KESHO YANGU PART 30 💞 Love Story

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 729

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  26 วันที่ผ่านมา +279

    th-cam.com/video/a7h0JvtswiE/w-d-xo.html

    • @DismasFaustine
      @DismasFaustine 26 วันที่ผ่านมา +12

      watu tunataka ifike hata 100

    • @Joseph-oe7qe
      @Joseph-oe7qe 26 วันที่ผ่านมา +11

      Iendelee isiishie hapa ,n nzuri tumeipenda sana pokea maua yako kelvin🛍️🛍️

    • @MartinEmmanuel-eh7fu
      @MartinEmmanuel-eh7fu 26 วันที่ผ่านมา +5

      Usicheleweshe bro

    • @nasramusaro
      @nasramusaro 26 วันที่ผ่านมา +5

      Endeleeni isiishe haraka hivyo

    • @justinemasweta2877
      @justinemasweta2877 26 วันที่ผ่านมา +6

      Unachelewesha sana

  • @ferdinandasende1883
    @ferdinandasende1883 25 วันที่ผ่านมา +7

    Nikiwa wamwisho kutoka Malawi namimi naomba like hata 5

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 25 วันที่ผ่านมา +9

    Nikiona watu wame like kwa komenti yangu uwa na furahia sana plz naomba like hata mbili tu
    Asanteni sana wana ndonta tv kazi nzuri sana🎉🎉

  • @SalooHussein
    @SalooHussein 25 วันที่ผ่านมา +6

    Kelvin Khan kazi nzuri sana broo we ni mwandishi Bora Sana wa taamthilia endelea na usipunguze tupo pamoja Kama team donta alafu tumalizie series yetu pendwa ya la malkia wa majini

  • @FrankManirakizacom
    @FrankManirakizacom 26 วันที่ผ่านมา +17

    Nami naomba like zangu nipo Zambia munatufundisha sana

    • @CastoSilwimba
      @CastoSilwimba 26 วันที่ผ่านมา

      Mm nipo lusaka ww wp

  • @richardelieza1001
    @richardelieza1001 26 วันที่ผ่านมา +43

    Leo nimechelewa kidogo nimekuwa m2 wa 103 naomba like zenu

  • @user-ws4lb1ke2c
    @user-ws4lb1ke2c 26 วันที่ผ่านมา +17

    Kihande hapa jmn naomben like hata sita tu kilasiku mm wamwisho tu please

  • @ManenoMrongo
    @ManenoMrongo 24 วันที่ผ่านมา +3

    Me nawaomba msiwe mnatoa move Kila siku tofaut tofaut kwnz malizen Moja hlf ije nyngne ahsnteni sna,,,,mko vzr

  • @LilmmyCrazyfficial
    @LilmmyCrazyfficial 26 วันที่ผ่านมา +31

    Donta tv and tondo plus Hebu nipeni like hata 10 tu? Please. Japokuwa nime Chelewa lakini sio sana. Kaka kelvin waambiye mashabiki wanipe hata like 10 tu? Kaka 😂😂😂😂

  • @AaIi-qw3ec
    @AaIi-qw3ec 26 วันที่ผ่านมา +15

    Wanasema tutowe maoni nyinyi mnadayi like vip nyiye ok basi bado mwisho uyo Jemsy auliwe na yule aliua Nasra ❤❤❤yule naye akamatwe anyongwe Bro ❤❤ much love ❤❤❤❤❤❤ Burundi

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 26 วันที่ผ่านมา +8

    Pole sana Mr nyuki mana kwasasa unapitia kipindi kigumu dadako Vick amekua mkatili Kelvin naye ndohivyo😢 ila usikate tamaa hilo tunalo jifunza nawapenda Bure kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤

    • @agnesmianzu6052
      @agnesmianzu6052 16 วันที่ผ่านมา +1

      Nyuki jipe moyo kelvin atatoka tu

    • @agnesmianzu6052
      @agnesmianzu6052 16 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana kaka nyuki

