Mwamba namkubali sana, lkn kibongo bongo bado hakuna wa kumfananisha na the great alijarb gabo lkn mbk leo sielewi aliishia wapi xo Kanumba Kanumba Kanumba acha apumzike kwa amani 😢
I like ur movies, keep it up bro nd don't lose hope u'll reach ur destiny.nd I want you to continues with the movie cal penzi la dada was kazi na kijana tajiri part 10 plz.good job bro👌
Tafadhali Usiwai dharau mtu kwa Sababu uwezi kujua kesho yake jua itamchomozea upande ngani, hayasiowezekana hakika itawezekana mbele ya mwenyezi mungu 🙏🙏🕊🕊🕊
Hakika ni Movie nzur sana ,Vijana tubadilike,ulimbukeni na kukosa maadili kutatufelisha sana , Maisha ni Watu na watu ni maisha,tuwe waungwana kuliko kupenda ubabe
Strong guys ,,, keep going... I really love what you are doing,,, natamani Sana nigekua muongoni ya waigizaji wa donta ,, kiukweli napenda sana kuigiza Ila sijapa iyo nafasi ,,, strong strong wasee ❤
Wa Tano Leo jamn nipeni like hata mbili
Sawaa
Brother unajuwa sana
Daaah kevin umenikumbusha mbali niliachana nadem wang kama ww hongera sana kwa kaz nzur ww ndye utakuwa mris wa kanumba kazaaaaaaaa
Ucjal like ii pokea kwa ajili ya Klvn anae zunguka na vyety yake uku😭😭
Baraka zako zko njian Kevin don't worry dea bro
Daaaa Kwanzaa hongera Sana kwamafundisho munayo tupatiya na movie zengine haziishimwisho munatuhacha jiyapanda❤❤
Hongera kelvin kwa mafunzo mazur mungu akusaidie ufanikiwe malengo yako nakupenda Sana uko vzr
Kelvin God bless you so much am learning a lot from your movies ❤❤🙏
Jamani ni from your movie sio you movie 😂😂😂😂
@@NorahSweet-qf4gt thanks 😊 ujue ni usingizi plus kusafe time 😂😂🫂
Napenda move zenu Kaz nzur asanten any way wakwanza leo naomben japo like mbil tu❤😂
Sawaa 😍
Asante kwa movie nzuri
@@Dontatv255movie zako nazipenda sana God bless your heart 🤲🤲🤲
Jaman nmechelewa Mimi Leo naombeni hat mmjo
Hahahaha 🤣🤣🤣 kelvin bravo nimecheka mpaka walai mungu mkubwa🙏🙏
Much love from Kenya guys like back I have learne something thing graat
Love 💕 you so much Kevin good work
Ukwelu nikwamba unajua utakuja kuwa star mkubwa sana hivi soon Mungu akutangulie katika kazi zako pia uish kwakumtegemea Mungu
AMEN🙏
Mungu anisaidie niwe Star kama Kelvin
Brother unaweza, mungu akuongozee maarifa utafika ulipopalenga, binafs nafrah kkfatilia
Napenda sana kazi zako kevin zidikupapanda utafika mbali sanaaa❤
Congratulations for good work,nasoma mengi ya dunia❤
Ongera kaka..mfuasi wako from kenya🎉🎉
Usijali Kevin ipo siku utafunguliwa mwanga Muhimu kuomba Mungu 🤲nawapenda sn 🥰🥰Allah abarik kazi yenu
Mungu yup atakusaidia
Maigizo mazuri na hongera, dharau ni mbaya sana 🫡. lakini kazi si lazima uajiriwe
Asante sana wapenz kwa mafuzo mazuri sana ubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️😭😭😭dunia ina takiwa watu wapendane napeny kosa kusamehana sio kukumiana
Kelvini ww baba wwtu mstarabu uyoo mm nampenda hana busara frani ivi dah😢😢😢kweli umejichangany yn tumejifunza kitu pole san😯
