Ujue hawa wanaaminika watu mahusiano yao hakuna mwanaume ambaye anamwanamke mmoja iyo haipo sasa utu mwenye harusi anakuli wakati anaenda kwenye ndoa ajui kama wapo wanawake wanao tafuta ata iyo ndoa haipo
,Koredio soma huu ujumbe, Ukiwa kama mwanume tumia hakili, Mtu unajua yuko kazini, wanaume tuna hustle usiku na mchana, we unaleta ujinga, hujui mtu anaumiza hakili kiasi gani na maisha we hutaki kuwazaa hilo mzee.... unayumbaaa Sanaaaa
Huoni pia kiredio yupo kazini na pia na yeye ni mwanaume anae umiza kichwa kama kufanya hicho anachofanya 😁 tuache ushamba bhana kila mtu apambane na kazi yake 🙌 keep going bro 💪❤️
We mbwa unakula Mbs zangu sana. Notification ipo on. Asee ni bless ata Mb za buku tano. Kuna li levi limoja lina piga sana mke wake. Uje uli challenge na husiliambie kama ni challenge naamini lita acha pombe tu.
Muda huooo mnasema bi arus mjinga mwenzenu niko na mume wangu sahz nampetpet na challenge nmefanya na malipo yangu ya kutosha nkapewa na siachiki Ata aje na challenge kumi kwa wakat mmoja kredio njooo tena😂
Huyu dada ni mjinga huwezi kubali huu upuuzi kamwe kwenye hali kama hiyo mimi ingekuwa ni huyo mwanaume ungeolewa na kiredio Kuna vitu utani hauhitajiki
Tuliokuja fast TH-cam tujuane ila huu ujinga sifanyi haki wallah
😅😅😅😅😅😅😅bwana angu mimi angenikataa kbsaa
Ujue hawa wanaaminika watu mahusiano yao hakuna mwanaume ambaye anamwanamke mmoja iyo haipo sasa utu mwenye harusi anakuli wakati anaenda kwenye ndoa ajui kama wapo wanawake wanao tafuta ata iyo ndoa haipo
Kwakweli nimekuja chap
@@AnthonyAnatorynashanga
🤣🤣🤣
Mke wangu popote ulipo usije ukafanya huu ujinga utamfuata kiredio nimesema 😢
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂 nimecheka sn
😂😂😂walivyogoma kufanya challenge nmecheka sana walah
Aah kw kweli hii yavunja mahusiano kabisa
😂😂😂😂😂 nyie nyie mm sitak huu ujinga kabisa wee mwishoe niache bure
Kiredio wewe kiredio litakuja kukukuta jambo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa mm nilivoelewa hili ni tangazo 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Limkute malangap
Yule babe angu pangechimbikaaa,Wallah nikikuonaa nitakimbia mbio za paka chongo
Hyo biharus anakilanga mwee eti anapiga kabisaaa nyie mwendekezeni tu kiredio
😃😃😃
Huyu mume wangu hatajua kiredio wala kispika. Nitafarikishwa😂😂😂😂
😂😂😂😂
nimecheka atar eti kispika😂
😂😂😂😂
,Koredio soma huu ujumbe,
Ukiwa kama mwanume tumia hakili,
Mtu unajua yuko kazini, wanaume tuna hustle usiku na mchana, we unaleta ujinga, hujui mtu anaumiza hakili kiasi gani na maisha we hutaki kuwazaa hilo mzee.... unayumbaaa Sanaaaa
Hata hivyo kuna wengine wana tatizo la presha akumbuke na hilo.
Huoni pia kiredio yupo kazini na pia na yeye ni mwanaume anae umiza kichwa kama kufanya hicho anachofanya 😁 tuache ushamba bhana kila mtu apambane na kazi yake 🙌 keep going bro 💪❤️
Haya ni maigizo mtu mzima na akili zake si dhani kama anaweza kubali kuharibu ndoa yeke
We mbwa unakula Mbs zangu sana. Notification ipo on. Asee ni bless ata Mb za buku tano. Kuna li levi limoja lina piga sana mke wake. Uje uli challenge na husiliambie kama ni challenge naamini lita acha pombe tu.