  • @abdallahbudodi819
    @abdallahbudodi819 26 วันที่ผ่านมา +16

    Safi sana dogo, endeleeni kutupa burudani murua

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 25 วันที่ผ่านมา +2

    Basi mwenzenu kila siku nachelew ilov you donta tivi nawapenda woteee❤❤❤❤ naombeni like ata 20

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 26 วันที่ผ่านมา +25

    Wa Kwanza naombeni like zangu jmn 🤣

  • @raphaelvarane-rv9bv
    @raphaelvarane-rv9bv 26 วันที่ผ่านมา +11

    Tunaitaji movie kali sana kuliko iyi❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 26 วันที่ผ่านมา +4

    Mashallah shukurani sana washilika mungu abaliki kazi zenu

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz 26 วันที่ผ่านมา +24

    Japo nmepata waliowahi ila cjalechelewa jamani mnaomkubali Kelvin muache likesa jamani

  • @BAHATIMASSAWE
    @BAHATIMASSAWE 26 วันที่ผ่านมา +4

    Nawashaur endeleen kutoa mivi kama hii nimeipenda ni nzuri sana pia inafundisha

  • @Weni-gu6fj
    @Weni-gu6fj 26 วันที่ผ่านมา +16

    Watching from Kenya likes basi

  • @StephenOuma-py7uh
    @StephenOuma-py7uh 26 วันที่ผ่านมา +16

    Leo wa kwanza kutota upande wa Kenya,,,wapenzi wa Viki wapi like

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu 26 วันที่ผ่านมา +12

    It's very interesting kelvin and you team ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-pu6tf6ft6i
    @user-pu6tf6ft6i 26 วันที่ผ่านมา +4

    Napenda hihishe walete nzuri zaidi ya hii

    • @user-pu6tf6ft6i
      @user-pu6tf6ft6i 26 วันที่ผ่านมา +1

      Napenda sana kuwa mwigizaji hila naweza kuigiza mpole maana mimi pia nimpole

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 26 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani toweni vipande viwili viwili mm kimoja hakinitoshi piya msicheleweshe sana

  • @user-wh8px4pu9n
    @user-wh8px4pu9n 26 วันที่ผ่านมา +10

    🎉🎉🎉🎉oyooooooo wangapi walikua wasubir kwa hamu hii episodes 30

    • @HUZAIFZIAD
      @HUZAIFZIAD 26 วันที่ผ่านมา

      Wa kuma

  • @hemedhemed-ij7lm
    @hemedhemed-ij7lm 26 วันที่ผ่านมา +5

    Iendelee tu mpaka kisimame kiama tamu sana kesho yangu😂😂

  • @user-mk1pj7dd2c
    @user-mk1pj7dd2c 25 วันที่ผ่านมา +3

    Nimechelewa naombeni like

  • @Almostaphiq
    @Almostaphiq 26 วันที่ผ่านมา +63

    Wakwanza mm jamani like 10 zatosha🇿🇲🇿🇲🇿🇲 pia mm niombe msiwe mnatoa tamthilia kila wakati tutawachoka mapema utakuta leo kuna hii kesho nyingine keshokutwa pia mpaka inakera wapendwa 💞💞💞

    • @user-yw6ir4bg3l
      @user-yw6ir4bg3l 26 วันที่ผ่านมา +3

      Kama huna bando acha movie itoke kaa kimya kama huna la kuzungumza mnakaa mnaomba like kama vile za kula

    • @joakmmatokeo6650
      @joakmmatokeo6650 26 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yw6ir4bg3lni ushauri wake tu ndugu mbn sio kitu kibaya hiko

    • @judithkadhengi7230
      @judithkadhengi7230 26 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅muelewe​@@user-yw6ir4bg3l

    • @user-kx2kr8mp3e
      @user-kx2kr8mp3e 26 วันที่ผ่านมา +2

      Nikweli kabisa Kama Hana bando atulie asitukere sisi nkuunga mkono wewe mwenzangu tuko pamoja mwaya Kelvin endeleen kutupa burudan ninawapenda San zaid yasan my love❤❤❤

