lx 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa anamuona mumewe sio type yake

    • @christinamwangoc4779
      @christinamwangoc4779 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂​@@rerisamba

    • @faithmusyoka6439
      @faithmusyoka6439 4 หลายเดือนก่อน +4

      Na mume wake anakaa humble man

    • @asinatimpendwa3702
      @asinatimpendwa3702 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema hakuna mwanaumke mwenye mamulaka juu ya mume wake; ndio unawafundisha wanaume wenzako wawanyanyeshe wanake for cheating with other women na pia unawapa umbambe wanaume wanaopiga wanawake waendelee kupiga wanawake na kuwanyima pesa za kununulia chakula cha watoto na kutumia pesa kwa Malaya. Vimada nje ya ndoa. Wanaume Malaya and cheaters.

  • @user-wb1th3gn3k
    @user-wb1th3gn3k 3 หลายเดือนก่อน

    Lah Mungu ampe nguvu pastor shusho aendelee kumtumikia tu ,mzee shusho Mungu atakuvika taji ya uzima , hili ni jaribu utavuka kwa ushindi

  • @tagcdcchurch6031
    @tagcdcchurch6031 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kwa kuweka wazi kweli hii ya Mungu pia Mungu amsaidie Christina aweze kurejea maana ukweli amemkosea Mungu amelikosea kanisa ameikosea kazi ya msalaba wa Yesu.

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 4 หลายเดือนก่อน +31

    shida sio Christina,shida ni tamaa,watu wengi sana kwa siri wamejiunga na taasisi za siri za shetani,kwa kupenda pesa.sasa maisha yao yana kuwa chini ya ratiba atakayopewa na taasisi hiyo.Vituko vyote si vyake anatumwa na anakuwa programmed.

    • @rendozrendo7804
      @rendozrendo7804 4 หลายเดือนก่อน +4

      Ndo hivyo dunia hii tunapita usipo fanya maisha yako utabaki .

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 4 หลายเดือนก่อน +1

      Christina anakuja na AGANO JIPYA 😢😢😢😢😢

    • @banguha
      @banguha 4 หลายเดือนก่อน +3

      Na ndiyo maana unaambiwa kama ni mtumish wa kiume hatakiw kuwa na mke kama ni mwanamke hutakiw kuolewa wamejiunga na kutaka utajir wa haraka Christiana alikuwa anafanya vzr wakat yupo na mume na alikuwa na heshima kwa sasa amekuwa kama mdananda tuu hajielew

    • @pastorbarnabamichael4946
      @pastorbarnabamichael4946 3 หลายเดือนก่อน

      Hizi ni siku za ukengeefu

    • @milicentotieno
      @milicentotieno 3 หลายเดือนก่อน

      Wote wameitwa kwa utumishi

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x 4 หลายเดือนก่อน +9

    Asante mtumishi kwa kujitoa muhanga katika kuisema kweli maana ni watumishi wachache wanao weza kusema kweli

    • @benjaminshayo32
      @benjaminshayo32 4 หลายเดือนก่อน

      Kwendeni hukoo..amelisemea Sasa Sisi limetusaidia NN? Kumbe alichokisema wewe ulikua unanifaham tangu mwanzon...Sasa kulikua na haja ya kuja kusema huku....? Hii si kusengenya? Alipaswa akamwambie mwenyew na si kusema huku maana lengo si kumuaibisha dada Christina Bali kumsaidiaa...hii ni kumuaibisha..

