GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • GWAJIMA ALIVYOPIGA MARUFUKU WATU KULIA.
    ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima ameacha gumzo na mshangao baada ya kuzuia watu kulia kwenye ibada ya kumuaga mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima iliyofanyika nyumbani kwa mchungaji huyo na kisha mwili wa marehemu kuzikwa kwenye shamba la familia, nje kidogo na nyumbani hapo, Salasala jijini Dar.
    Mama mzazi wa Gwajima alifariki Jumapili ya wiki iliyopita baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu. Marehemu ameacha mume, watoto 11 wajukuu na vitukuu.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 95

  • @josephinedavid3072
    @josephinedavid3072 6 ปีที่แล้ว +7

    huo ndiyo ukweli haswa kwa wana wa Mungu. nimeipenda.

  • @geraldremmy2472
    @geraldremmy2472 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana baba Gwajima, umetufundisha aliyekufa katika Kristo ni shujaa hivyo inapasa kufurahi na kusheherekea shujaa amekwenda mbinguni.

    • @judithtarimo5363
      @judithtarimo5363 2 ปีที่แล้ว

      Wai hata yesu alipokufa mama yake alilia

  • @faithkiio986
    @faithkiio986 6 ปีที่แล้ว +1

    AMEN...MANENO MAZURI SANA MUNGU AWAPE NGUVU

  • @johnkidumba532
    @johnkidumba532 6 ปีที่แล้ว +1

    barikiwa sana baba umetufundisha nikweli MTU aliyekufa katika kristo nishujaa anayerudi kwao

  • @paulinacosmas6355
    @paulinacosmas6355 6 ปีที่แล้ว +1

    Amen dady

  • @saradolaso9730
    @saradolaso9730 6 ปีที่แล้ว +2

    Rip

  • @rachelalinda7007
    @rachelalinda7007 6 ปีที่แล้ว +2

    Amina baba sisi ni wana wa ufalme na umetufundisha katiba na sheria za ufalme sisi sio kama wale.

  • @cyprianjacob5042
    @cyprianjacob5042 2 ปีที่แล้ว

    More Philosophical,,, nimeipenda

  • @Amylotu
    @Amylotu 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa, tunarudi tulikotoka maisha ya Dunia tumekopeshwa. Siku Moja tutarudisha. 🙏🙏🙏

  • @susanafabiani3468
    @susanafabiani3468 6 ปีที่แล้ว +2

    mmmh kwenye hilo mwenzangu hapana

  • @fanuelmpesa3484
    @fanuelmpesa3484 6 ปีที่แล้ว +2

    sawa mzee

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 6 ปีที่แล้ว

    Basi hongera yako... Well done

  • @palesyosilingo6386
    @palesyosilingo6386 6 ปีที่แล้ว

    Asante mungu akubariki

  • @veronicakauye2087
    @veronicakauye2087 4 ปีที่แล้ว

    ni kweli, kutokujua maana ya kifo tu.Mafundisho mazuri, Mungu akubariki

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 6 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo kali ya leo

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Gwajima.. nakuelewa sana mzee, Ww ni msema kweli.

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 6 ปีที่แล้ว +6

    Jamani watu kuweni waelewa gwajima anafufua walichukuliwa kishilikina sasa mama yake kafa kwa mapenzi yamungu apaswi kushindana na mungu angekua amechukuliwa nashetani alitakiwa afanye maombi yakuvunja mauti lakini sasa mungu ametwaa

    • @mayco-channel__1
      @mayco-channel__1 6 ปีที่แล้ว

      ULANIWE PAMOJA NA GWAJIMA WAKO USHINDWE NA ULEGE KENGEE MKUBWA

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 6 ปีที่แล้ว

      Tatizo watu hawaelewi, ujinga ndo umewajaa wengi wait hawataki kujifunza wanapenda tu kuchangia vitu wasivyovijua ili kuonekana na wao wamo

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sn

  • @rehemaluvanda8618
    @rehemaluvanda8618 6 ปีที่แล้ว

    Amen Baba shujaa karudi kwao

  • @cyprianjacob5042
    @cyprianjacob5042 2 ปีที่แล้ว

    More Philosophical

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 6 ปีที่แล้ว

    pole

  • @zuenaabdi.8427
    @zuenaabdi.8427 6 ปีที่แล้ว

    Supa same

  • @beatricebrightkisonga5650
    @beatricebrightkisonga5650 6 ปีที่แล้ว

    Mhuuuuu!!!!

  • @pinanahome9430
    @pinanahome9430 6 ปีที่แล้ว

    Pole pst

  • @annen3923
    @annen3923 6 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana BABA Gwajima.