Kelvin tunakupenda sana unatufundisha sana mambo mengi mungu azidi kukuinua uendelee kuielimisha jamiii,,,
Nimejifunza mengi thanks good wark ♥️❣️ love you
Hongera sna kaka Mr Kevin napenda sna. Movie zko Mungu akuzidishie kipaji chko🙏🏼🙏🏼
Excellent 👌🎉 job keep up people 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Movie zenu nzur na zenye mafunzo much love kwa wahusika
Asante sana
Napenda sana move zako kaka natamani kuigiza na wewe
Kesho yangu iwahi jaman
Broo you are doing a good job your fan from Kenya. Utachukua nafasi ya kanumba tu very soon
Tunawazo Moja nawe..kanumba 2
Nisoma mengi kupitia bipindi hivi
Mwamba namkubali sana, lkn kibongo bongo bado hakuna wa kumfananisha na the great alijarb gabo lkn mbk leo sielewi aliishia wapi xo Kanumba Kanumba Kanumba acha apumzike kwa amani 😢
Bro Mr kelvin me napenda sana kazi yako huwa najifunza vingi sana pia Kuna baadhi mengi nishapitia so I'm so very strong,, God bless you bro 🙏
Yani Kevin nakukubari san broo Kwa mafuzo Mazuri mashallah mungu awabariki muzidi kufika mbali wapendwa 🥰🥰🙏
I like ur movies, keep it up bro nd don't lose hope u'll reach ur destiny.nd I want you to continues with the movie cal penzi la dada was kazi na kijana tajiri part 10 plz.good job bro👌
Nakupenda bur kelvin mungu akupe nguvu na kaz yako❤❤
Kijana maskin alie mdharau boss bila kujua ❤big up saana Kelvin 👌👌
Dharau sio njema...na tabia Njema n silaha ktk maisha yako
Ikoo poah Sana❤
Kuishi na wanadamu ni kazi,Ngoma inaitwaje,nakupenda Sana kelvin,unajua mapenzi waaah
Napend movie nzur zenye mafunz❤❤big up
Mwabesa kweli hongera sana nduku sangu
Oooh pole hukujua ila heshima ni muhimu na utu ❤❤
Good lesson, kudos guys. following From Kenya
Kazi nzur na inamafunzo♥️♥️♥️ tujifunze kumuheshimu Kila mtu
Napenda kazi yako kelvin na vilevile funzo unalodhihirisha kwa jamii all the best
Movie zako nzuri Tena zenye matunzo Allah abariki kazi ya mikono yako kaka akufikishe kwenye ndoto zako
Mashallah nice❤❤❤
Brother Kelvin unajua mpaka unajua tena cogra2lation sana brother
waaah shule kubwa sana mwenye macho kaona mwenye masikio kasikia
Unaweza kuzimia haki usiombe ikukute hii asante kwa somo zuri
Kelvin,Napenda sana Uigizaji kupitia ww nimejifunza kwako vingi. Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏
Wow asant kbs Kévin kwama funzo kbs ❤❤❤❤❤❤❤
Noma sana Kelvin yuko vizur
Mr kelvin uko poa sana umetishaaaa
Kwaiyo mm ni wamisho😢 lakn mashallh nimependa nimejifunza kitu lakn Tina unatakiwa uwe na subra hata kama mpz wako hana kitu unatakiwa uvumiliee ❤❤❤
Tafadhali Usiwai dharau mtu kwa Sababu uwezi kujua kesho yake jua itamchomozea upande ngani, hayasiowezekana hakika itawezekana mbele ya mwenyezi mungu 🙏🙏🕊🕊🕊
Teacher Kelvin nawakubali hongera xana mnatupa movie nzuri xanaa zinazo tufundixha xana ongera kaka 👍👍👍👍👍
Kazi nzuri sana nimejifunza kitu aki nimependa❤❤❤❤
Asante sana
Nimejifunza brother kelvin 😢😢
I like your movies 😍 endelea kuigiza,,nawapenda Sanaa....