    • @rerisamba
      @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@benjaminshayo32kwani dada christina sialitangaza mtandaoni na ajibiwe mtandaoni hujui maana ya kusengenya wewe

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@benjaminshayo32yaani ukisema na kumwaibisha yesu mitandaoni NI lazima ujibiwe mitandaoni

    • @kashindisimon5265
      @kashindisimon5265 4 หลายเดือนก่อน

      @@benjaminshayo32 wewe nae ni malaya kama Christina

  • @dinahrwezaula84
    @dinahrwezaula84 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yes it makes sense Pastor tunakuelewa

  • @maglanloy7644
    @maglanloy7644 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen mtumishi wa mbinguni,Mungu akupe muda kutosha kuwafundisha wasiojua Mungu

  • @josiasntakisigaye-sv4ot
    @josiasntakisigaye-sv4ot 4 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mama Yuko kuzimu,watumishi wa Mungu tuombe Mungu ayafute matendo haya yakuzimu kupitia kwa christina

    • @testimony254
      @testimony254 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wakati alianza ku muhushisha diamond nilijua hapa ni basi

    • @peacelive3420
      @peacelive3420 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani Wokovu ni juu ya matendo ama Imani?

    • @pamelaayieta6071
      @pamelaayieta6071 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@peacelive3420Faith with actions not vice versa.

    • @peacelive3420
      @peacelive3420 4 หลายเดือนก่อน

      @@pamelaayieta6071 is it GRACE period? Or GRACE and?

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@peacelive3420grace end😅

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 4 หลายเดือนก่อน +29

    Dada Christina rudi ulivyo kuwa mwanzo , si wewe ni shetani aliyeingia ndani yako ,, mungu akufungue macho mwanzo hukua mshamba bali ulikua unatumiwa na mungu kiu kweli

    • @elinisafibabarita
      @elinisafibabarita 4 หลายเดือนก่อน

      Dada Tangu alienda Kenya ni kama kuna kitu ilimpata huko since then naona hajawa sawa

    • @banguha
      @banguha 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amekuwa mshamba wa dunia utadhan bint wa miaka 18 kumbe ni mtu mzima

  • @ebengoblbaros5078
    @ebengoblbaros5078 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ndani ya simu yangu, nyimbo zake zilikuwa na chukuwa nafasi n'a kwanza, lakini kwa hili, una humbuwa dada...., Yesu angali katika kiti cha rehema.

  • @JulienAjili
    @JulienAjili 3 หลายเดือนก่อน

    You are good servent of God

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hakika hata huyo Mme atakua amevumilia huyo mama mambo mengi sana....!Kwa kweli Kwa Mimi huyo dada alishanitokaga rohoni kitambo sana Nashukuru Mungu anaendelea kuonyesha mambo yake ya kuipenda Dunia....😢

  • @user-wl3sv2xn9e
    @user-wl3sv2xn9e 4 หลายเดือนก่อน +8

    Nilkuwa nazpenda sana nyimbo zake kumbe nishetani mtu sizitaki tena!

    • @peacelive3420
      @peacelive3420 4 หลายเดือนก่อน

      tusisome Zaburi kisa Daudi alizingua, ?

    • @user-ee8dr9iw4k
      @user-ee8dr9iw4k 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ata lusifa anikua mwimbaji sasa matuda yake yanaonekana

    • @naomichallo9766
      @naomichallo9766 4 หลายเดือนก่อน

      Zamani naona alikua akimtumikia MUNGU ndio maana nyimbo zake ulikua ukizisikia zinakugusa lakini sasa naona ametoka nje ya Imani ni huzuni tumuombe Sana

  • @MageniProsper
    @MageniProsper 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana, nyakati hizi huduma nyingi Sana ninajutokeza hazitokani na Mungu huyu wa kweli. Na ndiyo maana wakishaingia na kuona wamefanikiwa wanatoka kabisa nje ya mpango wa Mungu na kujifanyia mambo Yao na mara zote wanaenda kimwili. Shusho anatakiwa kutubu Kwa machozi vinginevyo pigo linakuja kwake.

  • @LupokeloLuvanda
    @LupokeloLuvanda 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Mtumishi, Neema ya Mungu imzukie huyu dada arejee na atambue mazingira yanayomzunguka. Mimi ni mmoja wa watu walikuwa wanapenda sana kazi zake. Tusiache kumuombea, the enemy is at work 24/7.

