SNP Jeremiah Mua : Nimechagua uzima na mema yaliyoekwa na Mungu mbele yangu.Nakuona baba Josephat Gwajima Askofu Mkuu,Bishop Baraka.Majeshi na majeshi wa Bwana Kwa wingi.Mungu azidi kukujalia ulinzi wake na hekima kutoka juu Mbinguni. AMEN.
kiukweli watanzania tunapenda GWAJIMA---rais wa saba KABUDI---makamu wa rais POLEPOLE---waziri mkuu MUNGU AKIFANYA HIVI TANZANIA YA MUNGU ITAREJEA MAANA SAIV MMMHHHHHH HUYUUUU
Wengine Ni mapepo Kutoka kuzimu ukweli wanaujua lakini unawachoma maana niwababayao ibilisi Gwajima ana maadui wengi Sana hasa hawa wanasiasa wachawi na waislamu wafuga misukule walisha jaribu kumuua wakashindwa kwahiyo wanachokifanya Ni kupinga na kuchafua kitu ambacho hawataweza
Uhai wa mtu upo mikononi mwa Mungu. Amen 🙏🏾
Mmmh sasa huyu mbn asema anafufua
SNP Jeremiah Mua :
Nimechagua uzima na mema yaliyoekwa na Mungu mbele yangu.Nakuona baba Josephat Gwajima Askofu Mkuu,Bishop Baraka.Majeshi na majeshi wa Bwana Kwa wingi.Mungu azidi kukujalia ulinzi wake na hekima kutoka juu Mbinguni. AMEN.
Jasusa la mbinguni napenda ujasiri wako uhai wangu uko mikonon mwa Bwana 💪💪💪
Ni kweli kabisa.Bwana asipoulinda mji,walindao wafanya kazi bure.
Uhai wa mtu umo mikononi MWA Mungu.
Mungu akupe miaka mingi zaidi tunakuombea wewe ni magufuli wetu ajaye
Nakupenda sana Askofu Gwanjima.
Asante askofu wetu bila mungu cc hatuwezi
Ushindi mkubwaa,YESU no BWANA.Barikiwa baba.
Amina bab Mungu mwema hawawezi katika jina la yesu
Siku zote ufunikwe kwa Damu ya Yesu Baba yangu.
❤mungu anakuelekeza kuja kwangu uone maandiko yake s
Unafaaa kua raisi watanzania. Amen
Mungu akupe miaka mingi uishi kutuhubiria.tunakupenda kutoka Kenya
TUANZE AMSHA AMSHA ZA KUFUFUA TENA BABA.
Kuna watu wanataka kusahau kuwa Wafu bado wanafufuka.
Tunataka kuchukua neema hii..😊
May God bless you so much and expand your territories in Jesus name
Nimeipenda hiyo Askofu wa ufufuko
I like this
Glory to the almighty Jesus Christ
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Blessing my father
Yesu akusaidie saana Askofu
Yesu akutunze sanaaa
Apo sawa askofu
Ubarikiwe sana baba umenibariki sana na hizi shuhuda. Kweli Mungu ni Mkuu sana sana sana tena na tena
Jamani tuwaombee watumishi wa Mungu
Mungu tenda miujiza zaidi
Halellujah Ameeeen asante Baba
Habari njema kwa watu wote
Nice story bro, endelea kuwadanganya mazezeta na wanaamini ni kweli eti.
Si kila linaloongelewa lazima wewe ulikubali hata kama halikubali laeza fanyika tu ni afadhali uamin uchukue tahadhari
Gwajima, nmeshaanza kukuelewa.
Raise tune
Aminaa mkuu
God bless you
Duuh,
Kumbe ndio Mana ukashindwa kumfufua Amina Chifupa,,,
My GOD guide you
Amina sanaaaa...!!
Nachagua uzimaaaa
Amn balikiwa Sana baba yangu maisha malefu Sana baba yangu pshp gwa jimi 🙏🙏🙏🙏💪💪💪🎺
Mungu Mkuu
Eimen
Amina sanaaaaaa
Huyu jamaa ni mwongo wa higher level,
Yaani utadhani anao wahadithia ni watoto wadogo. 🤣🤣🤣🤣
Wewe unabuduki uwamalize majabazi 15 na wote wakikua na silaha
Amen
teheeee eti unasemaje wewe??? acha tu waumbuke dady!!! big up sana jembe la yesu!
Gwajima boy
Mr President
Gwaju Boy oyeee
AMEEEENI KWELI KABI
Ameniii
Umenena
Kajamaaa kaongo haka daa
Wewe ni mmoja wa wachawi?
🙏
Kwann uliwadanganya majambaz
kiukweli watanzania tunapenda
GWAJIMA---rais wa saba
KABUDI---makamu wa rais
POLEPOLE---waziri mkuu
MUNGU AKIFANYA HIVI TANZANIA YA MUNGU ITAREJEA MAANA SAIV MMMHHHHHH HUYUUUU
Duh hakika kazi ipo unafikiria urais ni kama maigizo hayo eeh
Wengine Ni mapepo Kutoka kuzimu ukweli wanaujua lakini unawachoma maana niwababayao ibilisi Gwajima ana maadui wengi Sana hasa hawa wanasiasa wachawi na waislamu wafuga misukule walisha jaribu kumuua wakashindwa kwahiyo wanachokifanya Ni kupinga na kuchafua kitu ambacho hawataweza
Gombea uraisi tutakuchagua Baba chukua form
Hamna ukweli hapo
Pumbavu no watu
Jamba ukweli hapo
Gwaji boy unatudanganya sasa hapo dogooo Yuko wapi gwajima
....ASKOFU GWAJIMA YUKO WAPI? HUHUHUHUHUHUHUHU
Hiyo HUDUMA ya kufufua imezimika kama mshumaa maana watu BADO wanakufa
Tumia akili kuwaza,acha kukulupuka huyo mwamba siyo wa mchezo ndio maana unamfatilia.
Kwani wewe ni baadhi ya wachawi?
😁😁😁
Acha uongo we! Hiv nahao wanao kusikiliza hawashituki tu.naona wanajichekeshachekesha tu.
We ni mgonjwa kweli nenda hospitar
Gwajimaa juuuuuuu
Hata weee unamsikoliza ndomana umecomment
Huyu mtu ni mmoja kat ya wale wachawi wavaa suti
@@edwardkamina8718 haswaaa
Memaaa yote
😂😂
Amina mkuuu
Amina