    • @user-kx2kr8mp3e
      @user-kx2kr8mp3e 26 วันที่ผ่านมา +3

      Nyuki nakupenda San pamoja na Neli mnaongea point san

  • @JaphetKabilig
    @JaphetKabilig 11 วันที่ผ่านมา

    Mm naifrahia hii movie ni nzur sana ata msipo nipa like zenu

  • @Rodrygostamili
    @Rodrygostamili 26 วันที่ผ่านมา +4

    Kazi zuri sana daah aisee inamafunzo kibao

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 26 วันที่ผ่านมา +3

    Hii move ni moto mno me binafc sitaman iishe ina mafunzo saana ndan yake 🔥🔥💯🙏

  • @ramosmlela4823
    @ramosmlela4823 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mm wamwisho kabisaa sitajii ataa like ya mtuuuu

  • @KAKINDA-cc7ds
    @KAKINDA-cc7ds 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nahitaji like hata 20 ndugu zangu, kwa upande wangu mnajitahidi sana lakini yani story huwa mnavyo toa huwa zinaendana jitahidini sana kuweka story tofauti tofauti,

  • @malkialinah
    @malkialinah 26 วันที่ผ่านมา +2

    Asanteni kwa kesho yangu nampenda Kelvin ❤️🥰🥰🥳😊

  • @HotaeTz
    @HotaeTz 22 วันที่ผ่านมา

    Awo waliyo shiliki.mauwaji wakamatwe.kunambi atolewe ili ajionee.naajuwe maisha yapoje.alafu na ombeni sapot.yenu ma broo

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 25 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana kelkvin ukukosea kumchagua baba police jaman ana jua adi ana jua tena ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaulidAmri-zt2gv
    @MaulidAmri-zt2gv 26 วันที่ผ่านมา +16

    Jamani na mìmi naombeni like ata 5 from tanzania 🍊

  • @user-km1ms4ms4u
    @user-km1ms4ms4u 26 วันที่ผ่านมา +5

    Leo. Mm wa mwisho naomben like zang🎉🎉

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri team Kelvin aki munatupa mafunzo mazuri🎉🎉🎉

  • @MishaelMwaisongwa
    @MishaelMwaisongwa 24 วันที่ผ่านมา

    Mko vizuli ila ombi langu ni 1 kwani mnapo toa tamthilia Kila wakati love hii kesho nyingine mnatuvuluga mfano hii ya kesho yangu mngeifanya ikaisha ndipo muanzishe nyingine
    Niombi tuu brooo kama inawezekana ❤️❤️❤️❤️💥💥🇦🇼🇦🇼🇦🇼

  • @user-br3dc6ec4c
    @user-br3dc6ec4c 25 วันที่ผ่านมา

    Nzuri sana mm kiukweli nimempenda sana nyuki kwa moyo wake wa upendo wa dhat jp sio ndugu yake wa damu.

  • @MariaMbele
    @MariaMbele 24 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana kwakazi nzuri mnatoa ujumbe mzuri sana katika jamii mungu awasimamie katika kazi zenu

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kesho yangu naona iko sawa kabisa Kelvin mungu akutie nguvu nyingi sana uedelee hivo hivo you always make my day hata kaa nimekasilika sana lakini nafurai tu juu yenu na wapenda saana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MWAS.254
    @MWAS.254 26 วันที่ผ่านมา +3

    Thee whole of that movie it's awesome bro continue thee same

  • @Ramso_kingself
    @Ramso_kingself 26 วันที่ผ่านมา +2

    Iyo iyendeleee kwakua Ina mafundisho mengi Sana arafu waongezeke waigizaji ambao ni smart Sana wasiwe wachafuu

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 26 วันที่ผ่านมา +17

    Wa kwanza like zangu apa please team Kelvin nawapenda wote 🇰🇪🇸🇦😘♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ team strong hoyeeeeeeeeee mko wapi wenzangu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥like please