  • @papilumona1896
    @papilumona1896 6 ปีที่แล้ว

    Uko sahi mtumishi hila shida yangu mimi nauliza baunca wanani please naomba jibu

  • @papafikiri
    @papafikiri 6 ปีที่แล้ว

    Yesu alilia lakini kwa Lazaro

  • @samsonkusupa8115
    @samsonkusupa8115 6 ปีที่แล้ว

    Mmh kweli imani ya dini inaendelea kuboreka kila sku

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 4 หลายเดือนก่อน

    Ngwajima umekomaa kiimani xaxa

  • @lydiasuna7343
    @lydiasuna7343 4 ปีที่แล้ว

    Jamami Yesu mwenyewe alilia kaburini kwa rafiki yake Lazaro kaka yao na Matha na Mariam.

  • @abuuayoub8958
    @abuuayoub8958 6 ปีที่แล้ว

    That's it ....Japo inakuwa vigumu kujizuia Ila the fact remains hata ukilia vipi hafufuki wala hausababishi chochote Kwa maiti ...

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 6 ปีที่แล้ว

    Hata Mariam alilia Yesu mwanawe
    Tunajua hivo but ni hali ya ubinadamu lazima wee acha za ovyo

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    Huyo Baba anajifanya kuzika hisia zake,wanadamu tumeumbwa kwa hisia ya kucheka kama vile ya kulia, kama wewe huna sensibility yoyete ,haupo kamili,sasa unapojifanya wewe umezishinda hizia hizo,hata ukiona MTU anateseka hutamjali,utajifanya tu yote sawa.

  • @barytz5977
    @barytz5977 6 ปีที่แล้ว +4

    Biashara ya ndini inalipa kumbe!!?

  • @juanaboaz5144
    @juanaboaz5144 6 ปีที่แล้ว

    makubwa ya dunia kazi IPO dunia hiyoooo inapepea kuna mtu anakatazwa kulia

  • @zubedahussein9779
    @zubedahussein9779 6 ปีที่แล้ว

    duh

  • @zuenaabdi.8427
    @zuenaabdi.8427 6 ปีที่แล้ว

    Mwili wa supa sami

  • @abubakarkada3083
    @abubakarkada3083 6 ปีที่แล้ว +3

    Lazaro alivyokufa yesu alilia machozi Yohana 11:35 wewe nani unazuia watu

    • @joyceelimada2513
      @joyceelimada2513 6 ปีที่แล้ว

      Kulia machozi c kwamba alilia kwa Sauti bali alihuzunika rohoni na kumshukuru Mungu

  • @mariamnyerere7499
    @mariamnyerere7499 6 ปีที่แล้ว

    mh makubwa kulia lazma utalia tu

  • @fadhilimwamlima1543
    @fadhilimwamlima1543 6 ปีที่แล้ว +1

    Inahitaji ujasili mkubwa Kama wa huyu mchingaji

  • @annahenrick4151
    @annahenrick4151 6 ปีที่แล้ว

    Jina LA bwana na libalikiwe mtumish

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 6 ปีที่แล้ว +4

    Ata ukilia awezi kurudi gwajima anafahamu dini utakiwi kulia nikuimba na kuomba mungu.tu

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว

      Atukuzwe mungu daima arise and shine bas yesu hajui dini kwakua alimlilia razaro

  • @mammyali3424
    @mammyali3424 6 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zanguni. .chungeni midomo. .Mungu hadhiakiwi. ...utathubutuje kumsema mtumishi wa Mungu akiwa kwenye. ..majonzi vibaya wewe. ...mbona unajiwekea kitanzi. .mwenyewe. ...walienuka watu. ...40. ..wakamdhiaki mtumishi wa Mungu Elisha. ...kukatokea dubu wawili waka wala wote 40 wewe umetiype kwa madharau na maneno dhiaka. ...inawezekana mtumishi wa Mungu asisome lakini ole wako. ..maana Mungu ameshasoma. ..usipotubu mabaya yatakubata ghafla asanten.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว

    mh huyu mchungaji nizaidi ya yesu kama yesu alitoa machozi kwamsiba wa razaro sizambi kulia kidogo for my mama napia yesu alilia pia kwaajili ya kifo chake so hakuna mtu anapenda kulia ila ni uchungu so kila mwenye uchungu na nduguye atalia to kama yesu alivyolia hakuanza kwetu

    • @doreenkiwola9848
      @doreenkiwola9848 6 ปีที่แล้ว

      jeny yusuph kama maelekezo aliyopewa asilie akilia ndo hivyo lazima atii

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว

      Doreen Kiwola mh hilo nalo neno

  • @joycekelvin393
    @joycekelvin393 6 ปีที่แล้ว

    Leo umeongea poit

  • @fedrickmwaka7706
    @fedrickmwaka7706 6 ปีที่แล้ว +3

    daa sijawai kuona MTU anaambiwa asilie msibani

  • @julymilkytz7598
    @julymilkytz7598 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli utabaki kuwa ukweli ,kulia kwenye msiba huwezi ukazuia hisia naamini ukifikiria baada ya hapo lazima utoe chozi katika bibli yesu alilia machozi YOHANA alipofariki

  • @enockshija5512
    @enockshija5512 6 ปีที่แล้ว +2

    Kama watu wakifa wanakwenda mbinguni kwa nini uhangaike kuwarudisha? Kwa kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!

