ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
HAYA JAMANI SERIES YETU MPYA HII WEKENI MAONI YENU HAPA TUENDELEE NAYO AU VIPI 🤔🥰?
Tuedeleeni kama Kawa na goma mtuwekee uko twazidai kelvin
Tuendelee Kelvin huna baya twakukubali kinoma ujuwe
Tukiona ikosawa tutakuambia
Tuendeleeni
upo vzuri kaka
Unyama kaka naombeni nami mnisubscribe wa mwisho leo😂
Mbona tume subscribe kitambo
❤❤
Shangazi analea😂😂😂😂
Niko russia nikiamka asubuh nazimiss chapati na maharage
Nakpnd sna kevi
Tunaelekea kuzuri much love team Strong ngongeni likes 5 Guys 😢 🔥🇱🇷💪💪
Sawa
Library yangu wana kubali San mov zenu ndomana silali bando haliish nawawaza vibayaaa nipen like zang leooo
😂😂😂😂😂hulali😮😮😮
Wote mlonitangulia nimewapa like 😂😂 mm sio mchoyo nirudishien like zangu😂😂😂
Chukuwa mwenyew
We ndo mchoyo unaomba za nn Kama c uchoyo huyo🎉🎉🎉
@@user-ko5co3bk9f achukue like zake zote aache kudai watu
😂😂😂 sawa nimerudisha tena😂😂
@@PendoAdilson pendo nitaku chapa like 200
Hongereni sana Donta Tv kwa kufikisha 401k subscribers
Asante sana
James umependeza sana bado iyo shanga ya kisukuma shingon
Nomaa
Hahaha shanga ya kisukuma tenaa😂
Nifikir nimeona peke yangu
Tunaelekea kuzuri much love team Strong gongeni likes 5 Guys 😢😢 🔥 from 🇧🇮🇧🇮🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Asante
Kellv hongera ekuji u maon ya wat @@Dontatv255
Jaman ushauli tu movie zenu zinakubilika sana Ili location yenu imekua moja movie zone nyumba iyo iyo badilikeni
❤ na wapenda sana nyie
Ila huyo mama ake vick 😅😅😅😅😅😅duuh htr so kwa mideko hiyo
😂😂noma
😂😂😂😂😂 nyie watu mbona Leo James mpezi wake ni bibi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anyway l love DOTA TV
😂😂😂😂😂mbavu zangu jameni
😂😂😂Wanaita sugarmumy
Jamani shangazi mzima ni kipenzi chake😁😁😁🙆🙆
Nikajua nimeona mm tu😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Jemsi kaamua kuwa Marioo mzee wa mishangaz
Naomben like zenu bas wapendwa 😂😂❤🎉🎉😢😢
Mungu azidi kuwapa maarifa Zaidi mkafike mbali,napenda kz zenu Ni nzuri kwa kwel tuko pamoja from 🇰🇪
Mbona hamsemi jamani kumbe kun move mpya , nimekuwa wa mwisho leo . Dontatv ahsant sana ❤❤❤❤
The BEST love story nimisapoti kutokea Congodrc kalemie🔥🔥🔥
Ah ila huyu mama vicky anayetoka na huyu kijana kama mwanae mmmh anaweza kujibebisha ila dunia hii nyieeeeee🙌🙌🙌🙌🙌
Hatari 😂
Woe kaz nzurii🥳 kam unamkubal kev nipen like🫣
Nimewai from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 niombeni likes zangu jameni hata tano
Hongereni movie nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Naomba maua yangu nakaa nakuwindatu kwa acont yenu boss
Wana Donta Tv, kujeni apa kuna dude jipya "njia panda" kujeni tuburudike pamoja Kenya 🇰🇪 tuko locked
Hongera sana hujawah kutuangusha mashabiki wako
Wenye tunaenda Kelvin.na group yake tuonyeshe love ❤zaao jamani
Donta hiii nyimb inaitwaj mbon qaliii sanaaa
Soon itatoka
Kev makahawa😂😂😂 ngoja nimshtue baba mtoto kua mmetoa kazi nyingine ya 🔥🔥
