Habari zenu wafatiliaji wa donta tv? Natumai mko poa kabisa 🥰 Hatimae leo Tumefika Tamati Ya series yetu ya #KESHOYANGU tunashukuru sana kwa kuwa pamoja na sisi mwanzo mpaka mwisho, Tunajua kunasehemu ambazo tumewakwaza Tunaomba Radhi kwa maana aikuwa kusudio letu kuwakosea kila siku tunajifunza zaidi kupitia maoni yenu msituchoke endeleeni kutusaport kwenye kazi zetu zifuatazo 🙏❤️
Kusema ukwel msipotuambia. Jina la wimbo. Mm kuanzia Leo naacha kuangalia movie zenu sitofatilia tena. , tumevumilia sana na mliahidi kabisa wenyewe mtatuambia. , na huu ND mwisho ila mbn atuoni kitu aise nin shda
Police anaweza kukufunga,mwalimu anaweza kukufelisha,hakimu anaweza kukuweka jela na daktari anauwezo wa kukuua lkn ashukuriwe MUNGU kwa NEEMA NA REHEMA ZAKE hutupigania katika hali zote🙏
Waoooo🎉🎉🎉 Mungu azidi kukuongoza akupe nguvu mpya uzidi kuwa na afya njema Dr Kevin Khan,kila laheri kwenye Kaz zako unazidi kutuelimisha hata tuliolewa
allah awape maisha marefu tumejifunza mengi natumefaidika sana nimimi Sadam niko lubumbashi kwasasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 asante sana mungu awabariki tana sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani hadi nimetoa machozi😭 mtu mzima kuona goma linaisha ham bado yote kwakweli big up sana kwa NYUKI NA NA KELVIN kwa mashairi nimejifunza kitu kupitia maneno yenu yana busara ndaniake,pia na ujumbe,nakubali kitu kizuri
Mwenyezimungu awabariki sanaaa KATIKA kazi zunu Kila mnapo achia bhasi ziwe ni zenye kufanikiwa kupenya KATIKA ulimwengu nawakubali sanaa na ninawapenda sana WOTE MLIOSHIRIKI KATIKA STORI YA KESHO YANGU ASANTENI
Kelvin pokea salamu zangu kutoka Kenya, mjomba umeweza kiukweli nakukubali sana bro, big up for what you have done and may God grant you more years #shalom 🙏
Mwisho wa leo nimejifunza kitu nashukuru sanaa kwa hiii mungu haishii kuwaweka kabisa Kelvin moyo wako mungu hasimame kwa kila jambo nimekupenda sanaa na moyo wangu wote Akh paka nimetamani kua karibu na ww ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Since day one, imeanza kuruka hatimaye leo tumemaliza, five Kwa wote walio husika kuiandaa hii kazi na waendeleee kutuletea kazi Kali kama hizi, congratulations kwa wote tuliokua tukiifatilia🎉hall🖐🏾
Yakwaza kabisa waja mm niwashukuru sana ogereni sana movie safi sana waaah nani aliogopa kaa mm nirifikilia kizeja atauliwa mle ndani lakini poa sana 🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🎉🎉

Sawa tumevumilia kwa hari na Mali lakini mna deni la kutuambia jina la wimbo aise
🙌🙌
Sawa kaka kevi lakintupo pamoja mwisho mwema mwazo mwema kwa nyingine ijayo🙏
Penda bure
Kusema ukwel msipotuambia. Jina la wimbo. Mm kuanzia Leo naacha kuangalia movie zenu sitofatilia tena. , tumevumilia sana na mliahidi kabisa wenyewe mtatuambia. , na huu ND mwisho ila mbn atuoni kitu aise nin shda
Kama we ni mfuatiliaji wa kesho yangu kuanzia EP 1 mpk finally gonga like kama zote
Nmeipenda xana
❤❤❤❤❤❤❤
Walioanza kesho yangu kwanzo mwsho like zangu apa please love from team strong 🇰🇪🇸🇦🔥🔥💞💞💞💞💕💕💕💕💕💞💞💞💞💕💕💕team nyuki kelvin wapi like zangu ♥️♥️
Police anaweza kukufunga,mwalimu anaweza kukufelisha,hakimu anaweza kukuweka jela na daktari anauwezo wa kukuua lkn ashukuriwe MUNGU kwa NEEMA NA REHEMA ZAKE hutupigania katika hali zote🙏