  • @NeemaMurumbi
    @NeemaMurumbi 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe sana man of God.uko sahihi kabisa

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 4 หลายเดือนก่อน +12

    Ameshalifanya jina la Yesu ni kichaka cha kufichia uchafu,achague moja kusuka au kunyoa,aache kumsulubisha Yesu kwa mara ya pili,barikiwa Mtumisha

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 4 หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu

    • @brianngunjiri4738
      @brianngunjiri4738 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 weeee

    • @peacelive3420
      @peacelive3420 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani Nini maana ya kumsulibisha Yesu mara ya pili?

    • @majaliwamsigwa6206
      @majaliwamsigwa6206 4 หลายเดือนก่อน

      @@peacelive3420 Waebrania 6:4-6

    • @StanfordPaul-kw3cg
      @StanfordPaul-kw3cg 3 หลายเดือนก่อน

      Hatimae leo mtumishi wa Mungu amekichoma kichaka ambacho malaya huyu amejificha.

  • @stephenotieno12
    @stephenotieno12 2 หลายเดือนก่อน

    Let's pray for our sister Christina. Bible inawaita wanawake viumbe dhaifu. Tusali kwa Mungu kwa ajili yake. Mungu amrejeshe kwake kwa Jina la Yesu Christo

  • @paulmwaipopo9946
    @paulmwaipopo9946 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mafunuo yanayolipinga neno la Mungu hayafai. Mungu hawezi kuruhusu talaka ili mtu amtumikie Mungu. You are correct man of God. Asante kwa kuongea.

    • @jeniphamathayo8710
      @jeniphamathayo8710 2 หลายเดือนก่อน

      Hooo,Inauma sana wanawake Tumuombe Mungu atuponye wanawake .

  • @samwelmbissa-zj1ev
    @samwelmbissa-zj1ev 4 หลายเดือนก่อน +4

    Waooooow very good massage Man of God thank

    • @leebronkasianh5296
      @leebronkasianh5296 4 หลายเดือนก่อน

      Shetani,huwa anaitumia pesa,kuvuruga mambo ,na sio yy tu waimbaji wengi wa injili wameshakamatwa na shetani.

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 3 หลายเดือนก่อน +13

    Asante Prophet kwa kupiga panapouma, huyo mwanamke ni malaya tu..

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @fredfandey222
      @fredfandey222 3 หลายเดือนก่อน

      tokankitambo tu, watu walikuwa hawajui tu

    • @stephenkalidush5446
      @stephenkalidush5446 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu kusema mtu usimjua ni tatizo kubwa sana
      coz ata wewe zipu ipo wazii funga zipuuu
      kwanzaa

  • @salimaechessa8933
    @salimaechessa8933 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye macho haambiwi tizama,giza na nuru haviimbatani,Christina ameonyesha waziwazi mungu anayemtumia,hata madhabahu anayoyakanyaga sio mema

  • @user-lk1wt7hj8m
    @user-lk1wt7hj8m 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni Carlos kutoka Congo uyo shusho namuchukia sana anakuwa malaya sana anamutaka daimond

  • @markomgogosi6093
    @markomgogosi6093 4 หลายเดือนก่อน +3

    nawashangaa sana wanaomwita pastor yule si mchungaji

  • @MediatriceBukara
    @MediatriceBukara 4 หลายเดือนก่อน +7

    Tusaidie Baba.Sisi tunaompenda hajatubariki hata........."WATUMISHI MUOMBEENI SANA SI YEYE"

  • @NoelKomba-bj4yr
    @NoelKomba-bj4yr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Am so blessed Dr....

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu...Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa...na anachukia kuachana... kweli ht mm napata ukakasi,ni bora aseme ametoka kwa mumewe kwa issue zingine na si kwa sababu ya kuitwa na Mungu...tumuombee rehema kwa Mungu...