    • @Glorian-iv6xz
      @Glorian-iv6xz 26 วันที่ผ่านมา +1

      Tupo apo ucjali

    • @user-ql7to3rm3p
      @user-ql7to3rm3p 26 วันที่ผ่านมา +1

      Tupo🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪

  • @amaninarwahi
    @amaninarwahi 16 วันที่ผ่านมา

    Mimi binafsi mumenikosha kabisa kupitia thamsilia iyi imenikosha kabisa félicitations vraiment

  • @BarackMathieuStrong
    @BarackMathieuStrong 26 วันที่ผ่านมา +1

    Yakwangu nawa pongeza sana nikiwa muimbaji wa nyimbo za kumwabudu Mungu nawatakiya maisha marufu ila izi shauri zote zisiwe kwetu tu binafsi ata kwenu piya ziwafunze

  • @user-kk2pu6pr6k
    @user-kk2pu6pr6k 26 วันที่ผ่านมา

    Nataka iyi njimbo ya natafuta nataka kwenda kwa mama jamani Kevin tiya azo Ku tiktok tufahe chalenge ❤

  • @user-ds6dd4jm3u
    @user-ds6dd4jm3u 26 วันที่ผ่านมา +4

    Kwakweli mumenifundisha sana

  • @Nickm22
    @Nickm22 26 วันที่ผ่านมา +4

    Much love from Nairobi 🇰🇪

  • @BrianWanjala-fd9zp
    @BrianWanjala-fd9zp 25 วันที่ผ่านมา

    Afande kisinja anapenda hela sana hii story amenyamazia tu cha muhimu pesa tu ili hali anajua muhusika wa haya maradhi

  • @user-ci8cg2cq3v
    @user-ci8cg2cq3v 26 วันที่ผ่านมา

    Jitaid mpak epsd 100 angalau maan movie yenyewe kali kinoma

  • @LucyLucy-me5ge
    @LucyLucy-me5ge 25 วันที่ผ่านมา

    Ingawa kwa kuchelewa ila ntachangia maoni yangu
    Ushauri wangu ni huu kwenu donta fanyeni mpango mmalize kwanza kesho yangu ndipo mtoe vibao vipyaa

  • @fidelntahunga
    @fidelntahunga 26 วันที่ผ่านมา +3

    Tunashukuruni sana tunawafollow toka GomaKongo

  • @user-ng3sv1yk3o
    @user-ng3sv1yk3o 26 วันที่ผ่านมา +1

    Muvi ipo vzr sana napenda kazi yako kevi lop uh

  • @Davidmtambalabita
    @Davidmtambalabita 25 วันที่ผ่านมา +1

    Imeenda vizuri ila huku mwishoni tu mmeanza kuongeza watu kuweni makini msiaribu

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 25 วันที่ผ่านมา

    Kelvin huyu ni baba yake usitukatishiye movie yetu please tuendelee hii movie na ile mschana wa kazi kelvin na mkewe mpaka kufukuzana akampenda msicha wa kazi ilienda sawa

  • @user-jo7kw3jz6e
    @user-jo7kw3jz6e 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi mzuri sana hamuna baya donta tv ila tunaomb ikisha t iwep nyengin ikisha munakaa sku nyingi hamutumi munaboa

  • @EmanuelyChilingo
    @EmanuelyChilingo 26 วันที่ผ่านมา +2

    Napenda kuwakumbusha2 wakuu kuweni chap kutoa vipande🎉

  • @mkobamwenda7068
    @mkobamwenda7068 26 วันที่ผ่านมา

    Mnajitahidi sana hii kazi ni mzuri sana jitahidini zaidi iishe vizuri sio kikatidha tu km wengine wanavoharibu tana tamani kujua maisha ya kelvn kunambi na wengine wote maisha yao baada ya kesi kuisha

  • @restitutajohn7469
    @restitutajohn7469 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ila episode inakua fupi sana kaka kelvin na mr nyukiiii plz iwe ndefu kidogooo