Nimeipenda hiyo I like it
😂😂
Finally part yenye tumewait Sana
Alf pia mm mnipe likes zangu🙏
Dah nimekuwa wa tatu lakn sio mbaya like kwa DONTA TV
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹
Hakuna watu wenye wanabow kama waombaji likes all the way from Kenya 🇰🇪 wapy likes zangu NAMI🤣🤣🤣🤣
Yan mim huwa wananiuzi sanaaa tena snaaa
Hahaha
Wanaboa sana
Wana donta move zenu nyingi huwa nazfuatilia lakini maranyingi siwapi like polen ndugu zangu kuanzia sasa tuko pamoja hii move imenigusa
Umekosea ungesema shida Zina likizo kila ckuu sii maumivu wew umesema Kila CK ni maumivu happy lekebisha kirevin
Waoooo🎉🎉🎉 Mungu azidi kukuongoza akupe nguvu mpya uzidi kuwa na afya njema Dr Kevin Khan,kila laheri kwenye Kaz zako unazidi kutuelimisha hata tuliolewa
Congratulations to kelvin and his team ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kama umefurahishwa na hii serious gonga like❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii movie imekia tamu Sana. Yaan sitaisahau.
Hii move imekua tamu sana next
😮Finally hii kituu imetokaa tenaa Likes kwa wale tulioanzaa mwanzo mwishoo😊😊
Hereeeee😂😂🎉
Hiyo nyimbo ya kesho yangu mtuwekee TH-cam bhana❤❤🎉
Haya
Hua naliaga kweny movie za kihindi Leo yamenitokea kweny movie ya kibongo kweli hawa jamaa wanatosha 🔥🔥🔥
❤sana
Hahahahahahaha pole
Wangapi tunafurahia kumwona JAFFARY
😂😂Mimi hapa
Wakwanza mm like 20 from🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Wakwanza mm like zangu
Jmn ndio final tushushe comment zakushato... Mungu aibarik sana Kaz ya mikono yenuuu me nimeipenda sanaa hii mpk nlishawish na rafk zangu waitizame
Maisha Yana likizo kila CKu c maumivu maana unampana na mwisho unatombo sas Kila CK si maumivu kilevin badilisha hapo Zanzibar hapa
Hongera sana kelvin khan nakuombea kwa Mungu akuongezee akili na uelewa ktk utunzi wa muv nakutumia kila la heri
Wa kwanz Leo kuangalia
Like zangu jmn wakwanza
Acha ushamba.. likes zinakusaidia nini wew
Za nn
allah awape maisha marefu tumejifunza mengi natumefaidika sana nimimi Sadam niko lubumbashi kwasasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 asante sana mungu awabariki tana sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wakwanza movie mzuri sana
Nimechelewa leo lakin naombeni like hata 20 kutoka south❤❤
Pia mim nimewahi jamn nawapend nyote mlikua mnasubir kesho yangu km mm❤❤❤ from kenya 🎉🎉
Yaani hadi nimetoa machozi😭 mtu mzima kuona goma linaisha ham bado yote kwakweli big up sana kwa NYUKI NA NA KELVIN kwa mashairi nimejifunza kitu kupitia maneno yenu yana busara ndaniake,pia na ujumbe,nakubali kitu kizuri
Kazi nzuri kweli❤
Nilikasirika mpka sikufatilia hizo vipindi vingine Nina furaha Leo😚😚
Am in ,congratulations kelvin and Loveness am very happy listening your creativity..my favorite characters of the year
Jamani jamani njooni kesho yangu imewasili njoooni tuzidi kujifunza kitu❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tumefik mway tumefurah tuangalie mwisho wak keshaingia chakike uyu bwan hhhhhh
Tumelejea 🎉
Asanteni ❤
Am the first in kenya more likes🎉🎉
Number one naomba like za final
Wakwanza jamani anzeni apa in 🇿🇦 😢😢😢😢
Hongereni watunzi mahiri. Movie yenu nzuri sana na mafunzo pia. Twaomba nyengine nzuri zaidi.