Kaaah mtu anaweza kuja kufa Yani daah 😅😢😂😂😂😂
Unaweza fanya mzaa ukajutia.
Miii hapana kwakweli nooo kubwa😂😂😂😂😂😂
Mwanaume nimempenda n mstaarabu sana hatoi taarfa za mkewe kuna mikaka inalopoka kwa hasira
Hi harusi hajielewi kabisaaaaaaaa
hahahahahhhhhh nakupenda bure wemkaka jamani hiyo ni challenge plus tangazo so acheni makasiriko
Kiredio nikikukuta njian ntakimbia mbio hizo so kwa mamb haya
😂😂😂😂
Eeehh huuu ujinga sitokaa niufanyeee dah hujui anayeongea sijui ana hali gan.mara paap mahusiano yameharibika kwel utani mbayaaaa😢😢
Ata kuchukua mamuzi ya kujiua mtu uwezi jua mtu anakupenda kiasi gani mtu anatoka apo anajinyonga bule unaitwa mfiwa
Anatangaza biashara ya mashela hapo
😂😂😂😂Nimekuja yutb kwakukimbia mpk nimejikwaa🤣🤣🤣🙌🙌
Muda huooo mnasema bi arus mjinga mwenzenu niko na mume wangu sahz nampetpet na challenge nmefanya na malipo yangu ya kutosha nkapewa na siachiki Ata aje na challenge kumi kwa wakat mmoja kredio njooo tena😂
😂😂uliogopa lkn
Nice waache wazngumzee lakin deal done ✅🤣🤣🌹❤️
Naomba kadi biharusi
Huo ujinga kiredio usije kufanya tena utakuja kufanya watu wakuozeshe ww
Mhuuuuuu
Mmmh labda cyo fulani wangu, jembe lingelima lami😂😂😂
Kiredio njooo mwanza chap kwa ajili ya mahusiano yangu yavunjike yasivunjike fresh tu
Akija uni dm
😂😂😂😂kiredio jmn lbd Kam ni tangazo sawa ila kama uko serious umuoe tu na vee ue na wake wawili cjapenda
Kama unaipenda furaha ya mahusiano yako epuka kukutana na Vicent.
Hhh😂😂😅
Watu mnapenda kwl
Uwiii i can't kufanya hv😅
Yaan huyu bi harus anachekelea kabisa heee mi siwezi haya mambo utaachika hvi hvi na usiamini
same here🤣
Sema nn mwanang ipo siku utakuja kujichanganya vibaya unadhan watu wanapenda unavofanya ivo siku zako zinaesabika mzee take care🤒
wameshaanza kwenda uchi😂
Mpaka hapo ushavunja mahusiano mengi sana we kiredio wewe kah 😂😂😂😂ila mimi huu ujinga sifanyi 😜😜
Hatari mno usijaribu hii wala usipime 😂
Mh we kiredio wew😂😂
Siwezi kufanya huu upuuzi hata kwa dk 1 labda sio mimi
Kama tu mi nmeogopa, je kiredio😅
we jamaa fala sanaa😅😅😅😅🙌🙌
Daa mim hapana jmn🧐🧐
Shenzi kabisaaa😂😂😂😂😂
Dah bora jamaaa kakufahamu aseee😂😂😂😂 nimekilia utube fasta kama radi
😂😂😂😂Kiredio utauwa watu Na hizo challenge zako ety 😂😂😂😂
Kiredio kiredio🙌🙌🙌🙌
😂😂😂kiredio nyooo kumbe muoga
Kiredio🙌🙌
We kiredio acha hayo mambo kabisa jamaa angu
Mmmh Kwakwali huu ni ujinga mm siwez fanya huu ujinga maisha
Mm ujinga huo siutaki😂😂😂
Bi harusi weeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwaiyo kiredio tuje uchi shenzi kabisa😂😂😂
😂😂😂 mungu wang kiredio unadhambi ww
Kiredio msenge sana mamqk😅
Msenge sana huyu bi harusi…
Fala Sana yaan anamwendawazim na nusu
🤣🤣kiredio nikikuona popote ni mbio kuliko kibaka aiseee
Content zingine sio kabisa haifai
Mtakuja fanya watu waachike wallahi 😂😂😂
Utakuja kuuwawa nyama ww😂
Biharusi wewe ni mjinga, yaan mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyew
Anamwamini bana @kiredio anachangamsha mambo ikiwa chenjeu ndo una yamwaga
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mmsifanyi kamahii😂😂😂😂
Na watu wako na masiala na shela jamani😂😂😂
Mwanamke anayejitambua awezi kukubari kumjaribu mmewe mtarajiwa Kwa huu upumbavu kamweeee
Aisee
Huyu mwanamke ni fara kbsa... kafanya ujinga na liredio wake afu anajichekesho me nakuacha hapohapo na hautaamini
Mmh hizi challenge ni za ajabu sana kwa kweli unaweza kuachwa hivihivi.
