Na MWALIM mkuu anakuchukia baba joan pole mwaya Mungu atawaaibisha mwisho WA siku we endelea kuwafundisha WANAFUNZI kwa ubunifu wako watafaulu zaidi na zaidi
NABII MAARUFU NCHINI AFANYA MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI, ILI KUWAAMINISHA WAUMINI NA DUNIA NZIMA KAMA YEYE NDIYE NABII PEKEE MWENYE MIUJIZA. KIJANA ALIYELIPWA ILI AKAFANYE MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI AELEZA ALIVYOKUWA ANATAPIKA NYOKA, VYURA, MIJUSI. HALI ILIYOWAFANYA WAUMINI WENGI KUMIMINIKA KANISANI KWAKE NA KUAMINI MIUJIZA HIYO INATOKANA NA NGUVU ZA KIMUNGU ALIZOMPA NABII HUYO. HATA WAUMINI WENGINE WAPO TAYARI KUPIGANA HATA NGUMI IKITOKEA MTU AMEWAAMBIA UKWELI KAMA NABII WAO HAYUKO SAWA. NABII AMTISHIA KIJANA HUYU ENDAPO ATAVUJISHA SIRI HIZI. KARIBU UTAZAME TUKIO LA KIJANA HUYU ANAVYOSHUHUDIA NA ALIVYOPITIA NJIA NGUMU YA MAISHA. th-cam.com/video/Ew8F2liyltE/w-d-xo.html
Mkiwa mnaigiza na umechukua nafasi ya mwalimu hatutaki love bite.... Madam analove bite ...afanye makeup kwenye hyo alama akiwa anaigiza please....... Movie nzuri mno....na tunaifuatilia
KESHO SAA KUMI JIONI MWALIMU MGENI ❤️ NO 04 ITAKUA HEWANI SUBSCRIBE ILI UWE WAKWANZA KUTAZAMA
lllllllll
Mwalimu mgen
Mwalimu mgen thanks a lot msalimie madam witnesses
Uwakika 😂😂
Huyu kijana anakipaji cha kuimba kweli❤❤❤
Mwalimu mgeni. I love this nikiwa Kenya 🇰🇪
Acheni kuwaharibu vijana wetu na kuwafundisha Uhuni pumbavu zenu✓
New fantastic comedian kazana baba Joan maua yako 🎉🎉🎉🎉
Leo mimi wakwanza kutoka mozambique kazi nzuri wa Tanzânia nipenda kuliko
Na MWALIM mkuu anakuchukia baba joan pole mwaya Mungu atawaaibisha mwisho WA siku we endelea kuwafundisha WANAFUNZI kwa ubunifu wako watafaulu zaidi na zaidi
Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu
🎉🎉🎉🎉
Hatari
NABII MAARUFU NCHINI AFANYA MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI, ILI KUWAAMINISHA WAUMINI NA DUNIA NZIMA KAMA YEYE NDIYE NABII PEKEE MWENYE MIUJIZA.
KIJANA ALIYELIPWA ILI AKAFANYE MAZINGAOMBWE MADHABAHUNI AELEZA ALIVYOKUWA ANATAPIKA NYOKA, VYURA, MIJUSI.
HALI ILIYOWAFANYA WAUMINI WENGI KUMIMINIKA KANISANI KWAKE NA KUAMINI MIUJIZA HIYO INATOKANA NA NGUVU ZA KIMUNGU ALIZOMPA NABII HUYO.
HATA WAUMINI WENGINE WAPO TAYARI KUPIGANA HATA NGUMI IKITOKEA MTU AMEWAAMBIA UKWELI KAMA NABII WAO HAYUKO SAWA.
NABII AMTISHIA KIJANA HUYU ENDAPO ATAVUJISHA SIRI HIZI.
KARIBU UTAZAME TUKIO LA KIJANA HUYU ANAVYOSHUHUDIA NA ALIVYOPITIA NJIA NGUMU YA MAISHA.