  • @Demetrio-zs4pr8el6c
    @Demetrio-zs4pr8el6c 24 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana serie yetu imetufundisha sana

  • @ErikaMnama
    @ErikaMnama 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mnajua kweli kuigiza mungu awabariki muendelee kutoa na vitu vingine vikali 🤜

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe 24 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kaka nyuki kwa mtihani mungu atawasaidia mtavuka na kaka Kelvin pole sana kwa mtihani

  • @ndege3127
    @ndege3127 25 วันที่ผ่านมา

    Movie ni nzuri nmeipenda
    But mm nilikua nashauri muwe mnatoa na hizo nyimbo za kwenye movie maan kama huu wa kwenye hii movie nmeupenda kwa kweli jmn
    All in all congrats 👏🏾 Donta Tv as my best channel 🎉🎉😘 love you all

  • @user-rr4sq6mu8g
    @user-rr4sq6mu8g 26 วันที่ผ่านมา +9

    Wakwanza jmn naombeni like zangu 😂😂😂

  • @user-io5xg6mt8g
    @user-io5xg6mt8g 25 วันที่ผ่านมา

    NAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH WANA DONTA TV 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @omarmwachili1108
    @omarmwachili1108 26 วันที่ผ่านมา

    Mbona move zinakawia kutoka na mnazimalizia mahali patamu

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 26 วันที่ผ่านมา +3

    Love you much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @hythamshadrack2323
    @hythamshadrack2323 26 วันที่ผ่านมา

    Ila nimejikuta naumia ett kisa kunambi kuwa na roho mbaya sana na kelvin kutaka kumsaidia na bado akawa anamkandamiza nmejikuta naumia mm😢😢

  • @user-gb1go3ey9p
    @user-gb1go3ey9p 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi mzuri mnooo

  • @MssaMkama
    @MssaMkama 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nikwer jamani mue mnatoa silizi moja ikisha isha ndo mnatoa nyingine situpo mashabiki zenu tuna waunga mkono

  • @ErickMathias-uz9bx
    @ErickMathias-uz9bx 25 วันที่ผ่านมา

    NI series nzuri sana ina elimisha na kufundisha hongereni sana kwa kazi nzuri na bora, nazani mwisho wa series hii ni mwanzo wa serires bora sawa na hii ama kuzidi hii.....

  • @JamesMutisya-oc5xs
    @JamesMutisya-oc5xs 26 วันที่ผ่านมา +39

    Nimewahi Leo ebu nipeni like ata Tisa tuh

  • @HassaniMohamedi-bb1ws
    @HassaniMohamedi-bb1ws 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwaza mm nazipenda sana movie za kelvin naomba mtoe kubwa lenye mda wa lisaa lizima

  • @user-td6tc4jo1h
    @user-td6tc4jo1h 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mmetisha Sana donta TV nawapenda Sanaa woteee ila nimesikitika Sana Kev kaenda sero daah 😭😥😥

  • @user-qp4sm2ko1y
    @user-qp4sm2ko1y 26 วันที่ผ่านมา +4

    Tuseme mnalalaga umu jmn😂😂😂❤

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 26 วันที่ผ่านมา

    Mpelelezi,James na kijana wake kwisha hbr yao,mpelelezi mwnyw anapeleka ushahidi kuwa wao ndo wanahucka

  • @user-tb8et3wq1f
    @user-tb8et3wq1f 25 วันที่ผ่านมา

    Jaman iendelee nzuri san na inafundisha kwer

  • @user-hh9oh6dl6i
    @user-hh9oh6dl6i 26 วันที่ผ่านมา

    Jameni mnakera sana badala ya mchangie kipindi ,mnaomba likes?ni za nn jameni,jangieni kipindi😮😮😮

  • @InnocentMkola
    @InnocentMkola 26 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo mnachelewa sana hadi tunaanza kuisahau❤❤