Wakwanza leo
40:35 Wow 😊. Thanks guys for your update 🎉. Tulikuwa tumengoja sana. Representing Mombasa Kenya❤. Kwanzia episode 1 mpaka episode 33.❤🎉🎉🎉 Congrats guys 😘💕💕😘
Hii movie inamafunzo sana ukiifuatilia vizuri utajua namna nzuri ya kuishi maisha yoyote yale
Number 1 🔥
Sijachelewa jamani naombeni like zangu from tabora tz❤❤❤❤
Wakwanza from oman naomba like hata kumi guys kwa kaz nzuri ya donta tv 🎉🎉wanaotaka nyimbo ya kesho yangu iachiwe tujuaje hapa guys 🎉
Tulio hanza kufuatilia ep 1 mpaka final weka like hapa 🎉🎉🎉
Bravo kwa wenye tumemaliza tamthilia kuanzia mwanzo hadi tamati❤
Waooooo Kelvin wangapi tuna mkubali kelv gonga like hapa😂😂😂😂
Kaz nzur San police kama nyie ndo mnataikiwa vp nimekuwa wa kwanza like mbili tu
Wakwaza Leo 🎉🎉🎉🎉🎉kutoka kenya
Jamni coment taratibu kunamtu kanikanyaga huku nyuma Yani nimetoka kotee na faino episode ata like ndugu zangu hamna LEO ZAMU YANGU♥️💙
Mwenyezimungu awabariki sanaaa KATIKA kazi zunu Kila mnapo achia bhasi ziwe ni zenye kufanikiwa kupenya KATIKA ulimwengu nawakubali sanaa na ninawapenda sana WOTE MLIOSHIRIKI KATIKA STORI YA KESHO YANGU ASANTENI
Team donta tugonge like
Kelvin pokea salamu zangu kutoka Kenya, mjomba umeweza kiukweli nakukubali sana bro, big up for what you have done and may God grant you more years #shalom 🙏
kesho ysngu
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mpo ndani ya nyumba 💕💞💕💞
Am the first naomba like waugwana❤
Mashallah nawakubali san wanangu like ata tano tu jamn❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂wakwanzaaa kabisaaa
Tulikuw pamoja mbk mwisho good work🎉❤
Kazi Bomba kabisa. Barikiwa sana Kevin. Nampenda sana Vicky.