  • @suzankizuzu4011
    @suzankizuzu4011 6 ปีที่แล้ว

    Unamakubwa wew mmmmmhhh hpn jmn kam dhambi na mpate tuuu lkn lien wakrst jmn mama anauma uwiiiiii
    Sas siumfufue maan wew unasemaga unafufua watu mfufue mama yako sas hahaaaaa kwel din biashara sku hzi.

  • @zainurirashidi3029
    @zainurirashidi3029 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye sikio asikie na mwenye macho aone msitapeliwe hakuna ufufuo wifi mtupu

  • @enockshija5512
    @enockshija5512 6 ปีที่แล้ว +1

    kwanini unahangaika kutudanganya unafufua wengine kumbe jibu unalo.

  • @myshem5341
    @myshem5341 6 ปีที่แล้ว

    Awaa walokolee duuuu ndivyoo walivyo ao lanaa tupu

    • @minanibuhendwa3416
      @minanibuhendwa3416 6 ปีที่แล้ว

      My Shem .sisi wakristo tumetukaniwa sana tu ila hatutarundi nyuma ha hakuna siku sisi wakristo tutaweza kuzarau dini ya mtu .oke kwa kila jambo tunasema asante

    • @asnathbusongo6643
      @asnathbusongo6643 6 ปีที่แล้ว

      My Shem pole Sana hujui maandiko

  • @emmanuelpanga943
    @emmanuelpanga943 6 ปีที่แล้ว

    ndio Baba mchungaji

    • @zakiamaungazakia720
      @zakiamaungazakia720 6 ปีที่แล้ว

      Nilikuwa,namsubir mfufue kumbe story za kusimulia wanakondoo nafuanafua

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 6 ปีที่แล้ว +1

      mmmhhhhh"!!!!

    • @johnkidumba532
      @johnkidumba532 6 ปีที่แล้ว

      Zakia Maunga Zakia WWF

    • @sanndyberg645
      @sanndyberg645 6 ปีที่แล้ว

      Ndo Gwajima sawa kabisa.mtu apewe sifa yake pale anapotenda haki su kizuri tena hapa hapa duniani kabla hajafa na asikie. Kulia si faida sababu kasha enda mbinguni. Ila ni kwamba uzuni itakuwapo kwa familia ila wacha kila mmoja alie kimoyoni na familia ikiwa pamoja kufarijiana na kumupmbea alie fariki spikelewe vizuri.

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 ปีที่แล้ว +3

    Hata uislam unakataza kulia kwa makelele msibani

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Uyu c anafufu watu, na amfufue mamaake

  • @fredyfundiazamtv8337
    @fredyfundiazamtv8337 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini asimfufue. Kanisa lake si nila UZIMA NA UFUFUO

    • @maryammeme2615
      @maryammeme2615 6 ปีที่แล้ว

      FREDY FUNDI AZAMtv hahahahaaaaaa haki ww

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 6 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo mnandania mambo, sio kila mtu mtu anafufuliwa 😏😏

    • @frankfrank459
      @frankfrank459 6 ปีที่แล้ว

      FREDY FUNDI AZAMtv wewe umefufua Wangapi?? Acha kejeli kifo hakitaniwi

  • @seifahmed2993
    @seifahmed2993 6 ปีที่แล้ว +2

    Kifo akizoeleki wewe

  • @alexemanuel9637
    @alexemanuel9637 6 ปีที่แล้ว

    Kwani mama ako ni nani hadi tumlilie? BIKIRA MARIA AU? Kafa mama angu iwe mama ako pumbavvvvvv

    • @sharoondanny718
      @sharoondanny718 6 ปีที่แล้ว

      Alex Emanuel
      Elewa Mada Acha kuropoka

    • @isaacgadiye9183
      @isaacgadiye9183 6 ปีที่แล้ว

      Alex Emanuel mmhhh.

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 6 ปีที่แล้ว

      Kwani we ulikuwepo msibani??? Hapo anaongea na watu waliofika msibani Wala sio wewe? Kwani na wewe ni nani Hadi akwambie? Watu bwana

    • @hollynationproductions6326
      @hollynationproductions6326 6 ปีที่แล้ว

      mpeni Huyo mbwa Alex mamake zake

    • @hollynationproductions6326
      @hollynationproductions6326 6 ปีที่แล้ว

      anaongea na walioenda sio ww hiv watu wengine wanaubongo

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    Huyo Baba anajifanya kuzika hisia zake,wanadamu tumeumbwa kwa hisia ya kucheka kama vile ya kulia, kama wewe huna sensibility yoyete ,haupo kamili,sasa unapojifanya wewe umezishinda hizia hizo,hata ukiona MTU anateseka hutamjali,utajifanya tu yote sawa.