  • @Nathanael1Kambale
    @Nathanael1Kambale 26 วันที่ผ่านมา +13

    Mimi wakwanza gonga lake 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @alexngamilaga7359
    @alexngamilaga7359 26 วันที่ผ่านมา

    Good job donta tv ,ikiisha hii tupieni nyingine kali zaidi ya hii

  • @user-dz3eg1ds9o
    @user-dz3eg1ds9o 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kila siku unasema ayo ayo afu mwisho unazidi kua mwisho mnazingua

  • @beatboy30
    @beatboy30 26 วันที่ผ่านมา +1

    Munachozingua nyinyi munatoa move ovyo pasipo na mpangilio ivo tu ila kazi nzuriiiiiiiiiii

  • @user-ev8bd5eh3w
    @user-ev8bd5eh3w 26 วันที่ผ่านมา

    Hizo lk huwa mnazitaka za nin acheni ushamba angalien muv bhana

  • @SuzanaFidelis-kt8zh
    @SuzanaFidelis-kt8zh 26 วันที่ผ่านมา +1

    Endelezeni isiishe Jaman nimeipenda sanaaaa

  • @injeai361
    @injeai361 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nzuri ila fupi ❤❤ nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤🎉. From Kenya

  • @isackmwakanyuma8725
    @isackmwakanyuma8725 26 วันที่ผ่านมา

    Hakika kazi nzuri mafundisho yanaendelea kujenga sisi kama jamaa asanten kwa kuendeleqa kutufundisha Mung azid kuwap ubunifu siku hadi siku Good Job.

  • @salummakuya1166
    @salummakuya1166 26 วันที่ผ่านมา

    ni nzuri sana, background music iko poa, kitu kibaya zaidi katika hii series ni kwamba inakaribia kuisha😂😂😂 but tuoneeni huruma jamani muwahi kutoa hata kila siku episode moja

  • @YIRtrue
    @YIRtrue 25 วันที่ผ่านมา

    Nmeikubali story yako jmnnnn hongera sana donta❤️🫷

  • @ebronkihongole1576
    @ebronkihongole1576 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni kazi nzuri mno shabiki wenu iringa tz

  • @user-le9sc8uu7p
    @user-le9sc8uu7p 24 วันที่ผ่านมา

    Bad endelea na nayo kwanza make bd inaend vzuli kingne zingatia hvy hvyo unatoa movie kal san

  • @user-tz2xk3ei4z
    @user-tz2xk3ei4z 26 วันที่ผ่านมา +2

    Ebu zidisha juhudi zenu pia musicheleweshe kutoa muendelezo

  • @user-vx9pr1mm7l
    @user-vx9pr1mm7l 26 วันที่ผ่านมา

    Mze Una baya kabisa Yani umecheza VIZURI sana hapo

  • @veronicawilliam7276
    @veronicawilliam7276 26 วันที่ผ่านมา

    Sasa Vicky kipenz tatizo n nin cjapenda hiyo tabia hapo hujaonyesha msaada wowote 😂😂😂😂😂😂 chenga sana weew ukinuna ndo utamtoa kelvin rumande

  • @user-xx7rt4cl2y
    @user-xx7rt4cl2y 24 วันที่ผ่านมา

    Mbn kama mapema saw kiukwel ni nzuri san nataman isi ishe

  • @topmusicrecord4772
    @topmusicrecord4772 26 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana donta tv, kitu ambacho ningependa kushauli ni kuacha kutoa siliz nyingi na kujikita katika moja, kama ni kesho yangu, ama ilivyokua kijana masikini muuza maji, kuliko kufata nyingi mala bodaboda Malaya nk.

  • @okshindo8681
    @okshindo8681 25 วันที่ผ่านมา

    Huyu James akamatwe Kelvin aachiliwe huku seli nikubaya sana alafu ni kama Kelvin atakumbushwa tena kipigo cha James na ukatili wake

  • @rashidasalman185
    @rashidasalman185 26 วันที่ผ่านมา

    Jamani kelvin yupo Jala hausiki na kitu chochote