  • @johnmwaimise2291
    @johnmwaimise2291 4 หลายเดือนก่อน +25

    Sio tu mzee Shusho,hata wewe leo ukimpa mkeo nafasi akaanza kufanya huduma na kujiita mtumishi basi ujuwe huo ndio utakuwa mwisho wa ndoa Yako...

    • @user-nv7sf2iu2v
      @user-nv7sf2iu2v 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ndio ukweli sema watumishi wa siku hizi wanapotosha Neno la Mungu wanaleta hekima za kibinadamu kwenye kweli ya Mungu

    • @DaviVicent-eh6ev
      @DaviVicent-eh6ev 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-nv7sf2iu2v❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 หลายเดือนก่อน +12

    Christina Shusho ni bonge ya mhuni.Niliwahi kuyaandika maoni yangu zamani.
    Alikuwa anatem b ea na ndugu yangu.😢😢

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 4 หลายเดือนก่อน

      UNA UHAKIKA? SEMA uhakika wako

    • @itikamlagalila1911
      @itikamlagalila1911 4 หลายเดือนก่อน

      Hii dunia ukipata kibali tu ujiandae kushambuliwa.

    • @SusanaSimoni
      @SusanaSimoni 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo hatumikii mungu nyinyi nanyi hamuoni huyo anatumikia shetani na tatizo ni wachungaji walezi wa washirika mimbara shetani ndio anazimiliki

    • @SusanaSimoni
      @SusanaSimoni 4 หลายเดือนก่อน

      Leo watu Kila mtu anasema nimeitwa Kwa mjibu wa biblia mtu kuitwa na mungu muumba ni kuacha dhambi kuacha utaratibu wa kidunia ule alozaliwa nao Sasa unasema kaitwa he kuitwa ndo huko? Acheni

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 4 หลายเดือนก่อน +1

      Thibitisha hilo ili tukuamini.

  • @christaloneministry1163
    @christaloneministry1163 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa kunena kwa niaba ya MUNGU! Asante zaidi kwa kunena ukweli na ukweli kwa UPENDO MWINGI.....its high time for Christina to go back to her senses just as a prodigal son did. As early as NOW

  • @capt.kwilapeternkwama3940
    @capt.kwilapeternkwama3940 3 หลายเดือนก่อน

    Tuwaombee sana Watumishi wa Mungu wanaotumika na kisha kupata umaarufu;;;; Mwisho Wanajaribiwa na Mafanikio hayo ya umaarufu na kisha kujiona ni Bora kumzidi mwenza wake, kisha kuanza kiburi na dharau kwa mwenziwe, na kisha kugeuka kuwa anguko lake kiroho na Kuharibika kwa ndoa.

  • @bokimmwamba2322
    @bokimmwamba2322 4 หลายเดือนก่อน +7

    Na hiyo ndio tofauti ya mwanamke na mwanaume ktk kufanikiwa..... Mwanamke akifanikiwa kuzd mwanaume matokeo ndio hayaaaaa

  • @user-mr3qg9iq5k
    @user-mr3qg9iq5k 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kwakweli huyu Dada ameshapotea mm sikuhiz hata kumsikiliza naona kinyaa😢😢

  • @gabrielsylvester6271
    @gabrielsylvester6271 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor

  • @user-dq1ss2uq6u
    @user-dq1ss2uq6u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dah baba huu ni ujasiri na umeonyesha upendo kwa ndg, dada cris... Mungu akupe roho ya unyenyekevu ktk hili.baba shusho kaz mwendo Yesu yu aja.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 หลายเดือนก่อน +51

    Mtu kaanza kujibana na kina diamond atakua na Yesu kweli alishapotea mdada

    • @rendozrendo7804
      @rendozrendo7804 4 หลายเดือนก่อน +1

      Maokoto

    • @johnjohnkipokola5077
      @johnjohnkipokola5077 4 หลายเดือนก่อน +3

      Sasa Diamond si anajulikana amejiunga na illuminants siku nyingi? Bado Christina aliwahi kuonekana kwenye kanisa fulani kule Kisongo akipewa msaada wa fedha chafu.