Jamaniii lina acha tamaaa wanikera aki lina 😢pole sana
😢😢
@@Dontatv255🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mu endeleye iyi movie i really likes it
Safi tu kaka na ubora wa kazi enu tutaona baada ya siku kadhaa mbele
Sawaa
@@Dontatv255 namba 3 lini broo
Huyu mshangaziii 😂😂😂😂😂
Wakwanza leo from kenya
🥰🥰
😂😂😂ona ilo jicho la kelvin😂😂😂
Eti kalvin makahawa 😂😂😂 noma sana
Mimi mwaka naomba like kumi tu🇲🇿
Nachukia hii mijimama inayo lea hivi vidude vya mikia ya chini sana
Uo ni mshangazi
James umetisha na huyo baby wako mshangazi😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani James na bibi 😅😅😅😅
Munafurahisha,hapo.kwa,kahawa.❤🎉😊
Jemnsi safari hii unadate na mshangazi😂😂😂Aya Leo nimewahi nipeni likes zangu kutoka kenya
😂😂😂
James amepewa shugamommy😂😂🤣🤣🤣🙌
Jaman naombeni like 10 tu
Uyu bibi harusi mutarajiwa vip bona Ni Malaya sana jamaniii
Ni km mamayake tu
❤❤❤ nzul SN napenda seriues zénu film burundi❤
Yan kwenye apo boss kamletea kelvn kahawa. Mmevocheka ad na mm nimecheka kiukwer
Kazi nzur san kelvin tuendelèe lakn msichelewe kuachia vitu mkichelewa mnatuboa bhana ila hongereni mko pow sana❤❤❤❤❤
sema huyo mshangazii anazinguaaa
Marioo tn😂😂😂😂😂😂😂ila uyu mama anajua🤣🥰🥰🥰🥰
Marioo❤
Anajua sana
Nzur sana hii endelea nayo
Nakubali Sana kazi zenu endeleeni nayo
James ameua sana , safiiii
Series hiyi kali kabisa
😊😊😊😊😊 ETI AH KEVI MAKAHAWAAAAAA
Haya ma sugar mamy😂😂😂😂😂😂
Tunapo pendwa hatupaoni jma😢😢
One love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
Boss mbona usimletee Kunambi Kahawa wewe😂😂😂😂😂 Kunambi pole sanaa 😂😂😂
Leo kunambi atlist yuko offisini mana kila time kuteseka❤❤
D.O.P wa Donta Tv pokea maua yako asee❤❤picha zina quality nzur
Vick hufai kufanya uhusika huo kwa kweli!
Ukahaba iko ndani ya hii cinema waaaa😂 sawasawa lina na mamake kweli mtoto mleavyo ndivyo akuavyo
We mbaba kilasiku faranga we james unapenda hela sana.
😁😁
Hatari sana afu anamwambia mama wa watu et anamchezea 😂😂😂🙌🙌
Haaaaa Jemsi ameolewa
ila huyu mama mtu mzma umempatia sehemu Ngumu saana kutokana na umr wake.ningependa saana km angeigiza km GRACE MAPUNDA alvyokuwa anaigiza nahc ingekuwa vyema zaidi.all in all , good job MR kelvin🇹🇿🌹
Ndio maana ya kuwa msanii
Jaman James anadet na mwanamke anemzid umri duuh😂🤣🤣🤣
Nadhani James ako after money but Sio mapenzi ya ukweli 😅😅
@@ireneirene8241real
Tuendelee bwana. Kenya Watching, twapenda
Tunamtaka loveness awe muhusika mkuu
Dah! Muendelezo mambo ni fire love ❤️ so much
Niko hapa sasa ❤❤❤
😂😂😂😂😂😂 hapo ni noma
Mambo ni fire 🔥, kwa huyu mama duh😂😂😂😂,apate pesa amhonge James
Hii nzuri sana hongera team kelvin🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kaz iendelee mwendo mdundo
Shangazi nae jamni haloo 😂😂😂❤
Mujipendeye Lina anakuchanga na mudogo wako😂😂😂🤣🤣🇧🇮💯
Good job
Kunambi anapenda umbeya umbeya sunaaa❤❤🥰🥰🇧🇮🇧🇮💯