Donta family yang
Wakwanz nipeni likes jmn ya mwisho hii
Ni nzurii sana tunawashukuru kwa kutuletea tamthilia nzuri kama hii tunawaomba mtuletee nyingine nzuri. Zaidi ya hii ❤❤❤
Mungu awabariki sana kwa mafundisho mazuri , muendelee kutuelimisha
Wa kwanza leo nipeni like zangu😢😢😢,,,halafu hongereni kwa kazi safi❤❤❤❤❤❤
Much love from DRC 🇨🇩🇿🇦🇨🇩🇨🇩 yanamengi yakujifunza kwaiy story ❤
Mi wakwanza,like zangu badii
Kesho yangu umekua series nzuri sana na ina mafunzo mazuri acha Mungu aendelee kuwapa uwezo mkubwa
Wa kwaza jaman like
Asanten Sana kwa kazi nzur sana kwakwel hii movi imenifunza kitu Asanten Sana Team Kelvin ❤❤❤🇰🇪
Mwisho wa leo nimejifunza kitu nashukuru sanaa kwa hiii mungu haishii kuwaweka kabisa Kelvin moyo wako mungu hasimame kwa kila jambo nimekupenda sanaa na moyo wangu wote Akh paka nimetamani kua karibu na ww ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waoooo raha sn wana donta TV hongereni jamani nawapend niko Burundi 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Wimbo wa keshooo mtuangushie basi ndo tuzidi kufurahia zaidi,Nawapenda sana nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na mimi swali izi like ua mtu yuwalipwa na mimi nipewe like piya nilipwe kidogo mahana mimi nafyatilia donta tv😂
Since day one, imeanza kuruka hatimaye leo tumemaliza, five Kwa wote walio husika kuiandaa hii kazi na waendeleee kutuletea kazi Kali kama hizi, congratulations kwa wote tuliokua tukiifatilia🎉hall🖐🏾
nimefurai sana tena sana kwa movie hii ambao munamafunzo mengi sana mungu azidi kukubariki sana Kelvin akuongeze maisha marefu 🙏🙏
Namkubali sana brother Nyuki❤❤
mpaka leo nafurahi kufuatilia hii series mpaka mwisho
Wakwanza leo❤❤❤
Congrats hii ilkua kali sana,,,leteni nyngne
Nilitaman iendelee sana daah
Much love from kenya 🇰🇪 ❤️
Nimefurah Leo mmemaliza kesho yangu nilikuwa naisubr Kwa hamu shukran donta tv🙏nawapenda Sana🥰🥰😘😘😘
Wahoooooooooo kazi nzur sana,endeleeni kutupa vitu vizur,kelvin bigup🎉🎉🎉
nilijua tuu ilivyochelewa n final
Wakwanza dadeq like jamaniii 🎉🎉
Yakwaza kabisa waja mm niwashukuru sana ogereni sana movie safi sana waaah nani aliogopa kaa mm nirifikilia kizeja atauliwa mle ndani lakini poa sana 🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kz njema
Kiukwl hii movie n nzr na inamafunzo mengi sana, au bas
James Leo anayakanyaga yaan anajitumbukiza mwenyewe kwenye mudomo ya Simba,,, hongera kwako mwanasheria upo vzr mnoo❤️❤️❤️
Asanteni sna waigizaji wazuri twawapenda sna mno.i'm from 🇧🇮
Kesho yangu ni film nzuri sana imenifundisha mengi sana 🙏🙏🙏 naamini mtatoa nzuri zaidi
Jaman kwnn nyuki anahasira na kunambi,,,
Mmechelewesha sana bwana
Wow❤❤❤kesho yangu....Mungu awabariki sana nyote mlioshiriki❤❤❤
Walioanza kesho yangu adi mwisho gonga like hapa tumejifunza kitu kikubwa sana congratulations 🎊 🎉🎉 Kelvin and your time ❤❤❤
Jamn wa pili like zangu ❤❤❤
Namba 28
Kevin tunagupenda sana kabis hongera na Rwanda huku tugufatilia San hongera San sarimia nyuki
Much love from Kenya guys like back wapi like za Kevin na nyuki ❤❤❤❤ nimejifunza Sana ❤
Hii movie nzuri sana inamafunzo Sana mpk na mm nimelia kwakwel dunia hii
Mas força aí irmão kelvy gostou muito dos teus episódios
Bonge LA season km umeguswa gong 👍
nzuri sana wema ni akiba
Nimejifunza pia mimi kaka shukran Allah akupe uwezo wakufikiria na kubuni zaidi inshallah❤love from kenya
Wakwanza leo wap like zangu 😅
❤❤wa kwaza leo
Watubaada yaku jifunza kutoa ushauri kushukuru kwa darasa nzuri kazi nikuonba like😂 ziwapeleke wapi
Good job from the beginning till the end all the best on the upcoming works i love you so much all donta tv members ❤❤❤❤❤❤❤❤