    • @eliashibundabalinze2754
      @eliashibundabalinze2754 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani kama umeokoka ndo usiwe karibu na watu wasio wa kristo? Yesu akasema... "Wagonjwa wana mwitaji tabibu bali walima hawana uhitaji wa tabibu"

    • @hadzatribeadventures
      @hadzatribeadventures 4 หลายเดือนก่อน +5

      ​@@eliashibundabalinze2754 haikumaanisha unachokisema,fungua macho ya rohoni

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 4 หลายเดือนก่อน

      @@eliashibundabalinze2754 giza na nuru havichangamani

  • @johnsonbarasa9869
    @johnsonbarasa9869 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mafundisho haya ni ukweli ila unyenyekevu na utiifu umewatoka wanawake pindi tu umarufu kihuduma,Mungu atusaidie sana

  • @edithweddy3027
    @edithweddy3027 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen..God bless you man of God

  • @Saint-PaulFavour990
    @Saint-PaulFavour990 2 หลายเดือนก่อน

    This act is really paining Prophet Richard actually we as Kenyans we feel very annoyed bt let God take control😭😭🙏🙏

  • @kelvinnaftali4331
    @kelvinnaftali4331 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi haya niliyatarajia maana giza na nuru haziwezi kuchangamana nilivyoona ukaribu wake na wasanii wa nyimbo za kidunia nikasema ili ni anguko lake tayari.

    • @peacelive3420
      @peacelive3420 4 หลายเดือนก่อน

      Mwenye haki aweza anguka (mara...) na atainuka Tena.....

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ukijiinua unashushwa ,kanuni ya Mungu ni kunyenyekea kwake basi

  • @ProsperAjuwaMahano
    @ProsperAjuwaMahano 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maman yetu Christine Shusho ameshikwa na pepo mamon, Kanisa la Mungu tumumbeye. Pepo mchafu amuachiye

  • @stellahzacharia8743
    @stellahzacharia8743 3 หลายเดือนก่อน

    Ni siku za mwisho ndugu zangu Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu wengi wataacha njia ilio sahihi watageuka watamuacha Mungu

  • @AgredaMoyo
    @AgredaMoyo 4 หลายเดือนก่อน +11

    Powerful ....kufikiri kwa kina waooh!!!

  • @godfreykasimba6187
    @godfreykasimba6187 4 หลายเดือนก่อน +6

    Prophet hakika umenena vyema sana mm ni shabiki mkubwa sana wa christina shusho ila huyu dada ameshakengeuka dunia imemmeza

    • @benjaminshayo32
      @benjaminshayo32 4 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo ushajua amekengeukaa..unafanyaje....unamsema au unamuombea arudi

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@benjaminshayo32kuludi NI maamuzi yake KAZI ya watumishi NI maonyo Tu akikaidi atakutana na anaemdhalilisha yeye atampa majibu

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 3 หลายเดือนก่อน

    Dada fanyakama mwana mpotevu tafakali sana rudi tubi kwa kwa mungu tubu kwa mumeo roho wa mungu akusaidie ili uwena amani maisha yaendelee amina

  • @SamwellubigisaLubigisa
    @SamwellubigisaLubigisa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe kwa kukemea uovu,,, nilijaribu kulikemea huku mtaani kwangu lakini watu walinijia juu. Watu wanachukulia kawaida tu, siku izi ukikataa maovu wanakuchukia.

  • @fredseluina
    @fredseluina 4 หลายเดือนก่อน +17

    Ni vema akataja ni mungu gani anayemtumikia. Naamini sio Mungu Yehova, Mungu wa Israel.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 2 หลายเดือนก่อน

      Je waweza Kuthibitisha?