th-cam.com/video/Ew8F2liyltE/w-d-xo.html
😅
Madam akachora ❤akaeka wino mwkund akamlizia i ❤u 😂😂😂 aki kitu kitamu hiki❤❤❤❤❤❤
kimeumana mwisho wa season 🤣🤣🤣
Patronize namwita tena patronize namwita tena patronize this boy was so talented and gifted 🔥🔥✌️🙏
😂
Daah huyu kijana anajua kusing wallae,,, likes Kwa huyu kijana wadau
Wanafanya vizuri❤
I'm the first one from Kenya wapi likes for this video
patronize unajua ukiendelea utafika mbl
Mwalimu ameambiwa mambo Ni matatu😂😂😂
Mgeni mwalimu love you nikiwa kenya
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Ooh my God uyu kijan nyimbo zake zinanifurahisha ,,I'm Rwandan 👉🇷🇼 but sijui kiswahili sanif vizur nakiskiya kidogo
In o level you get to experience many new things
🇰🇪🇰🇪 keep it up babajoan
Mbosso brother 🎉🎉🎉
Kama unaamin uyo dogo anajuw kuimba naatafika mbali em dondosha like apa na utoe maoni❤❤❤❤
Jmn uyu kijana anaeimba jmn anakipaji kikubwa 🎉🎉
🔥🔥🔥 HII IMEENDA,
GONGA LIKE KAMA UPO MBEYA
Kikweli mnasauti nyie watoto👏👏
Big up👍👍👍
Kazi nzuri sana hongera, endelea kukaza msuli
Daaaa,,mapenzi,,,,uchawi.........mambo ya shule bwana.........mu medicine
Congratulations from Mombasa Kenya 👊
shega
Patronize just like IBRA OF KINDE GANG
Kazi nzuri Sana, Ila mtu wa sauti awe makini na kazi yake Kuna baadhi ya boom mic Inaonekana kwa frame
Hapo wanafunzi wanapoongea Na mwalimu boom microphone imeonekana😂😂😂😂😂
Iseey barua jamani 😂inavutia yaani hata kilochoko ndani chavutia yaani 🎉dah mpaka me mwenyewe nikajikuta nacheka peke yangu 🤣 mbwa mimi😂
Mwenyw nimeshtuka apa
Hapo patronize ulikosea kidogo ungemuuliza kwanza madam anapenda wimbo gan
Sir magesa kazi unayo naona mzimu utakusumbua sana
Mwarimu mugen pore sana umekutana nacangamoto nyingi sana
Baba Joan, sijuwi niseme nni ninavyo enjoy
Hatal
kazi nzuri sana tunasubiri epsode ya 4❤
Hongereni kazi mzur
i love mr teacher
Hi wa kwanza leo
Dhu pole san mwalimu mgen japo mnaigiza
Dah!! Kazi kali mzee ❤❤❤❤
Dgo unajua kuimba
inapo elekea itakua nzur zaidi ❤❤
DAAAH @babajoan unajitahidi kutupa Raha sisi tupo Oman ila nishaniki zako tokea unaanza tupo nawewe KAZI zako nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pongezi kwakwe #patronize 💪💪
Watano 5nipeni maua yangu🎉🎉🎉🎉
Mkiwa mnaigiza na umechukua nafasi ya mwalimu hatutaki love bite.... Madam analove bite ...afanye makeup kwenye hyo alama akiwa anaigiza please....... Movie nzuri mno....na tunaifuatilia
Kijana huu anajuakuimba Sana ananitoachozi Kbis 😭😭anaimba mpaka mwalimu akalala kwakweli namimi ananitoaloho❤️😍🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
kwan kile kanyimbo chake au
Nataka like tu ata mbili tu
Siku zote penye mafanikio hapakosi Chuki na majungu. Ple sana Mwl mgeni....
Hii imeenda 😂😂😂 🔥🔥🔥🔥🔥
Nakuomba Baba Joan nakuomba kesho Leta part 3
Sio part 3 ni part 4
You are my medicine, imeweza
Jamaa kamuimbia madam song la mapenzi
Hatali
Kutoka tanga handen nice 🎉🎉
Baba Joan patronize anajua mzee usiache Hilo groupp
Naomba kujua hii shule ni ya tabata shule au
Uyo janja ni kwel anakipaji cha kuimba anajua sana kama chinga wa konde boy
Patronize😂😂😂
Mwalimu usijali pambana na kazi Mungu mbele
Nakweliq
Baba Joan big up brother ❤️❤️❤️
Ndiyo
Ndiyo
Madam akachora ❤ 😂😂😂
Hilo group ni noma baba Joan usiliache ❤❤❤
The boy be know how to sing❤
Naaam ni kazi nzuri hakika pongezi kwa @mwalimumgeni
Jamn dada sauti
huyo mkaka alie muimbia madam kanifanya hadi moyo umeumaa nyimbo hii inahitwaje plz😢
Na mpenda saana madam wenu wanafunzi munaona dje? 🤣🤣😂😆
Very talented
Hiki kipaji cha Muziki kikikaza kitafika mbali
Piga kazi unajua sanaaaa
Huyuu mtoto wa kikee ni vocalists mbaya
Eheee
Mzimu anatafuna Jojo😂
Pole Sana mwalm mgeni natoa ad machozi
Uyu mwalimu kuu atakuwa kweli n mwalimu
Maan ivi vimikoba vya mikopo ndo uwaga vyao
Safi sana wana saku
MKOJANI kimbia
Aww 🥰🥰 sauti za wasanii
Congratulations huyo kijana ako na kipaji cha kuinba
Wow wow😮 wonderful
Kali San
Please 😢kijana petronizee. ,,aende studio please
I Love the movie
Hahahaha hako kiliko soma kana masifa
Nimempenda muimbaji
Daah sir nimekukubar Bora unaju
Some people don't know about how to mind there own business
Can't wait for part 4
Mnanikumbusha machungu namkumbuka Ali ponela alipo fariki msindo iliniuma sana
Uyo mtoto anakipaji kbx
Ila huyo dogo anajua kuimba.....
Kazi nzury kaka
Wanamwonea tu teacher
Jmn Jina ya wimbo inaitwa aje
Uyo msani wakiume aende BSS kushiriki achuguwe hela
Ikiwezekana tengenezeni hata 100 nzur sana
The boy can really sing.