Ww kiredio ww utakua uvunje ndoa za watu😂😂😂😂😂 wanaume wengine machozi ujuwe
Aaaah mistaki😂😂😂
Kama unaangalia cctv camera gonga like hapa
Huyu dada ni mjinga huwezi kubali huu upuuzi kamwe kwenye hali kama hiyo mimi ingekuwa ni huyo mwanaume ungeolewa na kiredio Kuna vitu utani hauhitajiki
Mwanamke mjinga ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
Hivo unavyofanya sio waharibu nyumba za watu
hayo maigizo hapo...unavutwaaa kila siku...hao wote waigizajii huyo dada hajaolewa wala nini ni washkaji wa kiredio tu
Huyu mdada kama ni kwl Ako na ufala sana na anastaili kuachwa 😅😅😅😅😅
acting
Maisha sio kuwa serious kaka refresh ur mind
@@neemasovela5037 Kabisa yani ..
HUU NI UJINGAAAA WE MDADA..., Mfyuuuuuuuuuu😮
Kiredio kiredioo😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Broo utazikiwa mkoa gan tuandaee nauli
Looooh zaliliko ili 😅😅
Mkaka mstaarab hadi namuusud😢😢
Vai wa kiredio mshaur kijana wako
Una risk NDOA kisa challenge ...wah
Upuuz wa Hali ya juu😂
Uuuuuuwiiii kiredio weeeeee
Nomaaaa sanaaa
Kiredio nikikutana nae hata salamu sikupi sitak utan kabisaa na mahusiano yangu
Suzie kipnz za siku afu kiredio huyo hahaha angalia usiachike
😅😅
Keredio bhna ety ongea ongea😅😅😅😅
Naomb namb ntakuja siku sio nyingi kuchek nguo ya harus Niko Buhongwa ,, ila hizo challenge sizitaki msije kuniulia mume wangu 🥹
Duh wew kiredio unahatari
Ww kiredio acha utani 🙆🙆
Kiredio atawatoa koo😂😂
We acha hayo mambo utafunja ndoa ya mtu asee
Una balaa wewe dadaa😂😂
Kiredio kuwa mbunifu sio kila kitu mahusiano challenge ,fanya na vingine
Fanya wewe tuje kuangalia kwako, hapa vingine hamna
Baadhi ya wanawake akili zao bhna.
Ila we kijana Kiredio una uzinga mwingi sana
Bi harusi moyo unadunda😂😂😂
Nimekuja fasta
❤❤❤❤
Usifanya challenge za ivyo bhn
Daah
Asee i so poa bhn
Ipo siku utaachiwa majukumu sio yako yani ukikutana na mwanamme mwingine hanaga utani kabisa shauri yako kiredio 😂
Mm nngekuwa kama mwanamke nsingefanya huo upuuz