Unyama xana kaka
Jamani Mungu akuongozeusilie na mtu pia na uzima wako na kumshukuru Mungu tu.
Nakuona m2 wa mbali sanaa broo
Movie zko zko na mafunzo kelvin ❤❤❤
Napenda Sana Kelvin unavyoigiza hakika tunajifunza mengi MUNGU atimize haja zako🎉🎉
Safi sana kaka nakubali kazi zako
wa mwisho jamani nipeni like aky
Hongera Sana kelvin napenda Sana movie zako ukiendelea hivo utafika mbali Sana nakutakia Kila lakheri
Hakika ni Movie nzur sana ,Vijana tubadilike,ulimbukeni na kukosa maadili kutatufelisha sana ,
Maisha ni Watu na watu ni maisha,tuwe waungwana kuliko kupenda ubabe
Movie nzur hatal sana daaah napend sana kuzitizam kila mda
Mwenyezi Mungu aya skiye maombi Yako sema amen🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮💯😍🥰🥰
Waooo movie nzuri sana hongereni wote mlioshiriki
Strong guys ,,, keep going... I really love what you are doing,,, natamani Sana nigekua muongoni ya waigizaji wa donta ,, kiukweli napenda sana kuigiza Ila sijapa iyo nafasi ,,, strong strong wasee ❤
Ucjal mtafute Klv akungushe jamani
Wenye wanaapenda DONTA mnipe like hata 10 jamn
Naipenda sana
God bless you Mr Kelvin
Kelvin ww nzur ❤sana😂❤
🎉
Good job kelvin keep it up bro kipaji unacho
Ukweli nimesoma kitu dunia ni kupita tu humuimu ni kumtengemea mungu kwa kila jambo
Kazi nzurii Sana kevn
I hv learn something from this episode ucjrbu kuamini rafiki yyote coz km c rafikiye hungekusa kazi ,pia ucdharau mtu ucyemujua
Broo you are. doing a good job your fan from
Mbn movie zako zanafatana na kimaskini Naitaji kujua stolia yako kbs🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Movie zenye mafunzo mazuri nawapenda sana❤❤❤🙏👍
Alafu likes mnapeleka wapi bandala mkomet story mnayo tasama, ni likes mnaomba??? good job brothers 👏 👍 👌
Daktari🎉🎉🎉love sana ❤❤❤
Asante sana 🙌
Congratulations brother
Good lesson
Napenda sana move zako kelven hogera sana🤲🤲
Mm nakupanda sana kelvin ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnafanya kazi nzuri sana ila amtoi move mpaka mwisho zengine kuweni na utaratibu mnzuri tunapenda kazi zenu basi fanyeni vizur zaid
Pole sana hila tina usingemwambia ulipomuacha tu kazi ikapatikana 😊
Ujui Nguvu ya mapenz wewe😂😂😂😂
Kazi nzuri wallah❤❤❤
Hongera kaka. Sema kelvin 2naomba mwendelezo wa blind of love mmeishia part one only
Kelvin keep it up, movie zako siko poa sana,
Asante sana 🙌
Uko sawa kelvin
Good jobs kbs napenda muvi zako❤❤❤ from burundi
Big up sana mwamba, kaz nzuri
Napenda sana kz zako Kevin nakupenda sana
mvie zenu zsote ni nzuri snaa🎉🎉🎉🎉🎉
Well done🎉
Congrats kelvin Kwa kazi Yako coz umenifunza mengi ❤❤
❤❤ good work I learning more though your movies
Wpl ku comment
Asante sana
safi movies
Jamani Kev sijakuzoea kuigiza Ivo 😢😢
Ongera sana kevin fan from kenya much love
Asante kwamov nzuri zakutufundisha
endeleen vivyo hivyo KAZI nzuri nawapend
Kaz nzur ❤❤❤
Yani sina usemi ila nawaombe maisha marefu yenye mafanikio mema❤❤from kenya to saudia❤😂❤❤
Very impressive great performance
Nc Kelvin kwakazi yako