Na James Leo congratulations ni yako uko muhandsome ivi kumbe husisonge tena nywele 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kelvin kazi safi mungu awazidishie maarifa ❤❤❤❤❤
Kitu kmyaa Asanteni 😂 na wakwanza naombeni like zangu 🤣
Kali sana❤❤ mbere kwa mbele broo
Iko pia sana,SEMA mwendelezo uwe kwa wakati
Safari hii jemsi ana mshangazi😂
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
Mosesi amependeza sana jameni hadi raha❤❤
Kevin mwenzio nakupenda ❤ sitaki hata nikukose
Kazi nzuri nawa penda sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Donta tv nawapenda , series zenyu n nzuri
Boss kamupenda mukaka wakazi jameni penzi haricaguwe❤❤❤
Mm n wa mwisho lkn npitien na likes😂😂😂
Number one
Niliisubiria Hadi nikachoka, msiCheleweshe sanaa
😂😂😂😂😂😂James leo umepata mshangazi 😂😂😂😂😂 pumbavu zangu
Thanks kwa kuachilia kitu kingine kizuto. Nawafuata nikiwa Nakuru Kenya mji wa Flamingo
Kahawa kelvin
Kelvin makahawa😂😂😂
Jamanii we mama y😂😂😂mapenz shikamoo😂😂
😂😂😂wadai kod sio basi pambana boss mdgo mwanaume kujituma
Much love from saudi ❤❤❤❤
Unaempenda nae kampenda mwingine , mwingine nae ana mwin
Huyu mama dada hajapoa yaan you poa kinoma
Yuko motoo
Much love from Kenya ❤❤❤❤
Movie nzuri sana🎉🎉😊😊
Kazi iko poa sana bigup❤❤❤
Mimi wakwanza Leo nipeni like ata kumi

ila huyu mama mtu mzma umempatia sehemu Ngumu saana kutokana na umr wake.
ningependa saana km angeigiza km GRACE MAPUNDA alvyokuwa anaigiza nahc ingekuwa vyema zaidi.
all in all , good job MR kelvin🇹🇿🌹
Ndio maana ya kuwa msanii
Jaman James anadet na mwanamke anemzid umri duuh😂🤣🤣🤣
Nadhani James ako after money but Sio mapenzi ya ukweli 😅😅
@@ireneirene8241real
Tuendelee bwana. Kenya Watching, twapenda
Tunamtaka loveness awe muhusika mkuu
Dah! Muendelezo mambo ni fire love ❤️ so much
Niko hapa sasa ❤❤❤
😂😂😂😂😂😂 hapo ni noma
Mambo ni fire 🔥, kwa huyu mama duh😂😂😂😂,apate pesa amhonge James
Hii nzuri sana hongera team kelvin🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Asante
Kaz iendelee mwendo mdundo
Shangazi nae jamni haloo 😂😂😂❤
Mujipendeye Lina anakuchanga na mudogo wako😂😂😂🤣🤣🇧🇮💯
Good job
Kunambi anapenda umbeya umbeya sunaaa❤❤🥰🥰🇧🇮🇧🇮💯
Na James Leo congratulations ni yako uko muhandsome ivi kumbe husisonge tena nywele 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kelvin kazi safi mungu awazidishie maarifa ❤❤❤❤❤
Kitu kmyaa Asanteni 😂 na wakwanza naombeni like zangu 🤣
Sawaa
Kali sana❤❤ mbere kwa mbele broo
Iko pia sana,SEMA mwendelezo uwe kwa wakati
Safari hii jemsi ana mshangazi😂
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
Mosesi amependeza sana jameni hadi raha❤❤
Kevin mwenzio nakupenda ❤ sitaki hata nikukose
Kazi nzuri nawa penda sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Donta tv nawapenda , series zenyu n nzuri
Boss kamupenda mukaka wakazi jameni penzi haricaguwe❤❤❤
Mm n wa mwisho lkn npitien na likes😂😂😂
Number one
Niliisubiria Hadi nikachoka, msi
Cheleweshe sanaa